KARIBU YESU KARIBU MOYO WANGU UPONYE Nataka kufanana nawe Nataka kufanana nawe Nataka kufanana nawe Moyo wangu upone karibu Yesu Karibu, karibu Yesu karibu Karibu Yesu karibu, moyo wangu uponye Nataka kujazwa na roho Nataka kujazwa na roho Nataka kujazwa na roho Moyo wangu upone karibu Yesu Karibu, karibu Yesu karibu Karibu Yesu karibu, moyo wangu uponye Nataka kukujua vyema, Nataka kukujua vyema Nitembee kwa uwepo wa roho Moyo wangu uponye karibu Yesu Karibu, karibu Yesu karibu Karibu Yesu karibu, moyo wangu uponye
Baba, baba Kikombe nimekinywea Hukumu nimechukua Mateso nimeyapokea Maumivu nimevumilia Kama ulivyosema mwenyewe Hakika nimekinywea Oooh Halleluyah Yesu, Yesu Yesu, Yesu, Yesu Yesu, Yesu Karibu kwangu Yesu, Yesu Yesu, Yesu Karibu kwangu Ewe Yesu, Yesu Bwana Yesu, Yesu Karibu kwangu Mpenzi Yesu, Yesu Bwana Yesu, Ewe Yesu Karibu kwangu Maumivu yangu, wayajua Yesu Kilio changu, kikufikie Yesu Nakuita karibu Chini ya mretemu Nimelala Yesu Mateso ni mengi Nimechoka Yesu Nakuita karibu Mfariji njoo Mtetezi njooo Mtoshelevu njoo Baba yangu njooo Nitangoja Ewe Yesu.. Ewe Yesu, Yesu Bwana Yesu, Yesu Nakuita Karibu kwangu Mpenzi Yesu, Yesu Bwana Yesu, Ewe Yesu Karibu kwangu Uko wapi Yesu, Ewe Yesu Bwana Yesu, Ewe Yesu Haalleluhya Karibu kwangu Njoo Yesu, Njoo Yesu Njoo Yesu, Uje Yesu Nakuita Karibu kwangu Usiniache Yesu, Ewe Yesu Yesu, Bwana Yesu Nakuita Karibu kwangu Njoo Yesu, Yesu Bwana Yesu, Yesu Nitaomba Karibu kwangu eeh Yesu, Yesu Bwana Yesu, Yesu Nakuita Karibu kwangu Mpenzi Yesu, Yesu Bwana Yesu, Yesu Nakuita Karibu kwangu Uko wapi Yesu, Bwana Yesu Ewe Yesu, Yesu Nitangoja Karibu kwangu Nakupenda Yesu, Ewe Yesu Ewe Yesu, Ewe Yesu Nakuita Karibu kwangu Mwokozi Yesu, Ewe Yesu Mpendwa Yesu, Bwana Yesu Haalleluhya Karibu kwangu
Kwa hakika wimbo huu unanibariki Sana. Natoa pongezi kwa waimbaji kwa kuutendea haki wimbo huu.Wameimba vizuri Sana, Mungu azidi kuwabariki kwa kutuinjilisha kwa utume wa uimbaji. Hakika Mungu ahimidiwe na kuabudiwa milele. Hongera kwa kwaya ya Mt. Cecilia Mombo
Hongereni sana mmetoka mbali. Mnamkumbuka Fr. Gerald? MUNGU amrehemu😢😢
Hakika huu wimbo umeniongezea iman
wimbo mtamu unachom kumoyo❤
Namuona mwalim wangu wa shule ya msing momboA ❤❤
Safi kabisa yote yanawezekana atukuzwe Mungu.
Sauti tamu sana hizi,hongereni kwa wimbo mzuri wenye maudhi mazur
KARIBU YESU KARIBU MOYO WANGU UPONYE
Nataka kufanana nawe
Nataka kufanana nawe
Nataka kufanana nawe
Moyo wangu upone
karibu Yesu Karibu, karibu Yesu karibu
Karibu Yesu karibu, moyo wangu uponye
Nataka kujazwa na roho
Nataka kujazwa na roho
Nataka kujazwa na roho
Moyo wangu upone
karibu Yesu Karibu, karibu Yesu karibu
Karibu Yesu karibu, moyo wangu uponye
Nataka kukujua vyema,
Nataka kukujua vyema
Nitembee kwa uwepo wa roho
Moyo wangu uponye
karibu Yesu Karibu, karibu Yesu karibu
Karibu Yesu karibu, moyo wangu uponye
Nimebarikiwa na parokia iliyonipa sakramenti ya ekaristi takatifu na kipaimara....wimbo mzuri sana.
Hogeleni kwawimbo mzuri❤❤❤❤❤❤
Mungu ambariki Kila mmoja wenu kwa kazi ya kuinjilisha
Hongereni kwa wimbo mzuri mungu awabariki sana.
Karibu yesu moyoni mwangu
Hongeren kwa wimbo wenu mzuri uliyo na ujumbe mzuri
Wimbo huo unanikumbusha mbali sana nikiwa mgama naitendea haki sauti ya tatu.
Hongeren mpo vizuri mungu awabarik
From mt augustino manundu korogwe....jirani yangu umeupiga mwingi mnooo....mmeutendea haki wimbo huu....mmetubariki sana....Mungu azidi kuwaongoza
Hongereni Mombo kwaya. Mbarikiwe Sana watu wametoka mbali
God Bless you.❤❤❤❤❤❤❤
Baba, baba
Kikombe nimekinywea
Hukumu nimechukua
Mateso nimeyapokea
Maumivu nimevumilia
Kama ulivyosema mwenyewe
Hakika nimekinywea Oooh
Halleluyah Yesu, Yesu Yesu,
Yesu, Yesu
Yesu, Yesu
Karibu kwangu
Yesu, Yesu
Yesu, Yesu
Karibu kwangu
Ewe Yesu, Yesu
Bwana Yesu, Yesu
Karibu kwangu
Mpenzi Yesu, Yesu
Bwana Yesu, Ewe Yesu
Karibu kwangu
Maumivu yangu,
wayajua Yesu Kilio changu,
kikufikie Yesu
Nakuita karibu
Chini ya mretemu
Nimelala Yesu
Mateso ni mengi
Nimechoka Yesu
Nakuita karibu
Mfariji njoo
Mtetezi njooo
Mtoshelevu njoo
Baba yangu njooo
Nitangoja Ewe Yesu..
Ewe Yesu, Yesu
Bwana Yesu, Yesu
Nakuita Karibu kwangu
Mpenzi Yesu, Yesu
Bwana Yesu, Ewe Yesu
Karibu kwangu
Uko wapi Yesu, Ewe Yesu
Bwana Yesu, Ewe Yesu
Haalleluhya Karibu kwangu
Njoo Yesu, Njoo Yesu
Njoo Yesu, Uje Yesu
Nakuita Karibu kwangu
Usiniache Yesu, Ewe Yesu
Yesu, Bwana Yesu
Nakuita Karibu kwangu
Njoo Yesu, Yesu
Bwana Yesu, Yesu
Nitaomba Karibu kwangu
eeh Yesu, Yesu
Bwana Yesu, Yesu
Nakuita Karibu kwangu
Mpenzi Yesu, Yesu
Bwana Yesu, Yesu
Nakuita Karibu kwangu
Uko wapi Yesu, Bwana Yesu
Ewe Yesu, Yesu
Nitangoja Karibu kwangu
Nakupenda Yesu, Ewe Yesu
Ewe Yesu, Ewe Yesu
Nakuita Karibu kwangu
Mwokozi Yesu, Ewe Yesu
Mpendwa Yesu, Bwana Yesu
Haalleluhya Karibu kwangu
Huu wimbo unanibariki mda wote nauskiliza ,,kama haushiriki meza ya Bwana hakika nimaumivu makubwa.
Amen 🙏🙏❤
👏Wimbo mzuri sana huu
By Leah chitto nawapenda sana
Asanteni sana kwawimbo mzuri sana
Mubarikiwe
Kwa hakika wimbo huu unanibariki Sana. Natoa pongezi kwa waimbaji kwa kuutendea haki wimbo huu.Wameimba vizuri Sana, Mungu azidi kuwabariki kwa kutuinjilisha kwa utume wa uimbaji. Hakika Mungu ahimidiwe na kuabudiwa milele. Hongera kwa kwaya ya Mt. Cecilia Mombo
Mombo jujuuu hongereni sana asana
Hongera sana kwaya ya Mtakatifu Cecilia kazi nzuri mnooo
Wimbo mzuri afu umeimbwa kwa utulivu asanteni sana
Jaman ndugu zangu kazi nzuri sana mungu awabariki mpka mshangae 💝💝💝💝💝💝💝💝
Wimbo mzuri sana. Tupe nota
Such a nice song 🎉🎉🎉🎉 i am blessed 🙏
Sawa mungu awape nguvu zaid
Mmeupiga mwingi sana big up❤❤❤❤namuona kijana wang Clement anavofunguka😂😂😂ila mzee Saguti sijamuona😮
Kaz nzur sana jaman Mwenyez Mungu awabariki muendelee kumtumikia vyema daima
Moja wapo kama mfano wa Mziki Mtakatifu. My all time piece for peace🙏🙏
Karibu Yesu moyoni mwangu..wewe ni dawa kwangu.
Wimbo mtamu sana.
🎉kaz nzuri nyimb nzuri wameimba vzuri hongeren sana
Woyooooo kaya kuzacha NDIMA NI NDIMA.
PONGEZI SANA SANA KAZI IKO VZR.
may the lord give you more strength to continue praising him and may you never lacks word to adore him
Hongereni kwa wimbo mzuri sana
❤
Hongereni sana kwaya nzuri sana wimbo mzuri
Wimbo huo ni njia yakwenda mbinguni
Nitamu kwakweli
KAZI nzuri mungu hawabariki awape nguvu ,,,
mungu awabariki
Nice❤❤❤❤
Kazi nzuri sana. Mungu awabariki sana
Hongereni sana, wimbo mzr sana, unagusa moyo.👏👏 Asanteni sana wanakwaya kwa kuinjilisha kwa kuimba
Wimbo Mzuri
Nahs raha mwe
Mungu awajalie nguvu najisikia nyumbani❤
Barikiwa sana Kwa uimbaji huu mzuri
Safi sana mungu wabariki wote wamtumainie bwana
Wimbo nzuri Mungu awabariki zote kwa kazi kubwa
Nice song
Amina
Kazi mmeifanya ya mungu awarinde wote
Hongereni sana, huu wimbo mmenikumbusha mbali sana❤️
Hongera sana nyimbo nzuri mnooo
Nice
I feel relieved... uplifted with this great song of the most High God..🙏🙏.. 🇿🇲🇿🇲
Heavenly and Angelou's melody,thanks for nice song, it really rift my soul up to heaven.
Mpwa wa nyanza niko hapa😊
Wao saiz hii kwaya imenoga Joachim njoo huku uone kwaya yako
Iko firee
Hongereni sanaa
Kazi nzuri mungu awabari
Asanteni
Naombeni kopi
Hongereni sana wana kwaya
Kwakwel
🎉🎉🎉
KAZI nzr Saana hongeren sana sana❤️❤️❤️
😁😁😁😁💯💯🙏💞💕
Wow! What a sweet & uplifting song - Rewinding rewinding - Can one get the notes??
👏👏👏👏🙏
Upload more songs please I like your songs though I hear a bit of swahili. I use google translator to understand the message.
is it catholic ?
Nice song
Kazi nzuri sana. Mungu awabariki sana
Kazi nzuri sana. Mungu awabariki.