ALBANI HAWEZI SWAHIHISHA HADITHI ILOSWIHI KWA BUKHARI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 94

  • @abuurayaan3902
    @abuurayaan3902 День тому

    Naona mwajitekenya wenyewe mkicheka

  • @user-ws6jq4in7q
    @user-ws6jq4in7q 2 місяці тому +1

    Sawa kabisa usemavyo shekh

  • @MuniraRashid-sx3up
    @MuniraRashid-sx3up 20 днів тому

    Huyu limefura kama wale ngombe anao kula maulidini

  • @abuubakarmohd7532
    @abuubakarmohd7532 13 днів тому

    Andikq

  • @user-il5te5xd5y
    @user-il5te5xd5y Місяць тому

    maskini naona watu wanachuma dhambi kwa kumtukana shekhe wa watu!hata kama hajakuridhisha lakini huna haki ya kumtukana

  • @uchihaitach1536
    @uchihaitach1536 2 місяці тому +1

    Jina la huyu sheikh

  • @Abuushawkan
    @Abuushawkan Місяць тому

    Eeee kumbe hata huyu ni shekh tena....

  • @ibrahimabdillah5729
    @ibrahimabdillah5729 2 місяці тому

    Kama ww unaweza....Fanya basi Baba

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 Місяць тому

      Kujeruhi ulamaa Sio Jambo dogo, wala huna jipya la kuhangaika kumkosia Mtume saw Na maswahaba zake

  • @rashidjuma9169
    @rashidjuma9169 2 місяці тому

    Nyinyi mawahabi wazuka

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 місяці тому

    MASUFI NA watu wa BID'A wanachuki kubwa mno na IMAAMU L"muhadith sheikh MUHAMMAD NASURUDIYN AL AL BAAN!

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 2 місяці тому

      Kwa kuwa kwako Ni Bora KULIKO imam Bukhari. Kwasababu Imam Bukhari SIO mtu WA Sunna Kama Sisi ndo maana tumemfanya Bora KULIKO Albani. Sijui Kama utafahamu kilichosemwa Kwa chuki yako dhidi YA sufi

  • @omarymusa5247
    @omarymusa5247 2 місяці тому

    kasome kwanza ndio utajua Alban ni nani!

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 Місяць тому

      Albani kuliko swahaba na Karne Bora zote hawajui hawa maghurafy kama Albani hakisei ila Mtume Muhammad Saw anakosea

  • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
    @ExcitedCricketHelmet-wr4sq 2 місяці тому

    Makhurafi mna weza lingana na Albany nyinyi ebu mnitajie mwanachuoni mmoja wnu anaewashinda elimu wanavyuoni wa kisunnah kwanza mmesoma wpi makhurafi wabudu wa makaburi

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 2 місяці тому

      Imamu shafy Ni Bora KULIKO albani. Wewe unaonaJE?

    • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
      @ExcitedCricketHelmet-wr4sq 2 місяці тому

      @@HilalAlhabsi786 kwa akili zenu ndogo mnataka kusema imam shafee ni khurafi hooo kwa ivo alikua akipiga molidi na kuomba maiti cio mko swa kweli

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 2 місяці тому

      @@ExcitedCricketHelmet-wr4sq kwani Albany Ni dhehebu gani KATIKA Manne ya Ahlusunna?.

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 2 місяці тому

      @@ExcitedCricketHelmet-wr4sq pili tumeongea Albany Na Imam Bukhari, Wewe ukaita maghurafy wanaompinga Albany ila hukusema kuwa anaempinga Imam Bukhari Ni khurafy. Sasa Sisi maghurafy tunamuamini Zaidi Imam Bukhari kuliko huyu kijana wa juzi Albany. Kwa maana Sisi maghurafy tunaamini swalaf swaleh Imam Bukhari kuliko nyinyi mawahabi ndio maana mnaumia mkisikia tunamuamini Zaidi Imam Bukhari kuliko Albany. Wewe kwani unafkiri Albany Ni mungu AU?. AU swahaba?. ACHA ushamba sikiliza vizuri

    • @MusaSuleimanNassorAl-Amry
      @MusaSuleimanNassorAl-Amry Місяць тому

      Mawahabi akili zao finyo

  • @AbuusumeiyaYassir
    @AbuusumeiyaYassir Місяць тому

    Masufi mnashida

    • @mohamedimiraji5495
      @mohamedimiraji5495 Місяць тому +1

      Kwani hapo kaeleza kipi kisichosahihi? acheni porojo za kisiasa katika dini.

  • @CubeedCali
    @CubeedCali Місяць тому

    Musitukane toni dalili

  • @Kekulebenzene
    @Kekulebenzene 2 місяці тому +1

    Kuongea tu hujui utafanya kazi aliyofanya sheikh Albani?

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 Місяць тому

      Hatuwez kufanya Kazi alioifanya Albani kwasababu Dini ilikuwepo ilikamilika kabla Albani na ilikuwa Bora Zaidi ATA asingezaliwa Albani , Kwa kuwa Albani kaleta Dini Mpya ndio maana mmeona kafanya Kazi kubwa

  • @KaramaKarama-jm7qo
    @KaramaKarama-jm7qo 2 місяці тому

    Chunga Sana,ukijifanya mwerevu juwa umekaa na wajinga lakini ile siku utakaa na werevu wenzako wewe ndiye utakuwa mjinga.Nenda kasome mzushi mjinga wa mwisho

  • @Muswlih
    @Muswlih 2 місяці тому

    Baba na mama yko wameswahihish Hadith gn ??

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 2 місяці тому +1

      Imam Bukhari SIO MTU wa Sunna ndo maana mnamuona hafai. Sasa Sufi tunamfata Imam Bukhari. Mawahabi Albani mkatafute hadithi zenu kwasababu hatuna haja ya kusahihishiwa imamu watu. Nyie katufuteni zenu mlizopokea.

  • @AhmadAbdallah-fo4yv
    @AhmadAbdallah-fo4yv 2 місяці тому

    Sheikh umeshiba nn?? unaonaje badala ya sheikh albaan tukueke ww vp hapo?

  • @user-ql2om7qj3v
    @user-ql2om7qj3v 2 місяці тому

    Wadanganye wazuzu wenzako hao. Manake wewe mwenyewe hujuwi kuswali nimeswali nawewe wazungusha macho yako gengeza mpaka juu. Mwanzo juwa kuswali mwenyechuuu

    • @YaziduIddy
      @YaziduIddy 2 місяці тому +1

      mawahabi mnatahasubi sana kwasababu bohari na albani wapi na wapi

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 2 місяці тому

      ​@@YaziduIddy Yaani hapo angepondwa Mtume Muhammad Saw wangetulia Kimya, lakini Albany umechokoza nyuki. KULIKO Aly Kwa mashia.

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u Місяць тому

      ​@@HilalAlhabsi786 jaribu kumponda mtume wetu swalla llahu aleihi wasallam utajua hujui mjinga wewe!!! Kumbe makhurafi mnapanga pia kumtukana mtume swalla llahu aleihi wasallam!!! Wajinga wakubwa nyinyi!!! Mnaanza na ulamaa wa sunna mkielekea kwa mtume, mumekosa adabu nyinyi....

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 Місяць тому

      @@user-bp6fb6wo5u ewe muwahabi mwehu wee, kwani mashekh zenu WA kiwahabia washamtusi mara ngapi Mtume saw. Muhammad ibn Abdul wahabi shekhe lenu kuu la madheheb yenu AMESEMA. Abuu JEHEL anaakili Zaidi kuliko Mtume saw kwasababu Mtume saw mpaka aambiwe na Allah sw. JEE HILO SIO TUSI?!!!

  • @Muislamu
    @Muislamu Місяць тому

    Ww fadhili ni jahil njoo kw masuni wakufundishe

  • @aliali-gw5pq
    @aliali-gw5pq 2 місяці тому

    HASAD INAKUTAFUNA EWE SUFI ALLAH HUMNYANYUA AMTAKAE

    • @abdallhabinmkasibayyat6657
      @abdallhabinmkasibayyat6657 24 дні тому

      Hahahahaha albani kwa bukhar ni sawa na mtoto wa darasa la 1 au 2 kumsahihisha mwalimu wake

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 місяці тому

    NA hakuna Sheikh yeyote wa SUNNAH anayedai kwamba sheikhana AL BAAN ana elimu ya hadithi kuwashinda shaykhaan BUKHARI NA MUSLIM, hayo unayoyasema ewe sufi umeyatoa wapi?

    • @wangnjamealawy3387
      @wangnjamealawy3387 Місяць тому +2

      Sasa hadithi ilokwsha sahihishwa na Bukhari ina haja gani kuandikwa kwamba ameisahihisha na Albani????
      Hyo maana yake nn??

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 Місяць тому

      @@wangnjamealawy3387 maana YAKE hawa mawahabi wehu na wamewehuka Kwa uwahabia mpaka UFAHAMU wao umewatoka hawajui hata kinachoongelewa

  • @SudaisMohamed-hm8to
    @SudaisMohamed-hm8to 2 місяці тому +1

    اتق الله يا صاحب بدعة وقد أحسن من قال من علامة أهل البدعة الوقيعة في أهل الأثر

    • @UwesuJumanne
      @UwesuJumanne 2 місяці тому

      هكذا قال أبو حاتم الرازي رحمه الله تعالى

  • @SudaisMohamed-hm8to
    @SudaisMohamed-hm8to 2 місяці тому

    Kale biriani ulale mzushi wewe

  • @KaramaKarama-jm7qo
    @KaramaKarama-jm7qo 2 місяці тому

    Wewe uko na mchezo sana.Natija Kama ni Kama yako mjinga zuzu kufunza wajinga na mazuzu utakuwa sawa.Lakini wenye akili zao wakikuzilikiza wewe,loh ni mjinga.Kasome bana acha kudanganya ummah

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 місяці тому

      Kaangalie minakasha yake alikua anawafunrisha masheikh wa kisalafi
      Na wenyewe wanakubari wamekosea kuongea
      Kama hauna nikutumie WHATSAPP

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 Місяць тому

      @@IbraFareed kwani hawa mawahabi Kama punda TU hawana wanachojua wala hawaelewi Jambo inaburutwa kama mizombi TU😂

  • @ismailgavara8223
    @ismailgavara8223 2 місяці тому +1

    Huyu jamaa nimjinga kama kilemba chake chaki shia.hata sunna ya funga kilemba maskini hajui kuufata mkumbotu jahl mkumbwa tena basit.tena muraqab

  • @rushu1232
    @rushu1232 2 місяці тому

    Wacheni upuzi toeni hoja Albani hawezi msahihisha Bukhari na Muslim huko nikukosa adabu kisha ana ilmu gani yakuwashinda Bukhari na Muslim hiyo ni fitna ya mayahudi.

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 2 місяці тому +1

      Aaaaaaaah, Kwa mawahabi hata Mtume Muhammad Saw yupo nyuma mbele ya Albany Na ibn taymia 😂. Kumbe hajui Hilo. Kama Shia Imam Ali basi mawahabi Kwa Muhammad ibn Abdul wahabi Ni Zaidi YA Shia.

    • @RamaNassry
      @RamaNassry Місяць тому

      HUU NI UNAAFIQ AKHII

    • @rushu1232
      @rushu1232 Місяць тому +1

      @@RamaNassry kweli kabisa niunafiq mkubwa sana Albani kusahihisha Bukhari na Muslim.

    • @RamaNassry
      @RamaNassry Місяць тому

      UNAAFIQ niliomaanisha ni kwenu nyinyi mliosema" Kwa mawahabi hata Mtume Muhammad Saw yupo nyuma mbele ya Albany Na ibn taymia"

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 Місяць тому

      @@RamaNassry ndio mashekh zenu walivyosema, soma kijana. Nikikuuliza makosa ya Mtume saw utanitajia tele. JE UNAJUA JAPO KOSA MOJA LA ALBANI NA MOJA TU LA IBN TAYMIA?!!!

  • @mohammedmohsin3186
    @mohammedmohsin3186 Місяць тому

    Wewe sufi ni jaahil wa mwisho huna maana wewe umechangia nini katika hii dini ... Wadhani kueneza dini ni kupiga matwari na kula biriyani .... Mutakufa na chuki zenu kwa watu wa sunnah

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 2 місяці тому

    Chuki tu.

  • @SudaisMohamed-hm8to
    @SudaisMohamed-hm8to 2 місяці тому

    Kale biriani ulale mzushi wewe

  • @SudaisMohamed-hm8to
    @SudaisMohamed-hm8to 2 місяці тому

    Kale biriani ulale mzushi wewe

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 Місяць тому

      Mawahabi mnochoyo mpaka Kwa misosi 😂😂😂