MUFTI SHABAN. A. MUSA Mombasa Kenya
MUFTI SHABAN. A. MUSA Mombasa Kenya
  • 448
  • 108 746

Відео

SABABU YA KUFAULU NIKUMFUATA MTUMI S.A.W DR MAHMUD OMAR ASHIRAZIY 17/11/2024
Переглядів 582 місяці тому
SABABU YA KUFAULU NIKUMFUATA MTUMI S.A.W DR MAHMUD OMAR ASHIRAZIY 17/11/2024
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين
Переглядів 354 місяці тому
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين
USIKOSE HII ITAKUSAIDIA
Переглядів 1338 місяців тому
USIKOSE HII ITAKUSAIDIA
ALLAAH AKUEKE PEMA MUFTI
Переглядів 2758 місяців тому
ALLAAH AKUEKE PEMA MUFTI
ALBANI HAWEZI SWAHIHISHA HADITHI ILOSWIHI KWA BUKHARI
Переглядів 7 тис.9 місяців тому
ALBANI HAWEZI SWAHIHISHA HADITHI ILOSWIHI KWA BUKHARI
PATA FAIDA ZA ELIMU NA DR MAHMUD .M.OMAR ASHIRAZI
Переглядів 12610 місяців тому
PATA FAIDA ZA ELIMU NA DR MAHMUD .M.OMAR ASHIRAZI
HAFLA MADRASA YA QADIRIA 20/3/2022 KONGOWEA
Переглядів 28511 місяців тому
HAFLA MADRASA YA QADIRIA 20/3/2022 KONGOWEA
MSIKIZE MUFTI SHABANI FAIDA KUBWA
Переглядів 176Рік тому
MSIKIZE MUFTI SHABANI FAIDA KUBWA
Assyd Arif Albeidhi Aeleza qasida
Переглядів 304Рік тому
Assyd Arif Albeidhi Aeleza qasida
swali moja tu lamzuzua bachu na kukimbia maskini
Переглядів 33 тис.Рік тому
swali moja tu lamzuzua bachu na kukimbia maskini
August 12, 2023
Переглядів 81Рік тому
August 12, 2023
August 4, 2023
Переглядів 31Рік тому
August 4, 2023
ALLAAH tupe barka zake
Переглядів 35Рік тому
ALLAAH tupe barka zake
ALLAAH Akurahamu mufti
Переглядів 26Рік тому
ALLAAH Akurahamu mufti
Muhimu Sana hasa vijana wa Zama hizi
Переглядів 40Рік тому
Muhimu Sana hasa vijana wa Zama hizi
July 17, 2023
Переглядів 36Рік тому
July 17, 2023
Mashallaah msikie Dr Mahmud Omar Ashirazi faida kubwa
Переглядів 912 роки тому
Mashallaah msikie Dr Mahmud Omar Ashirazi faida kubwa
DR MAHMUD OMAR SHIRAZI MUDIR WA MAHADULQADIRIA
Переглядів 962 роки тому
DR MAHMUD OMAR SHIRAZI MUDIR WA MAHADULQADIRIA
KATIKA ZIARA YA MUFTI TZ MLALO KWA MALIM NDAGO
Переглядів 602 роки тому
KATIKA ZIARA YA MUFTI TZ MLALO KWA MALIM NDAGO
MALIM NDAGO
Переглядів 372 роки тому
MALIM NDAGO
MUFTI SHABANI ABDI MUSA MOLA AKURAHAMU NA MASHEKH ZAKO
Переглядів 562 роки тому
MUFTI SHABANI ABDI MUSA MOLA AKURAHAMU NA MASHEKH ZAKO
KHUTBA YA IJUMAA USTADH HASAN MASJID RAUDHWA MADA SIKU YA ARAFA 8/7/2022
Переглядів 632 роки тому
KHUTBA YA IJUMAA USTADH HASAN MASJID RAUDHWA MADA SIKU YA ARAFA 8/7/2022
UJUMBE MUHIMU AKIELEZA DR SHEIKH MAHMUD OMAR ASHIRAZIY
Переглядів 302 роки тому
UJUMBE MUHIMU AKIELEZA DR SHEIKH MAHMUD OMAR ASHIRAZIY
MOLA AMRAHAMU MUFTI WETU SHABANI ALIKUWA MWALIMU WA KUONGOZA JAMII
Переглядів 402 роки тому
MOLA AMRAHAMU MUFTI WETU SHABANI ALIKUWA MWALIMU WA KUONGOZA JAMII
Mashallaah mufti shabani MOLA Anawirishe qabri yako MOLA Adumishe kwetu nafahati zako Aamiin
Переглядів 1742 роки тому
Mashallaah mufti shabani MOLA Anawirishe qabri yako MOLA Adumishe kwetu nafahati zako Aamiin
pata faida mzuri kwa mufti shabani Abdi musa
Переглядів 833 роки тому
pata faida mzuri kwa mufti shabani Abdi musa
Mufti shaban Abdi musa
Переглядів 1023 роки тому
Mufti shaban Abdi musa
Nasaha kwabarobaro mufti Shaban Abdi musa
Переглядів 1303 роки тому
Nasaha kwabarobaro mufti Shaban Abdi musa
Share
Переглядів 1343 роки тому
Share

КОМЕНТАРІ

  • @AhmadRibaat
    @AhmadRibaat 19 днів тому

    Shekh mawahabi ni tawi la makafiri na mayahudi wa marekani mjinga kama albani mwenyw alikuw myahud sasa swali myahud na dini wapi?? Kwa hiyo mawahabi no makfir wakubwa

    • @IphoneIphone-p8b
      @IphoneIphone-p8b 11 днів тому

      Akhy, hii ni takfiri kwa Sheikh Albany, Batilisha kauli yako ama utaulizwa mbele ya Allah uyahidi wake upi. Mche Allah, ikhtilaf zipo ila usimtoe mtu kwenye uislam bila ya sababu za msingi.

  • @shilingi-Ahmadi
    @shilingi-Ahmadi Місяць тому

    بارك الله فيك وجزاك الله خيرا.

  • @ZainamavooMavoo
    @ZainamavooMavoo Місяць тому

    Mwamba

  • @ZainamavooMavoo
    @ZainamavooMavoo Місяць тому

    Mwamba

  • @MbwanaRunza
    @MbwanaRunza 2 місяці тому

    Bacho hata nahau hakasoma

  • @AllyKiduka
    @AllyKiduka 2 місяці тому

    Mawahabibi ni watu wa sunnaa kwelikweli lakini sio sunna ya mtume wanafuata sunna ya shetani ushahidi ni matusi kwa mashekhe mihodari ya matusi eti ndomijitu ya sunna mmmmm mijitu ya ajabu wallah

  • @barakasimon2075
    @barakasimon2075 2 місяці тому

    Awa watu wametengenezwa maksud na mazayuni hili kuleta mafundisho mapya kwa waislam

  • @abdulhakimratib1383
    @abdulhakimratib1383 2 місяці тому

    اللهم اغفر لهم وارحمهم وأسكنهم في الجنة مع النبيين والصديقين والشهداء والصالحين وحسن أولئك رفيقا

  • @nzrirs8649
    @nzrirs8649 2 місяці тому

    Imamu shafiih kasema Allah hajakamlisha isipokuwa kitabu chake Quran.bukhari haondokani na makosa.

    • @AllySibila
      @AllySibila Місяць тому

      Lakini daraja la Bukhari na albani ni mashariki mbili na magharibi mbili

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g 21 день тому

      @@AllySibila Sahihi kabisa lakini Imaam Bukhary aweza kukosolewa na sheikh Albani maana yeye si mkamilifu hata sheikh Albani pia hukosolewa.

  • @muftishaban.a.musamombasak6577
    @muftishaban.a.musamombasak6577 2 місяці тому

    Alhamdulillaah

  • @BinSultan-t5g
    @BinSultan-t5g 2 місяці тому

    Uyu alouliza swali si ndo yule jamaa anaepiga kinanda au nimemfananisha

  • @mirajiramadhani8128
    @mirajiramadhani8128 2 місяці тому

    Bachuu bado mdogo kielimu hana elimu ni vizur akasome.

  • @SALUMKHALFAN-z4f
    @SALUMKHALFAN-z4f 3 місяці тому

    SHEKH SAID اطال الله بقااك PIA ANAETAKA KUJUA WANAOMPINGA ALLAH NA MTUME SAW ANDIKA KTK UTUBE RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA

  • @maryamsulemani2024
    @maryamsulemani2024 3 місяці тому

    Mashaallah

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 3 місяці тому

    Ust. Saeeeeeeeeeeeed, yani nukta ya kwanza tu

  • @SalimSalim-z9n
    @SalimSalim-z9n 3 місяці тому

    Mashallaah

  • @nayef3903
    @nayef3903 3 місяці тому

    Mulichokoza pabaya kwa kusema ardhi imenyakuliwa na majirani nyinyi ndio wanyakuzi wa nyumba za wakfu za miskiti na kula kodi mukifanya urithi nyumba zengine za urithi zilichukuliwa na wenyewe Kwa kujulikana mwala pesa

  • @nayef3903
    @nayef3903 3 місяці тому

    Siku ya maulid asubuhi michele ya pelekwa kwa nyumba flani pamoja na nyama ni makosa kabisa munataka kuiba mali ya msikiti na madrasa na kufanya urithi ukweli unajulikana wakazi wengi wa kongowea wanasema kuwa committee wanafanya kitu ya wakfu kuwa ni mali yao ni makosa. Mumemuingilia jirani yenu kwenye maulid duktor Mahmoud hujui historia ya kongowea kuhusu hiyo ardhi ya msikiti munataka kufanya biashara na kuweka maduka na parking kulingana na mzee qadiri aliyetoa shamba kujengwe msikiti alisema kusijengwe maduka wasia aliyeuwacha nyinyi mukavunja ahadi munataka kufanya biashara . Hilo jengo sahii shule wale masponsor waliojenga hapo walijiondoa kwa kuvunja ahadi. Alisema kusiwe shule na maduka kuwe madrasa ya boarding na ya dei mukafanya shule pia tamaa munao

  • @nayef3903
    @nayef3903 3 місяці тому

    Historia ya msikiti huo na madrasa wakazi wa kongowea wanajua vizuri sio watu waandikishe urithi watoto wao msikiti ni wakfu na madrasa mwenye alitoa ardhi alisema alisema kusichagiwe fees nyingi na watu wasirithishe watoto wao mali ya msikiti na madrasa lakini viongozi wa qadiriya wanafanya hivyo siri siri but ukweli umejulikana

  • @MunaaMuhammad
    @MunaaMuhammad 3 місяці тому

    Mashallah ila mahali pengine hatuskii kitu😢

  • @KaramaShee-pu9rb
    @KaramaShee-pu9rb 3 місяці тому

    Asalam aleikum vipi Hali yako maulid yenyewe itakuwa lini inshallah

  • @abdulali753
    @abdulali753 3 місяці тому

    Masha Allah

  • @ashrafkhamis1051
    @ashrafkhamis1051 3 місяці тому

    MashaAllah

  • @nayef3903
    @nayef3903 4 місяці тому

    Mashallah maulid mazuri mwenye alisoma qad ana hana sawt ya kuhani juu sawt yake ni benzi yafaa mumuelezee walimu wa qadiriya awe na sawt nzuri upande wa kusoma juu sehemu nyengine akisoma mlango watu watauliza huyu amefunzwa na nani sawt na ipo benzi jaribuni mufunzwe sawti

  • @ramadhanomar8093
    @ramadhanomar8093 4 місяці тому

    Umeshiba mpunga mpaka hata maneno hayatoki vizuri

    • @ahmedbadi5822
      @ahmedbadi5822 2 місяці тому

      Wewe NI mbwa hujielewi

    • @ramadhanomar8093
      @ramadhanomar8093 2 місяці тому

      @ahmedbadi5822 acha matusi

    • @ahmedbadi5822
      @ahmedbadi5822 2 місяці тому

      @ramadhanomar8093 hukuona tusi umeona saa hii?? Tusi hujibiwa kwa tusi

    • @ramadhanomar8093
      @ramadhanomar8093 2 місяці тому

      @ahmedbadi5822 wewe una ujinga mwingi ndo unakusumbua

  • @kitosio
    @kitosio 5 місяців тому

    Kiongozi yaani unajisifu kwa Bidaa ambayo kiongozi mkuu na Best na aliyechanguliwa na ALLAH na waliobashiriwa Pepo pia hawakuufanya Uvundo. Kwa Ujinga mkubwa unajisifia na Uovu tena bila kuogopa Laana ya ALLAH. Umepindukia Mipaka ktk kanuni ya Uislam kujisifia kwa Dhambi. Kama hamufahamu Nani mlitakiwa kumfuata ktk maisha yenu yote Kwanza waulizeni wanaojuwa.

  • @zumemooha6504
    @zumemooha6504 5 місяців тому

    IVI NYINYI WAISLAM BAADA YA KUONGELEA MAUAJI YA NDUGU ZETU HUKO GAZA MNQONGELEA POROJO

  • @SalimSalim-z9n
    @SalimSalim-z9n 6 місяців тому

    Allaah akufanyieni wepesi

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 6 місяців тому

    Huu ni utapeli ambao mawahabi wanaufanya , sheikh yup sahihi

    • @IphoneIphone-p8b
      @IphoneIphone-p8b 11 днів тому

      Hebu leteni japo kitabu chenu walau kinalingana na Talhisw kitabu swalah. Masufi si kwamba hawamjui Albany ni zile tabia za watu wenye usulubu tu

  • @abuurayaan3902
    @abuurayaan3902 6 місяців тому

    Naona mwajitekenya wenyewe mkicheka

  • @ABUUSHURAIM
    @ABUUSHURAIM 6 місяців тому

    Jitu la bidaa auna uanachuon wowote

  • @ABUUSHURAIM
    @ABUUSHURAIM 6 місяців тому

    Mwanazuoni au jitu la bidaa

  • @KombHaji-dr5pd
    @KombHaji-dr5pd 6 місяців тому

    bachu nimbumbumbu

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 6 місяців тому

    Acha upuuz wako Kila kukicha huna jipya mtandaoni Kila siku waja na mambo Yale Yale ya zamani tu Kila Leo ni mijadala ya kupambana na bachu inamaana huko kusoma kwako umemsoma bachu? Ifikie wakati ujifunz kufikisha ujumbe wa elimu sahih kwa jamii, watu wapate elimu na inafahamika kabisa waislam ni Wachache wenye kuijua dini Yao alaf unakuta waislam Wachache waliokula ugali na kushiba wapo kweny mabishano na kukosoana kwanin msianzishe hata madarassa online kama kwer mmesoma dini? Mpo na magroup mangapi ya Whatsapp ya kufundisha dini juu ya kile mlichokisoma? Kwann mnashindwa na Malaya wa mitandaoni Wana hadi magroup Yao yanazagaa tu mitandaoni wanatangaza uchafu wao nyiny mpo kweny malumbano tu ya kile msichikijua Hali ya kuwa mnajifanya mnajua kumbe hamna kitu

  • @ShamimWanjiru-bm6ve
    @ShamimWanjiru-bm6ve 6 місяців тому

    MashaAllaah....Allah awajaze nuru waislamu wa Shimoni na waislamu wote kwa jumla👏👏👏👏👍

  • @ShamimWanjiru-bm6ve
    @ShamimWanjiru-bm6ve 6 місяців тому

    MashaAllah Mashallah,!!Shimoni kwetu....Allah ajaze nuru watu wa Shimoni na waislamu wote kwa jumla👏👏👏👏👏👍

  • @mohamedabu3268
    @mohamedabu3268 6 місяців тому

    ALLAH Amrahamu mufti Shaban abdi

  • @abuubakarmohd7532
    @abuubakarmohd7532 6 місяців тому

    Andikq

  • @HamadiSaria-i2h
    @HamadiSaria-i2h 6 місяців тому

    Mashallaah

  • @MuniraRashid-sx3up
    @MuniraRashid-sx3up 7 місяців тому

    Huyu limefura kama wale ngombe anao kula maulidini

  • @YassirMajid-s6u
    @YassirMajid-s6u 7 місяців тому

    Mashallah tabarakaallah

  • @SalimSalim-z9n
    @SalimSalim-z9n 7 місяців тому

    جزاك الله خيرا

  • @RashidiMuhsini
    @RashidiMuhsini 7 місяців тому

    Mashallaah malim ndago qadiria iko poa

  • @Abuushawkan
    @Abuushawkan 7 місяців тому

    Eeee kumbe hata huyu ni shekh tena....

  • @mohammedmohsin3186
    @mohammedmohsin3186 7 місяців тому

    Wewe sufi ni jaahil wa mwisho huna maana wewe umechangia nini katika hii dini ... Wadhani kueneza dini ni kupiga matwari na kula biriyani .... Mutakufa na chuki zenu kwa watu wa sunnah

  • @irshadabuhafsi6585
    @irshadabuhafsi6585 7 місяців тому

    Ukishindiana na mjinga lazma akushinde ndio hii sasa. Huyu hana elimu na hajijui kama hana elimu Bachu hawezi kushindana na watu wasiokuwa na elimu

  • @NyanyaMbuli
    @NyanyaMbuli 7 місяців тому

    BACHU MAKOJO KAONA MBALI KUKIMBIA MDAHALO MAANA ANGEJINYEA

    • @mohammedmasudi-dz6hb
      @mohammedmasudi-dz6hb 7 місяців тому

      UNATOA USHAHIDI WA UWONGO UKISIMAMISHWA NA ALLAH UTOE USHAHIDI MBELE YA MOLA WAKO JE UNALO LAKUMJIBU MOLA WAKO?

  • @NyanyaMbuli
    @NyanyaMbuli 7 місяців тому

    SWALI MOJA TU BACHU KAJIKOJOLEA LAPILI SIJUI INGEKUWAJE😂

    • @mohammedmasudi-dz6hb
      @mohammedmasudi-dz6hb 7 місяців тому

      UNATOA USHAHIDI WA UWONGO UKISIMAMISHWA NA ALLAH UTOE USHAHIDI JE UNALO LAKUMJIBU MOLA WAKO?

  • @SalimSalim-z9n
    @SalimSalim-z9n 7 місяців тому

    Mashallaah

  • @SalumSeif-w5y
    @SalumSeif-w5y 7 місяців тому

    maskini naona watu wanachuma dhambi kwa kumtukana shekhe wa watu!hata kama hajakuridhisha lakini huna haki ya kumtukana