JOEL LWAGA - USIPIGANE (Official 4K Video) SKIZA CODE 5960596
Вставка
- Опубліковано 11 гру 2024
- Another blessing “Hit” Song in his Continuation, JOEL LWAGA the Best East African male Gospel artist of the year 2019.
USIPIGANE is the Song that simply means “The Battle is the Lord’s when you fight he goes to rest and when you rest He(God) goes fight..”
Produced by; HARRY Gb
Mixing and Mastering; Taz Goemi
Video by: Director Yotham Lyobha
#JoelLwaga #Usipigane #NgommaGospel
Daaaaaa Joel hii nyimbo itaishi milele aiseeeee ,nipe like jaman hata buku tu
Aminaaa
Kabisa jmn mungu yupo kazin
nimeona niandike ushuhuda wangu hapa
kama utauona jua kuwa wimbo wako umefanyika baraka na maajabu na namshukuru sana MUNGU kwa wimbo
sitaandika yote ............ila kupitia huu wimbo mengi sana nayapitia na nauona mkono wa MUNGU ukitenda maajabu maishani mwangu. kiuhalisia naona nashindwa lakini cha kushangaza niskilizapo huu wimbo tu najawa na furaha na tabasam na mara nijapotabasamu tu....... tatizo linapata saluhisho bila kujua nimepataje
kweli kama maandiko yasemavyo sura ya mathayo mt. huyu ni BWANA WA SABATO
Asante sana JOEL ASANTE MNOOOOOOO👌👌👌👏
Kkkkkkknkkkkkkkkk kk kkk
Kaka kiukwel napenda San yaan unavo imba pia nataman San nam niwe ka wew jmn Yan nyimbo zako zipo Makin San mungu akupe miaka mingi maan umenitoa mbali kupia ujumbe wa nyimbo zako
Joel, I am sending this song to the hospital bed of my grandparents. Siogopi kamwe ripoti ya daktari, vita hivi ni vya Bwana. This one was for me and my family. Nimetulia Bwana, pigana mwenyewe ujuavyo. Faith charged!!!!!!
Brother 🔥 Libarikiwe tumbo lililo kubeba kwasababu unatubariki wengi sana 🙌
Usipigane! Vita ni vya Bwana! Ukipigana anatulia ukitulia anapigana❤️. I needed to be reminded this.🙏 Iwe unaona au huoni yeye anapigana
Once you learn the secret to trust God...you win the war. Great song Joel
Kweli vita si Yetu ,Vita ni ya Bwana....Be Blessed Man of God 🙏.....🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
ndugu naomba support yako kwa kusubscribe chanel yangu (baraka ernest up coming gospel artist) chakufanya ni kuclick kiduara chenye picha yangu kisha utaona maandishi mekundu yameandikwa subscribe click tafadhari nakuomba sana mungu akubariki🙏🙏🙏
@@Baraka27 nce
Naipenda sana hii nyimbo kiukweli Tuzo yako ipo mbinguni brother. God bless you.
I listen this Song 3yrs ago wen mylife was in hell but God showed up like fire and everything changed. Lord I thank u. Today I find it on tiktok and remember that Yr 2021😢
"vita ni ya bwana"- Joel Lwaga. well said brother
Vita ni Ya BWANA Mfalme WA majeshi duniani kote umejaa utukufu wake..Kwa damu y YESU tunavunja kila mpango WA shetani na wakala wake..🙌🙏🥰
Philippians 3: 18 For as I have often told you before, and now say again even with tears: Many live as enemies of the cross of Christ. 19 Their end is destruction, their god is their belly, and their glory is in their shame. Their minds are set on earthly things (Berean Study Bible)
This is a deliverance song: The kingdom and nature of our God is of peace. He is a warrior that fights to make peace. Much honour Joel Lwaga.
The message in this song break me most. I will fight on my knees with my hands lifted high the battle belongs to you Lord. May this song brings peace,hope and Joy to someone in needs of God grace , Love and forgiveness.👐👐😭
🙏👍
🙌🏾🙌🏾💪🏾
@@catherinegeorge34 iii
@@helgerthadeus1139 kmmm
@@helgerthadeus1139 kkkk
Fun from Kenya all your songs are an inspiration thank you for allowing God I don't download songs but yours are always on repeat they minister and are relatable ❤
I like you so much Joel.You sing The Word itself na that what the gospel is all about, the good news of Christ Jesus.Huduma Yako hata mipaka ya inchi hii haitaweza izuia, you will go places you never even thought of for the God we serve can do beyond that which we can think or pray...Wewe n watofauti Son of Zion
YESU BWANA WA SABATO...My vains gain new strength after listen this Anointed Song
🔥🔥🔥❤️🇰🇪. Mungu aendelee kukubariki
ukipigana anatulia..ukitulia anapigana...that line encourages me to be patient in the Lord...Amen.
Am a Muslim but I like this song.Usipigane.
Beautiful 😍 🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Its good to see you young people on fire for Jesus and with such depth.
Vita ni ya Bwana... Representing Africa
This song gives many new energy and power especially those who have given up in life due to illness, financial problems and joblessness
I pray that God will fight my battle for me ,I have received bad news from my teacher that I have failed the exams and I feel so sad and low and my only trust is in God ,I pray that God will do miracles for me 🙏
Nmebarikiwa nimehudumiwa nimepokeaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🏾🙏🏾🙏🏾 The battle is not minee
Can't get enough of this song..A great blessing.The battle belongs to the Lord
..... ....d
..... ....d
The Lord changes the reality of situations for our good
The Lord changes the reality of situations for our good
The Lord changes the reality of situations for our good
Kuna Yale mi natakiwa kufany, alfu kunayare ambayo yesu anatakiwa kumuachia dah🙏🙏nimebarikiwa Sana na huu wimbo siogopi na sitopigan MUNGU wa mbinguni azidi kukubarki kaka
Usipigane,,,,vita ni ya Bwana,, Hallelujah,,Barikiwa brother
Even in my storms ...I know God one day I'll come and testify
unayesoma ujumbe huu Mungu atatue tatizo lako leo
AMEN
AMEN
Amen
Amina
Amen🙏
My boyfriend had wronged me and I wanted a revenge on him ,till when I found this song it calmed my soul.i feel healed from the toxic relationship that I was in and was heard healing ...thank heavens for passing through you .
Barikiwa saana tena sana 🙏🙏🙏nashukuru kwa ujumbe mzuri, na pokeya na piya nasema asante sana Papa Mungu akubariki piya aendeleye kuku tumiya zaidi 🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤️♥️♥️🇧🇻
Who is enjoying the Love of God oooohh..God bless you Joel
I will never forget what You did for me you fought my battles and I cried when I knew it was You. God is forever Faithful
Be blessed Joel, I like the way u described the Sabbath, ubarikiwe Zaid, karibu usabaton kabisaaa Kama Mungu alivyoagza
Hakika Roho Mtakatifu ana mbinu nyingi za kuongea na watu, kuna wakati tunatumia sana akili na nguvu zetu na tunaishia kufail vibaya, lkn tunapomwachia Mungu kuwa sasa fanya mwenyewe hakika tunamwona akitupigania! Joel bro, Mungu aendelee kukutumia nyimbo zako zina ujumbe umeshiba!
Also I realy like this song It have taught me something thank you so much may GOD bless U. I think so every body will have to put like🖒🖒🖒
Kabisa vita si yetu but it is the Lord's🙌🙌😭😭😭 am so blessed today by this. JOEL more anointing more prosperity 🙏 the song is everything oooohh my God
NAKUAMINI MUNGU WANGU IPO SIKU NITAVAA SHELA NA MWANAUME SAHIHI UTAKAYE NIPA
Mwaka huu mungu hatutuacha lazima tuvae shela
Hakika mwaka huu na sisi tutavaa shela. Ewe Mungu tunakuomba
Kwaimani yote yanawezekana daima tusichoke kimshirikisha mungu kila hatua
A good one Joel as we approach the remembering of what He did at Calvay,let's be still and watch God fight for us🙌.🇰🇪🇰🇪🇧🇭represented
Hii ngoma ni balaa imenibariki sana
Hallelujah, the battle belongs to the Lord....beautiful song
I love this song.The battle is the Lord's.It doesn't matter how forceful the devil has risen up.
Hallelujah....can't get enough of this.....
From the official audio and now the video..the song has blessed me..Ubarikiwe!
Hallelujah 🙌,Vita niya Bwana.love from Burundi 🇧🇮
Exodus 14:14 indeed. " The Lord will fight for you and all you have to do is keep still" Teach us God to be still, coz sometimes anxiety and overthinking gets in the way.
Usipigane,that music,sauti zimepangiliwa na maneno yenye uvuvio.Barikiwa sana kwa wimbo huu
Huu wimbo ni wabaraka kwangu....kila nikiuskiza nahisi kubarikiwa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen,hatimaye chakula kimefika kwa walaji.ubarikiwe sana.
Powerful message Servant of God.Yesu akuzidishe ili izidi kutubariki na kutuinua tunapochoka.
1:25-1:40 Kweri Baba 👏👏 Pumziko, Tabasamu katikati ya mapito jumbe tamu na nziri like kama nawe umemwelewa hapo 👍👍
Amen , feeling blessed , the battle belongs to the lord.
Oh God fight all my battles,Glory and honour will always be yours.
Daaah this song lift me up again and I see everything is easy , my heart now is open feeling free and peace of mind just praising God.....
A very clear and direct message, video is on point, hakika it's a powerful song, uzidi kubarikiwa 🙏🔥
Niko kwenye wakati mgumu sana,Na kuzishiwa habari za uzushi, wakati nipo kwenye matatizo,Vita ni Bwana na kisasi Ni juu ya Bwana ubarikiwe Kaka JOEL
Why am i crying.. tears of joy .. The Lord has done it and Will continue doing it Over my Life.. i wear that dress In Jesus Name..
Two weeks, listening to this song. You always teach me of how God is so loving. Battle is for God to deal with. God bless you Joel..,,🤝🇹🇿🇹🇿
BWANA ANAPOPIGANA NA ADUI ZETU ,SISI TUNYAMAZE KIMYA;KWA MAANA VITA NI VYAKE YEYE.THIS SONG IS VERY NICE, GOD BLESS YOU BROTHER JOELI LWAGA,KIHUDUMA AKUPANDISHE KWENDA KIWANGO CHA JUU ZAIDI KATIKA JINA LA YESU AMEN.
I can’t get over this song. God bless u Joel!
Siwez pigana kbx aca mungu anipiganie Asante kwa wimbo joel lwaga
Hakika vita ni ya Bwana... hatuwezi kubaki kama Tulivyooo... ❤
Wimbo huu km utamwamni mungu basi ww sio mtu mungu MN unagusa unaponya unakupa kuinuka tena na kusimama kwa kqsi kubwa asant joeli mungu akuweke.kwa injili tamu ya uimbaji
good sana mkuu joel kwel kabisa nimeipenda san hii nyimbo tunazid kukuombea saaaana mungu akuzidishieee siku nyingi za kuishiiiii
Wimbo mzuri mzuri yaan Ni mzuri sanaa ujumbe wake unatoa Faraja kwenye maisha ya watu ubarikiwe @joel lwaga hakika "Usipigane Vita Ni ya Bwana" Hallelujah
Usipigane vita ni ya BWANA, nimebarikiwa mno,,,🙏🙏🙏God bless you man of God 🇹🇿
Neema ni kwamba kila inapoitwa leo, Bwana Yesu anajinyakulia point 3 kwa ulimwengu wa sifa na kuabudu kwa Africa Mashariki na nuru inaendela kuongeza mwanga wake kwetu!! Asante kaka kwa baraka hizi na Mungu aendelee kukuinua.....love from USA!!
Usipigane hakika vita ni ya Bwana sisi tunapiganiwa na Bwana,it blessed
My top top Gospel Artist in Tanzania, May God bless you joel..you are doing a wonderful work of Mighty GOD…can’t get enough of ur songs brother!
Usipigane
Mifupani
Wadumu milele etc all are hit songs
Mungu akuinue zaidi na zaidi na kukulinda mtumishi Joel, hi nyimbo sijui hata chakusema ni Yesu mwenyewe alikupa hu ujumbe utufikie
Waliokuwa na shauku na video Kama mm tujuane hapa ,Vita Ni ya Mungu hakika
Hakika Mungu si dhalimu....ukitulia anapigana. ahsante nimebarikiwa mnoo
Joel nyimbo hii kabisa Inanibariki sana!!! Mungu akubariki ❤❤❤
Kweli vita ni ya Bwana!!! Bwana akapigane nao wanaopigana nami
Finally! I have learnt to surrender and He has fought for me! Amen 🙏
Yas Jo unanitia moyo 💪I will never afraid and i will never fight my self again
Such a nice song. Thanks Heaven they put the lyrics translated or else I would have missed on so Beautiful and Strenghtening Words 🙌🏽🙌🏽🙏🏽
I am so blessed. Joel May God keep you.
💃💃💃 like the song ...
"usipigane vita niyabwana" always 🙏🏽
Usipigane, ukitulia snapigana kwa kwelii,,Mungu akubariki mtumishii
Ameen, vita ni ya Bwana, asante Yesu nakuachia wewe unipiganie baba angu
Amen and amen. Nanyamaza kimyaaa MUNGU Wangu ananifnyia ushindi mkuu
We don't fight for victory rather we stand in victory of Christ Jesus
Penda sana,kaka Joel. Endlea kutubariki kwa nyimbo zako nzuri. Ubalikiwe
Mungu akubariki sana kaka. Kushindana kwetu si kwa damu na nyama, bila Bwana Yesu atuwezi chochote.
Wewe ni kiboko,daaah!!!
Nimeshindwa hata nicomment nini,naona MB zangu zinaishia kwenye huu wimbo tu khaaa!!!!
Vita ni ya Bwana. Tukitulia Anapigana🇰🇪🇰🇪🔥🔥
Mungu atupe kutokuogopa katika jina lake kuu takatifu
Kuna yale yako yakufanya na Kuna Yale Mungu mwenye Enzi Ndiye afanye.." Thank God For Hope Fm manze sikuwa nmeskiza huu wimbo and from wacheze Couldnt sleep tonight without litsening! On Repeeeat such a Great Jaam👌👌😍😍😍😍
Barikiw sana kaka joel mungu akubarik kwa wimbo mzur.
🙏🙏🙏🙏🙏
True the battle is the lords. Well aid when you fight he goes to rest, when you rest he goes to fight. Love from Nairobi, Keya.
This is awesome...it arouse my emotions just from the first beat
...be blessed
The choir vocals on another level.
Beautiful msge awesome voices. ❤❤
Ubarikiwe Mtumishi kwa wimbo uliobeba ujumbe mzuri sana.
Moja ya jambo nililoona pia kupitia wimbo huu...tunapokutana na majaribu/matatizo tumruhusu Mungu atuonyeshe mapenzi/makusudi yake ni nini ktk tatizo hilo tunalopitia.
Ktk wimbo huu daktari na abiria wake wamepata break down ya gari wakiwa njiani kumuwahi mgonjwa, daktari akawa so frustrated lakini abiria bado yuko positive akaenda kutafuta msaada wasijue kuwa ktk hilo pori walipoharibikiwa na gari kuna mama yuko ktk muda wa kujifungua na anahitaji msaada wa haraka, uwepo wao maeneo yale kwa muda ule ukawa msaada kwa mama na mtoto wake. Mapenzi/makusudi ya Mungu ktk tatizo lao la kiharibikiwa na gari lilikuwa watoe msaada kwa mama yule na Mungu alishaandaa uponyaji kwa mgonjwa waliyekua wanamuwahi.
Ukipigana Mungu anatulia lakini Ukitulia Mungu anapigana ili at the end it all sifa, heshima na utukufu vimrudie yeye peke yake.
Huu wimbo umenibariki kwakwel Mungu azidi kukuinua
A song full of GOD'S message Barikiwa sana Brother Joel
MUNGU akubariki Joel Lwaga.
Barikiwa sana kaka Joel, hakika huwa nabarikiwa sana na nyimbo zako.
Wimbo mzur nauna ujumbe pia, sema hicho kipande ulichovaa kidunia kimetibua mtumishi
Mungu Baba nisamehe nilipopigana na kuinglia kazi yako nikaacha kufanya yanipasayo. Nitatulia na kunyamaza nifanye wajibu wangu Bwana vita ni yako sio yangu.KUTOKA 14:13-14 Barikiwa kutumia maandiko na Neno la Mungu. Nimebarikiwa.
Hakika ujumbe mnzur sana nimejifunza na nazidi kujifunza
Vita niya Bwana,kabisaa vita siyo vyetu hatamimi nimeona kwamba vita siyo vyangu bali nivya Bwana,amen ubalikiwe sana kwawimbo huyuu
Ayayaa!what powerful ministration 🙏.The Lord God bless you Minister Joel Lwaga.We celebrate and honour the grace that is upon you here in Kenya