Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Ndugu zangu WATANZANIA JOTII NAMBA MOJA KOMEDY KWA TANZANIA NA SEHEME NYINGINE HAKUNA KAMA WEWE JOTII KILA LA KHERI BIG UP SANAAA😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 LIKE ZENU KWA ANAE MKUBALI JOTII🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wale wanaoangalia joti wakiwa wamelala kitandani tujuane kwa like 😂
😅😅
Mm hapa hahahahahaha
😂😂😂
Nipo kitandani kama ww😊
Kiboga leo ana ndoa iliyodumu mwezi😂😂😂😂😂😂ameweza😂😂🎉🎉🎉🎉
Kiboga ongera sana,na huyu MAMA na yule MAMA mwingine yule kiboga na hawa wa baba wote safi sana ❤❤❤
Kiboga hawakuezi ww ndo bingwa wa comedy 🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂
Acha utani,,kuna akina bhailam,,mtipe,Mwakatobe,kicheche na clam vevo hicho ni kizazi kipya cha comedy kiko moto.
@@jamesmzaki6041usimfananishe joti na vitu vya ajabu ww joti kila secta anaweza😊🎉
1:26 😂😂😂 kama ni shabiki wa Jot weka like 👍
like unazipeleka wapi lkenge wewe ?acha ushamba 😏
@@officialkamdudu😂😂😂😂
😂😂😂Hii nchi ukifa kwa stress umejitakia mwenyewe
Yan
😅😅😅😅😅😅😅😅😅kabisa
Kweli kabisa
Kabisa
😂😂😂😂
Joti you are the best comedian in East Africa respect God bless
Dera la kiboga nimelielewaa
😂😂😂😂😂 One of the funniest comedy kwa zote Kenya 🇰🇪 fan base
Kkkk Joti este comediano me deixa sempre com Boca aberta ✌️
ila joti Ana balaaa
Kiboga yupo kama mie kupenda ngoma😂😂😂😂😂mume mwenyewe uzalendo umemshinda kaingia kucheza 👌🔥
Kiboga wangu jmn weee nakupenda bure, sasa huyo mama uwiiiii mbona pambe😂😂
Joti hongera san unafanya kaz nzur Kila cku nakuombea tu maisha marefu yenye aman na furaha
Leo sitaki kucoment😂 ila Joti ana balaa sana🔥🔥
Kwa hyo hapo umefanya nn kama hujakoment
😂😂😂😂😂ushakoment tayar
Mbona ushakomenti sasa😂😂😂😂
@@AnnahLusia-bz3lclabda huwa anacomment kwa voice note 😂😂😂
@@rosemahenge9071 😁😁😁😁
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kidole cha mwisho was just chilling😂😂😂😂
Aliyeona suruali y bwana harusi ilivyofubaa katikati😂😂😂😂😂😂
He's so creative and never disappoint 🎉😂😂
Love from Rwanda 🇷🇼
Joti why can't you give us 2 products per week not only one every Friday!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
😊 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮
Hatari
joti bana you the great comedian 😅😅😅
Hahaha tangu anakataza hadi marohani yakamuwai 😂kwahio itaitwa couple kigoma
😂😂😂😂joti's videos always put smile on my face😅😂
Leo nimewahi KIBOGA akee 😂😂😂kama like tujuane vipenzi vya JOTI😂😂
😂😂😂 Lov frm Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nimecheka kifala sana 😅😅😅😅😅wazaramo na kule moro ndo wanapenda sana ngoma😂😂😂😂.
We watu WA morogoro hatari sana Kwa vigoma 😂😂
Hahaha 😂😂😂😂 jamani adi wa morogoro tumepatwa tena
ni danger❤️🔥
Umetishaass mwamba jotiiiiiiiiu babaaasssssaaaaas
Joti unaroho ngumu kumwita mtu mme wangu alafu wewe mwanamme? Kisa maigizo!!!
Talanta haijifichi mzee,mengine ni tabia ya mtu tu
Umewaza kama Mimi
Ubaya uko wapi
We nae umeanza kumjua joti juzi ama 😂😂😂 we chukua ujumbe cheka yaishe
@@faithpaulo119 basi hana ubunifu wa kubadili style kila siku yeye mama tu?
Mkwe mwenyw ameyarud famasiala nn 😃😃🔥🔥
Never disappoint jotiiii😅😂😂🎉
Noma sana😂😂🙌
Sema baba kiboga nimependa alivyokuwa anakata mauno huku analalamika😅😅
😂😂😂..mume nae kaunga telaaa hahaha nimecheka
Baba kiboga ana miuno ya uzazi😂😂
Siku yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca 😆😂🤣😊
Kiboga hicho kifua.🤣🤣🤣🙌
😂😂😂😂😂😂
@@dannylinguist15 Titi titi.🤣🤣🏃
😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Ila joti we ni nomaa sana ndo comedy pekee Tanzania wengine wapo nyuma yko
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Waaaaaaaa hio kali 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂joti umetisha sana
🤣🤣🤣🤣🤣Bro Jotiii wewe ni kiboko kabisa 😂😂😂😂🙌🏼
Kaa la moto mapenzi shatashata kumbe anaficha 😂😂vitu vyake kiboga ❤❤❤
Eti pepo la kigoma ila joti🙌
Hakiii ya mzungu shahidi muafrika joti ni balaaaa😂😂😂
😂😂 Nimependa Zito. Alipoingia kwenye kigoma hapo mwisho
Shukrani😂
@@kingzito31 kaka ongera sana napenda unavyoigiza unakuwa uko series sana
@@kingzito31 ule mguu uvyourusha hahahaha
Your big fun from Kenya
😂😂😂😂😂....Mzee wangu..🙌🙌🙌
Jot anaburudisha sana ila anavyojiekti mwanamke mh kwa maaadili ya kitanzania Mimi sijui
jotii jamn 🙌🙌🙌🔥🔥umejuaa kunifurahisha dah leoo mamboo 😅😅
hatar na nusu mpaka ame muambukiza mme wake marohani😂🤣
Kiboga Hilo ziwa ,shape na hyo make-up nihatari 😂😂
Mzee nae ajamboo kwl ng'ombe azeekii maini anayarudii maunooo😂
Wa kwanza leo Estach Kweli ndani y Dallas tx
King of comedy Tanzanian
Kiboga mwenyewe sasa😂😂😂😂😅😅😅
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai mume naye kaamua kucheza 🤣🤣🤣 kiboga sikuwezi
Nimewah leooo
😂😂😂 kila ijumaa toka joti 🎉
Ilo pepoo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ila huyu bwana siku moja atakuja fanya nijikute mochwari kama vile sijapenda😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂kimewaka namtaka mwanangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nampenda huyo bibi wewe
Kwamapenz shatashata baba sijuwi nishetani nimejikuta TU nipo kwenye kigoma 😅😅
Leo Mimi wakwanza mashabiki wa joti nahombeni like zangu jamani😅😅
Dah jot hatariii😂😂😂😂
Kaka joti kwenye commedy bado sjaona wakushindanishwa nawewe ni🔥🔥🔥🤣🤣🤣
Joti wewe kiboko wadaisha mbona hichi kama kipya😂😂😂😂😂😂
Joti madako yako 😂😂😂
😂😂😂😂😂 mqmbo ya shughuli hahahaahaha jmn
Jot kila siku amaliza bando langu😂😂😂😂
😂😂😂😂 kitambi kama kichuguu
Daaaah😂
😅😅😅😅😅
Kigoma hiki kipya au chazamani! Ila da KIBOGA😂
Leo wanne nipeni like zangu
Unampizani❤❤❤
GOOOOOOOOD JOBBBBBB BROTHER
Watu hamlali mda wote mnamsubir joti sawa mmeamua niwe wa 24
Ila,,,jot 😆😆😆😆😆😆ety mpnz shata shata uwiiiiiii
Kiboga atia nambata sana😂
Wenyewe mmepata wake zahivyo polen sana, mana nishida ila kama mnapenda wote sawa tu
Iyo suruali ya mume hpo kat😂😂😂💔
Amkeni jamani kabla ya wale wa nguvu za kiume awajakoment chochote 😂😂😂😂🇲🇿
Hahahhahaa
Mkuu samahani nisaidie Namba ya Scola
Nimechelewa au
Mimi niwe mkweli sipendi joti anavoigiza mwanamke☝️ ila Ni msanii mzuri sana
😂😂😂😂😂mume akianza ndo itakuwa balaa zaidi shauri yako kiboga
Saidi na kiboga mmejua kunichekesha hahahaaa😂😂 viatu vinanuka vundo😂😂😂😂
Balaaaa blueee 😂
Ingawa ni comedy ila hii ndo hali halisivya maisha ya wanawake wa uswahilini
Nipo here
😂😂😂 eti kama nna pepo
Bi kauye😅😅😅
Love from Australia 🇦🇺 ❤️ ♥️
Utafika mbinguni ukiwa umechoka sanaa😂😂😂
Nakupenda bure Joti😂😂❤
Karithi kwa mamaake!!🤣🤣🤣🤣
Jot ni balaa jaman
😂😂😂yaan unamuumbua mumeo.viatu vina nuka
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Congratulations joti and your time for 1M followers.keep on pushing❤
Jaman joti mhh 😅😅😅😅😅
Love from USA 🇺🇸 🎉❤😂

like unazipeleka wapi lkenge wewe ?
acha ushamba 😏