Jis ulivo muzuli kuchagua pya unajua Allah awape maishamalefu awepushe namalazi yakla aina awapeupondo nauzima katika ndoayenu nawapenda yote muwenamaisha memaaa ♥️♥️🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yaan nilitaman gara b ww ndo unekuwa mc kwenye harusi unajua saana , harusi ingechangamka zidii ila ndo ivoo Tena sjui ndo ulikuwa ushachukuliwa na harus nyingne
Yani nime watiya MUNGU awe Katia ya NDOWA zenu na bariki COUPLE zenu pamoja na MTOTO haliwe tumboni ❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🥰🥰🥰💋💋💋💋💋🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 i'm from CONGO Harusi zenu ina ni furaisha MUNGU na mimipiya
My favorite ❣️❣️ Nandi nakupenda saana love from 🇺🇬
Jis ulivo muzuli kuchagua pya unajua Allah awape maishamalefu awepushe namalazi yakla aina awapeupondo nauzima katika ndoayenu nawapenda yote muwenamaisha memaaa ♥️♥️🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kila lakheri katika maisha yenu mapya ya ndoa
....💓💓❤️💓❤️💓❤️💓 Mwenyezi Mungu awasimamie awape kizazi chema chenye kumjua yeye
Nandy
Nakuombea Sana kipenzi mungu awake njia na upendo ,Amani kwenye maisha yenu usisahau kumtanguliza mungu na kumlilia kwakila jambo😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Power rangers
Ongereni wapendwa mungu awaxmamie
Mungu awarinde
Mungu akupe hitaji ya Moyo wako hongera uko vizuri mwanawane❤
Hongereniii sanaa wapendwaa Mungu awatanguliee mfike mbalii xnaa ❣️❣️
Mungu awajaalie muwe na baraka bro mkamate dd nandy maana ndy kioo chako usithubutu kumuacha
Nyinyi watoto Mungu awabariki sana sana katika maisha yenu msiwasikilize malimpyoto.Muombeni Mungu awazidishie Uhai.
❤
Congrats kipenz❤️... African princess
Mashaallah mungu awajalie kher kwenye ndoa yenu awajalie kichazi chema inshaallah
Nandy nakuombea kwa mungu kipenzi hongera sana
Eeeeeish I love the way billnass responded Kwa nandy in public🎉🎉❤❤❤😊😊
Mwenyezi awazidishie msisikilize maneno ya watu wasio na hekima mtafika mbali nawapenda ❤❤❤❤
Mungu awasimamie kwenye maisha yenu mapya yandoa❤️❤️❤️
Hakika ni istoria hongera sana watanzania tunakupenda balaaa😍😍😍😍😍😍
Mungu awape maisha mema na kizi chemaa nawapenda 💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖
Hongera sana dadangu nandi twakupenda sana huku kenya
Hamonaizi
Yaan nilitaman gara b ww ndo unekuwa mc kwenye harusi unajua saana , harusi ingechangamka zidii ila ndo ivoo Tena sjui ndo ulikuwa ushachukuliwa na harus nyingne
Waooo munguawabarika kwaza Mandy na mmewe wanajieshim Sana good can bless nandy and your husband maisha memaaaaa me
Wow nice one praying that one day mine will be like that of URS
Gara B should have hosted na harusi!
Mungu ni mwema mbarikiwe ktk maisha yenu na vizazi vyenu
Hongera sanaaaaa African princess ♥️ mungu awajalie maisha marefu tutunzie bro
Ongera
Ongera dada ang
Ongera kaka ang
Mungu awape maisha mema maana Kila Jambo linahitaji uvumilivu ucjal❤
Mc gb upo vizuri kazizako nzuri
Yaaani nlitamani angehost na harusi! Harusi seemed as a concert instead ya harusi!
Namuelewa hata mim jaman
Hongera dada yang love u moree
Hongera sana Nandy na Bilnas 🥰
Yani nime watiya MUNGU awe Katia ya NDOWA zenu na bariki COUPLE zenu pamoja na MTOTO haliwe tumboni ❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🥰🥰🥰💋💋💋💋💋🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 i'm from CONGO Harusi zenu ina ni furaisha MUNGU na mimipiya
Honger nandy na billnass nawapend San mung awajalie muwe na maish mema p1 na mtt wenu
Beautiful I like it.
😢hongera my sister nandy nakupend san❤❤❤🎉
Wow heartfelt momento for real you nailed it.
Nawapenda sana
Love u nandy nakupenda san❤
❤❤❤❤namupendasana nandy
❤nawqpenda
Nawapenda
Mashaallah Mashaallah Imebaki Story Aiseee
Mungu awabariki katikandoa yenu
Congratulation my divia 🥰.Nandy
Ktk wasanii wanao endana jmn Hawa wameoana Safi sana
Princess nandy mtunze mzee bil------nas have a good life from now
Congrats for sure mmepambana nice couple 💑💑💑
Ndoa yenu iwe na upendo kama hivo
nawapenda Saba kapunu hakunaga
Hongera sana mungu awabariki 😘😘😘😘😘
Congratulations Nandy
Nawapenda afu nawapenda tenaaaa
Ohhh good kila nikiangalia nafurahia sana nawatakia Kila la kheri mshikane
Sawa mpendwa Mungu akubariki sikuiona kwasababu nilikua London
Nakupenda sana dada ANGU
bado sauti yangu tuh umeweza mnooo mungu azid kukupambania
Ishini Kwa amani ña kumtanguliza mungu katika Kila jambo billnass na dada nandy
Masharaa mungu awarinde❤
Waooo Mungu ni mwema hongera zao
Mashoto atarii hongera Sana umependeza mdogo wangu mungu qilinde ndoa yenu
Hongeraaaaa sanaaaaaaaaa nandy
Nenga,hizo ndevu usinyoe,achia nandy ashike,, otherwise nawaombea mungu awalinde,jamani wapenzi 🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹🌹
Congratulation for u Mandy
Mashaallah❤❤💃💃💃
Mungu awajalie
cc wapare no wazuri sn❤❤
Congratulation yn nice couple kwa kweli so beautiful🔥🔥
Sn
Mmependeza sana
It's nice 🎉🎉🎉🎉
Hongera. African princess
❤️🌹🥳🤩😍🥰🥀🎁⚽🥅
mtoto mzuri sana wa kipare huwa niwavumilivu sana wapare uvumilie mdogo wangu
tafsiri ya ndoa siyo kuvumiliama
It's beautiful to you
Umependeza xana na mung awabaeiki nandy na mumewe
Hongela sanaa
Nawapenda sana hawa watu ❤️
Wow looking goods
Mungu awape maisha marefu yenyew baraka na amani
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Hongera mrembo
Keep on pressing
Jaman waoo
Nmeipenda hiii tu sana ata nko n wivu ntka ata mm nipitie ndow
Amazing
Mc garab ,, dah we mwambaaa ,,,nami natamani nijee kua kama wewe broo angu
Nakupenda hata mm tifa
Ongela sana dada nandy
Wap dah nandy🍎 1:59 ♥️💌
Hongera dada nandy mungu akuximamie
Mashallah thabaaraka Allah
Hogera sana Nandi mungu awajarie
Nampenda san❤
Honger
Jmn mungu awapemaixha marefu
Mumependeza kwakweli ma shaallah
Wap dah nandy🍎♥️💌
Nandy hongera sana
Sichoki kuwaangalia Nandy na Billnas
Hata mm
Jamani nandy
Nandy 1:50
Hongra Nandy yaan upo juu hun mpinzaj ndoa njem
Mashahallaha
❤❤
Gara B unajuwa sana,Nakupenda sna
🎉
0:00
Mashallah mmependeza
❤
❤❤❤❤🎉
Walikuwa wametisha sana
Hongera mung awalnd
Munapendezana hatr
Dua
Sichoki kuwaangalia
nawapenda Yani natamni kila sekunde niwe nawaanglia tatizo bando tuuuy but❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯💯💯💯💯💯
Nawaombea ndoa yenu idumu zaidi 🤲🤲na zaidi
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamani kwanin
👍👍