Yani mmejipakaa mekapu kama mmeambiwa amjaumbwa vizur usoni kwenu kupo kama midor ya kichina mmepoteza asir yenu nini tatizo bazi ya watanzania wengi hasa wanasanaa hawazipendi rangi zao za kuzariwa nae ila kumbukeni munajizalarisha pia munapotea oh God bless me Chadom from Mozambique nangade cede
Kuna msanii mwenzao ansitwa Hawa au careen. Mmeshindwa kumuonea huyo dada huruma japo mkamssidia milioni tano atibiwe lkn kwenye starehe mnatoa jmn hayaa
Namuomba ALLAH amjaalie na Wema apate mume mwema in Sha Allah.🤲
Nakupenda saana Wema. 🇴🇲🇹🇿❤️💕
Kwa ukweli wa mwenyezi Mungu, wema ana moyo safi sana tena hana wivu. Mungu ange mpa mme mzuri haki huyo mme angepata mke mwema
Akii DDA wema nakuombea atawewe inshaallah mungu akujalie mume mwema inshaallah.namungu akujalie moyowako mzuri daima.
Allah atakuruzuku mara kumi yahizo hongera sana wema unaroho saf kiukwel
Wema Sepetu Queen WA bongo!! 😘 Karembo kweli, kweli... Sweetheart wetu, you looks beautiful and Mavilous 💕💕💕
Wema jina lako Maa sha Allah yani alokupa hajakosea I love you sweetheart wetu una moyo ule msweety msweety Mmmwah
Una roho nzuri sana wemaaa
Hongera sana wema kwa moyo wako safi mungu akujalie
Am tz MAASHALLAH ISSA🤩🥰 AZAM ANAJUA KUCHEZA NA WATANGAZAJI💯KWA NN NANDY AMELIA
Waooo nandi mungu awabarik sana na wenye wivu wajinyongeee.
Ongela sana nandi na mm natamani ninge kuw na kipaji kama chako
Nakupenda xana wem
maki ni nyingi kweli 😂😂😂😂😂wambie dada mambo mengi masaa machache
Am tz🇹🇿 MAASHALLAH GIGI MIHELA NA WEMA SEPETU❤💯 kama bi harusi MUMEMBEZA SANA
Eeee
God bless Wema apate wake wadhati waixh maixh marefu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila Gigy jamani..hatukuwezi
Hahahaha Gigy maoney kama Gigy money😂😂😂😂 kweli Nandy anaolewa 🎤 ni nyingi sana🤣🤣🤣🤣 Gigy's voice
Huyo ndo High bhana
Yani mmejipakaa mekapu kama mmeambiwa amjaumbwa vizur usoni kwenu kupo kama midor ya kichina mmepoteza asir yenu nini tatizo bazi ya watanzania wengi hasa wanasanaa hawazipendi rangi zao za kuzariwa nae ila kumbukeni munajizalarisha pia munapotea oh God bless me Chadom from Mozambique nangade cede
Gigy money kila siku ana mboga mpya😂😂😂😂
Huyo mudada nachekesha sana eti 🤣🤣🤣🤸♀️🤸♀️🎤🎤
Nawatakia maisha mazuri siku zote ya maisha yenu🥰much love from Kenya 🇰🇪
Ek
Dear madam wema, I pray to GOD that you find a good husband. GOD bless you
Kukupenda ndo kitu najua Wema wangu
Mmmm wema jamani mungu awe nawe
Wema bado mrembo
Wema my sister nakupenda Sana
Mungu awatangulie cn wanandoa hao 🙏🙏🙏🙏💝💝💝💝💝
😂😂😂 Gigi bana
Lakini giggy doo anakuaga tu chizi wa ukweli..love from from kenya
Damshiiii
Ni kama Huna akili wewe
Umetisha kinoma sana nakutakia ndoa njema
Jamani gigy ww nkupenda bure from 254
Yn giy Giy jmn 😂😂
Wema you are beautiful, period
Gigy
Hapo kwa Roho Roho kweli my Dy watu Wana Roho rohoni 😄😄😄
Dishi limeyumba hili 😂😂😂
😁😁😁gigy napenda unavyojiamn
dada kanifuraisha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wambie tuko sait
Gigi bwan 🤣🤣🤣🤣
Mansha Allah ❤ ❤
Mama kapendeza sana
Kim kardashian wa bongo...wema septu...
Huyo Isa Azam sasa🤣🤣🚶♀️
Wema B blessed U're the least of woman that does't count on oneself
Kwani kumuhoji gigy lazima, waandishi mnajidharirisha kwa kuhoji vichaa
Amependeza mama....Harusi tunayo ama atuna😂😂😂tunayoooooooo🇰🇪
Tunayooo
Mungu awape wepesi kwenye ndoa yenu nandy
Gigmoney umependeza
Tema umependeza
Sasa kufuru gani hapa tena🤦🏽♂️😏 y’all better put a nice caption banah..au ndo views ziongezeke😏😏😏
inshaallah mwenye kher na yy nakupenda sana wema
Mungu awajaliie
Giggy mzur mcharuko nakupenda kipenz💞🙏❤
Wema ilov u because your a person who love each other
Lovely.❤️❤️❤️🇰🇪
Wema my woman crush akii nampenda wema jmn
Gigy kama gigy🤣🤣🤣 chizi kweli🤣🤣😍
Bila Gigy shughuli hauendi😅
Wamedamxh kinyam an♥️♥️
Hongera nandy
Wema ananenepa tena
Imepndz San patty Hy jman
Madam sepenga kadamshi
❤️❤️❤️🌹👌
Gigi nakupenda sana
Kingeleza jamani wengine atujui tusaidie Kiswahili hongera Nandy
Giggy Money😂😂😂😂😂
Nic
Nimependa majibu ya Gigi km Gigi 🤣🤣kajia sherehe co udambu udambuu😄😄
Na makeup imekaa vizuri
Kuna msanii mwenzao ansitwa Hawa au careen. Mmeshindwa kumuonea huyo dada huruma japo mkamssidia milioni tano atibiwe lkn kwenye starehe mnatoa jmn hayaa
Kweli kabisa ila mwenyezimungu yupo na atamsaidia kwa njia zake AMIIIN yarabil AMIIIN
Tuendelee kumuombea maana mungu hashindwi na jambo lolote lile.
Kweli wama not now???
I love you wema sepetu
Gigy akili amna
Hongera yen mmpendez san
Kapendeza aisee lkn hawa ma star wa kibongo sijui wanafail wapi
Mastar Wengine wako kam majini 🤣🤣🤣
Wamekuwa mke na mme siku nyingi sana kabla hiyo sherehe yao
Daaa hio make up 😿🙀🙀🤖
Pendeza sana Mungu awafanyie wepes
These celebrities be killing me. Zungumza Kiswahili watu wa kuelewe. 😃😃😃😃😃
Miye nipo apo mwambieni diamond nnavigezo anavyotaka
Hongera xana dade2
❤️🌟nyota
Honger
Penda wewe madaam wema umependezaaaa
Much lovn yuo my darling all de best 💕💕💕dear nandy
sijaiona hiyo kufruuu aliye iona aniite nipo pale nakila miguu ya kuku
Waooo
Na wema nae one day atapata mume Bora kwa uwezo wa mungu
AMIIIN ya RABBI AMIIIN
Amiiin Yaraby 🙏 insha'Allah
Nyie wana habari ni wambea ,hapo mko kwenye harusi ya Nandy Na Billlnas , Mambo ya Diamond yanakujaje hapo mbona ni vitu viwili tofauti,?
🤣🤣bila kumtaja Diamond huwa wanahisi kama vile habari zao haziwezi kufatiliwa mpaka wanaboa
Hahah hahahahahah yan gigii
Jamani harusu tamu xana
Gigy kama gigy nakupenda bure
wema macho ndo zimenimalizia siku🤣🤣🤣
Yuko Chris kababayee wa Kenya vipingo
Nakupenda gigy money
Miaka elf 1000 nandy na bilnass
Giggy money ataolewa na nani Malaya wakutisha
Yaani wema sepetu n mrembo kuriko bii harusi....😅😆
Hivi h
Yakweli hayo jamani
Mungu atakupa mume mwema
We bwana
Mama kapendeza
Mmependeza
😂😂😂😂😂
She looks jamani she look or looking
Gigi huwa hana mengi nampenda sana huwa haitaji umbeya
Wanawivu wajinyonge