ANANIFIKISHA KILELENI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • Ukisikia kupenda ni upofu ndio huku, Umpende anaekupenda ni raha...Mapenzi ni nini jamani....
  • Комедії

КОМЕНТАРІ • 534

  • @kingmawese
    @kingmawese Рік тому +39

    Haikuwa rahisi kufikisha one million kwa uweza wa mungu tumefikisha big up kwako muigizaji bora wa mda wote Tanzania na africa kwa ujumla NISHAI MIKAZO MIGUNO MTOMBAGILE

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Рік тому +39

    Joti amefikisha 1m subscribers kwa UA-cam,,,hongera

  • @alisterlexter1115
    @alisterlexter1115 Рік тому +65

    Lets congratulate Joti for 1 MILLION SUBSCRIBERS🎉🎉🎉 good work

  • @annaki318
    @annaki318 Рік тому +38

    Hahahahah tulionasa kwenye màpenzi Kama jotii tujuane😂😂😂😂😂

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Рік тому +13

    Ila joti msenge Sana anajuwa mpaka sielew❤️❤️❤️❤️❤️🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @DeviceDenice
    @DeviceDenice Рік тому +6

    Dahh joti my favourite comedian Tz nzima sijaona mwenye uwezo mkubwa kama weew Tanzania nzima

  • @kabezayasmeenah7800
    @kabezayasmeenah7800 Рік тому +8

    Tunakupenda Sanaa joti... from burundi

  • @amufamyles8896
    @amufamyles8896 Рік тому +33

    I think I'm the only Kenyan who's watched all Jotis skits 👏👏👏👏👏👏His comic are just genuine. .kazi nzuri

  • @mohamedsheealom8745
    @mohamedsheealom8745 Рік тому +56

    😆😆kiboga sio mzima kiakili ,joti ndie msanii pekee Tanzania alie dumisha kazi yake we love you joti Friday without you sio friday tena...

  • @orestsanga6294
    @orestsanga6294 Рік тому +10

    Safi sana🤝🏻 nimeisubiri sana hiyo 1M hatimaye imekuwa🤣🤣🤣

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 Рік тому +10

    Finally 1M subscribers ❤❤❤❤❤❤ Sasa views tuzidi nasii

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo Рік тому +5

    Hongera sana Mzeiya 1 Million 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
    HomeBoy

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Рік тому +51

    Nimechelewa jamani😂😂 ANANIFIKISHA KILELENI 😂😂😂 JOTI jamani like kama umechelewa pia😂😂😂

  • @Jvystunner
    @Jvystunner Рік тому +35

    JOTI NUMBER ONE IN AFRICA ❤

  • @saidharith5643
    @saidharith5643 Рік тому +7

    Joti si mzima last part umeniuwa yaani nimecheka kwa sauti😅😅😅😅😅😅

  • @agnesbasistian9248
    @agnesbasistian9248 Рік тому +12

    Hahaha nimecheka Sana asubuhi hii jamani asanteee kunipunguzia stress za usiku.Umebust nyonyo mdada akasome 🤣

  • @marycelestin6586
    @marycelestin6586 Рік тому +15

    Ila JOTI 😂😂😂😂😂😂😂 eti ladies and gentlemen .........

  • @bboynickyy
    @bboynickyy Рік тому +6

    Nyie wote mmechelewa 😂😂😂😂

  • @McgweryBuffa
    @McgweryBuffa Рік тому +5

    joti kiazi sana hahahhahahah ...miaka mingi kwako hahha

  • @samsonphilip9005
    @samsonphilip9005 Рік тому +6

    Joti n hatari sana akuna aliye juu yake mbwa joti😂😂

  • @WinifridaPeter-se6lt
    @WinifridaPeter-se6lt Рік тому +5

    Ila joti Nakupenda sana 😂😂

  • @benedictolugaila8442
    @benedictolugaila8442 Рік тому +3

    Jamani mapenzi 😂😂😂misscall 47 kibogaaatinhoo wewe unammudu😅😅😅nimeimiss mikito

  • @yjkbcdghjb
    @yjkbcdghjb Рік тому +3

    Joti kichekesho cha leo umetumia ujuzi wako wote hongera. Na tunaomba uendelee kuigiza na huyu dada Naomba anajua kweli

  • @RehemaObedi-b2h
    @RehemaObedi-b2h Рік тому +1

    Nimecheka sana jmn eti nimemiss mikito ila ww nihatali mungu akuweke miaka mingi ili tuwe tunafaidi jmn

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂ila joti😂😂😂😂unajua 🙌 unajua tena 🙌 🙌

  • @vulfridakessy7148
    @vulfridakessy7148 Рік тому +1

    mm sidhan km ntakaa nifurhi kwa comedian mwngn zaid ya joti,,eti ladies and gentlemen,,ooh nakupenda sabab ww n charming hata nikikutania chibaa hukataagi🤣🤣

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +2

    Kapendez nyei kiboga 👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽😂😂😂😂

  • @gayomaster3533
    @gayomaster3533 Рік тому +5

    Naimbeni Ata like jamn Leo nimewahi

  • @annaki318
    @annaki318 Рік тому +5

    😂😂😂😂hahahahahah ila joti eti mlewa body Ake Kama mbwa manunu😂😂😂😂😂

  • @Modsi9
    @Modsi9 Рік тому +1

    Reyina karudi kazi itakuwa nzuri zaidi

  • @mahmudmustafa8588
    @mahmudmustafa8588 Рік тому +35

    Only 10 likes for joti

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu Рік тому

      likes unazipeleka wapi kenge wewe ?
      acha ushamba 😏

  • @annaki318
    @annaki318 Рік тому +10

    😂😂😂😂😂kiboga kamiss mikitoooo na anaenda na shoga yake😂😂😂😂😂😂 ni kicheko😂😂😂

  • @davidnchoji
    @davidnchoji Рік тому +10

    Joti is something else I swear...😂😂😂😂

  • @Jazmeen06
    @Jazmeen06 Рік тому +2

    Hahahahaah missed call 46😂😂

  • @shuudewizzygal8435
    @shuudewizzygal8435 Рік тому +1

    Kiboga kumbonda huyo mlelwaa😂😂😂 et body haina tofauti na mbwa manunu😂😂😂kiboga yote yanamtoka kisa kileleni😆😆😆

  • @Kdia334
    @Kdia334 Рік тому +5

    Aya wa Tanzania kula kitu kizito🎉😂😂

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 Рік тому +11

    Joti is on 🔥🔥🔥🔥 always

  • @WitnessJohn-y6u
    @WitnessJohn-y6u 11 місяців тому +2

    Nmemiss mikitoo😂😂😂 joti ujengewe sanamu yako

  • @veronicasamwel9003
    @veronicasamwel9003 11 місяців тому

    mwambaa hyu hapa una show mbovuu kijana wangu 🔥🔥

  • @reiphan9894
    @reiphan9894 Рік тому +1

    Jotiiiii mwamba @ kiboga una msaliti mwamba unamkubali chibaaa dah iyo imeeendaa iyo sio wanawake wasaizi watakuambia mambo yakiwaki hayo 😂😂😂

  • @Halimamaere
    @Halimamaere Рік тому +1

    Napenda ziwa lako kiboga lilivyo juu laniacha hoi😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mwasambili_official3205
    @mwasambili_official3205 Рік тому +13

    Nimewai Leo like kwa joti

    • @criminalminds7723
      @criminalminds7723 Рік тому

      Tukishakupa likes na ww utatupa jicho?😋🫦😋🫦😋

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 Рік тому +6

    Never disappoint jotiiii 😂🤣😂🤣

  • @radhiyakimolo3465
    @radhiyakimolo3465 Рік тому

    NA WEWE NAWE KIBOGA. HUISHI KUACHWA. NA WANAUME. 😂😂
    MRUDIE SOPA ALIKUWA ANAKUPENDA MAPENZI YA KWELI❤
    HAJAWAHI KUKU CHEAT. WALA KUMUAMGALIA MWAMAMKE MWINGIZA ZAIDI YAKO.
    MUOMBE MSAMAHA AKURUDIE UNAZEEKA MWAMAMKE MWENZANGU
    I LOVE YOU KIBOGA FROM DADA DANMARK

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Рік тому +2

    Dah joti huna mpinzani ww ni mrithi wa marehemu king majuto😂😂😂

  • @meshackaloyce9662
    @meshackaloyce9662 Рік тому +2

    Utafika mbinguni ukiwa umechoka sana😂😂😂😂😂

  • @jacquelineludovick5301
    @jacquelineludovick5301 Рік тому +3

    Hii Imeendaa😂😂😂 hapo kwenye kutembeaa na kumiss mikito mikazooo😂😂😂🙌

  • @annaki318
    @annaki318 Рік тому +3

    Wa Tano Leo maua yngu pleaseee❤❤❤

  • @nadyasalim7956
    @nadyasalim7956 Рік тому +2

    Kila ijumaa nakuwa na furaha sanaa nampenda sanaaa huyu baba

  • @ibrahimuselemani4076
    @ibrahimuselemani4076 Рік тому +86

    Tuko pamoja JOTI | Unajua sana likes nying kwake kuonesha upendo na kuthamin kazi anayotupatia❤🔥

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat Рік тому +2

    Ongera kwa kufikisha 1milion subscribe

  • @AbdulazizHussein261
    @AbdulazizHussein261 Рік тому +1

    Baada ya kalamba chuchu sasa 😂😂 🔥. This man

  • @amufamyles8896
    @amufamyles8896 Рік тому +4

    Minute 3:36 to minute 3:54 😂😂😂😂 very funny 😂

  • @zenaycechanzinho6702
    @zenaycechanzinho6702 Рік тому +1

    Hvi mke wa joti huwa anamkodisha mumewe nguo zake au joti huwa unachukua tuu bure😂😂😂

  • @rabaniAmri
    @rabaniAmri 4 місяці тому

    Joti ww hayupo anaye kuweza unajua mpka ❤❤❤❤😅😅😅😅😅😅

  • @EZEKIAAMOSI
    @EZEKIAAMOSI Рік тому +1

    Nakubali sana broo joti yaani apo unyama sana

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 Рік тому +5

    Hilo gauni la joti nimelipendaje

  • @byrongamble6737
    @byrongamble6737 Рік тому +3

    Joti amemiss mchakabwengo😂😂😂😂

  • @chichiereyh
    @chichiereyh Рік тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣mikito ya mtombangile kitwango

  • @janeseba2001
    @janeseba2001 Рік тому +2

    Dd kiboga analilia kufikishwa kileleni😃😃

  • @obbyguy255
    @obbyguy255 Рік тому +3

    Oya chibaa and joti mmetishaaa😂😂😂😂😂

  • @teddymaliatabu2039
    @teddymaliatabu2039 Рік тому +1

    Mamake ... 🤣🤣🤣🤣 Chezea kileleni 🤣🤣🤣

  • @valeriaally6584
    @valeriaally6584 Рік тому +3

    joti hilo tako huko nyuma sasa 🤣🤣🤣🤣

  • @zaburi2386
    @zaburi2386 Рік тому

    Hongera Kwa kufikisha subscribes milion moja kaka

  • @alexmapunda2508
    @alexmapunda2508 Рік тому

    Hongera joti Kwa kufikia 1m

  • @martamustini6946
    @martamustini6946 Рік тому +3

    Manunu ila joti we love uuu😂😂😂😂😂😂

  • @emanueledwin5685
    @emanueledwin5685 Рік тому

    Nmemiss Show,, game, mikitoooo hahahahaha😂😂😂😂😂

  • @luciamaganga210
    @luciamaganga210 Рік тому +1

    Bendera chuma, mlingoti chuma😂😂😂😂😂

  • @shehaswalehagilagil2343
    @shehaswalehagilagil2343 Рік тому

    Kiboga nakupenda bure good job ❤❤❤

  • @azizally5283
    @azizally5283 Рік тому +1

    Wee ni nomaaa😂😂😂😂

  • @MwajumaMohamedi-vd7vr
    @MwajumaMohamedi-vd7vr 10 місяців тому

    Mmh joti wewe ni noma😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @jacklinerenson1708
    @jacklinerenson1708 Рік тому +1

    Duh yani we upige mume mwenzako uje upigwe na mkeo😂 joti

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 Рік тому +6

    Joti hilo gauni lako nimelipenda😂😂

  • @joelkalumba6938
    @joelkalumba6938 Рік тому

    Ametembezwa milima yote ila chiba ndio alimfiksha kileleni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @erickmidomsodock8716
    @erickmidomsodock8716 Рік тому +4

    Siku Yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca 😆😂🤣

  • @yasinitwaha3192
    @yasinitwaha3192 Рік тому +1

    Mungu amemlaani mwanaume anaevaa na kujifanya mwanamke na mwanamke anaejifanya mwanaumee
    Hawa ndo wanaoleta ushoga duniani

    • @JacklineManyama
      @JacklineManyama Рік тому +1

      Anatumia maigizo tu kupata kipato, tusimhukumu uenda sisi tunatenda mabaya zaidi

    • @laumoshi9419
      @laumoshi9419 Рік тому

      Hongera sana joti unajua kupunguzia stress unaweza sanaa

    • @gastonecostantine6707
      @gastonecostantine6707 Рік тому

      Unamhukumu joti ww n mungu au tumia akili yako vzr

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 Рік тому

      Akili yako imetafakari ndo ikaishia hapo??!! Fala kweli

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Рік тому +3

    hahaha, mnajua huyu mtoto Joti maku sana mjue...🤣🤣🤣

  • @silasila3111
    @silasila3111 Рік тому +1

    Eti nime miss Cho 🔥🔥🔥

  • @ArafaAlly-gs3yi
    @ArafaAlly-gs3yi Рік тому

    😂😂😂😂sema rafik wa mshikaji mmbea 😂et tangaza

  • @azizally5283
    @azizally5283 Рік тому +1

    Kiboga kama kiboga😂😂😂😂😂😂

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 Рік тому +2

    Saidi sio kwa umbea huo😂😂😂😂😂

  • @premmyhamisi4578
    @premmyhamisi4578 Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂Joti wewe duuh

  • @nillap767
    @nillap767 Рік тому +1

    🇰🇪 kiboga naomba hiyo dress 😂😂😂

  • @GraceJaJackson-jd9cy
    @GraceJaJackson-jd9cy Рік тому +4

    Joti unaweza mpaka unaboa😂😂😂😂

  • @stellahpeter1808
    @stellahpeter1808 Рік тому +1

    Leo nimewahi wahi nipeni like zangu

  • @mathiasswai7006
    @mathiasswai7006 Рік тому

    Wow congratulations M subscribe

  • @zawadimohammed2008
    @zawadimohammed2008 6 місяців тому

    Chibaaaa😂😂😂😂😂😂😂chezea mapigo ww 😂😂

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut Рік тому +1

    Joti nguwo yk nzuri😅😅

  • @zaiogy5787
    @zaiogy5787 Рік тому

    Ninae uyo Mimi jamani NAANGAIKA na bod maajabu Hana Basi navumilia tu kisa anamuonekano 🤣🤣

    • @janethmgimba3084
      @janethmgimba3084 Рік тому

      pole udugu mtafte mwenye shoo kama kiboga alie jitoa kimasomaso

  • @emmanuelgrayson3276
    @emmanuelgrayson3276 Рік тому +1

    Nan kaona jamaa alivyompiga chiba mtama alimdakaa Kiana fulan

  • @bertinaafonsorapaz8345
    @bertinaafonsorapaz8345 Рік тому

    Shemeji,😂😂😂shiba huku nanii tuje😅😅😅

  • @shuudewizzygal8435
    @shuudewizzygal8435 Рік тому

    Mbona mikito ila kiboga😂😂😂😂🙌🏾

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 Рік тому +4

    Mwenyezi Mungu amewalaani wale wanaume wenye kujifananisha na wanawake, na wanawake wanaojifananisha na wanaume

  • @fatumayusufu2924
    @fatumayusufu2924 Рік тому

    My no one comedian

  • @mwanamisiramadhan4773
    @mwanamisiramadhan4773 Рік тому

    😄😄😄😄😄rafiki wa mkewe mnafiki kama nini yeye ndiyo ameunguza picha kisha amemgueka umekuwa upende wa kiboga

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣🙌Joti hahaha eti kamis mikito

  • @Dr.Rubicundus
    @Dr.Rubicundus 5 місяців тому

    Wengine ata wachekeshe vp , ila huyu jamaa ni level zingne kabisaa 🤣🤣

  • @neemapatrice1704
    @neemapatrice1704 Рік тому +2

    Wa kwanza ❤

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 Рік тому +2

    Umbwa wa manunu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @RidhaaHamisi
    @RidhaaHamisi 5 місяців тому

    Jot nakukubali❤❤❤❤😂😂😂😂😂