![SHARE & HEAL](/img/default-banner.jpg)
- 564
- 6 146 372
SHARE & HEAL
Tanzania
Приєднався 7 вер 2018
Veronica frank ULIPONITOA Official Audio
Ni mengi Mungu ametenda kwetu mpaka sasa,Hakika tunayo sababu ya kusema Asante.
Wimbo huu ukawe Baraka kwako mpendwa wangu.
Wimbo huu ukawe Baraka kwako mpendwa wangu.
Переглядів: 3 928
Відео
RIPOTI YA EO ESSAU VOLUME 9:10 FINAL
Переглядів 16 тис.10 місяців тому
RIPOTI YA EO ESSAU VOLUME 9:10 FINAL
Wanawake bhn daaah mung anisaidie mimi sijawai kuwaamin %100ni Zaid ya mashetan
Simulizi ya essau
Hee Veronika huyu nibayemuona ni wewe kweli
Mungu ni msaada wa kweli
Dd atakuwa jambazi
ila IQ - ya huyu Dada vero 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 apewe TUZO
Wow
Binadamu ni changamoto sana
Tulio sikiliza 2024 like tujuane
Mimi ndio nasikiza saiz
Pole sana kakangu Mussa, nimeumia sana sana juu ya mates uliyo ipataga. Your mummy was right all along, how I wish you listened to her for a moment
Zuri sana
Daaah yaani hii story imeniumiza sana Mungu amsaidie na kumtia nguvu
Duh shangazi popote alipo laaana ya Mungu imuwakie ateseke Mara elf ya oresterw
Pole sana Tete kwakweli inahuzunisha sanaaaaaa
Pole Sanaa Tete
Inamana Naomi ile gar iliyopewa ndio ilikuwa kinua mgongo chako jamani
Kweli hii ni yangu kabisa Ee Mungu naomba na mimi unibadilishe
Yesu nimzuri sana ukimwamini
Akuna mwanamke anae weza tumikia mabwa wawili
Unasimuliya vinzuri sana,,na story zako zote nzurii
Ila wanawake tuna roho mbaya sana!!
Mganga kafishwa Amanda hata jero ya Shukurani hukumpa. Wanawake mnasahau haraka!!
Tunaomb namb z mohamedi
Nashukuru sana kwa haya mafunzo mazuri kweli nimejifunza kitu asante dada vero
Familia nyingine jamn M Mungu atuhurumie mmmmh,,,huyo mama mkwe kiboko
Mmmmh sadra hatakama ndo kupenda hiii hapana mmmmmmh
Kwa kweli ulikua na moyo wa upekee snaaa
Pole sandra
Hongera sanaa
M Mungu Ni Mkubwa Mnooo Bora Umerud Salama
Pole sanaaa rahma
Mmmh maisha nisafar ndefu mnooo mmm
Mmmkh Rahma pole sanaaa mtihan mzito
Huyu rahma nae asikiiii
Duuuu
Daaaaa so sad jmn
Nikweli kabisa sisi tulikuwa na mgahawa wa chakula tulikuwa na wateja wegi sana lakuni alivyo kufa tuu mama mgahawa Weku ulishia happy wateja wetu wote waliamia sehemu nyingine inauma sana
Duuuu Jmn
Daaaaah uyu ndie najma ana roh ya kwangu kbsa nilijua atamsameh mama ake maana matendo aliyotendewa daaah ata me siwez ruhus kuonana na ww
Daaaah😢 haya mapito arafu unakuja kuskia badae alimsameh mama yake mimi mung angenisameh
Mh shangaz shangaz nakuita mara mbiri ww so mtu mzuri 😢😢
Mama anakosea san mim mwenyew ninamtoto mmoja nimeteiekezwa mda ira family yke ikija ikitaka kumchuku mtoto wakamsomeshe wara ata sitakataa maan naon km nitakuwa nasaidiwa😢😢
2024 June
Daaah kazi sana haya maisha😢
Jaman honger San dada Veronica wimbo mzur nimebarikiwa san
Nakupenda sana da vero
watu wanatafuta ndoa kwashida ww naomi unaichezea ndoa yako 😢😢
Yaani unakera sana na hii simulizi, unarudia rudia jmn mpaka hakuna raha 👎🏽
Sister vero🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
uyu mama atakuwa mchwawi sibuie jaman maan simueiew😮😮