BIASHARA 13 KWA AJILI YA MAMA WA NYUMBANI//13 BUSSINESS IDEAS FOR STAY AT HOME MOMS
Вставка
- Опубліковано 11 вер 2024
- biashara 13 kwa ajili ya mama wa nyumbani.
zote zinawezekana na ni za uhalisia kabisa. unachohotaji ni UTHUBUTU PEKEE
FUNGUA CHANNEL YA UA-cam KWENYE SIMU YAKO NA ULIPWE
• JINSI YA KUFUNGUA CHAN...
BISKUTI ZA BIASHARA
• Video
BIASHARA 5 ZA KUKUINGIZIA 10,000/=KILA SIKU KIRAHISI
• BIASHARA 5 ZA KUKUINGI...
MWONGOZO BIASHARA YA JUICE BONYEZA LINK HII
• MWONGOZO WA JUICE//A G...
Asante dear,,tupe vigezo vya kuwa na channel ya UA-cam
Asante Sana dada nimekupenda ghafla.
Dear moyo wako mwema unatushirikisha mambo mazuri keep it up strong lady
Asante dear,ata wewe moyo wakp ni mwema sana,kuangalia video,mpaka kucoment...asante sana
Nimekuelewa sana dada
Uko vzr hongera my dear
❤❤❤ Nashukuru kwa video yako imenimotivate sana, nimeanza kujifunza kufuma na kudalizi watu wananishangaa lakini mimi nina malengo ya kuanza kufanya hii kazi kwenye muda wangu wa ziada ili kupata extra cash nisitegemee mshahara tu.
Masha Allah dada kweli leo umeniongeza marifa ntakufatilia kila wakat Namuomba Allah akulinde uzidi kutupa elimu na mis niwe na channel yangu Insha Allah
Naitaji mafundisho
Keki plus unajua kuinspire wanawake big up sana nazani hakuna atakae kata tamas
Wamama hatutakiwi kukata tamaa hata kidogo..
@@kekiplus1andonly kabisaa
Habar my dada upo vizurii mnoo ongera sana
Mimi nataka kujua
Mm nataka kujua jinsi kutengeza blog
This new series is great sis. Women empowerment ❤️
Yez dear,women empowerment 💪
Ukovzur sana dada Mungu akuzidishie baraka
Jinsi ya kufungua you tube best
Keki plus tupee muongozo wa kufungua UA-cam channel ama utupee namba ili tukufuate mmoja badala ya mwingine japo wengine si vile sio mpaka mama wa nyumbani
😂😂😂😂jamani iyo namba kila mtu atapiga dear..
Muongozo wa kuanzisha channel nitatoa dear..hahaha..ila wewe
Na mm naomba mwongoz wa kufungua You Tube channel plzzzz
@@kekiplus1andonly oooh mbavu zangu mie umenifanya nitafute nozzle ya 1M nimeiweza sasa tunangoja vile vi
Nozzle vingine ninavyotu kama pambo sasa maana unaniinspire mpaka nimeenda tafuta nozzle japo nimeuziwa vifuko feki yanapasuka
Plz dada tunaombaaaaa plz
Beautiful cake design and looks delicious❤️
Ahsante Kwa kunielimisha pia unaelimisha vizuuur Sana 😘😘😘😘
Asante sana😍😘😘
Asante kpz
Asante kwa elimu ya biashara ..
Ni kwel kabisa nalijuwa hilo keki, mandazi na hivyo vingine Kuna mama mzanzibar alikuwa anapikaga hafukeki nilikuwa nazipendaga
Yes nahitaji
Naomba kujua ,nahitaji kujifunza zaidi
wauuuh MashaAllah dda naomba unielezee niaze vipi ilinijua kufungua you utube
Video ipo hapa kwenye comment,soma comment ya kwanza kabisa,lakini hata kwa description box ipo
Dada asante kwa mafunzo.nataman kujua jinsi ya kufungua account you tube
Allah akupe kheri akuondoshee husda na akupe afya
AMIN AMIN AMIN dear..
Shukran sana,Allah akutunze pia.
Mm nimefungua but hakuna views kabisa😢😢
Naomba mwongozo dear you tube chanel
Angalia kwny chanel video ipo
Nataka kufungua UA-cam channel
Utafungua tu
Dah!!asnt dada nim3jifunza kitu ,,,,,,naanza sasa
Nmejaribu izo cakes pka nmechoka
Huna roho ya uchoyo be blessed thank u.
Ss you tube hua wanalipa kupitia njia gani?
Na je ukichukua video vipande vipande hua una edit VP mpaka iwe moja UA-cam?
Tanx dad umenifumbua macho sas nafunguaje account yang ya biashar
Ahsante dada...ubarikiwe
Amen,barikiwa pia
Big up strong woman keep it up
Ahaa nilikuwa nafananisha kumbe ndo wee nilikuonaga kwa video nyingine
Nifundishe jinsi yakufungua UA-cam chanel
Asante kwa darasa zuri
Kweli umenifungua akili asante
Muongozo wa kufungua you tube my dr
Nitaweka dear
Mm pia nasubirii
mm pia nasubiriii inshaAllah
MWONGOZO WA BIASHARA YA JUICE BONYEZA LINK HII
ua-cam.com/video/96VzLabR4dM/v-deo.html
Thanks, Dada nahtaj kujifunza
Asante dada, nmependa maelezo yako, upo vizuri naomba nielekeze naweza fanyeje biashara ya mtandao plz!!
Haya
Naomba maelekezo ya kuingia uko youtube
Jamani nimependa ida yako ,naomba muongozo wa kujiunga
Nimeipenda hiyo..
Kujiunga na nini dear?
Au unamaanisha youtube?
Tengeneza account na uanze kuupload video au tumia hii uliyonayo kama ni salama...utaupload video yoyote unayotaka wewe..jiwekee malengo na utie bidii ili acount yako ikue na uanze kuingiza pesa.
Mimi natamani nijifunze kupika keki jmni ndokazi ninayoweza lakini sijui kuposti kitu chochote yutobe ..alfu itaingiza vipi hiyo pesa kwakupost video??
Asante
Shukran
Naomba unifundishe nakufungua blog
Msaada kwenye kufungua blog na jinsi ya kulipwa through that please
Woow
Dada sijui hata jinsi yakuanzisha nafanyaje
Naomba maelekezo namna ya kuwa na youtube channels mpendwa
ua-cam.com/video/f7w6BAZLMbE/v-deo.html
Hellow nawezaje kulipwa UA-cam???
Kweli kabsa
👌
Mama Asante Kwa elimu ,lkn nauliza malipo yakuwa na channel yanakuwaje
Hata mimi pia nasubiri mwongozo wa youtube
Utapata dear,InshaAllah
Ubarikiwe mamy kutufungula akili.uko mutu mwenye utu kabisa. Ninakuombeya kwa Mungu akuzidishiye leo unanifungula memoire. Akili yani. Nilikuwa sijuwi ili najiuliza nifanye nini. Yani. Uzikiyetu
Amen dear,Mungu akuzidishie pia,aendelee kukufungulia mambo makubwa zaidi ya haya na akufungulie rizk🙏🙏🙏
Asante sana kwa sapoti yako
Tunasubiri ❤💜
Nanzaje kufungua
UA-cam nafunguaje dadangu
Naomba tuelekeze hiyo utube
nahitaji kujua namuna ya kufungua
Asante kwa ushauri Dada
nakupend wewe madam
Utupe utaratibu wakufungua day care dear vile nakupenda
InshaAllah
Na unalipwaje na you tube
Tunasubir maelekezo ya youtube
Kweli tembea uone
Good
Mm nahitaji
🥰
Aaaaaw thanks for watching my dada👑
Allah akutunze.
Habari yako , Mimi nataka nijiunge UA-cam lkn sijui nianzie wapi nakuomba nifahamishe
Link ya video IPO kwenye comments bonyeza
Vile unavyotu inspire
Habari! Vigezo gani vinahitajika ili kuanzisha you-tube channel
Huitaji vigezo kuanza,kulipwa ndo kunahitaji vigezo..we anza hata leo dear..upllad tu km unavyoupload status..lol
Yaaani acha kabisa...hakuna kulala
@@kekiplus1andonly naanzia wapi maana cjui chochote
Naomba no zako
Nisaidie hiyo video
Minaitwa pasy natamani kufungua youtube lakini sijui naanzaje vigezo sivijui natamani nijuwe mwongozo
Video inakuja soonest dear..pole imechelewa,kuna vitu naeka sawa.
Kunabiashara zingine hazifai Kwenye nyumba zakupanga
Nahitaji youtube
Thank you 😊
Nataka kujua mtu anaanzaje
Vyakula nilionaga vya Watoto wadogo Wa kimo chote
Natamani kujua jmn
Nawezaje kuanzisha channel you tube
Nisaidie
Nisaidie jinsi ya kufunga yotube chanel
Naomba unipe namba ili unielekeze vizuri jinsi ya kutuma picha na wanavyo nilipa
Dada naomba namba yako nimeelewa sna hongera na Mungu akujalie zaidi.
Mm nahitaji sana
Dada wengine ni mama wa nyumbani na wanatamani kujishughulisha but waume zao hawako tayar je unawashaulije ili na wao wapate akiba kwajili ya kesho
Fanya bajeti kali.
Pesa ya matumizi unayopata,jaribu kuibana ili upate angalau kidogo kitu kila siku unajiwekea kama ni kwenye simu,au benki km unayo unaweka kwa kutumia wakala na wala kadi ya benki usikae nayo ndani kama italeta migogoro ,au sajili line ingine ,au tumia familia yako kama unawaamini..
Haba na haba hujaza kibaba
Anza kumuomba mume wako pesa kila wiki au kila baada ya siku kadhaa kwajili ya kitu ambayo utakuwa unajiwekea,so ukiongeza na iyo ya matumizi unayojibana..utakuwa na akiba yako nzuri tu.
Anzisha bustani ya mboga mboga na hoho na nyanya nyumbani kwako,carrot,panda hata kwenye makopo.. na kila siku pesa ya ivo vitu utakuwa unajilipa wewe sababu ww ndo muuzaji.
Nitafunguaje UA-cam akaunt
Dear naomba nielekeze namna ya kuandika machapisho kwenye mtandao.
Naomba kufahamu namna ya kulipwa na u tube
Link ipo kwenye comments,ibonyeze
Nifundishe jinsi yakufungua You Tube chanel please my sister
Nasubilia muongozo wa kufungua
Utapata dear...InshaAllah
Mie nataka kuanzisha Chanel UA-cam ila cwez naanzaje nielekez
Nmekukubali dada
Alhamdullillah, asante sana
Dada naomba unifundishe namna ya kufanya ili niweze kulipwa
Nataka kujua jins ya kulipwa tuelezee plz
Nisaidie nipate hii biashala ya 13 wakala wa bidhaa za achakula na nk
Nataka kufungua UA-cam yng nafanyaje
Nitakujulisha wewe na wengine wote dear
Nitakujulisha wewe na wengine wote dear
Njinsi ya kufungua you tube, unatumia njia gani?
assist
Nataka
Tunalipwaje
nataka kufanya biashara mtandaoni,naanzaje dear
Natamani kujua zaidi
Naomba namba yako dada nipate mwongozo