UTAPENDA JINSI WALIVYOCHAGUANA | PENZI JIPYA MSIMU 6 | MAHABA LIVE KWENYE STAGE (MR RIGHT S6E02)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 358

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 Місяць тому +9

    Hawa wamechaguana wote wana macho mazuri ya kurembua 😂❤❤❤

  • @mutabazijustin-x2v
    @mutabazijustin-x2v 3 дні тому

    Mr Light Nakupenda sana kbsa Tunakukaribisha Rwanda Kigali bro

  • @AbeliJoshwa
    @AbeliJoshwa Місяць тому +157

    wangapi wanachukizwa na mavazi ya aliya lik zenu

    • @fatumahapesamohamedfatumah4633
      @fatumahapesamohamedfatumah4633 Місяць тому +2

      Kwl sio poa.Ajirekebishe tu

    • @emmanuelmayunga1518
      @emmanuelmayunga1518 Місяць тому

      Mimi namba moja

    • @oscarcharles9624
      @oscarcharles9624 Місяць тому

      kweli kabisa jmn mavazi sio pow wakirekebishe

    • @barrehotel-q5t
      @barrehotel-q5t Місяць тому +2

      @@AbeliJoshwa Ata Mimi naonaga Aliya atakuwa yupo soko Ataki tu kusema but mavazi yatakuambia yupo soko

    • @blessingntuli3796
      @blessingntuli3796 Місяць тому +2

      @@AbeliJoshwa msiwe washamba tembeeni muone Mbona dada wa watu yuko poa kabisa
      Au mnataka avae mabaibui

  • @LindaUrassa
    @LindaUrassa Місяць тому +7

    Jman kumbuka asiondoke cos ananifurahisha xanaaa nampenda kweny kuchamba jman annifurahsha.

  • @jumason142
    @jumason142 Місяць тому +3

    Safii karibuni kuangalia filam mpya nxuri sana inaitwa ASHA CHAUDELE ..baada kuangalia tafadhali tunaimba maoni ..asante.

  • @HalimaRajabu-f4e
    @HalimaRajabu-f4e Місяць тому +9

    Aliya dad angu jirekebishe kwenye mavzi yako Dunia tunapota kunakesho mbele ya mungu

  • @MaryamIsmaeel-v3i
    @MaryamIsmaeel-v3i Місяць тому +5

    Ya leo kali,huyo mc white dar kanivunja mbavu😂😂😂😂😂😂

  • @LOYCEEMMANUEL-b6z
    @LOYCEEMMANUEL-b6z Місяць тому +4

    Johari kumbee halinaa akilii aende kigamboni uuwii 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ZuraAmisseAbudo
    @ZuraAmisseAbudo Місяць тому +1

    Jamani acheni kuchamba izo zarau fanhyeni show,usinzarau usiyo njuwa 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @AnnoyedMarsh-is4nr
    @AnnoyedMarsh-is4nr Місяць тому +1

    Aisee nimeipenda hiyo kwakwel wanaendana sanaa jamn❤❤❤❤

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Місяць тому +5

    Mavazi mengine bhana! Kama kuku kanyonyolewa

  • @marywanyika6924
    @marywanyika6924 Місяць тому +2

    Mr right mtaratibu sana hadi nimempenda,janani karibu kenya ❤

  • @AzidhatAssia
    @AzidhatAssia Місяць тому +10

    Uyu Mr light amenyooka sana maeleziyake yanaeleweka

  • @PascalineBakemine-dr9rh
    @PascalineBakemine-dr9rh Місяць тому +2

    Mr Blue nimtulivu sana jamani😊

  • @shamilaalhabsi909
    @shamilaalhabsi909 Місяць тому +24

    Aliya jaribu kujistri ukivaa nguo ya stara utapendeza zaid kuliko kukaa uchi
    Ww manshallah mzuri allah kakujalia kwahilo jaribu na ww ujistri
    Samahani ikiwa nimekukosea

    • @amonalexander1513
      @amonalexander1513 Місяць тому

      @@shamilaalhabsi909 ndio maana wanawake wazuri hawaolewagi

  • @bhakunyilagillafeinn
    @bhakunyilagillafeinn Місяць тому +15

    kumbuka unawachamba saana ma Mr Right iyo inawapunguzia kujiamini washkaji punguza aise

  • @EmJesho
    @EmJesho Місяць тому +2

    Msimu uu mmenifuraisha sana maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @hassanlubola414
    @hassanlubola414 Місяць тому +3

    Dr Kumbuka ni hatari sana ukimuuliza anacheza nini hata haelewi😂😂😂

  • @Giftypmushi
    @Giftypmushi Місяць тому

    Sema wameendana sana kapamela mako kizuri ❤

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 Місяць тому +15

    Kukumbuka. Anatufurahisha sana 😂😂😂❤ anafaaa sana kwenye hiki kipindi ❤

  • @fatumamohamed7410
    @fatumamohamed7410 4 дні тому

    Ila kumbuka jamani 🤣🤣🤣🤣ananifurahisha sana

  • @AnnababeMathius
    @AnnababeMathius Місяць тому +1

    Waooh jaman nmependaa hiyoo❤❤🎉

  • @KevoMushi
    @KevoMushi Місяць тому +1

    Nimeioenda hii couple ❤❤

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Місяць тому

    Kumbukaa hachoki kuchambaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @congratulationmayunga3833
    @congratulationmayunga3833 Місяць тому +1

    Masha na johari wako vizuri sana

  • @JoanessJosephat
    @JoanessJosephat 29 днів тому +1

    Nahitaj kupanda na mm kweny jukwaa la Mr light jaman😂

  • @SuperkarimBenzema-o1h
    @SuperkarimBenzema-o1h Місяць тому +2

    Johari ni mrembo ❤❤❤

  • @KhamisBoss
    @KhamisBoss Місяць тому +2

    Dada yang aliyah izo nguo sio poa Kwan nguo ndefu hupendez mpa vipaja nje nje

  • @wencieslaussolas7133
    @wencieslaussolas7133 23 дні тому

    Dr kumbuka anaboa sana lengo ni kusaidia Mr right kupata mwenza unapo discarage mtu hufai kuwa muongozaji mc una hekima sana

  • @ElifAthanas-or1dt
    @ElifAthanas-or1dt Місяць тому +2

    Dr kumbuka unanikosha sana naangalia kwa ajili yako

  • @evancelimumba
    @evancelimumba Місяць тому

    Hallo Mr right Tanzania 🇹🇿 inabamba na madems warembo kuliko Hallo Mt right Kenya🇰🇪

  • @sephaniamussa2498
    @sephaniamussa2498 Місяць тому +4

    Kwani jamani ukivaa tu vazi lako la heshima unapungukiwa na nini mbona hamna hofu ya mungu hata kidogo jamani? 😢 Hata hao wadada wenyewe baadhi yao mavazi hayaridhishi harafu eti unachukua mke hapo😮 naona siku hizi maisha ni maigizo huku tunaishi Mungu aturehemu

  • @UPENDOMMAKASA
    @UPENDOMMAKASA Місяць тому

    😂😂😂😂Ila Docta Kumbuka kibokoo hahahah,eti labda ukatafute vibwengooooo

  • @aishamasesa7159
    @aishamasesa7159 19 днів тому

    Utawasubiri sana weusi

  • @stellahmsigwa6493
    @stellahmsigwa6493 Місяць тому +1

    Ila kumbuka hapana akachukuliwe na vibwengu😂😂😂

  • @BlessChaula
    @BlessChaula 17 днів тому

    Kuumbuukaaaaa😂😂😂😂 falaaa sanaaaa😅😅😂

  • @cyahmkanile8587
    @cyahmkanile8587 Місяць тому +31

    Kumbuka anajua kuchangamsha kipind ❤❤

  • @Luluissa-l7s
    @Luluissa-l7s 3 дні тому

    Hawajapenda hawo

  • @NiceLyimo-h2p
    @NiceLyimo-h2p Місяць тому

    Dr kumbuka nampenda amenyoosha

  • @fugakwamalengo707
    @fugakwamalengo707 Місяць тому +3

    Kumbuka kamkumbuka Masha love wake

  • @nahimanawanjani9865
    @nahimanawanjani9865 6 днів тому

    Mshamba uyo mwanamke

  • @Ayshapafyum
    @Ayshapafyum Місяць тому +1

    Ila jmn humu kumenoga zaid kwajil ya doctor kumbuk😅😅

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 25 днів тому

    Ila kumbuka wakat mwingine unanichekesha sana jmn khaa😂😂😂😂 et akakutane n vibwengo et wanaume weusi wapo gerej kwenye oili

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s Місяць тому +3

    Mimi nampenda tu garab basiiiiiii

  • @RahmaBako
    @RahmaBako Місяць тому

    Kumbuka asije akatolew❤❤❤

  • @neziajoseph9726
    @neziajoseph9726 Місяць тому +6

    Mmepatia sana lazima ma legends wa mziki kama mr.blue wawepo Sana hapo kuleta chachu ya kipindi chenu bora...mko vzur na uwepo wa mr.blue umekua ni kivutio zaid

  • @sheilaomari457
    @sheilaomari457 Місяць тому +1

    Kwani wapi huku na mimi nijeee kutafuta chaguo langu sahihi 😔

  • @LightSanga
    @LightSanga Місяць тому +4

    Dr Kumbuka anachangamsha kipindi

  • @FedrickJoshuaKemu
    @FedrickJoshuaKemu 7 днів тому

    dah huyo dada jamn

  • @witnessmallya5114
    @witnessmallya5114 27 днів тому

    Kumbuka hapo hajafit kabisa Gara B alikuwa anatosha Sanaa, Kumbuka tukutane nae kwenye kipindi Cha masham sham.

  • @talentshow2024
    @talentshow2024 Місяць тому +2

    Mungu anamuona aliyemleta Dr. Kumbuka Hapa 😂,😂,

  • @hamisiRamadhan-v8i
    @hamisiRamadhan-v8i Місяць тому +1

    Kumbuka kiboko jamaa nampenda saanaaaaa

  • @magreciousthomas3527
    @magreciousthomas3527 Місяць тому

    Nimependa

  • @AngelinaCleophace
    @AngelinaCleophace 21 день тому

    Kumbuka anafanya Mr right akose confidence

  • @Abdallahmgenge
    @Abdallahmgenge Місяць тому +2

    Huwa nawazaga wakishapatana hapo wakiondoka wanaenda moja kwa moja kufanya taabia mbaaaaayaaa au wanasubiri subiri kidg😂😂

    • @user-princs
      @user-princs Місяць тому +1

      @@Abdallahmgenge 🤣🤣🤣🤣🤣
      Wan weiiiiii...

    • @RizikiMollel-e8g
      @RizikiMollel-e8g Місяць тому

      @@Abdallahmgenge kichwa chako daa🥺🥺🥺

  • @KenedBank
    @KenedBank Місяць тому +13

    uyo kumbuka iyo shoo ahimfahi anaalibu sana

  • @fatumahapesamohamedfatumah4633
    @fatumahapesamohamedfatumah4633 Місяць тому +1

    Johari mrembo Mashaallah

  • @mohammedganyuma3445
    @mohammedganyuma3445 Місяць тому +1

    🎉🎉🎉❤ mr and mrs......kweli uyo ataka vibwengo mwenye kutaka weusi😅😅😅😂

  • @LenashaNgulo
    @LenashaNgulo Місяць тому +3

    So kwa michambo hiyo 😅😅

  • @Megazmediatv
    @Megazmediatv 25 днів тому +1

    jamani huyuu jamaa mc namkubali mno anaongea kama shoga hivi duu nakubali brow

  • @liberathaLeopord
    @liberathaLeopord Місяць тому +9

    Kumbuka ananivunj mbavu mm

  • @maxiellmillian
    @maxiellmillian Місяць тому +1

    Sisi wanaume, weusi warefu tujuae kwa like

  • @DorisMollel-i9b
    @DorisMollel-i9b Місяць тому

    Nzuriii mnooo jamn

  • @VictorNphilip
    @VictorNphilip Місяць тому

    Mimi naomba kumbuka afukuzwe Hana maana yoyote kuwa kwenye shooo Mr right

  • @magreciousthomas3527
    @magreciousthomas3527 Місяць тому

    Huyo masha hajitambui🤣🤣🤣kitambi kiko wapi hapo hayo manyanyaso

  • @Morinahypauly
    @Morinahypauly Місяць тому

    Mtoto kautaka hahahaha ila dr kumbuka😂😂

  • @emanuelgadiye2209
    @emanuelgadiye2209 Місяць тому +1

    YEET❤

  • @JosephatMassae
    @JosephatMassae Місяць тому

    Wanaume weusi wako gereji huko kwenye oil chafu😀😁😂

  • @HASSANTL-m7c
    @HASSANTL-m7c Місяць тому +3

    Nafsi zimekutana❤❤❤

  • @AdveraJoseph
    @AdveraJoseph 15 днів тому

    Kumbuka😅😅😅😅 eti wako gerej

  • @mwanamgenisuleimani2618
    @mwanamgenisuleimani2618 Місяць тому

    Ila kumbuka Nyie 😂😂😂❤❤❤

  • @georgekabaka377
    @georgekabaka377 Місяць тому

    Kumbuka umetisha

  • @TunuBukile-t3c
    @TunuBukile-t3c 12 днів тому

    Hakika mumependana

  • @GetrudaBoaz
    @GetrudaBoaz Місяць тому

    Nataman baada ya miaka hata miwili waalikwe hapa jaman❤❤

  • @mwanamisikifogo869
    @mwanamisikifogo869 Місяць тому

    Doctor kumbuka anacheza mapambiyo jamni😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂

  • @FarhiaMliwa
    @FarhiaMliwa 19 днів тому

    Ata mm napenda wanaume mweusi

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p Місяць тому +1

    Shida mabinti wanavaa kikahaba kama vile hawajiamini mtu mzuri kuvaa kikahaba ni aibu sana mbona mzuri tu ukivaa vzuri utaonekana zaidi

  • @BarakaOkelo
    @BarakaOkelo Місяць тому

    Njoo kwangu masha

  • @AmonBora-ve5si
    @AmonBora-ve5si Місяць тому +1

    Ila kumbuka ety akachukue vibwengo😅😂

  • @maulidipazi6770
    @maulidipazi6770 Місяць тому +1

    Nimependa johari

  • @SadaHasimu
    @SadaHasimu 29 днів тому +1

    Hakuna shekhe Wala padri walamchukuja Wala ustazi ila hii duniya tunamkosea sana muumba wetu

  • @user-kg9uz2hh1y
    @user-kg9uz2hh1y Місяць тому

    Ni kipindi kizuri, nimekipenda

  • @SilviaSteven-n8t
    @SilviaSteven-n8t 26 днів тому

    Jamani unafanyaje ilikufika Mr right

  • @BienvenueSamuel-ij8sk
    @BienvenueSamuel-ij8sk Місяць тому +2

    Nawa penda sana🇨🇩

  • @shazmashazma-u3l
    @shazmashazma-u3l Місяць тому +3

    Aliya magazine mama jitahid kujistir kidogo😢😢

    • @hasinaalrahbi6681
      @hasinaalrahbi6681 Місяць тому

      @@shazmashazma-u3l kweli jina na kivazi tofauti.jistiri ndonutap3ndeza zaid

  • @renatusperas350
    @renatusperas350 28 днів тому

    Johar aende, kigomaaaaa, au mbeyaaa,

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er Місяць тому

    Nyie li mr light lizuri

  • @fortunatabernard6922
    @fortunatabernard6922 Місяць тому +1

    Jmn, where is our daktari mkali Lulu diva? By the way nice stage congrats and Alliya you amazing as always❤

  • @SuperkarimBenzema-o1h
    @SuperkarimBenzema-o1h Місяць тому

    Wee dr kumbuka ww mungu anakuona 😂😂😂😂😂

  • @ShedrackEmmanwel
    @ShedrackEmmanwel Місяць тому

    Mavazi hayo somageni jijini😂

  • @MOHAMMEDABDALLAH-w4k
    @MOHAMMEDABDALLAH-w4k Місяць тому +2

    Zay namkubali

  • @chriskalega4348
    @chriskalega4348 25 днів тому

    Johari mzuri aswa ila wanapambana ba lituli

  • @sehelsalum1843
    @sehelsalum1843 Місяць тому

    Ila tuacheni utani mwenye no ya johari anitumie tafadhali😂😂

  • @RajabKitonyo
    @RajabKitonyo Місяць тому

    Nataka kwingia uku

  • @sophiasimule7980
    @sophiasimule7980 Місяць тому +10

    She is a Golden Girl ❤️❤️❤️

  • @EmJesho
    @EmJesho Місяць тому +1

    Dr unanifuraisha😂😂😂😂😂😂

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 Місяць тому +10

    Mabinti wengi hawajielewi yani wapo hapo kutafuta 6packs badala ya baba bora,,,harafu wamevaa kama makahaba ovyooo..kifupi mtachezewa sana 😅

  • @emarsonjuma
    @emarsonjuma Місяць тому

    Big up kabaisa

  • @ZuraAmisseAbudo
    @ZuraAmisseAbudo Місяць тому

    Jamani wanawake wenzangu munakaha uchi sana, mbona awo wnaume wamevaa vizuri na wamependeza umalaya tu,umeikunja miguu tunaona iyo mipaja yoko, com esse cabelo emprestado kkkk

  • @faithmosha
    @faithmosha Місяць тому +4

    Kuna sisi tunatamani tupate yoyte tu mwenye upendo mhh alfu kuna wengne wanatafut mrefu mweus sjui nini na nini duh

    • @doreenkimaro6926
      @doreenkimaro6926 Місяць тому

      Imebidi nucheke maana hii ni maajabu 😅😅😅😅😅😅 sisi tunatamani wenye upendo wenzetu wataka vitu vya ajabu 😅😅😅