MAKONDA ATINGA NGORONGORO KWEYE MAMLAKA ya HIFADHI, ATOA KAULI NZITO, APEWA RIPOTI MAALUMU,.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 58

  • @menaurukivuyo6796
    @menaurukivuyo6796 19 днів тому +1

    Wewe mh Mungu aendelee kukuongesea kipaji Toka kweka na kukuongezea Miaka mingi bat kumbukeni ngorongoro haijaanza Leo kwa hiyo acheni wananchi wakae Kama wamekubali kasoro mashariti ya hifafhi ya fuatwe ,,,

  • @SionGodson
    @SionGodson 17 днів тому +1

    Unyanyasahi huu utaisha kweli eti Tanzania kisiwa Cha Amani

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 3 місяці тому +2

    Kwakweli Mh Makonda unaubunifu wa kiwango cha juu 🎉🎉

  • @babuismail3859
    @babuismail3859 3 місяці тому +1

    Najua ss kama asolingi mungu na sababu na ww na usiogope tenda pake mungu anakuongoza kuna kitu ndani ya mungu saidi najua unasaidia wasio jua haki zao ila tenda wema indoka zako mji huu sio wakudumu pale kuna aki tenda aki simamia ukweli tu na ukweli utakuweka huru

  • @MossesiMosessilaizerlaizer
    @MossesiMosessilaizerlaizer 16 днів тому

    kweli kuna watu wanasema wanyama waham juu ya watu kuongezeka yaan fikira mbay yeny at haisaidi jamaii

  • @raismalingumutz8473
    @raismalingumutz8473 19 днів тому +1

    Wacheni watu wakae katika jadi zao sio kuwafukuza watu katika mnchi yao wengine wazidi ya miaka mia wamezika wazee wao wacheni

  • @menaurukivuyo6796
    @menaurukivuyo6796 19 днів тому +1

    Wamasai ni kama hawana haki Tanzania nzima maana nikiona ngorongoro kuna misuko suko,, nikiangalia kata ya kwamatuku wilaya ya Handeni kuna misuku suko watu sasaivi kwamatuku wanafukuzwa kwenye maakazi yao Bado serekali mnaatulia tu,, du mtakuja sababisha Tanzania wakimbizi watoke wakati ni kitendo ambayo haijawai tokea

  • @sarahdeograthias9097
    @sarahdeograthias9097 3 місяці тому +1

    VIVA MAKONDA VIVAAAAA

  • @goodluckswai7496
    @goodluckswai7496 19 днів тому +1

    Masai wana haki yao

  • @philimonndinadyo2120
    @philimonndinadyo2120 21 день тому +2

    Acha porojo wamasai wanaonewa sana

  • @bonifacekalima5273
    @bonifacekalima5273 15 днів тому

    Mhhhhhh jaamani kukuza utajili kwa kupitia utlii ni sawa,,je kuwaodoa wananchi kunakuuza nn,.mnyama anadhamani kuliko binadamu kweeli hapo roho inaumia

  • @SamweliKojamolle
    @SamweliKojamolle 21 день тому

    Pole San. Mkuu wetu

  • @SionGodson
    @SionGodson 17 днів тому

    Makonda :Kuwa Musa uwaokoe Wana Ngorongoro

  • @StellaSamora
    @StellaSamora 3 місяці тому

    Makonda ni makufuii mungu akulinde

  • @DanielOlodupo
    @DanielOlodupo 17 днів тому

    Makonda ww ndio mtu umebaki nakuamini ndan ya ccm lkn jaribu kuongea na samia atuachie ngorongoro yetu kwan tulikuwepo kabla yake hata yeye aambiwe leo ahame pale Zanzibar hawezi kukubali wanaosema ni hifadhi sisi kwetu ni nyumbn

  • @MashakaMartin-zn5rq
    @MashakaMartin-zn5rq 18 днів тому

    Elimu utoayo ni fursa njema ya maendeleo, hakika kipaji chako ni tunu ya Taifa cyo wana Arusha tu.Mungu azidi kukuangazia

  • @melubokusoro5668
    @melubokusoro5668 3 місяці тому +1

    Samia, Makonda na wote wanaohusika na mambo haya ni wezi na wanastahili kufungwa na kunyongwa!

  • @AmenMushi-j2j
    @AmenMushi-j2j 20 днів тому

    Makonda hapa Maombi ndugu yangu mama asikie inatia doa

  • @user-ej5sl9mn5k
    @user-ej5sl9mn5k 3 місяці тому

    Msema ukweli huwa hapendwi bali mungu ndio chaguo lake katupa MH MAKONDA ndio mwokozi wa walala hoi japo kuna wanaomchafua mungu atawaona2 mama hakukosea maoni yangu akitoka Arusha aje Tanga,Kuna Madudu kibao ofsi ya mipango mji ni zuruma2 uliona wapi mwekezaji anapima viwanja na kuuza ktk shamba la Amboni mwanyungu na Kihongwe wazir kaja wamemzuga tanga iogope gizagiza2

  • @emmanuelykirway5033
    @emmanuelykirway5033 19 днів тому

    My president

  • @johnjulius3092
    @johnjulius3092 17 днів тому

    Mama Samia ni kiongozi mzuri saana tatizo ni washauri wake mi kiukweli napenda saana bas tu ningepata nafasi ningemwambia aache wamasai wa ngorongoro waishi huko walipo chagua kuishi

    • @peacejunne5037
      @peacejunne5037 15 днів тому

      kwa sasa wale hatupaswi kuwaita wamasai no ni wananchi wa Ngorongoro

  • @EmmyAlberto
    @EmmyAlberto 15 днів тому

    Tumeisha kweli mateso kila mahi mbna

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 20 днів тому

    Awa watafiti lini wao walikaa huko walau miaka 5 ikiwa wao wamekaa zaidi yanmiaka 30 mpaka nao wamekuwa mali asili sasa leo unawatenga wakakae na watu inauma sana waacheni wakae na nduguzao wapge ela

  • @user-sk6ly4oj9c
    @user-sk6ly4oj9c 18 днів тому

    Waliamua kuishi huko,wap hawataki nyumba nzuri wachen,msiwawekee ugum wa maisha

  • @BoisDonkoil-rk8lr
    @BoisDonkoil-rk8lr 2 місяці тому

    Makonda kajitahidi tu kujizungumzia kwakuwa hivyo ndvyo ilibidi kwa wakati huo,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Unclerammaschannel
    @Unclerammaschannel 18 днів тому

    Swalli kwa nini wa Masai wana taka kukaaa ndani ya mbuga ya wa nyama wakati wao ni binadam?

  • @AllyMohammed-nv5sj
    @AllyMohammed-nv5sj 3 місяці тому +1

    Barbara
    Mbovu
    Oiduvai
    5:11 5:12 5:34

  • @user-lw1wh9hf9i
    @user-lw1wh9hf9i 19 днів тому

    Utarudi ulikokuwa juz kat hapo wamasai waacheni waishi Ngorongoro

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv 19 днів тому

    Wananchi Kwa maana ya watu wanaishi hapo ngorongoro mnaowafuza?

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 18 днів тому

    Hakuna ccm mwema

  • @rahplenyengerahplenyenge722
    @rahplenyengerahplenyenge722 3 місяці тому

    Muwechimiwa Kuna na ngorongoro

  • @babuismail3859
    @babuismail3859 3 місяці тому

    Msingi ukuaribika mwenye haki anafanya nini 😂

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 3 місяці тому +1

    Kwa mazungumzo yake..yuko mji mdogo karatu..

  • @SamuelKotema-g3j
    @SamuelKotema-g3j 2 місяці тому +2

    Nyoka katumwa na nyoka mtoto wa nyoka ni nyoka tuu wananchi wenzangu wa ngorongoro mungu ndo mtetezi wetu wameamua ila mungu ni zaidi ya wote

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 17 днів тому

      Sàhihi. Mtetezi wetu ni Mungu Baba Pekee yake. Ila ikumbikwe kuwa mtoto wa nyota ni nyoka

  • @EmmyAlberto
    @EmmyAlberto 15 днів тому

    😮😅😮😅😅

  • @Unclerammaschannel
    @Unclerammaschannel 18 днів тому

    Wengine wata kwenda kuishi Serengeti mwisho wake ni nini?

    • @saruni5673
      @saruni5673 16 днів тому

      Haikuhusu we kama una uchungu na wenzio kaa kimya

  • @miltonjohn9779
    @miltonjohn9779 3 місяці тому

    Mkuu wa mkoa ni afande au ni muheshiwiwa!

  • @user-df9ue7ko3u
    @user-df9ue7ko3u 3 місяці тому

    Swala la wenyeji mbona usungumzii

  • @talktruth9900
    @talktruth9900 3 місяці тому

    Mmea vamizi anaelewa kweli?

  • @KasangaKalanga-vo6od
    @KasangaKalanga-vo6od 3 місяці тому

    Muheshimiwa njoo ndani ngorongoro uone Hali halisi

  • @LalakwaLekinanga-cj5ke
    @LalakwaLekinanga-cj5ke 3 місяці тому

    Najiulisa kwanini Mh. makonda hajaingia ndani ya ngorongoro kuonana na wanaichi wa Ngorongoro?

    • @Gaynor1234
      @Gaynor1234 18 днів тому

      Jiulize sana hilo. Katumwa huyo!

  • @OlosekiLokoy-sy6qg
    @OlosekiLokoy-sy6qg 2 місяці тому

    Muongo mungu anawaona

  • @babuismail3859
    @babuismail3859 3 місяці тому +1

    Makondo mbona kama ww nabii real

  • @NginaaEmmanuel
    @NginaaEmmanuel 21 день тому

    Waachen watu watoke kwa hiar Yao na msiwanyime Hali zao

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 3 місяці тому

    Je Mzee Makonda Nini Ushauri Wako Na Uzuliwaji Na Manyanyaso Ya Wamasai Walioishi Na Wanyama Kwa Miaka Na Miaka????

  • @KilonzoJohn-mg7cw
    @KilonzoJohn-mg7cw 19 днів тому

    Makonda kweli niwewe mtetezi wawanyonge kweli hujaona matwso ya wakazi wa ngrongoro kweli umepingwa spana kwish

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 21 день тому

    Maajabu saba ya Dunia ni pamoja na ngorongoro na maajabu ake ni wanyama wafugwao kuishi na wanyama pori pamoja na wanadamu kuishi na wanyama pori ukiwaondoa unaondoa umaajabu wake na kuondolewa kwenye list yake kidunia 🇹🇿

    • @saruni5673
      @saruni5673 16 днів тому

      Kabla uja zaliwa ama kabla m German kuja ngorongro hao watu walikuwa tu nikutonye tu masai Hana time na mnyama

  • @samsonsimon3138
    @samsonsimon3138 18 днів тому

    Hvi huyu jamaa ni mkuu wa mkoa wa manyara au arusha