Ibra Nation - Nilipize - Official Video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 лют 2017
  • THTmedia | Epic Records

КОМЕНТАРІ • 421

  • @bedagaufrid5998
    @bedagaufrid5998 2 місяці тому +7

    Mpaka sasa hivi mwaka 2024 ndio nyimbo yangu pendwa❤️❤️❤️❤️

  • @Rumayo_006
    @Rumayo_006 5 років тому +48

    2030 I'm here.. wote wanaoikubar ii ngoma don't skip without #like this song..

  • @mesutozil6890
    @mesutozil6890 5 років тому +116

    Ilishakua ringtone ya kwenye cm yangu zaid ya mala 5 hv nan yuko nami 2020

  • @nasranyarubindo8858
    @nasranyarubindo8858 3 роки тому +8

    Nampenda sana ibrah mashairi yake yametulia ukiskiliza unapata emotion Kama wwe ndo umetendewa Hilo Jambo yupo vizuri kimuziki namkubali sana

  • @bakaryiddy431
    @bakaryiddy431 3 роки тому +8

    Huyu ibra nation ndio mwanamziki nnaye mkubali Africa 🌍♥❤👏👌

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 Рік тому +5

    Huyu jamaa ako talented sana ❤❤love from kenya 🇰🇪

  • @lizykeswick4122
    @lizykeswick4122 6 років тому +51

    katika nyimbo nilizowah kuzipenda basi NILIPIZE ndo ya kwanza xjui kwa sababu maneno yke yananiusu au tu nmetokea kuipenda tu...daah kwangu me xjaona km NILIPIZE

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 років тому

      Ya lizy imechangia Kwa vile yanakuhusu na hata ingekuwa hayakuhusu bado ungeipenda kwasababu ni nzur na ameimba Kwa hisia yani nyimbo wakati unaingia nilikuwa fild zanzibar nilizipenda Kwa Mara moja tangu niisikie ilikuwa unanihusu lakini hata isingenihusu bado ningependa kwasababu ni nzur Sana nikawa namwambiaga rafiki yangu naipenda akasema hata yeye anaipenda

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 років тому

      Kuna mdada yule kwenye KAPUNI aliimba akaipatia nikasema kanikumbusha mbali nilikuwaga naitafutaga hii nyimbo sema nikawa sijuwi Jina gani nimefanya kubahatisha nikachukuwa upande wa shairi nikipata nikasema sijuwi nilipize inaitwa. Napenda pale anapoimba nilisema nilipize anavyoanza na Kuna baazi ya mashair nataka kuwa nawe mamito yani mashair mengi mazur

  • @allenkalalu6006
    @allenkalalu6006 4 роки тому +17

    Massively underrated artist in Tanzania

  • @aimesamuel6485
    @aimesamuel6485 6 місяців тому +12

    2024 gather here

  • @salumuathumani2217
    @salumuathumani2217 6 років тому +18

    broo nakuombea kwa mungu kila kukicha utoboe..kuna kitu unacho ibra nation hakuna msanii anakupata (sweet vocal

    • @princemujuni9803
      @princemujuni9803 5 років тому

      ttz salumu THT hiz sauti ziko nyingi mm bin afsi n ilitegemea makubwa kwa Ibrah lkn badae nikackia yupo Ivrah hilo jina tu ni rmx ya Ibrah. THT hawako serious na wasanii wao

  • @evelynmasaka2908
    @evelynmasaka2908 7 років тому +57

    wimbo wako umegusa sana matatizo yanayonisibu kwa sasa, asante kwa majibu ya nyimbo yako na nimejifunza kupitia nyimbo yako, mungu akukuze vema na kipaji chako .

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 років тому

      Ni kweli Evelyn imetugusa na inamafunzo Sana nasikia hata mobeto aliikubali Sana yani kila mtu alinipenda mim nilivyokuwaga naipenda wee acha

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 років тому

      Ana sauti nzur na jita a alipiga vizur mwenyewe yani hatar hatar

  • @DarlieSabaya-dk4xo
    @DarlieSabaya-dk4xo 4 місяці тому +3

    I knew this song 2017 jkt maramba surprisingly niliskiaga tu mdundo na the day naiskiza maneno kbs it became masterpiece to date 2024💕

    • @emmanuelmasola931
      @emmanuelmasola931 Місяць тому

      Aisee ndugu tumepishana kidogo tu mie jkt maramba 2019

  • @japhetshirima8697
    @japhetshirima8697 7 років тому +37

    Aiseee this song is so niceeee....nasikitika kwa jinsi tulivyo u underate.

  • @josephcostantino3374
    @josephcostantino3374 3 роки тому +3

    ngoma uwa ina hishi moyoni mwangu jiwe kali sana ni maisha yetu ya kila siku👌🔥

  • @alphoncemsale7081
    @alphoncemsale7081 2 роки тому +20

    2022 now and im still listening to this song. Timeless tune. 🔥🔥

  • @mussakatabalo1147
    @mussakatabalo1147 23 дні тому

    Sijawah kuona muandishi mwenye uandishi mzuri kama ibra piya sauti❤❤❤🎉

  • @malaika.m.5645
    @malaika.m.5645 7 років тому +20

    kaz nzur schoolmate!

  • @scolanyonyo7317
    @scolanyonyo7317 6 років тому +61

    ni mwaka tangu umeniambia nisikilize huu mwimbo sikukufatiliaa, masikini I wish nikuone hata sasa, ila ndio haiwezekani. hakika ulinipenda kweeli.

  • @jiamwiwambura
    @jiamwiwambura 2 роки тому +12

    2022...still hear✨it's a vibe

  • @monicajohn3115
    @monicajohn3115 2 роки тому +5

    Napenda sana huu mwimbo

  • @emmajosephclemence1717
    @emmajosephclemence1717 4 роки тому +7

    Lets give him 1mil in this Sound and nicest Voice of his Ibranation

  • @abdulmselem9830
    @abdulmselem9830 6 років тому +11

    Daaah jamaa anajua bhana lkn wabongo wanapenda vibovu wanaojua hawatambi

  • @sophiemgogo4145
    @sophiemgogo4145 5 років тому +4

    Aisee leo ndo umeupata huu wimbo 😢 nimehangaika sana

  • @saidkitamo832
    @saidkitamo832 Рік тому +6

    May 24 2023 this song is still Massive hit

  • @dorotheacaroline2628
    @dorotheacaroline2628 6 років тому +121

    Nikisema nilipize mabaya yako nikuumize!!Ngonga like kama bado unaangalia huu wimbo 2018

    • @Galinzaog
      @Galinzaog 5 років тому +2

      sanatuuui

    • @frolabraghton5550
      @frolabraghton5550 5 років тому +2

      Gd xan

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 років тому +2

      Yani huu wimbo niliipendaga tangu unaingia nimebahatisha kuandika Jina Mala pili nimepata da wakati unaingia nilikuwa fild zanzibar nilikuwa nikiusikia napagawa nakaa nausikiliza nikawa na mwambia rafiki yangu naupenda huu wimbo akasema hata yeye anaupendaga

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 років тому +2

      Kwenye KAPUNI yule dada anayempenda kuimba alimwambia kaka yake pale da alinikumbusha nikasema ngoja nitafute muda nilikuwa naitafuta halafu aliimba vizur yule dada ana saut nzur paka kaka yake akamsifia pale

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 років тому

      Nishaudanlodi

  • @vivianrobert7136
    @vivianrobert7136 3 роки тому +11

    Ninachohisi ni kupenda kwenye moyo wangu, sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako.... Who is with me 2020

  • @queendanford2073
    @queendanford2073 3 роки тому +1

    Daaah IBRA nafikilia wazo ulilipata wapi la kinimbia Mimi mana kila ulichoimba kina nusu Mimi daaah naumia sana

  • @giftswai4432
    @giftswai4432 3 роки тому +6

    My song when I remember our time but he decided to run away. .am doing great but I miss you

  • @lilyviva4308
    @lilyviva4308 5 років тому +23

    Kama 2019 kama Mimi gongaa like apaa

  • @marisamollel1265
    @marisamollel1265 4 роки тому +7

    One of the underrated artist in Tz

  • @saidrashid4814
    @saidrashid4814 7 років тому +30

    ngoma zur Sana naikubal kinyama ...Ninachojua nakupenda kwenye moyo sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako

  • @lulrynadon7884
    @lulrynadon7884 5 років тому +20

    2019 who is with me❤❤❤

  • @arestarickselestine5305
    @arestarickselestine5305 5 років тому +8

    This song is one my biggest hits in di country

  • @shenashamsa1895
    @shenashamsa1895 Рік тому +13

    2023 still love this song❤😢😢

  • @bakariousman6297
    @bakariousman6297 6 років тому +8

    One of my few favourite artists in +255

  • @salmahgeorge5649
    @salmahgeorge5649 3 роки тому +1

    Ninachojuwa nakupenda kweny moyo wangu

  • @godwillkilangi9299
    @godwillkilangi9299 7 років тому +18

    wabongo tunajua

  • @arestarickselestine5305
    @arestarickselestine5305 6 років тому +11

    Emotional... Deep down inside.. Feelings

  • @lissatitus391
    @lissatitus391 4 роки тому +2

    Wimbo umenilizaga huu leo ndo nimeukumbuka

  • @sumoiddy8851
    @sumoiddy8851 7 років тому +10

    hadi nililia machoz song hatar sana

  • @rhodapeter9018
    @rhodapeter9018 6 років тому +9

    oooooh IBRA hongera

  • @obed_artz5418
    @obed_artz5418 Рік тому

    Hii nyimbo mpka mwaka huu 2022 bado.Hauchoshi na bado utaendelea kupeta sana miaka ijayo...Ujumbe tu kwa kizazi kijacho mjitaid kutoa masong kama haya yasiochuja.

  • @mangumbulikikwembe4471
    @mangumbulikikwembe4471 2 місяці тому +1

    Best song ever 🎉🎉🎉

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 3 роки тому +4

    The music is so good!! 💯

  • @davidmbaga2998
    @davidmbaga2998 2 роки тому +1

    Dah😭😭😭😭 nakumbuka mbali sana nikisikiliza hii nyimbo

  • @davidmbaga2998
    @davidmbaga2998 4 роки тому

    Dah mapenzi yanaumiza sana hii nyimbo imegusa kabisa maisha yangu nakumbuka yaliyonitokea katika mahusiano yangu kwa yule niliyempenda kwa dhati daima nitakukumbuka maishani mwangu ndo maana napenda sana kuisikiliza hii nyimbo

  • @samsonsaniu4899
    @samsonsaniu4899 Рік тому +1

    fundi wa mziki...!!

  • @enockmolla312
    @enockmolla312 6 років тому +1

    Nausikiliza kila siku, kuna watu huwa wanumiza sana kwny mapenzi mpak unajikuta unabadisha msimamo!!!

  • @agustinnocent9841
    @agustinnocent9841 7 років тому +5

    nice song ibrah....kaza ivyoivyo

  • @mbuthiawashington3535
    @mbuthiawashington3535 3 роки тому +2

    God to be on ibrah nation music ...I like his melodies ..his one of the best musicians in east Africa watu wa subscribe na wa like kwa wingi ....#kenyan Love

  • @godlovesanga3793
    @godlovesanga3793 7 років тому +8

    guud i first heard it as a caller tune thats when i had to look after the song....good message in it

  • @cosimasedward4561
    @cosimasedward4561 2 роки тому +1

    Ukisikia watu wanaimba nyimbo zinazoishi miaka yote ndio hii ila huna bahati tu kweli nimeamini maneno ya twenty wenye vipaji wengi masikini

  • @sophiakigava4065
    @sophiakigava4065 5 років тому +1

    Safi Sana Kaka nyimbozako zot nazipenda zinagusa😍😍😍😍😍

  • @AbdallahMhando-if8fr
    @AbdallahMhando-if8fr 4 місяці тому +1

    Binge la ngoma miaka buku

  • @ayubuamsonjr9437
    @ayubuamsonjr9437 10 місяців тому

    ❤❤❤😢uyu jamaa kipaji alipotelea wap jmn

  • @edwinchavala4968
    @edwinchavala4968 7 років тому +17

    dah nliutafuta sana huu wimbo its so classic

  • @afroboymsanii8649
    @afroboymsanii8649 Рік тому +1

    Ok 👍👍 kaka sana umeuwa sana iiningoma sio poa aaaaa inaniliza mapenzi sio poa

  • @buberwajohn1312
    @buberwajohn1312 5 років тому +3

    Daaah!! Huyu jamaa sijui anakwama wapi yani anajua kuimba kinoma noma yani sijui ndio muda bado maana toka ile ngoma yake na mubanda.

  • @seciliakasinge9558
    @seciliakasinge9558 5 років тому +4

    Ibranation I love u so muchhh

  • @jescaemanuel3433
    @jescaemanuel3433 5 років тому +2

    nice song kaka Ibra inanisisimua kila ninapoisikiliza

  • @amiryshomary3901
    @amiryshomary3901 3 роки тому

    hii dunia haiko fair kabisa ,,,,oooooooh shit!!!!!!!!!!!! ,,,, BONGE LA DUDE LITAISHIA MIAKA 80000000 ,,,,,HONGERA IBRA NATION KWA ZAWADI HIII

  • @willzcrank
    @willzcrank 6 років тому +7

    Would love to hear a sax version of this

  • @liliankaigarula7665
    @liliankaigarula7665 5 років тому +8

    Jmn kupenda bila kupendwa nishda tena nihatar kama ya mahela yote yechuyechu mafekechee naumia sana kuona nimependa nisipopendwa

  • @saidiabu2057
    @saidiabu2057 5 років тому +1

    aisee nimeipenda xn good song

  • @HildaOscar-l1x
    @HildaOscar-l1x День тому

    My favorite song ever 2024❤

  • @abdisalaammwanya-em8jc
    @abdisalaammwanya-em8jc Рік тому +1

    2023❤Ibra Nation

  • @deogratiasmmandamo6561
    @deogratiasmmandamo6561 7 місяців тому

    Wapi Emma the boy na hawa wasanii wake, they are completely quite

  • @fatmaally3103
    @fatmaally3103 5 років тому +1

    Umetisha sana bro

  • @angelinakabadi6921
    @angelinakabadi6921 3 роки тому

    Ningesema nilipize mabaya yako nikuumizee🎶🎶🎶

  • @mwanamvuasuleyman4671
    @mwanamvuasuleyman4671 2 місяці тому +1

    2024 na bad naipenda tang 2017

  • @serengetimediacentre
    @serengetimediacentre 2 роки тому +2

    muziki mtamu

  • @zawadichoma7515
    @zawadichoma7515 Рік тому +2

    2023🔥🔥

  • @wilhelminaihuya1176
    @wilhelminaihuya1176 7 років тому +26

    I love the song

  • @zamaradimpogole6239
    @zamaradimpogole6239 16 годин тому

    2024 and still the hit song😍

  • @nkanenoel8357
    @nkanenoel8357 7 місяців тому

    Ngoma naielewa sanaaaa
    Up to December 2024

  • @ambulozlazaro9561
    @ambulozlazaro9561 Рік тому +1

    Nakupenda San ibra unajuw kaka sjw up wap

  • @saidmanyota3655
    @saidmanyota3655 5 років тому +1

    u knw brooooooo kip it up pazuriiii

  • @winstonrwegalulila4683
    @winstonrwegalulila4683 2 роки тому

    Mwanangu mbona unAjuA kabisA💥

  • @hassanmweta7244
    @hassanmweta7244 6 років тому +2

    A conscientious man I see you higher

  • @zaitunisaidi691
    @zaitunisaidi691 6 років тому +1

    daah wimbo mzur huu unanikumbusha mbali sana na mtu flani

  • @hamisikareem648
    @hamisikareem648 4 роки тому

    Kka voko zmekwenda shulee upp vzur.kaz nzur

  • @shekhekhandereizer559
    @shekhekhandereizer559 5 років тому +11

    kudadeki nilikuwa sikujui mkl nilipo kuona unapiga hii ngoma wasafi festival mtwara atimae nimepekua nakukuona kumbe ww ni nyokooo ibra asee kwl kuna vipaji vikal sana ila maskin wachache natmaa zao wanawavunja moyo awasikiki bonge la ngoma limenitoa machozi asee sabu ujumbe ulio imbwa umenigusa nakumkumbuka mtu nilie mp moyo Wang lkn nilicho kutwa ibra nation broo sarot kwako

  • @Blackie_blackie9327
    @Blackie_blackie9327 7 років тому +7

    moyo wangu tu.....sina hakika na wako

  • @eshersaidi5045
    @eshersaidi5045 4 роки тому +1

    Dah u always kill it brother am glad 4 u kip it up

  • @nobertnkuba
    @nobertnkuba 7 років тому +1

    among da best songs za muda wote kwangu - NILIPIZE

  • @saluathkdouty7800
    @saluathkdouty7800 5 років тому +16

    2018 who still listeng now...

  • @user-ib3od9jq1b
    @user-ib3od9jq1b Місяць тому +1

    24/6/2024 still love this 🎵 ❤

  • @WinfridaNtengo
    @WinfridaNtengo 12 днів тому

    Jamn 2024

  • @sebastianvenance9298
    @sebastianvenance9298 6 років тому +2

    sawaaaaaa ibra umesomekaa

  • @rajabusemkiwa9769
    @rajabusemkiwa9769 3 роки тому

    Unajuw sana Kaka so kwnn ucende WCB Kaka na ukatoka hapo THT

  • @ahmedimakope
    @ahmedimakope Місяць тому

    I'm here 2024 for this lit

  • @natashakassam5287
    @natashakassam5287 5 років тому +3

    Francis...im here because of u

  • @fundiwakupaua
    @fundiwakupaua 5 років тому +1

    Mpaka leohii 2019 badotu aujachuja,wimbo mkali cn aya mapenzi ayana mwenyewe

  • @lucymalingumu5660
    @lucymalingumu5660 3 роки тому +3

    Bado iko hoti 2021 ngonga likee tujuane

  • @johngrey8999
    @johngrey8999 4 роки тому +1

    Kila neno ni hit🔥🔥🔥

  • @pamojaapp1338
    @pamojaapp1338 7 років тому +11

    Wow. what a voice!!! I love this song.

  • @khadijajuma3681
    @khadijajuma3681 4 роки тому +1

    Kaka unaweza sana

  • @amanimwidowe9408
    @amanimwidowe9408 5 років тому +1

    uko vizuli shetani asikuharibie ndoto zako ♥️

  • @davidedison9692
    @davidedison9692 7 років тому +2

    big up bro nyimbo kaliii

  • @mzeehassan4867
    @mzeehassan4867 6 років тому

    Ibra uko vizuri Kaka unajua na unakipaji sauti yako inanikumbusha mtu mmoja akiitwa makamua sauti zenu the same