VERONICA FRANK WA SMULIZI ALIYEKUWA NA SHIDA YA KUPATA MTOTO ASHUHUDIA ALIVYOMPATA MTOTO KIMUUJIZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • VERONICA FRANK WA SMULIZI ALIYEKUWA NA SHIDA YA KUPATA MTOTO ASHUHUDIA ALIVYOMPATA MTOTO KIMUUJIZA. ALISHUHUDIA KWENYE MKESHA WA MWAKA MPYA 2023 SIKU YA JUMAMOSI 31.12.2022 KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

КОМЕНТАРІ • 29

  • @user-qo8eu1br6f
    @user-qo8eu1br6f 9 місяців тому +2

    Hakika Mungu wacha aitwe Mungu kweli ana tenda 😍❤️💕😘 katenda hata kwa Veronica 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 Рік тому +3

    our beautiful Veronica Frank 😄

  • @celinagabriel-if7jq
    @celinagabriel-if7jq Рік тому +3

    Ameen mungu Azidi kukutendea mema vero

  • @happinessmanga4932
    @happinessmanga4932 Рік тому

    Hongera dada veronica.nimefurahi Pamoja na wewe pia mimi nisikilizaji wako mzuri Toka siku ya kwanza unasimulia praise power . nakupenda sana sana...

  • @kalatunga
    @kalatunga Рік тому +2

    Mungu ni mwema kwa Kila jambo

  • @stephenlembo8986
    @stephenlembo8986 Рік тому +1

    Hongera sana Vero Bwana aendelee kuwatendea mema

  • @Happykiliwe
    @Happykiliwe Рік тому +2

    Jamani kumbe hata da veronica alikuwa kama mimi lakini mwengu Mungu amemtendea tayari 😢😢 ila naimani siku ipo na mimi nitapokea tu katika jina yesu kristo Mungu alie mtendea veronica na mimi atanitendea

  • @jestinamagembe2125
    @jestinamagembe2125 5 місяців тому

    ❤❤❤nakupenda dada angu

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Рік тому +1

    Hongera sana ant vero MUNGU aendelee kukuongezea wengine nahatawafike 12 yani dazen siyombaya

  • @flavianaephraim1521
    @flavianaephraim1521 Рік тому +1

    Yesu ni halisi. Mbarikiwe

  • @lovenessmjaka9754
    @lovenessmjaka9754 Рік тому +1

    Nakupenda dad vero

  • @sionkivuyo7249
    @sionkivuyo7249 Рік тому

    Wooh our God is in control.

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Рік тому

    Ubarikiwe sis vero❤

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 Рік тому +2

    japo Moyo ndounaoangariwa lakini Mnashindwa kabisaa kutofautisha nguo zaibadani namtahani???

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому

    Mungu akutunze dada. Veronica

  • @user-nz9fo1le9j
    @user-nz9fo1le9j Рік тому

    Nakupenda da vero

  • @user-sg1zl1wb4k
    @user-sg1zl1wb4k 11 місяців тому

    ❤❤

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 Рік тому +1

    Wote hapo kanisani acheni mawigi na marasta nk... Sikilizeni SHUHUDA miujiza c kitu lkn c saa ya kuingia mbinguni

  • @user-jo5ig8ww1b
    @user-jo5ig8ww1b 7 місяців тому

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @neemagidumboru8744
    @neemagidumboru8744 Рік тому +2

    Jamani da vero mbona simulizi ya mwaka huu hatupati

    • @billaaljabri9205
      @billaaljabri9205 Рік тому

      Jamani we acha tu mimi nimepekuwa you tube mzima leo cku ya 6 bila ya mafanikio naona anatumikia yesu kwanza ili akija awe mpy hahahahaa

    • @neemaneema9969
      @neemaneema9969 Рік тому

      @@billaaljabri9205 Nitumie namba yako ya wasap nikutumie Link

    • @billaaljabri9205
      @billaaljabri9205 Рік тому

      @@neemaneema9969 thank you so much my dear ila kipindi cha simulizi kilikuwa kijaanza ndo maana tulikuwa hatuzipati kwa sasa free enjoy

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Рік тому

    Story teller

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk Рік тому

    Veronica frenki