Najua comments ni nyingi maoni ni mengi humu ya busara na ku katisha tamaa but niskize mimi Benson yani kiukweli mziki wa makelele wa kuchezeka tumechoka..say noo to mziki wa ma bomu...stand tall and say "HAUZIMIIIIIIIIIIII"!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!..👏👏👏👏👏👏👏👏angamiza kabisa mziki wenye vurugu takataka nyingi...sema hauzimiiiiiiiiii🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣💃💃💃💃💃💃💃💃💃
we jamaa fundi xana yani huu wimbo naukubali sana nilikuwa nashindwa kuupata hata nikienda google mbwanda ila leo nafsi imekaa mahala imesuuzika #benson uko vizur nina imani utafika mbali nakuombea mema ndg yang.
Yaan hii nyimbo mpaka nalia nikisikiliza yaani ina feeling za ajabu kila kitu kwenye hii nyimbo ni kizuri na pia unamuonekano wa kistar nakuona mbali sana keep it up #benson
Dah unajua bana natamani ningekua bongo ningekua video vixens wa hii ngoma free hio ingekua zawadi yang kwako keep it up.....your baddest tanzania 🇹🇿 we love #good music 🎶
Wow I'm from Ghana. Heard this music by accident 48 hours ago and I've been PLAYING IT NON-STOP! I don't understand a word but it's Great Music. Benson, you've got a fan in West Africa!
@@BensonTanzania benson vp rud bac tukuckie ndg maana huu wmbo unankumbusha mbali hasw nkmkumbka x by wang aliefanya nhame tanzania plz toa kt kngn,lyisa +54
duh kitu kitam Ni kitam tu,,nmeiskiliza zaid ya Mara NNE clouds FM,, sikio LA good music likawa linaniita xan nmefatilia nw nmepata UA-cam account yko keep it up #benson I see u so far
Respect Benson sio tu kuimba pia kimashairi upo vizuri kupangilia big up brother dah tatizo sina uwezo laiti ningekuwa na uwezo nigekupa support ila kwa dua tu naimani utafika mbali
mwenyezi mungu onyesha mwangaaa Kwa huyu kijana sabab sina tabia ya kukoment UA-cam Leo Mr hauzimi me kiivyangu nakukubali Sana kutoka team Mabantu sundi
Upo vzr kijana kaza buti ila wangekuwa wenye majina huu wimbo ungepambwa sana likn kwakuwa si wale wa majina yao ndo hivyo pambana mungu ni mwema utafikia malengo
Benson you are not only a good singer, but you are also a great performer, am glad I got got to see u sing live, I wasn't disappointed! Keep up a great work!
Nyimbo kali 2024 niko hapa bado❤
Kali mnoo🥳🎧
Upo hapa baada ya kujua huu wimbo ume andikwa na Jay Melody nipe japo like
bonge la nyimbo kama umemuelewa benson gonga like twende sawa
Trump khan yuko poa
Good job nice god bless u ben
Atari sana
Nice boy
Huyu dada ana kosha tangia nyimbo ime toka sjawah ichoka iko gud sana
Sauti nzuri hiz ndo nyimbo za kusikiliza🙏🏻😍
Umeona
Hii ngoma uwa naiskirizaga kila mara yan daa ngoma kali km umeiyerewa km mm like twende sawa bg up benson huu ni mwazo mzuri kwako!!!
Of cz na kdmsh km kteeee
Naomb bs unitumie km unayo
Type vizuri kwanza
Najua comments ni nyingi maoni ni mengi humu ya busara na ku katisha tamaa but niskize mimi Benson yani kiukweli mziki wa makelele wa kuchezeka tumechoka..say noo to mziki wa ma bomu...stand tall and say "HAUZIMIIIIIIIIIIII"!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!..👏👏👏👏👏👏👏👏angamiza kabisa mziki wenye vurugu takataka nyingi...sema hauzimiiiiiiiiii🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Mama wa nyumba kumi Asante sana sana mumy kwa maoni mazuri asante sana...
nice
Uko vizuriii sanaaaaaa hatari HAUZIMIIIII BONGE LA SONG. ...............
Vizuri xana good song benson
Kwer
Nani mwengine yuko 2020 benson gonga like twende
Thank you all for the likes Asanteni
It's 2021 am still listening to this beautiful song of all the time...🔥🔥
🔥🔥🔥
🥰🥰🥰
👋👋
👇 *BONYEZA HAPA UJIONEE* 👇
ua-cam.com/video/B-UEwoGLaMg/v-deo.html
Km ukitaka kulala unasikiliza ngoma hii, gonga like twende pamoja
Kama umerudia kuangalia tena like hapa
Ngoma kali sana hii
18-05-2020 JUMATATU SAA 06:48 🇿🇦🇿🇦
2022 and still listening this beautiful masterpiece
Yessirr
This song🫀
Almost 2022 and still this song rocks... Marry Xmas🎄🍾 and a happy new year GOD BLESS YA'LL 🙏❤
December 2023 but This Song Live Rent Free in My head 🙌🏾❤️❤️
the same way to i,, master
coz it is attached with some memories behind that's y become like
still one of my favorite hit,..bado hauzimi 2024
Bonge la ngoma hii...ungekua WCB ingekua one of the best bongo songs for a while trust me!!nice message...vocal on point👌!!big up Benson
Bado linanikoshaaaa🎉🎉 goma hauzimiii daaah nakumbuka mbali sanaaaaa nikisikisaga ili gomaaa
daaaaaah viewers wanatakiwa ata milon moj ni wimbo mzur watu wankujaga na maboko yao wanapata views weng 😡😡😡😡😡😡😡😡😡😬😬😬😬😬😬😬support good music
Anicia Kimaro ndo hvyo yan me mwenzenu huyu kaka ananchengua kweli watu wanaopita bla kuview n wajnga asee
This is a timeless classic record . It still sounds fresh and new every time I play it .
🇿🇲🇹🇿
we jamaa fundi xana yani huu wimbo naukubali sana nilikuwa nashindwa kuupata hata nikienda google mbwanda ila leo nafsi imekaa mahala imesuuzika #benson uko vizur nina imani utafika mbali nakuombea mema ndg yang.
Duuh
Nice song, nice words, nice voice, amazing work ,mwaaaaaah!!!!!!
amazing voice and talent... wish watanzania tungekuwa tunatambua vipaji vya ukweli sio kufuata mikumbo... safi sana kijana usikate tamaa utatusua tuu mbeleni
Hinton Great ingakuwa Tim Fulani ungeona misifa kibao na comments za kutosha
Kiukwel m nakosa ata cha kuongea ,nashindwa nianzie wap niishie wap. Wimbo mzuri kaka angu Mungu akusimamie kwenye kaz zako
daaaa hiii ngoma nimeiplay mpaka simu imekata chaji nashida kuplay zingine umenibamba umenigusa mkaliii
Daaah hii ngoma n kalii saaana nmeiskiza mara 24 ndani ya siku 7 Mzee unakipaji
I'm in love with this song omg 😘😘
From U.S.A love from tz 😍
Nice song
Unanikumbusha mbali sana boy kutoka Alachuga mpaka kuwa muhudumu wa bar na hatimaye leo ni Star.... ama kweli tusikate tamaa!
Yaan hii nyimbo mpaka nalia nikisikiliza yaani ina feeling za ajabu kila kitu kwenye hii nyimbo ni kizuri na pia unamuonekano wa kistar nakuona mbali sana keep it up #benson
angel sweety Thanks much mumy
Daaaaah kumbe ndo ww umeimba huu wimbo upo vizur sanaaaa jaman .utafika mbali Mtegemee sana Mungu
Duuu sijawai kuchoka sikiliza huu wimbo 😘😘😘kazi nzuri bro,, keep it up
Hii nyimbo inanikumbusha Ex wangu 😢 jaman alikuwa anaipenda nikimkwaza Victor popote ulipo nimekukumbuka sana 2024
Nice song broo nimesikiliza zaid ya mala tano uko vizur
01:05-06 naisikiaga Mimi tu sauti ya producer akimwambia jamaa "Unga" My Fav. Song Of All Time
Mashairi mazuri,saut nzuri dooh keep it up unajua xana na utafika mbali
Dah unajua bana natamani ningekua bongo ningekua video vixens wa hii ngoma free hio ingekua zawadi yang kwako keep it up.....your baddest tanzania 🇹🇿 we love #good music 🎶
Jemima Rasheed 0674279858 WhatsApp number
Good work benson... the song is truly wonderful and I never cease to appreciate the rhythm of the song. Good music
👇 *BONYEZA HAPA UJIONEE* 👇
ua-cam.com/video/B-UEwoGLaMg/v-deo.html
2024 daa nyimbo adi inasisimua
Wow I'm from Ghana. Heard this music by accident 48 hours ago and I've been PLAYING IT NON-STOP! I don't understand a word but it's Great Music. Benson, you've got a fan in West Africa!
Islesofhome thanks much
Islesofhome +255 674279858 WhatsApp
@@BensonTanzania Umepotea sana Bro what's Up 🙂
benson benson benson hii ngoma umeua mzazi nakubali sana achia nyingine kaka kali kama hii au kali zaidi ya hii 🔥🙌
Daah...hongeraaa aiseeeh umeuaaa yaaani big up sanaaaaa
No way this guy deserves a lot of credits for his well organised work📌📌
Nmefurahi kuickia hii nyimbo,I'm very happy👏👏👏👏👏👐👐👐
Hata kama hautatoa tena nyimbo Kali kama hii...ila hii ngoma itaishi miaka ming sana...!!!!
congralz broo Ur most talented nakuombea ufike unapostahili. keep it up broo
Sichoki kusikiliza..... Kwa mie unenohusuuuu zaidiii................
nyimbo nzuri asee iyo lyrics sasa motooo nice work brah!!
Daaaah nakubaliana nawewe kiongozi hii nyimbo ciachi kusikiliza nikiwa na mawazo inaniliwaza xana nakubarii home boe
Hongera sana dogo siku nimekusikiza clous hakika uliniumiza moyo wanngu komaa usirudi nyuma
Napenda sanaaaa huu wimbo mda wote nikiwa free nautazama good job
Daaah umetisha mzee baba una bonge la saut yaan huku mm narudia huu wimbo hii mala ya tisa na bado haunichoshi
Huwezi amini nilkuwa na ickia kptia clouds FM juu juu tu lkn Leo nmepita kma bahat nmekutana nayo Big Yec kjna ,,Ringtone katixha xna....👍👍
Niko Tena hapa 2024 kuiangalia hii nyimbo inanikosha Sana
Nimeipenda i nyimbo nic brother Ben kaza utafikia malengo yako
hey Kaza boy coz huu wimbo nauelewa zaid y xn,you will soon be a super star coz ur talented mazeee
hapa nilipo una mashabiki kama wote kila anaeisikia ngoma yako anaomba irudiwe, una mashabiki bwana benson ushindwe wewe.
mbumbuli comedians asanteni sanaaa
Benson Tanzania kaka fanya kwel nyimbo kali hii ux choke kaza wanao tupo tayar kukusaport
@@BensonTanzania benson vp rud bac tukuckie ndg maana huu wmbo unankumbusha mbali hasw nkmkumbka x by wang aliefanya nhame tanzania plz toa kt kngn,lyisa +54
Brother #benson nimependa hii nyimbo yako big up sana salute ujumbe mzuri
Kutoka zero hadi hero sio rahisi pambana sana kijana kazi nzuri sitegemei kama utaniangusha kwakazi zijazo
Nimetok wasafi straight to here....wow...nyimbo nzuri
Mimi nikajua ya lava lava kumbe kumbe jamaa mwana kwhii ngoma umewashind wakubwa APA umewakalisha
Can't stop listening to this its lyk 50th tym lop u sana benson ma bro' s namesake.......mwaaaaaaaaaaa
AND THIS IS WHAT WE CALL A GOOD MUSIC
uwiiii amazing @samatha oooh ops boi duu htr mzeee babaa. shanga
😁😆 unatutoa jasho aisee cngrat man from chugaah moj😍😘😎
Apo Mr.Blue angeingizia Sauti Yake Kidogo Mngewafunika WASAFI...Nyimbo tamu hii
✌ nashangaa nazikata kisauti cha nandy kwa mbali😉😍
Still watching December 2019
Nikichoka napenda kusikiliza huuwimbo Na roho imatulia. Hongera
hiingoma haijaimbwanamtuwakawaida hiiinafaa ukiwageto na demi lazima atoeyote
Who's here???March 21/19....Am going crazy with the song....so romanic!
daaa bonge song nakubal kaz yko
nyayo zabaraka izo.kama vp. fanya lmx nabaraka daplince.itapendeza zaidi.uko powahhh dogo.kaza
"mwenzako moto hauzimi hauzimi"i like it watapata tabu sana
Tixha xana mzee
Tixha xana mzee
Hongera sana nyimbo ni nzuri nimekuwa nikiisikiliza ila sikujua history yake woooh kweli unamoyo kutoka bar mpaka hapa hongera sana jamani
duh kitu kitam Ni kitam tu,,nmeiskiliza zaid ya Mara NNE clouds FM,, sikio LA good music likawa linaniita xan nmefatilia nw nmepata UA-cam account yko keep it up #benson I see u so far
Daud Mbwahali asante sana
Daud Mbwahali good
Atal 🔥
Mkali wangu, nakubali sana mwana.. keep it🙌🙌🙌💪💪
daaaaaaaaaah we jamaa ulikuwa wapi??? we mbona uko fire kuliko huo motoooooo
sir Jingu asante sana brother
Respect Benson sio tu kuimba pia kimashairi upo vizuri kupangilia big up brother dah tatizo sina uwezo laiti ningekuwa na uwezo nigekupa support ila kwa dua tu naimani utafika mbali
mwenyezi mungu onyesha mwangaaa Kwa huyu kijana sabab sina tabia ya kukoment UA-cam Leo Mr hauzimi me kiivyangu nakukubali Sana kutoka team Mabantu sundi
Salim Kalenga Asante sana ndugu yangu
me mwenzenu had nalia we kaka me stamn kusikia mabaya yako nahtaj mazuri tyyuuuuu
Nzur sanaaaa jaman niliutafuta sanaaa jina la wimbo huuuu dar nimekuelewa
Binadamu Unakipaji Weye Wallah-Usije Ukalewa Sifa-Unaweza Bana Duh.Inshallah Ufike Mbali Zaidi 🙏🏾
Wabogojo Ford asante sana
oooooohhh nice work brother
Upo vzr kijana kaza buti ila wangekuwa wenye majina huu wimbo ungepambwa sana likn kwakuwa si wale wa majina yao ndo hivyo pambana mungu ni mwema utafikia malengo
I looooooooove this one😍😍 it really touches the heart sir.💜💜👑👑🎶
Noma sana
Hii ngoma nimeisikia mara 100 lakini utamu wake bado ahujakwisha, umeuweka utandawazi wa hali halisi katika penzi la baadhi ya watu.
Benson Tisha sana maana naangalia kila siku wimbo wako
Duuh nko ingland ila hii nyimbo balaaa sasa hiv geto letu mambo nimoto Benson
unajua unachokifanya boy,,,keep that fire up
Utaniuwa ww kk nimekupenda hadi nauguwa bonge LA song💕💕💕💕
Great song Benson. More hits,more energy, more passion and one day, you'll be somewhere above your expectations.
Kichupa kitamu kinoumaa,, amini kweli nimeamini kwa mungu hakuna kinacho shindikanaaaaa
Benson you are not only a good singer, but you are also a great performer, am glad I got got to see u sing live, I wasn't disappointed! Keep up a great work!
Thassy Joram Thanks much...
huu wimbo umejaa mashairi yenye uzani wa juu sana,yaliyobeba hisia kali.Like za huyu jamaa
Mzuka wa kuangali n kusikiliza hauzimii umeandika sana humu komaaa Utafika
Sweet and sweet song bro,the song is the best ever nahisii kupenda my babe sana kwasababu ya huu wimbo asnate Ben
Nguvu ya kutokata tamaa
Ulipotokea kuhudumu bar mpaka bonge la Star pongezi kwa Clouds Media Group
wewe samatta kweli bro👐big up
hakikisha moto hauzimi kwelii
Kweli unasauti ya muziki. 🔥🔥🔥🔥🔥 hapana kukata tamaa
aisee kila siku lazma nisikilize hii ngoma bonge la ngoma Mungu akuinue zaidi
Huu wimboo any time naangaliah jamn.... Dah .. Xjui kwannn mapenzi ya upepo........ Dah......
Hit song all the time 🔥🔥🔥🔥2024 Bado n hit
nice song song ever
i like ur style
much appreciate
keep it up
Benson penda sana nyimbo zako mashallah
Duuh nlkuwa WAP kusikiliza hiii nyimbo Kali balaaaa!
mzeee baba umetishaaa twasubr hit song ingineee mkaliii
nasema watapata tabu saaan braza mashair mwibaaa