Zanzibar Tv
Zanzibar Tv
  • 23
  • 132 254

Відео

RAIS ALI HASSAN MWINYI ENZI ZA UHAI WAKE.
Переглядів 717 місяців тому
RAIS ALI HASSAN MWINYI ENZI ZA UHAI WAKE.
Kumbukumbu ya Rais wa kwanza wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na uchaguzi
Переглядів 235Рік тому
Sikiliza kumbukumbu ya moja ya mahojiano wakati wa uhai wake akiwa visiwani Zanzibar Marhem Sheikh Abeid Karume.
Matunda ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964
Переглядів 309Рік тому
Sehemu ya Kumbukumbu ya hotuba ya mzee karume Rais wa kwanza wa SMZ
Zanzibar na matarajio yake baada ya Mapinduzi ya 1964.
Переглядів 642Рік тому
Sehemu ya kumbukumbu ya hotuba ya Rais wa kwanza wa SMZ Sheikh Abeid Karume akielezea juu ya matarajio ya Zanzibar baada ya mapinduzi.
ZANZIBAR HATUTAKI MADENI SHILINGI YETU 1 NI KUBWA KULIKO PESA ZAO.
Переглядів 8 тис.3 роки тому
Muendelezo wa kumbukumbu wa Hotuba za Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi visiwani Zanzibar Sheikh.Abeid Karume.
MZEE KARUME NA TANZANIA YA UJAMAA.
Переглядів 3773 роки тому
Kumbukumbu ya hotuba ya aliyekuwa Raisi wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Sheikh Abeid Karume juu ya Tanzania na sera ya kimaendeleo ya Ujamaa.
KUMBUKUMBU RAIS WA KWANZA WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR\\WAAFRIKA HATUKUJIAMINI.
Переглядів 3024 роки тому
KUMBUKUMBU RAIS WA KWANZA WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR\\WAAFRIKA HATUKUJIAMINI.
HOJA ZA WANAWAKE NA JINSI ASP ILIVYOZITHAMINI/KUMBUKUMBU MZEE KARUME
Переглядів 7875 років тому
HOJA ZA WANAWAKE NA JINSI ASP ILIVYOZITHAMINI/KUMBUKUMBU MZEE KARUME
KUMBUKUMBU/SHEIKH ABEID A. KARUME KUHUSU KULIPONGEZA JESHI LA WANANCHI TANZANIA .
Переглядів 1 тис.5 років тому
KUMBUKUMBU/SHEIKH ABEID A. KARUME KUHUSU KULIPONGEZA JESHI LA WANANCHI TANZANIA .
UHURU WA TANZANIA NA MUUNGANO/SHEIKH KARUME
Переглядів 1,6 тис.5 років тому
UHURU WA TANZANIA NA MUUNGANO/SHEIKH KARUME
MANENO MAWILI RAHA NA BUSTAREH/SHEIKH ABEID KARUME ENZI ZA UHAI WAKE.
Переглядів 27 тис.5 років тому
Endelea kuwa pamoja nasi,
VIJANA SI LAZIMA NYOTE MUPATE ELIMU YA SEKONDARI/MZEE KARUME
Переглядів 1,6 тис.5 років тому
VIJANA SI LAZIMA NYOTE MUPATE ELIMU YA SEKONDARI/MZEE KARUME
TUAMUE JAMBO LA HAKI/KUMBUKUMBU YA RAISI WA KWANZA ZANZIBAR.
Переглядів 3695 років тому
TUAMUE JAMBO LA HAKI/KUMBUKUMBU YA RAISI WA KWANZA ZANZIBAR.
VIJANA JENGENI NCHI YENU/RAIS WA KWANZA WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Переглядів 1,3 тис.5 років тому
VIJANA JENGENI NCHI YENU/RAIS WA KWANZA WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
WAFANYAKAZI NI WA KILA NAMNA/KUMBUKUMBU YA MZEE KARUME RAIS WA KWANZA ZANZIBAR
Переглядів 6295 років тому
WAFANYAKAZI NI WA KILA NAMNA/KUMBUKUMBU YA MZEE KARUME RAIS WA KWANZA ZANZIBAR
TUFANYE KAZI TUACHE MAZOEA/KUMBUKUMBU MZEE KARUME.
Переглядів 6245 років тому
TUFANYE KAZI TUACHE MAZOEA/KUMBUKUMBU MZEE KARUME.
TUKIHIFADHI NA KUKIKUZA KISWAHILI/KUMBUKUMBU MZEE KARUME
Переглядів 1,1 тис.5 років тому
TUKIHIFADHI NA KUKIKUZA KISWAHILI/KUMBUKUMBU MZEE KARUME
MZEE KARUME-VIJANA ELIMU ZENU NI SEHEMU YA UFANISI WA KAZI
Переглядів 11 тис.5 років тому
MZEE KARUME-VIJANA ELIMU ZENU NI SEHEMU YA UFANISI WA KAZI
Maneno ya hekima ya Nelson Mandela wakati wa Uhai wake,
Переглядів 9306 років тому
Maneno ya hekima ya Nelson Mandela wakati wa Uhai wake,
Mzee Karume asimulia maisha yake halisi.
Переглядів 72 тис.6 років тому
Mzee Karume asimulia maisha yake halisi.
Mzee Abeid Karume na ASP.
Переглядів 1,3 тис.6 років тому
Mzee Abeid Karume na ASP.

КОМЕНТАРІ

  • @WilliminaDorovick
    @WilliminaDorovick Місяць тому

    Good

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 2 місяці тому

    Hamna lolote la msingi analozungumza ama kueleweka....Upuuzi mtupu ! Mwisho wa kibri kuiuza Zanzibar kwa pesa moja tu ! Sultani alikua mzanzibari zaidi kukuliko weye mkosa kabila !

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 місяці тому

    Imani juu ya Tanzania nl yako kuwa na serikali inayoongozwa na Waafrika.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 місяці тому

    Mwenyezi Mungu akurehemie . Ulikuwa mzalendo wa kuzaliwa si wa kuoteshwa. Haukuwa mtoto wa nyoka bali mvuja jasho

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 5 місяців тому

    Babu Karume tunamuomba Allah akupe kinachostahiki. Amiin

  • @LingstonMwakaboko-q2k
    @LingstonMwakaboko-q2k 5 місяців тому

    Eshii jamani napitia comments hapa ila sijaona comments yoyote ya kumushukuru Karume hata chembe za mazuri yake hamukumbuki

  • @AbdulNassir-jk1jf
    @AbdulNassir-jk1jf 6 місяців тому

    Eeh aduwi wa allah

  • @MWIGAADAM-r3e
    @MWIGAADAM-r3e 10 місяців тому

    Dadali wa mwazo kuuuza zanzibar kwa watanganyika kwa husda na tamaa ya madaraka

  • @asilclub
    @asilclub Рік тому

    Moongo mkubwa huyu jambazi muuaji mungu atamlani yeye na nyororo asipo Kuwa ni sultan huyu mshenzi karume hajui hata kuvaa nguo

  • @ashaali7506
    @ashaali7506 Рік тому

    Alhamdulillah❤😂🎉😢😮😅😊

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 Рік тому

    Serikali yetu wenyewe mbona ukaipoteza bureee

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 Рік тому

    Tulitolewa ukoloni mwa kiarabu na kuoingizwa katika ukoloni wa kiafrika

  • @allyhassan5664
    @allyhassan5664 Рік тому

    Hivi sultan ametawala znz miaka mingi likn karume katawala miaka Saba maendeleo yameonekana mpk leo..sio

    • @SultanMalcolmx
      @SultanMalcolmx 7 місяців тому

      You wrote the trush, you better keep quiet

  • @adamstour5736-kb6zq
    @adamstour5736-kb6zq Рік тому

    Ni kheri kutawaliwa na SULTAN kuliko kutawaliwa na TANGANYIKA

    • @homeboybeyondtheborders4935
      @homeboybeyondtheborders4935 6 місяців тому

      Shida ilikua kwa ZNP "HIZBU" wao walipokea Uhuru kutoka Uingereza wakakubali Sultan abaki kuwa mkuu wa nchi,ila kiuhalisia Jamshid alikua ni sehemu ya Dola ya Oman,yaani Jamshid alikua mwakilishi wa Dola ya Oman nje ya nchi ya Oman...Mohamed Shamte alikua waziri mkuu na hakuwa na nguvu za kiutawala zaidi ya kusikiluza mkubwa wake.Ukweli ambao wazanzibar wengi hawaongelei ni kua Dola ya Oman imekaa zaidi ya makarne kwa mabavu kwenye visiwa hivi je Maendeleo waliyofanya kwa maelfu ya miaka ilishabihiana na ule mwaka 1964.Kihistoria Utawala wa Sultani ulikuwepo kabla ya wazungu kuingia Amerika, Kwa hyo majority had the right to overthrow the regime kwa kigezo cha muda huo na ukweli wa historia.

    • @homeboybeyondtheborders4935
      @homeboybeyondtheborders4935 6 місяців тому

      Shida ilikua kwa ZNP "HIZBU" wao walipokea Uhuru kutoka Uingereza wakakubali Sultan abaki kuwa mkuu wa nchi,ila kiuhalisia Jamshid alikua ni sehemu ya Dola ya Oman,yaani Jamshid alikua mwakilishi wa Dola ya Oman nje ya nchi ya Oman...Mohamed Shamte alikua waziri mkuu na hakuwa na nguvu za kiutawala zaidi ya kusikiluza mkubwa wake.Ukweli ambao wazanzibar wengi hawaongelei ni kua Dola ya Oman imekaa zaidi ya makarne kwa mabavu kwenye visiwa hivi je Maendeleo waliyofanya kwa maelfu ya miaka ilishabihiana na ule mwaka 1964.Kihistoria Utawala wa Sultani ulikuwepo kabla ya wazungu kuingia Amerika, Kwa hyo majority had the right to overthrow the regime kwa kigezo cha muda huo na ukweli wa historia.

  • @kassimhashi49
    @kassimhashi49 Рік тому

    Mzee Allah akulaze pema peponi from Kenya

  • @seifhafidhsuleiman3643
    @seifhafidhsuleiman3643 Рік тому

    Hotuba inaishi hii

  • @JohnCatherine-f1z
    @JohnCatherine-f1z Рік тому

    Hatutaki kutawaliwa kwani kuna ubaya 😂😂😂😂

  • @JohnCatherine-f1z
    @JohnCatherine-f1z Рік тому

    Watu wa Unguja na Pemba tumepata uhuru wetu kwa vita na Mungu alikuongoza heri na ufahari aupate yule alie kuzaa Mungu anisamehe kwa mabaya yko na akulipe kwa wema wako Amin

    • @SultanMalcolmx
      @SultanMalcolmx 7 місяців тому

      Na mabaya pia amlipe , hakujua km hii Dunia mapito

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 Рік тому

    Nyerere kwa tamaa yako ya madaraka NA kua rais wameiteka nchi yako ya zanzibari tanganika ilikuwa dola NA zanzibari ilikuwa dola ungelikua NA akili sahihi zanzibari ina serkali peke yake dola yenye kiti katika umoja wa mataifa NA elikua NA pasport NA mabalozi duniani dola ina uhuru kamili NA mamlaka kamili huyo sultani ni mwananchi wa zanzibari amezaliwa hapo hapo pemba NA mama yake ni mwafrika hana uhusiano NA oman kabisa wameshatengana toka kitambo sana NA oman zanzibari ni dola peke ya halali sasa umewapa wa tanganika ukoloni mpya milele bada ya kua NA serekali ya halali ilichaguliwa NA wazanzibari wenyewe nchi ilikuwa NA kiti katika umoja wa mataifa NA elikua NA pasport NA mabalozi duniani NA klikua NA amani NA bendera yake hapo akili iko wapi nyerere NA waengerza wamefaulu kuiteka nchi NA watu wake sasa wazanzibari wanalia hawataki huo muongano

  • @mohammedabdallah9821
    @mohammedabdallah9821 Рік тому

    Kaondoka sultani mwarabu, Sasa tunae sultani mtanganyika ndo aloikalia Zanzibar kwa mabavu, HAKUNA tena nchi ya Zanzibar kuna Tanzanian

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому

      Tumeamua hata sie watanganyika hatutaki Kua na nyinyi mwambieni bi mkubwa auvunje we are ready

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 Рік тому

    Ameiuza zanzibari kwa nyerere hawana uhuru imefutwa dola ya zanzibari katika ramani ya dunia muongano yaani kutawaliwa NA tanganika

  • @mohammedhamad5297
    @mohammedhamad5297 Рік тому

    Adhabu na wewe unaiyona adhabu ya Allah ulio wauwa ndio sisi wazanzibar

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 2 роки тому

    Mungu aliempa athabu katika dunia kupigwa risasi nane NA huko akhera ataulizwa roho za watu nafsi za watu sio mchezo hata ukiua paka utauliwa wazanzibari wa liuwawa kinyama ni raia tu wala sio askari sasa huo karume hao watu wanamsubiri huko sirati huko ahera wa nataka malipo yao aliye uwawa anamuliza mungu huo ameniuwa dunia duniani kwanini

    • @allyhassan5664
      @allyhassan5664 Рік тому

      Lkn aliemuua karume ataenda kujibu nayy kwann alimuua .adhabu anaiaubiri

  • @omarsaid4702
    @omarsaid4702 2 роки тому

    Kweli mungu atamlipa kwa alicho kipanda

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Kwa kua elfu ishirini NA kuiza nchi kwa wakrsto wa tanganika

  • @fahmialharthi4596
    @fahmialharthi4596 2 роки тому

    Unaiyona raha mustareh huko ulipo

  • @anuaryjuma9469
    @anuaryjuma9469 2 роки тому

    Kweli nchi ya wafrica

  • @abdulab6202
    @abdulab6202 2 роки тому

    Khalid said unamwambia mtu llaantu llah je ingekuwa hao warabu wange wauwa watu weusi unge wa laani kama ni dhulma na wao hao warabu walikuwa wanadhulumu watu usimlaani mtu hujui nini kingetokea kwa hao waafrika maana nahao unao watetea walikuwa na njama zao waswahili wamesema ukujuwa huu wenzio wanao ujuwa huu kaa utafakari

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Kaleta ukoloni wa namna nyingine hao waarbu ni wazaliwa zanzibari hawajui kwao kabisa ni wanainchi sasa umetawaliwa hamna cha mamlaka ya zanzibari kua elfu ishirini kwa dakika arbaini hakubali mungu hao ni waaslamu wanataamka shada

    • @mohammedhamad5297
      @mohammedhamad5297 Рік тому

      @@alialamoudi9729 yy alikua muafrika ndio wakawau mpaka watoto wa walio zaliwa.

    • @sellamwani7300
      @sellamwani7300 Рік тому

      ​@@alialamoudi9729waarabu waliuza waafrika mamillioni kwenye Utumwa!yaonekana wewe mwarabu?

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 2 роки тому

    Big man viva karume asante sana

  • @khalidsaid4297
    @khalidsaid4297 2 роки тому

    Ww ndie ulie tudhslilisha na ndio tunazidi kizalilishwsa

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому

      Ye hayupo we umefanya nini kutoa huo udhalili

  • @khalidsaid4297
    @khalidsaid4297 2 роки тому

    Laaanatu اللہ Allah atakulipa kwa ulichokipandaa

    • @albertjames6845
      @albertjames6845 Рік тому

      Wewe mjinga mmoja tu, hujitambui

    • @mohammedhamad5297
      @mohammedhamad5297 Рік тому

      @@albertjames6845 babu kausho lalichokipanda anakipata aliua kwa mtutu na yy aliuwa kwantutu! Kama kamata dini tudani.unapomfanyia mwenzio na wewe utafanyiwa ndicho alicho kipata

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому

      @@mohammedhamad5297 wangapi waloua kwa mtutu na hawakufa kwa mtutu

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 2 роки тому

    💪💪💪🌎🕌❤️👀

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 2 роки тому

    NAMKOBOZI WA ZANZNZIBARI LAKINI MKOLONI MAMBO LEO WA BARA

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 роки тому

    NYANI HALIONI KUNDULE HAKI YA MTU HAIPOTEI

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Mpka lini hiyo haki itarudi sasa miyaka sitini kutawaliwa

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 роки тому

    HAKI HAIPOTEI MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU MADHALIM WAHUNI MAJAHIL HAKI KAILETA ALHAMDULILLAH RABI ALLAMEEN

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 3 роки тому

    *Ukaichuwa zanzibar yenye mamlaka yake ukaipeleka bara sasa tunaoteseka ni sisi*

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 3 роки тому

    Huyo angekua NA akili amewapa nchi yake nzima kwa wakrsto huko tanganika ya nyerere maauaji wa stini na ine ndio bala wale walikufa wakawazika pamoja katika mashimo makuubwa wtoto wadogo NA wazee NA wanawake NA wanaume ni waaslamu wenzetu mungu atatuliza wameuliwa kinyama bila thambi raia tu wala sio askari nyerere ameamuru mjeshi yake kuvamia zanzibari wewe ingia Google youtu.be utaona maajabu watu waliuliwa walipigwa risasi kiyama kuna suali

  • @zahorsalum663
    @zahorsalum663 3 роки тому

    Ww umeenda umewachia mafisadi kijio wapo wanatumaliza kwakutuua kwarisasi.kisa madaraka.tu.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 роки тому

    Duuh mungu mkuu sauti ya Miaka 41 ipo clean kama janana

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g 3 роки тому

    Ndio wewe mjinga uliowadhulumu watu

  • @nassornassor8774
    @nassornassor8774 4 роки тому

    Kwa Tànzania babu hapana tabu lakini A S P haipo hatuna vya kuikumbuka mitihani , mbona ww hukuunga vyama ?babu tunakukumbuka na hizo hazabu Tanzania milele

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g 4 роки тому

    Hajijui anasema nini majisifu mengim

  • @raymondkaswaga5055
    @raymondkaswaga5055 4 роки тому

    Babu ulikufa na Nyerere akafa na wenzako hawautaki muungano

  • @alyhamad852
    @alyhamad852 4 роки тому

    Thanks rest in peace

  • @thanimosi8906
    @thanimosi8906 4 роки тому

    Mnasikia maneno hayo nyie wajinga wafuasi wa Juha seif

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 років тому

    Huyo ndio mkomboz wa kwel sio wale wengine wakomboz fake

  • @masoudchake2552
    @masoudchake2552 5 років тому

    Muendelee kutuekea maneno haya kama kumbukumbu ya vizazi vya sasa na vyahalafu! Ila dakika muongeze kwa sababu mnatuekea sekunde chache! Haya maneno ya mzee matamu kuyasikiliza

  • @mussakassim2336
    @mussakassim2336 6 років тому

    Super king