MAHARI MILIONI MIA TANO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Wazazi muwe maakini mnapotaja mahari ya mtoto wenu mjue na tabia yake vizuri, Unakuta bint kashatumika sana kwa uhuni mwisho wa siku aibu kwa wazazi....

КОМЕНТАРІ • 374

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 Рік тому +330

    Wangap wamemmiss sopa,kipande na mwamba,wagonge like hapa

    • @queenmalikia3827
      @queenmalikia3827 Рік тому +7

      😢😢😢😢sopa jamani

    • @ZandaMelody-cj5te
      @ZandaMelody-cj5te Рік тому +5

      Sahivi Yupo Na Wazee To....Wale Jamaa Cjui Ndo Wananqalia Maslah

    • @JamilaAbdallah-i4v
      @JamilaAbdallah-i4v Рік тому +8

      Vijana huwezi kuwadanganya na malipo madogo km wazee

    • @mcharo255
      @mcharo255 Рік тому +10

      Nimemiss kumuona sopa sanaa..... Yule bwana yuko fresh sana😅

    • @geekilimba8362
      @geekilimba8362 Рік тому +6

      Sopa jmn ❤

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +4

    Kama unamjua shoga etu aliesema mahari milioni 500 na akaolewa kwa mswala na mume ni pasua kichwa 😂😂😂tujuane hapa😂😂😂😂ila wanawake tuna midomo jamani kha!!!

    • @catherinemuhagama7338
      @catherinemuhagama7338 Рік тому

      Yaniii😂😂aibu tupu mashauz kbao mahari milion mia5 kwa uchi gan😆😆😆

    • @neemamzande8547
      @neemamzande8547 Рік тому

      Ninani uyo jomon 😂😂😂😂😂😂

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk Рік тому +48

    Ambao tuna isubiri ijumaa kwa sababu ya Jot tujuane 🙏🏻

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +6

    Jamani mama kiboga kwani ni biashara,na ww mume mtarajiwa huyo mshenga umemtoa wapi😂😂😂unaharibu Mila na desturi za watu 😂😂😂

  • @khanamiry1776
    @khanamiry1776 Рік тому +17

    Leo nimekuwa wa kwanza kama unakubali team kiboga like ziwe kama zote

  • @mwesialfred
    @mwesialfred Рік тому +14

    Kanyinyiiiii😅 nilimmiss huyu mjamaa leo kaja kivingine😂😂

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 Рік тому +15

    Wazazi Punguzeni Ukubwa Wamahali Ili Ipatikane Ndoa Nauhalali.

  • @Nyalafu
    @Nyalafu Рік тому +6

    Haaa eti yuko sealed, 500M.Huku mwali anakopwa tangu asubuhi. JOTI! JOTI!

  • @binjmwinyirain1133
    @binjmwinyirain1133 Рік тому +2

    Watu badala muwahi kazini mnajisifia kuwahi upumbavu! Mnaniudhi Kweli subiri wiki ijayo muone ntakavyo wapiga bao, nawahi kukoment huko huko wanapoigiza. Shubaaaamit😅😅

  • @lloveyoutanzania5315
    @lloveyoutanzania5315 Рік тому +10

    Kanyinyi wangu asante umerudi nilitaka kuhama kumshabikia joti

    • @saleemmussah
      @saleemmussah Рік тому +1

      Uache kumshabikia joti utamshabikia nani kwa mfano

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f Рік тому +5

    Huyu aloambiwa anasidi atakwangua vocha mwenyew Leo amekopwa😅🤣😁

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Рік тому +20

    Joti hana kazi mbovu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 Рік тому +1

      nimecheka mpaka nimeulizwa vp salama na majirani kwa burudani za joti

    • @Mariam-fm8vq
      @Mariam-fm8vq Рік тому

      @@nadyasalim7956 😂 😂 😂

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Рік тому +3

    Hapo kweny silidi umeelewa?😂😂😂

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 Рік тому +6

    NIPENI LIKE ZANGU APA TUNAO MKUBALI JOTI

  • @gracekatani3669
    @gracekatani3669 Рік тому +15

    Kazi nzuri sana! Ila ni mahari siyo mahali.

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 Рік тому +9

    Ama kweli akili ni Mali. Mfano jot akili yake.

  • @mustafampande173
    @mustafampande173 Рік тому +5

    kanyinyi ni mwehu 😂😂

  • @samwelimoshi5614
    @samwelimoshi5614 Рік тому +1

    Mm nmemmisi sana yule mbavu mbn siku izi ayupo jamani baunsa yule

  • @RozaliaJoseph-cg8he
    @RozaliaJoseph-cg8he Рік тому +4

    Mbona yai la mbuni🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ramadhankitsao5019
    @ramadhankitsao5019 Рік тому +7

    😂😂😂
    Yamemwagika. Eti 500million kwani ni gari

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 Рік тому +2

    Kweli tunapigwa

  • @hassanjecha5069
    @hassanjecha5069 Рік тому +2

    yaan jot ndo miln 300 ,wakat kashamalizwa mda c mrefu

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Рік тому +8

    Mama muhuni kama mwanae nakukubali sana mama😂😂😂😂😂

  • @khadijakheiri5745
    @khadijakheiri5745 Рік тому +7

    Ijumaa bila stres😂😂😂😂😂

  • @dee-thegoon4141
    @dee-thegoon4141 11 місяців тому +1

    Wabongo wakiume mnavyo ji blich muko very 😅😅

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 Рік тому +4

    Nishai mtomba ngwile kitwango mikazo 😂😂😂😂

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 Рік тому +19

    Tanzania moto,peperusha bendera jot frm🇿🇲

  • @benhanclove5997
    @benhanclove5997 Рік тому +4

    Huyo atakua wa shilling elfukumi😂😂

  • @boazmosses8204
    @boazmosses8204 11 місяців тому +6

    Joti sahv anayumba sana tunawataka kina sopa,mama dame,kipande yan sahv ni kama igizo la shule ya msingi kabisa😂😂

  • @meshackaloyce9662
    @meshackaloyce9662 Рік тому +22

    Jott utafika mbinguni ikiwa umechoka sana😂😂😂😂

  • @isaacsinkala-y6u
    @isaacsinkala-y6u Рік тому +4

    mshenga nusu wamnyonye macho😂😂😂😂😂

  • @veronysiwale7832
    @veronysiwale7832 Рік тому +2

    Heheee ukimwaga ya uarabuni ndio basi

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Рік тому +2

    Nmeskia kiboko hapo 😂😂😂

  • @yahyasuleiman4024
    @yahyasuleiman4024 Рік тому +2

    Mahali?😊😊

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Рік тому +12

    Mahali kama wanauza 😂😂😂 ndo maana wanawake wanateseka ndani ya ndoa, mimi sitaki mahali naitaji peace of mind 🙌

    • @DouglasMassop
      @DouglasMassop Рік тому +3

      Wew unanifaa

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 Рік тому

      Dayana upo sahihi

    • @catherinemuhagama7338
      @catherinemuhagama7338 Рік тому +5

      Nenda bila mahari alaf manyanyaso yaanze uambiwe mtu mwenyew nlkuchukua bure kwenu sijui walkuchoka wakakutoa bure🤣🤣🤣
      Huwajui wanaume ww baadh wanagubu balaa 🙌

    • @dayana5513story
      @dayana5513story Рік тому

      @@catherinemuhagama7338 dear I understand you but mimi mahali not matter to me mimi na focus on my happiness dear si kwamba mtu akikutolea mahali ndo hatakutukana mtu akutukanae akuchagulii tusi l hope wajua ilo

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 Рік тому

      ​@@dayana5513storyni kweli Tena akitoa. Pesa nying mateso hayaish kama. Umeuzwa

  • @saphiasaid1038
    @saphiasaid1038 Рік тому +1

    Nitaolewa

  • @allysaid2321
    @allysaid2321 Рік тому +4

    Jotiii

  • @maalimzingizi4221
    @maalimzingizi4221 Рік тому +3

    Sema io kofia ya uyo mzee ni jau yaaan 😂😂😂😂

  • @goodhopejonas1001
    @goodhopejonas1001 Рік тому +3

    Nitakunyonya macho😂😂joti bana😂😂

  • @SumunPolisi
    @SumunPolisi Рік тому

    Kwann uliwatoa? Warudishe

  • @abdallahaboud6235
    @abdallahaboud6235 Рік тому +1

    Vipi

  • @bonfilskashaba7381
    @bonfilskashaba7381 Рік тому +3

    Naombeni like zangu kutoka Congo 🇨🇩

  • @michilita2959
    @michilita2959 Рік тому +3

    Joti kunywa soda Leo sasa umeniletea mtu wangu kiboga

  • @gama_liely
    @gama_liely Рік тому +3

    Et ntakunyonya mate😅😅😅😅😅😅

  • @sharifanyella7703
    @sharifanyella7703 Рік тому +7

    Joti hongera

  • @jumabolingo9583
    @jumabolingo9583 Рік тому +4

    Yai la mbuni😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @davidmsele9908
    @davidmsele9908 Рік тому +2

    Sopa atumuoni joti

  • @salimkhamis3638
    @salimkhamis3638 Рік тому +2

    Ni mahari sio mahali

  • @erickmidomsodock8716
    @erickmidomsodock8716 Рік тому

    Siku Yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca

  • @Gonga94tz
    @Gonga94tz Рік тому +2

    Ha ha ha the boss

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому +3

    mama pili kitim tim ndo basii

  • @annaki318
    @annaki318 Рік тому +3

    Tulimmis kanyiinyi 🎉🎉🎉

  • @abdulobo3110
    @abdulobo3110 Рік тому +2

    Mahari sio mahali

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Рік тому

      Unataka watamke hiyo r kama wanazungumza kiarabu sio

  • @eddygonza891
    @eddygonza891 Рік тому +3

    Shikamoo mshenga😂😂😂😂

  • @EliasJohn-lc8nu
    @EliasJohn-lc8nu Рік тому +2

    Vijana wadogo hawakuwezi

  • @mudvan2410
    @mudvan2410 Рік тому +2

    Sio MAHALI ni MAHARi

  • @swalesale2229
    @swalesale2229 Рік тому +3

    💯

  • @malilacollins11
    @malilacollins11 Рік тому +2

    Unajua😅😅😂😂😂

  • @james008BOND7
    @james008BOND7 11 місяців тому +3

    Mombasani tunakubali😂😂😂😂noooma sana😂

  • @masudykikumbi7375
    @masudykikumbi7375 Рік тому +3

    😂😂😂 heeh mbon ndoa mahali yake imekuwah chungu 😂😂😂😂

  • @shabanJuma-fe6wf
    @shabanJuma-fe6wf Рік тому +2

    Mambo ya uchagani ayo .

  • @eliassteven5575
    @eliassteven5575 Рік тому +2

    Duuh😊

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Рік тому +2

    Lugha ako mbaya😂😂😂

  • @erickmidomsodock8716
    @erickmidomsodock8716 Рік тому +1

    From Japan Kuma Moto I love YANGA bingwa

  • @gladnesswazir-zz9lk
    @gladnesswazir-zz9lk 11 місяців тому

    😂😂😂😂fundi Tv duuuh kiboga kboko

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 11 місяців тому +1

    🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣

  • @lacheekah1849
    @lacheekah1849 Рік тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 Рік тому +2

    Ntakunyonya macho😂😂😂😂

  • @boazmosses8204
    @boazmosses8204 11 місяців тому

    Sahivi hata haichekeshi wala hainogi😅😅😅 tunaangalia tu kusogeza masaa

  • @rashidmohammed4887
    @rashidmohammed4887 Рік тому +3

    Seald kabisa utakwangua mwenyewe vocha 😂😂😂

  • @pettybeautysalon
    @pettybeautysalon 11 місяців тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @edwinkioko12
    @edwinkioko12 Рік тому

    mie apa

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk Рік тому

    ingiza you tube andika sopa raha kwa wale mlio mmiss sopa

  • @djumajay2857
    @djumajay2857 Рік тому +4

    Kii ukwel joti ana nipaga raha San kbx anajuwa ku ipambania kazi yk 😅😅😅

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc Рік тому +1

    Joti angalia wahariri wako wanaharibu lugha. Ni mahari sio mahali

    • @saleemmussah
      @saleemmussah Рік тому

      Ujui bongo kuna ugonjwa wa R na L 😂

  • @sylviaecke1772
    @sylviaecke1772 Рік тому +2

    mtaka yote😂😂😂

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Рік тому +1

    Muwe mnauliza maneno namaana kabla yakuandika mtu mzima unashindwa kutamka mahari unasema mahali looh

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 Рік тому +1

    Nitakunyonya macho 😂😂😂

  • @winniewambui7423
    @winniewambui7423 Рік тому +2

    This is the best

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 Рік тому +3

    Mahariii😆😆😆😆😆

  • @emmanuelbonifasi8392
    @emmanuelbonifasi8392 11 місяців тому

    Mtombangile kitwango unatisha walete na wakina kipande

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Рік тому +1

    Unataka show tkunyonya macho😂😂

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 Рік тому +8

    Hahaaa milioni 500🎉🎉🎉 joti maua yako

  • @azizally5283
    @azizally5283 11 місяців тому +1

    Mambo ni moto kwa joti kama ufaransa na kunguni

  • @jameslucas7161
    @jameslucas7161 Рік тому +2

    Joti Martin Lawrence wetu 😂😂

  • @decoismail8211
    @decoismail8211 7 днів тому

    hapo hamna mahari ni biashara na utapeli

  • @HunchooG
    @HunchooG Рік тому +4

    “Amesema hataki “ 😂😂😂

  • @chalamilaprinciple4164
    @chalamilaprinciple4164 Рік тому +3

    😂😂😂

  • @neemagerald1007
    @neemagerald1007 Рік тому +1

    Yai la mbuni 😅

  • @killer_effects
    @killer_effects Рік тому

    TUMBAKU LAKI 2😯😯😯😯

  • @rajabusaidi6692
    @rajabusaidi6692 Рік тому +1

    Nitakunyonya macho shenzi sana 😜😜😜

  • @Yahyaazizi-b7f
    @Yahyaazizi-b7f Рік тому +7

    Joti on fire😅

  • @alphakiuyo9447
    @alphakiuyo9447 Рік тому +1

    Kipande na sopa noma sana

  • @peterkabwili1962
    @peterkabwili1962 Рік тому

    Niliwakuta wanairekodi video hii kinondoni juzi

  • @jumabolingo9583
    @jumabolingo9583 Рік тому +4

    😂😂😂😂😂😂 hatari saaaana

  • @NuruZebedayombise-ie5zb
    @NuruZebedayombise-ie5zb Рік тому +1

    Yani joti

  • @kalikenyata1881
    @kalikenyata1881 Рік тому +2

    Nishawahi sitiiii😂😂😂

  • @costamasuba1099
    @costamasuba1099 11 місяців тому

    Yule baunsa wa kumrusha jot kutoka kwenye bus

  • @ahmadsaid4878
    @ahmadsaid4878 Рік тому

    Kiukwel ndo Ndoa za skuhiz unaenda kuposa mahar wanataja kama mtaji wa biashara... Mila nyengne mizinguo t et mkaja wa bibi sjui mala kot la babu. Dah

  • @ibnnjoka4808
    @ibnnjoka4808 Рік тому +3

    😂😂😂😂