🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • 🔴#Live: MSTAAFU KIKWETE na MTOTO wa MANJI WAZUNGUMZA KWA UCHUNGU MAISHA ya MANJI HADI KUFARIKI...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 163

  • @SHIJADAVIS
    @SHIJADAVIS 3 місяці тому +11

    Poleni kwa msiba mkubwa, Mungu awatie nguvu.

  • @YusufLubangula-yn6tq
    @YusufLubangula-yn6tq 3 місяці тому +7

    Tunawapa pole wafiwa INNA LILAH!

  • @misanamaige
    @misanamaige 2 місяці тому +3

    Pole sana kijana. Mungu akupe baraka katika kuyaishi yake mzee ameachia.

  • @BismarkStephen
    @BismarkStephen 3 місяці тому +14

    Kikwete mumgu akubariki Sana uzeeki Una roho nzuri

    • @WilliamMsungu
      @WilliamMsungu 3 місяці тому +2

      Hizi kauli zingine za kishamba kwahiyo wanaozeeka Wana roho mbaya?

    • @allythabiti8150
      @allythabiti8150 2 місяці тому

      ​@@WilliamMsunguNdyo hujui kuwa roho mbaya na kuweka vitu moyon vinamzeesha mtu haraka

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 3 місяці тому +6

    Mashallah mtoto mzuri sana hatari... Pole sana... mwenyezi Mungu amlaze pahala pema peponi amini

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 3 місяці тому +19

    Mwenyezi Mungu amsamehe madhambi yake na alitie nuru kaburi lake pamoja na sisi tuliohai utupe mwisho mwema.

    • @AbdulmujibAhmed
      @AbdulmujibAhmed 3 місяці тому +2

      Kwanini wataje habari ya yanga kwani dini hiyo? Manji namjua sana alikua mtu wa Dunia tu mimi mtanzani mkazi wa mbagala kuu kwa sasa nipo South africca hakuahi kujenga hata msikiti mmoja katika maisha yake

    • @ramashauritanga8966
      @ramashauritanga8966 3 місяці тому

      Pp

    • @meshackeliau8973
      @meshackeliau8973 3 місяці тому

      ​@@AbdulmujibAhmed kwani ni lazima ajenge msikitiki 😂😂

    • @mariamkikula1614
      @mariamkikula1614 3 місяці тому

      Amin yarabii

    • @shakilakhamis2109
      @shakilakhamis2109 3 місяці тому

      Amiiin

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 3 місяці тому +5

    Allah awape moyo wa subra kwa nyakati zote daiman

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 місяці тому +14

    The late , Yusuf Ally Mehboub Manji, was very hardworking man!

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 3 місяці тому +4

    Pole sana kwa wana familia wa Manji

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 3 місяці тому +4

    Yusuph was a very humble rich man

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 3 місяці тому +6

    MashaAllah amekua mkubwa ivi, Mungu akupe subra 😢😢

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p 2 місяці тому +2

    Mungu awatie nguvu watoto wa manji naelewa uchungu mliopata ila Mungu awatie nguvu na kuwafariji sana

  • @Sebastianmangenyi
    @Sebastianmangenyi 3 місяці тому +5

    Jk nakukubali sana na Mungo akubariki na kukupa miaka mingi na kheri duniani

  • @aishamtaula1959
    @aishamtaula1959 3 місяці тому +5

    Poreasamwanangu mungu ampuunzisha baba magari pema oeponi jamani nimeeumia sana

  • @jokhamohammed976
    @jokhamohammed976 2 місяці тому

    Poleni sana family ya manji M/mungu awape nguvu na subra 😭😭

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 2 місяці тому

    Amina yaaraab

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 3 місяці тому +1

    Allahu Marehemu 🙏🙏🙏

  • @beatuskulwa2912
    @beatuskulwa2912 3 місяці тому +5

    RIP Manji ,uliiheshimisha Yanga natutaendelea kukukumbuka kwa waalama ulioiacha

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 3 місяці тому

    MUNGU amulaze mahara pema peponi Amen

  • @emanuelmushi9917
    @emanuelmushi9917 3 місяці тому +7

    N kwel manji alionewa sana na kikombe hich makonda anakjuaa

  • @aishamtaula1959
    @aishamtaula1959 3 місяці тому +4

    Mwanae mfanya biashara jamani kama kaandika manji kisa riko wapi mwizi kakuibia Nini mtajeni marehemu Kwa mazuri yake nawara sio mabaya yake wewe ukisajamwa umekufa nduguzako hajisikii vizuri mungu iraze pema rohi ya mpendwa wetu oeponi amina

  • @CharlesMs25Daghaly
    @CharlesMs25Daghaly 2 місяці тому

    Amen

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 2 місяці тому

    Wamemdhulumu sna mpka wamemuua maskiin!! makonda utalipa yote kwa Mungu

  • @piusmdoe3200
    @piusmdoe3200 3 місяці тому +1

    RIP.Yusuf Manji.

  • @pauloegbert515
    @pauloegbert515 2 місяці тому

    Mungu amuweke mahali pema amani

  • @friendsofpeopleorg1157
    @friendsofpeopleorg1157 3 місяці тому +2

    Poleni sana

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 3 місяці тому +6

    Umesema Ukweli hapa sio maswala ya siasa ni msiba acheni ujinga wa kusema mzee kaiba mnsushaidi upi

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 3 місяці тому +1

    Ya rabbi nsataraa manji

  • @millitarybattalion7515
    @millitarybattalion7515 3 місяці тому +3

    R.I.P YUSUPH MANJI

  • @eightofhearts
    @eightofhearts 2 місяці тому

    The older son is very handsome and eloquent. He gives off a “trustable” vibe. MashaAllah.

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 місяці тому

    😢😢😢maskn anajikaza kiume
    Innalilah waina ilah rajiun

  • @ramadhanikigoto
    @ramadhanikigoto 3 місяці тому +1

    Innallilah wainailaih rajiun

  • @salmakirundu2076
    @salmakirundu2076 2 місяці тому

    Innah lilah wainah illah rajioon

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 3 місяці тому +2

    R l.P.

  • @adrianowillix5491
    @adrianowillix5491 2 місяці тому

    The team , the network

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 3 місяці тому +3

    Manji na Kikwete walikuwa marafiki wakubwa, ndio maana Manji aliingia Yanga.

  • @salmaramadhan2725
    @salmaramadhan2725 2 місяці тому

    Kikwete ana roho nzuri,najuta kupoteza simu na no zake kupotea...

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 2 місяці тому

    Makonda kaka yangu, mtafute huyu Kijana, unafanya mambo makubwa sana, usikose Baraka Bure, muombe Msamaha Kwa ajili ya baba yake kabla ya kufanya Toba Kwa Mungu Ili uwe na amani, pia umuombe Msamaha Joseph Warioba, pia Mtoto wa Lowasa,
    nayasema haya kwakuwa nipo na wewe sana siku hizi, unafanya mambo makubwa sana, usikubali hawa watu wote wafe hujawaomba Msamaha. Manji aliteseka na moyo wake ulizidi kumdhoofu akiwa magereza Kwa kisasi kisicho na Afya. Nakupenda Makonda fanya hivyo my Brother.

  • @walterngowi5835
    @walterngowi5835 3 місяці тому +2

    Vp Makonda naye yupo hapo au 😎😎

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 3 місяці тому +3

    bonge la handsome jamani waoool

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 3 місяці тому +1

      Acha tamaa na uzinifu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 місяці тому

      HAYA MAJINA YA WEMA WANAKUWA NA NYEGE SANA 😂😂😂

  • @greysonjohn9778
    @greysonjohn9778 2 місяці тому

    R. I. P

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 3 місяці тому

    Manji ameacha alama ya upendo na upole. Mungu amtunzie vijana wake wazuri na timu ya yanga pia. RIP Manji.

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 2 місяці тому

    RIP Yusuph Manji

  • @abdallahabdallah7872
    @abdallahabdallah7872 3 місяці тому +8

    Kikwete ametokea katika familia ya kiungwana

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 3 місяці тому

    RIP YUSUF MANJI.

  • @GhalibMohammed-u9t
    @GhalibMohammed-u9t 3 місяці тому +6

    Yan mnatarajia mtu kafika level ya urais awe maskin/ kama kaiba hamna ushahid nyamazeni

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 2 місяці тому +1

    Kikwete ni mtu mzur saana, Hekima na busara ni vitu vikubwa sana katika maisha.

  • @SalumuAlly-d9q
    @SalumuAlly-d9q 2 місяці тому

    President kikwete miaka 100 nakuombea mana kuna wachawi wanahesabu marais eti walotangulia mbele ya haki wewe kwa kuwa ulikuwa na roho nzuri hadi mia inshallah utafika kwa uwezo wa alwah

  • @BismarkStephen
    @BismarkStephen 3 місяці тому +2

    Acheni kulaum wqtu fanyeni KAZI Acha kusema watu vibaya

  • @markmushi8940
    @markmushi8940 3 місяці тому +1

    Apumzike kwa amani yusuf manji alikuwa ni m2 wa wa2

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 місяці тому

    😢😢😢😢😢

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 3 місяці тому +2

    Mwenyezimungu hashindwi na jambo lolote hana kubwa wala hana dogo

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 3 місяці тому +3

    Yusuf Sio Yusufu..😂😂😂

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 3 місяці тому +2

    Chalamila sasa atamkebehi nani? Alipo sema kariakoo, manji kakimbia nchi

    • @nsiamasawe4578
      @nsiamasawe4578 3 місяці тому

      Yaani acha tu Mungu atamlipa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 місяці тому

      ​@@nsiamasawe4578NYIE UTOPOLO MLIMPIGA MANJI BAKORA NA MKAMUITA MWIZI SHENZISTAN NYIE

  • @JohnMhoja-h7s
    @JohnMhoja-h7s 2 місяці тому

    Rip jembe ulaya

  • @AminaJuma-r4v
    @AminaJuma-r4v 3 місяці тому +2

    Kikwete kumbe Bado hajawa mzee Bado Yuko ,🦾

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 3 місяці тому

      👍👍👍

    • @KenedyMwaipaja
      @KenedyMwaipaja 3 місяці тому

      Awam ya 5 alizeeka zeeka awamu ya 6 kamwili kamenona😂😂😅

    • @wazirisaid8326
      @wazirisaid8326 3 місяці тому

      Ukiwa na moyo Safi huwezi kuzeeka haraka, Ila ilukiwa na moyo wa chuki, fitina na wivu Lazima uonekane mzee hata kama una umri mdogo!!

    • @KenedyMwaipaja
      @KenedyMwaipaja 3 місяці тому

      @@wazirisaid8326 moyo safiii!! ???

  • @SalimSalimu-z5c
    @SalimSalimu-z5c 3 місяці тому

    Makonda hajafika msibani?

  • @geofkabo7843
    @geofkabo7843 2 місяці тому

    Ridh1 alikuwa na urafiki na manji? Haraf kunafukunyuku anamsema makonda?

  • @aishamtaula1959
    @aishamtaula1959 3 місяці тому +2

    Mjombaumeongea vizir sana hata Mimi nimeeumia sana nimesikia Jana kuwa yusufu amekufa

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 3 місяці тому +1

    Kikwete bado kijanaaaa

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 3 місяці тому

    Jk 🔥

  • @SwalehAidarus
    @SwalehAidarus 2 місяці тому

    MNAZUNGUMZA KWA UCHUNGU SABABU YAMANJI SASA NI HISTORIA ILIOBAKI KIONGOZI MKUU RAIS MSTAAFU MAREHEMU ALI H😊HASSAN MWINYI ALISEMA MAISHA NIHADITHI SASA TUELEWE.HIVYO NASI TUKO NJIA 1 MOJA HAKUNA KUZUNGUMZA KWAUCHUNGU LAZIMA TUONDOKE

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 місяці тому +2

    Kumbe uliachiwa Hayati Yusuf Ally Mehboub Manji umlee? Mbona hukutuambia hayo kabla,,,,? Kama ulikuwa umekabidhiwa kama mwanao mbona hawakukukaribisha katika mazishi yake? Kumbe mlikuwa unakutana nao nje ya nchi,,,dah, haya bwana!

    • @emazjassam2452
      @emazjassam2452 3 місяці тому +1

      Hujitambui,ulitaka lini asimame aseme aliachiwa....

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 3 місяці тому +2

      Mtu kifa kila kitu utasikia hp sifa kibao utasikia wamemtesa wee na kumpmaradhi

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 3 місяці тому

      @@emazjassam2452 punguza makasiriko ndugu,,

    • @ibrahimrajabu8722
      @ibrahimrajabu8722 3 місяці тому

      Yako ushamaliza kiasi ubebe ya wengine???

    • @ramsojimmykelly3379
      @ramsojimmykelly3379 3 місяці тому

      ​@@nishaabdula5015makonda hii dhambi inamuhusu na marehemu magu

  • @victorkamugisha2282
    @victorkamugisha2282 3 місяці тому

    Huyu mtoto ataichukua Yanga

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed 3 місяці тому

    Kupenda yanga ndo nini sasa

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed 3 місяці тому +3

    Lakini aliathirika na madawa na alikua simtu wa dini alipenda sana dunia

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 3 місяці тому +4

      Ni kheri wewe usiyependa dunia kwa maana utaishi milele!

    • @ip_header
      @ip_header 3 місяці тому +3

      @abdulmujibAhmed
      jaribu kusoma vizuri dini ya uislam, si vyema kumsema vibaya mtu aliefariki. Hakuna binadamu mkamilifu kikubwa kuomba mwisho mwema.

    • @SharifaOmary-ui8vs
      @SharifaOmary-ui8vs 3 місяці тому

      Ww tena hakimu wa watu

    • @Legends_Interviews
      @Legends_Interviews 3 місяці тому

      Allah amsamehe

    • @allythabiti8150
      @allythabiti8150 2 місяці тому

      Sheikh hayo umetoa wap, Wala tajasasu

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 2 місяці тому

    Sasa wee mzee kikwete umekabidhiwa mtoto umelee mpaka unashtukizwa msiba we vipi mzee

  • @hamidashaban1203
    @hamidashaban1203 3 місяці тому

    Wacheni wivu aliyepewa na Allah hakuna wakumnyang'anya hasadi zinawasumbua.

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 3 місяці тому +2

    Mmemtesa bqba ake wee adi kumsababishi mardhi leo mnongea nae nn mtt wk

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 3 місяці тому

    Laisi watanzania anaendelea kupenda madaraka ila kwasababu ya katiba yaccmtu ila isinge kua hio angehutubu mpaka kifo

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 місяці тому +1

    Mbona unataja ugonjwa wa mtu?

    • @kaoretosha6668
      @kaoretosha6668 3 місяці тому +2

      Shida ipo wapi....amezungumza historia ya uhusiano wa yeye na familia ya manji

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 3 місяці тому

      @@kaoretosha6668 hata madaktari Huwa hawasemi ugonjwa wa mtu hadharani

    • @HannanSomaiyah-wp7ny
      @HannanSomaiyah-wp7ny 3 місяці тому +1

      Tumuombee na Tujiombee,Si vyema kuongelea mabaya yake, Hakuna mkamilifu Dunia Allah ampe kaul thabity pamoja na Wazaz wetu yaraby 🙏

  • @danielkipingu354
    @danielkipingu354 2 місяці тому

    DP ..... tumepigwa.

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 3 місяці тому +2

    WEWENKIKWETE YALE MABASI MWANAO PESSA KAPATA WAPI ?

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 місяці тому +2

      Ulipopata wewe pesa ya bando kuandika upuuzi.

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 3 місяці тому +2

      Kapewa na baba yake unadhani ndio wewe mwenye baba hohehahe.

    • @KingBuddah-nx3ui
      @KingBuddah-nx3ui 3 місяці тому

      @@salmahalfani6307 KWA NINI KAMUANDIKISHA MANJE NDIO MMIRIKI

    • @kaoretosha6668
      @kaoretosha6668 3 місяці тому +2

      Roho za kimaskini.......shidaaaaa.....

    • @KingBuddah-nx3ui
      @KingBuddah-nx3ui 3 місяці тому

      @@kaoretosha6668 WEWE WATANZANIA WANAKUMBUKA KWA MATESA WALIOFANYIWA NA HUYU MZEE

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 3 місяці тому +2

    MWIZI ANAMJENGEA MWIZI MWENZAKE RIZIWANI KANUNUA MABASI KAMUANDIKA MANJE KAIBIA SERIKALI

    • @kaoretosha6668
      @kaoretosha6668 3 місяці тому +1

      Acha roho mbaya za kijinga...

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 3 місяці тому

      Tena wewe ni mpumbavu haswa.

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 3 місяці тому

      Uwezo wako wa kufikili umefka mwisho

    • @hemedrashid2921
      @hemedrashid2921 3 місяці тому +2

      rohoo ya kibaguziii itakuuaa aduaaa llah laanatullah mungu akulani zaidi

    • @IMANWILLIAM-bl2ui
      @IMANWILLIAM-bl2ui 3 місяці тому

      umaskini wako ndo uchukue wengine

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 місяці тому +1

    baba Kikwete bado kijana kabisa..siri ni ipi mzee?😅 apewe muda na globa TV atupe mawaidha kabla kujaliwa kufika umri huo na Mungu wetu😄😄

    • @doktamathew
      @doktamathew 3 місяці тому

      Hali vitu vya kisasa,hali ugali,hali wali,hali vitu vyenye sukari ,hajawahi kunywa soda,pombe. Anakula vitu vya asili mara kwa mara

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 2 місяці тому

      @@doktamathew oh ivi kumbe ivo eh?

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 3 місяці тому

    Mrudishieni mali zake mulizomtaifisha

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 3 місяці тому

    Kumbe ukawa unamsaidia hata kwenye mikwepo ya kodi we zee wewe bwana

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 3 місяці тому +2

    Siowote tumesikitika ACHA aende tu

  • @kaoretosha6668
    @kaoretosha6668 3 місяці тому +6

    Acheni roho za kimaskini kila wakati mwizi....mwizi...mwizi....toeni ushahidi msisambaze fitnaaa....

    • @innocensiapius
      @innocensiapius 3 місяці тому +1

      Maskini ndivyo walivyo.ndio maana wengi wachawi
      Mtu kajitahidi kafanikiwa mnamwambia mwizi
      Nenda nawe kaibe ufanikiwe

    • @didasseveline9013
      @didasseveline9013 3 місяці тому

      Walioshangilia kifo Cha mwamba! Naona anachomoka Mmoja baada ya mwingine! Hakika mungu ni fundi

    • @MiriamAziz-z5t
      @MiriamAziz-z5t 3 місяці тому

      RIP YUSUF MANJI....MAREHEMU HAKUWA MKAMILIFU KAMA SISI BINADAMU WOTE....KUNA WAKATI ALIWAKOSEA WATANZANIA KAMA WANANCHI KWA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WETU MAFISADI NA WALA RUSHWA....NA KUNA WAKATI PIA ALIWATENDEA MEMA NA MAZURI WATANZANIA....WATANZANIA TUMSAMEHE KWA YOTE....RIP YUSUF MANJI.

    • @mussamalekela2107
      @mussamalekela2107 2 місяці тому

      ​@@didasseveline9013 kwa hiyo ambao hawakushangilia watachomoka kwa makundi sio! Ujinga mzigo

  • @pauloegbert515
    @pauloegbert515 2 місяці тому

    Mungu amuweke mahali pema amani