NJIA RAHISI YA KUPIKA SKONZI ZA SH.100 KWENYE JIKO LA MKAA//BIASHARA YA SKONZI ZA SH.100

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • leo tunajifunza njia rahisi sana ya kupika skonzi za sh.100 kwenye jiko la mka,skonzi za biashara.
    kwa recipe zingine za mkate bonyeza link hizi
    KUPIKA MKATE KWENYE JIKO LA MKAA
    • JINSI YA KUPIKA MKATE ...
    MKATE WA MAZIWA
    • JINSI YA KUPIKA MKATE ...
    MKATE WA BAGA
    • JINSI YA KUPIKA MIKATE...
    MKATE WA BROWN
    • JINSI YA KUPIKA MKATE ...

КОМЕНТАРІ • 292

  • @hopegodbless1305
    @hopegodbless1305 3 роки тому +15

    Ubarikiwe sana jmn una uchoyo wa ujuzi Jana nimeweza tengeneza juice kwa kutumia chujio la chuma uku kwetu amna Umeme na wanangu ni wapenzi wa juice nimekupenda bure Allah akuweke yallab na akupe itaji la moyo wako unatusaidia sana sana sie watu wa chini angalau hata familia zetu zinafurahia mambo madogo madogo barikiwa sana sana

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +1

      alhamdulillah rabbil alamin🙏🙏🙏sifa zote na utufuku tunampa Mungu wetu ,muumba wa mbingu na nchi.🙏🙏
      Ninasoma comment nyingi sana@hope godless ila ujumbe wako leo umenigusa mpaka ndani zaidi kwenye moyo wangu.
      Huwa nafarijika ninapogusa maisha ya mtu kwa mafunzo yangu,ila leo nimesisimka kuyagusa maisha yako na familia yako kupitia video ndogo sana ya kutengeneza juisi bila blenda.
      Ni kweli hatuchagui maisha,maisha yanatuchagua,nakuombea heri rafiki,Mungu akuinue kutoka hapo ulipo na akuweke mahali pa juu sana kulingana na utukufu wake
      "warzuqnaa wa anta khayrur-raaziqeen"
      Sema Amen rafiki.

  • @lovenessmrema4992
    @lovenessmrema4992 Рік тому +1

    Asante mpenzi kwa mafunzo Yako nimejaribu Leo na imetoka vizuri Asante Sana mungu akubariki uwendelee kutufunza zaidi

  • @shbarittahassan6391
    @shbarittahassan6391 3 місяці тому

    I’ve been using this receipt since 2021 shukraan sana mabanzi matam malaini MashaAllah 👌🏼🔥

  • @africanbellatherealtalk
    @africanbellatherealtalk 3 роки тому +7

    Nakumbuka luna rafiki yangu nilikuwa kila wakati namuomba this reciepe and she never did.Glad umenifundisha still watching dear

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +1

      Ooooh am glad now umeipata🤗🤗🤗🤗🤗and thank you so much for watching dear..🙏🙏🙏🙏

    • @evamrema3435
      @evamrema3435 3 роки тому +1

      Jamani asante sana mumy wangu

  • @queencharles2688
    @queencharles2688 3 роки тому +7

    Nmeangalia video zako zoote... unaelekeza vzur mnoo... yan n mwalim mzur sana well done maa

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +2

      Oooh jamani,asante sana dear,asante sana kwa kunisapoti.

  • @ruthkadii4278
    @ruthkadii4278 3 роки тому +2

    Nimependa kazi yako Dada hasa kwakutumia hygienic gloves to avoid handling foods with bare hands. Be blessed

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 3 роки тому +2

    Mungu akuzidishie Umri mrefu mamy Mungu akupe rizikii kwa kila biashara yako

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +1

      AMEN AMEN dear,akujalie nawe pia dear,umri wa kutosha,furaha,na riziki akufungulie pia..asante sana kwa dua nzuri🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @salmakiongozi6739
    @salmakiongozi6739 2 роки тому +1

    Mashallah nmejifunza na leo najaribu kupika

  • @mwanaidimasudi5877
    @mwanaidimasudi5877 3 роки тому +1

    Asanteee sanaaa unt mpk nimetamani kulaaa jinsi zilivyokuwa nzuri

  • @lizlovedbyGod
    @lizlovedbyGod 3 роки тому +9

    I just discovered your channel today and I feel blessed. Im binge watching you❣❣❣Una sauti nzuriiiiii....

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +1

      Wooooow,thats super cool of you,thanks sooo much for your support..
      Am glad you bumped into my channel..
      Welcome to the family dear🤗🤗

    • @lizlovedbyGod
      @lizlovedbyGod 3 роки тому

      Thanks love. Third day im making these scones and they turn out perfect kila mmoja ananisifia mautundu...lol. no more buying bread. I want to do half cakes today. ❣❣

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 Рік тому +1

    Mwenyezi Mungu akuzidishie nimefanya zimetokea nzuri sana

  • @mwanaidiamanzi7187
    @mwanaidiamanzi7187 3 роки тому +2

    Ubarikiwe Sana Dada maana nilikuwa nashindwa kupamba keki bila vifaa na ssa nmeweza kwa kuangalia video zako Asante🙏🙏🙏

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +1

      Alhamdullillah ,MashaAllah dear,nafurahi kuskia ivo

  • @evelinamwamnyange5085
    @evelinamwamnyange5085 3 роки тому +1

    Asante kwa pishi zuri niliangalia na nikajalibu kupika na iliiva na kuchambuka pia

  • @wardasaid7881
    @wardasaid7881 3 роки тому +2

    Hii no nzuri haswa kwa watoto maana haziharibiki haraka nice one shukran

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 3 роки тому +1

    Hongera dada mikate mizuri na maelezo mazuri yametulia kwa kweli hadi raha

  • @sararosesirikwa4615
    @sararosesirikwa4615 3 роки тому +2

    Asnte sana nlikuwa na shauku ya kujua kwa mda,Mungu akubariki

  • @tinasabas1265
    @tinasabas1265 3 роки тому

    Nimejifunza vzr sana hakika wew ni mwalimu boraa sanaaa

  • @shamsaamos3130
    @shamsaamos3130 3 роки тому +3

    Wa Kwanza leo. Like ziwe nyingi.shukuran

  • @cookwithmsoo
    @cookwithmsoo 3 роки тому +4

    Because what an oven can do, Jiko la makaa can do better. They really came out nicely- well done dear

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +1

      You know it sisrer👌👌👌👌👌👌
      Thanks so much for watching dear

  • @maruunyange1091
    @maruunyange1091 3 роки тому +3

    Asante sana mamy, endelea na moyo wako hivyohivyo Mungu ataendelea kukubariki.

  • @user-ln9vx3sh1u
    @user-ln9vx3sh1u Місяць тому

    Ubarikiwe bado kidogo naelewa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @halimakabura1222
    @halimakabura1222 3 роки тому +1

    Mashaallah wow nimejifunza

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 3 роки тому +1

    Wow we dada weweeee😋😋👌👌nitathubutu

  • @florencendanu9325
    @florencendanu9325 3 роки тому +2

    Asante Sana dada, you make simplest way to bake at home,we can try this at home, bye bye, I will not be buying bread.Asante

  • @ireneslvester8917
    @ireneslvester8917 2 роки тому

    Una sautinzuri sana mama na unaelekeza vzuri mungu akubariki sana ilove you

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  2 роки тому

      Aaaaaaw shukran sana mpenzi,Mungu akubariki sana pia love,nakupenda❤🥰😍😘

  • @lissaally4663
    @lissaally4663 Рік тому

    Napenda jinsi unavyopika na ni mwalim mzuri nami ntajaribu

  • @everinagodfrey5264
    @everinagodfrey5264 2 роки тому

    Dada uko vizur yan maelezo safi, endelea kutuletea vitu vizur

  • @deborakivuyo8163
    @deborakivuyo8163 2 роки тому

    Very good...... Kazi njema
    Hakika hamna Kaz ndog zot xnahtji ujasir n ucriaz

  • @siakiwelu3007
    @siakiwelu3007 3 роки тому

    Asant sanaaa
    Unafundisha vizur kwakwel wewe ni mwalimu bora

  • @marthamoraa6907
    @marthamoraa6907 3 роки тому +1

    Ubarikiwe dada nimejifunza jinzi ya kupika mkate kwenye jiko la makaa thanks

  • @enesia7771
    @enesia7771 3 роки тому +1

    Asante sanaa nimepika zimetoka vizur

  • @lydianakiganda1813
    @lydianakiganda1813 3 роки тому +2

    Thank u so much dia though i don't under stand Swahili but atlest I have learnt many things

  • @AuroraRecepti
    @AuroraRecepti 3 роки тому +3

    This look so interesting to watch, first time seeing my friend. It looks really nice

  • @ezekielsafari5714
    @ezekielsafari5714 3 роки тому

    Nimependa somo lako dada mungu akuzidishiye

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma9388 Рік тому

    Ntajrbu hii in shaa Allah 😊 Axnte dear

  • @mms9158
    @mms9158 3 роки тому

    Alla akupe afya na kuzidi kutuonesha mapishi mazuri

  • @mwantumumwemgeni975
    @mwantumumwemgeni975 2 роки тому

    Jamn mpk raha me nakoseaga kidg coach unga uumuke be4 kukat matnge ya skonz thnx dear

  • @mwajomaessa7513
    @mwajomaessa7513 3 роки тому +1

    Masha Allah shukuran🇹🇿🇸🇩

  • @zubedaezekiel8970
    @zubedaezekiel8970 Рік тому

    Pamoja sana.huna ubabaishaji barikiwa

  • @MagrethJackson-lb9qs
    @MagrethJackson-lb9qs Рік тому

    Asante Dada kazi nzr na rahis San nimependa

  • @teopistakajuna2189
    @teopistakajuna2189 2 роки тому

    Kwa siku nyingi nilitamani kujifunza nashukuru Sana dada

  • @jestinanixdorf6628
    @jestinanixdorf6628 Рік тому +1

    Mmhh..Mimi Ni mpenzi Sana wa skonzi. 🙏

  • @user-ch1md8bb7b
    @user-ch1md8bb7b 6 місяців тому

    Asant dada kwa somo zur nimelielewa San

  • @husseinkayiira8289
    @husseinkayiira8289 3 роки тому +2

    Thanks for the good work dia,buh try using English also

  • @felstamushi6402
    @felstamushi6402 3 роки тому +3

    Nakukubali dada

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +1

    Shukran Sana, Ubarikiwe Sana.

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 роки тому +1

    Mashaallah..hongera sana

  • @user-ie4nz7is3y
    @user-ie4nz7is3y Рік тому

    Unaelekeza wizuri nimeelewa. Asante

  • @user-bw4uj3oe4o
    @user-bw4uj3oe4o 9 місяців тому

    Asante Sana nimejifunza kitu

  • @JescaErasmus-pe6pk
    @JescaErasmus-pe6pk 9 місяців тому

    Yaan Hadi raha unafundisha vizur kweli yan

  • @aishaamira2548
    @aishaamira2548 3 роки тому

    Masha Allah nimependa sana nitajaribu insha Allah

  • @asiathkagemulo9735
    @asiathkagemulo9735 2 роки тому +1

    Mkate wako mzuri sema tu sijauonj

  • @estermanyono761
    @estermanyono761 2 роки тому

    Barikiwa mpendwa naanza biashara🥰

  • @frankmagesa2998
    @frankmagesa2998 3 роки тому

    Ubalikiwe kwa somo zuri

  • @fatyscooking8080
    @fatyscooking8080 3 роки тому +3

    Laini mashallah 😋😋😋

  • @kpetres2872
    @kpetres2872 3 роки тому +1

    Nakupataje, nipo dar es salaam temeke

  • @severakimario6767
    @severakimario6767 3 роки тому +1

    Asanteee nimeelewa

  • @deboramsemwa9682
    @deboramsemwa9682 3 роки тому +1

    Vizur nimependa

  • @user-xx9qt6ym6v
    @user-xx9qt6ym6v 3 місяці тому

    mashaallah shukran kwa mafunzo

  • @HappynesMwakyambiki-ll8ll
    @HappynesMwakyambiki-ll8ll 3 місяці тому

    Uko vizurii dd mung akubrik

  • @eliakileo8671
    @eliakileo8671 3 роки тому

    Hongra mno dada........nimezipenda sana ntajaribu na mm

  • @rozzyraphael9790
    @rozzyraphael9790 2 роки тому

    Asante kwa videos yako ninzuli

  • @lisavictor3102
    @lisavictor3102 3 роки тому +1

    Kusema kweli unajua kufundisha

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +1

      Alhamdullillah, shukran sana kwa kusapoti kazi yangu...Allah akuzidishie

  • @angelfrancis360
    @angelfrancis360 3 роки тому

    Ahsante kwa SoMo zuri dada

  • @musamdeyo2136
    @musamdeyo2136 3 роки тому

    Asante saana, elimu imenifikia

  • @cesiliakessy7150
    @cesiliakessy7150 3 роки тому +1

    Nzur Sana iyoo hongera

  • @kayobigazaba2471
    @kayobigazaba2471 2 роки тому

    Umenifunza vitu vingi Asante sana

  • @ArodiaPancras-nm5qm
    @ArodiaPancras-nm5qm Рік тому

    Nzuri sana nitajalibu

  • @carolynakinyi8657
    @carolynakinyi8657 3 роки тому

    Asante. Recipe fupi ambayo inaweza fuatwa na kila mtu. Hakika ntajaribu nyumbani.

    • @sarahjanuary2875
      @sarahjanuary2875 3 роки тому

      Naomba unicheki whasp 0758303709

    • @carolynakinyi8657
      @carolynakinyi8657 3 роки тому

      @@sarahjanuary2875 Sikupati kwenye whatsapp. Niko Kenya wewe uko nchi gani?

  • @habibadula7775
    @habibadula7775 3 роки тому

    Ma shaa Allah nitajaribu

  • @rehemamchomvu1729
    @rehemamchomvu1729 7 місяців тому

    Asante kwa Simon zuri

  • @halimaally5333
    @halimaally5333 3 роки тому

    Nimependa sanaaa namim nitajaribu

  • @ireneanthony1158
    @ireneanthony1158 3 роки тому

    una maelezo mazuri kuelewa inakua rahisi sana

  • @husnasimba611
    @husnasimba611 3 роки тому +1

    Aksante sana ntafanya

  • @lidyanapegwa8154
    @lidyanapegwa8154 3 роки тому

    Hongera Sana dada, mungu akubariki unaelekeza vizuri sana

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 роки тому +1

    Mashallah nashukuru kwa somo lako

  • @doucebintukereine375
    @doucebintukereine375 Рік тому

    Naipenda sana kabisa

  • @neemafungo7278
    @neemafungo7278 3 роки тому +1

    Nice dear very simple way

  • @andjelkamaravic4575
    @andjelkamaravic4575 3 роки тому +1

    Beautiful 🤗🌸💛 like

  • @bestinamseti3078
    @bestinamseti3078 3 роки тому +1

    Jamani me nimetengeneza nimeweza kupitia vedio hii ahsante dada kunifundisha hata familia yangu imefurahi

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +1

      Woooow,hongera sana rafiki..raha ya pishi upike linoge😋😋😋😋😋
      Asante sana kwa mrejesho dear,👌👌👌👌👌

    • @tylermitindoyakubanarast3875
      @tylermitindoyakubanarast3875 3 роки тому

      @@kekiplus1andonly asante dear

  • @africanbellatherealtalk
    @africanbellatherealtalk 3 роки тому +3

    Sawa nimekuelewa ntajaribu.

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +1

      All the best "beautiful smile"😍😍😍😍😍

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 3 роки тому +1

    Super Superb Thank you dear

  • @TheMackenziesKE
    @TheMackenziesKE 3 роки тому +1

    Laini kabisa👌👌

  • @aminaomary1099
    @aminaomary1099 3 роки тому

    Asante kwa kunifundisha

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому

      Karibu sana dear,asante sana kwa kushukuru,watu wengi huwatch tu na kukimbia,ama kudemand majibu bila hata kusema samahani/naomba🙈🙆🤔😂😂😂Allahuma bareek 🙏🙏🙏

  • @zaitunjuma870
    @zaitunjuma870 Рік тому

    waoooo mashallah

  • @Ketee25
    @Ketee25 Рік тому

    Ishu ipo kwenye Moto

  • @salmaseif8755
    @salmaseif8755 3 роки тому +4

    Thank much 😍😍

  • @mbojefakii4741
    @mbojefakii4741 3 роки тому +1

    Mashallah uko sawa kwaupishi

  • @namnyakimboya4883
    @namnyakimboya4883 2 роки тому

    Nice nimependa

  • @marykibwana9413
    @marykibwana9413 3 роки тому +1

    Safi sana.

  • @amadirispa8382
    @amadirispa8382 3 роки тому +2

    Waw mambo ni mbabam

  • @joshuamary1697
    @joshuamary1697 3 роки тому +1

    Waooow nyc one

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +2

      Thanks 4 watching dear

    • @joshuamary1697
      @joshuamary1697 3 роки тому +1

      Hi dear have tried it twice but imekata so sijui Ni Moto haifiki Dani,

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +1

      @@joshuamary1697 oooh thats so sad..niambie unafanyaje?
      Weka moto mwingi,mkate inafaa moto coz ni one the baked goodiea that huiva in a few minutes....kwenye jiko acha mkaa kidogo na kwa mfuniko mkaa zaidi depending on the depth/kina ya sufuria.
      Nitumie instagram the picha nione,ya mkate ulivyokuwa na ya sufuria na jiko @kekiplus.youtubechannel
      Hii mkate kila mtu anafanya first try tu na inatokea..i think umeona feedback za watu wengi

    • @joshuamary1697
      @joshuamary1697 3 роки тому

      Dear if u don't mind,0715109764 Ni txt watsup nikitumie pliiz

  • @IsraMjema
    @IsraMjema 8 місяців тому

    Asant kwa ushaur

  • @ngyukuabwe4221
    @ngyukuabwe4221 4 місяці тому

    Ok

  • @safinaali6066
    @safinaali6066 3 роки тому +2

    Yani ubarikiwe sana

  • @zulfahabibu4750
    @zulfahabibu4750 3 роки тому

    Asante kwa somo zuri

  • @eun-nsorquatrex2897
    @eun-nsorquatrex2897 Рік тому

    Dada samahani baking powder haihusiki hapa au sjaelewa vzr

  • @user-nq9sk5li8i
    @user-nq9sk5li8i 6 місяців тому

    Asante sana dada

  • @asiabushiri7566
    @asiabushiri7566 3 роки тому +1

    Thank you so much m'y love 😘😘😘

  • @saadaissa2234
    @saadaissa2234 3 роки тому +1

    Nimependa