TUFUNUWE KITABU (SILSILA 6) Mafunzo kutoka "Conflicts and Harmony in Zanzibar" ya Sheikh Ali Muhsin

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani ni katika wanasiasa, wasomi na waandishi wa wakubwa wa Zanzibar ambao kwa bahati mbaya, historia haikuwatendea haki hadi sasa kwa kuutambuwa mchango wake kwenye siasa, elimu na fasihi. Leo Ismail Jussa anachambua kitabu hiki ambacho Sheikh Ali aliandika kusimulia hadithi ya maisha yake.

КОМЕНТАРІ • 51

  • @hisqueen7419
    @hisqueen7419 3 роки тому +10

    Ali muhsin al Barwan wallah I’m so proud to be your grandchild 🙏

  • @sheikhalimuhsinalbarwani2819
    @sheikhalimuhsinalbarwani2819 3 роки тому +10

    On behalf of Sheikh Ali Muhsin’s family we would like to thank you… Jazakum Allah Khayran

    • @innocentman5954
      @innocentman5954 3 роки тому +3

      Tunatambua umuhimu wa Ali Muhsin Barwani.. na tunamtaja kla siku.. Kwetu cc ana maana kubwa!

  • @thaniahmed330
    @thaniahmed330 3 роки тому +7

    Reality is repeating itself, Hizbu was ignored for many years because of fear from Tanganyika, but now Alhamdullilah, young generation are learning the reality God bless zanzibar

  • @it-vw4zj
    @it-vw4zj 3 роки тому +8

    Kwa miaka mingi sana history ya Zanzibar imekua ikipotoshwa kwahio discussions kama hizi ni muhimu sana kuujulisha umma especially new generations what really happened/took place in our motherland

  • @azizamri1522
    @azizamri1522 3 роки тому +3

    I’ve read the book sometime ago but Jussa has reality made it more understood. This book has cast Nyerere in his right color, the most divisive political figure in East Africa and Africa in general. A political Western puppet who wore a tiger’s skin! Sk. Ghassani thank you for bringing these programs.

  • @aaahadventures4214
    @aaahadventures4214 3 роки тому +2

    Masha Allah...Alhabib Jussa...Mwenyezi Mungu akulinde...Haya mambo yanafumbua akili kwa wenye akili.

  • @seanmurray6516
    @seanmurray6516 3 роки тому +2

    Allah awape sihha njema, awahifadhi Na kulla sharri Na fitna minaljinnat wa nnasi Ajman. Allah kwa uwezo wake akupeni Imri mrefu wenye Kheir Na nyinyi akujaalieni minal faizeen ya Rabbi.
    ‏اللهم ندعوك كما وعدتنا فأستجيب دعاء أنا يا رب يا رب العالمين اللهم يحفظكم يحفظكم جميعا ‏أنت الاخ إسماعيل والأخ محمد يا رب العالمين وجميع المؤمنين والمؤمنات

  • @wambura-cv3ut
    @wambura-cv3ut 3 роки тому +6

    Kiukweli mimi sasa ndio naijua ZANZIBAR yangu nikupeni hengera zangu kaka zangu hakika ZANZIBAR tuna watu tena hazina kabisa

  • @suadbarwani4117
    @suadbarwani4117 2 роки тому +1

    Ahsante Bwn Jusa kwa kutuweleza kwa utulivu na ukweli wa mambo na ubaya unaotokeya Zanzibar. Aloandika Sh.Ali Mohsin katika Kitabu chake ( Conflict and Harmony in Zanzibar ).kwa hakika Zanzibar ina Maadui Jadi na Jadi, hichi kisiwa kidogo lakini kinaogopwa.

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 роки тому +4

    Tinausubiri uhondo baada ya dakika 8 na Mhe Ismail Jussa, Insha Allah .

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 2 роки тому +1

    SHEIKH ALI MUHSIN ALIKUWA MUUNGWANA
    AKIPENDA WA ZANZIBARI WOTE
    MUNGU AMRAHAMU NA AMPE JANAAT ALFARDOUS
    AMIN

  • @it-vw4zj
    @it-vw4zj 3 роки тому +7

    Amazing talk about our iconic figures.. well done Jussa well done Ghassani

  • @mwalimuali1850
    @mwalimuali1850 3 роки тому +2

    Dah kumbe haya mambo Maalimu jusa hadi leo tunapambana iko siku nchi yetu itakuwa huru zanzibar kwanza nakupenda nchi yangu zanzibar 🥰

  • @salehali976
    @salehali976 3 роки тому +4

    Hichi kitabu nimekitafuta sana sijakipata. Tafadhali nieleze wapi naweza kipata

  • @bunamay1000
    @bunamay1000 8 місяців тому

    جزاكم الله خير الجزاء
    Ahsante sana

  • @hamadalisuleiman4694
    @hamadalisuleiman4694 3 роки тому +4

    Wonderful

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 3 роки тому +2

    Lkn hio ya Shekhe Ali Muhsin ( Allah amrehem Amyin). kuhamishiwa Tanganyika ni kheri kwake. Kwasababu Karume alikuwa akienda kuwachukua watu jela alina Hanga Othman Sharif nakuwauwa kwakuwagunga ndani ya gunia nakuwatupa baharini wakiwa hai

  • @hakikwadalili
    @hakikwadalili 3 роки тому +3

    Asanate sana kwa gumzo hili kwa kweli unahisi utamu wa fasaha wa lugha ya kiswahili.

    • @mohammedjabir6128
      @mohammedjabir6128 3 роки тому +2

      Niko pamoja na sh Ismail Jussa! Ili tusirudie makosa lazima tuungane, ili tupate ufumbuzi.
      Na CCM ifikirie kubadilisha jina la chama kwani jina hilo ndio chanzo cha vurumai na chuki!

    • @it-vw4zj
      @it-vw4zj 3 роки тому +1

      @@mohammedjabir6128 Well said brother Mohammed

    • @lmdos4382
      @lmdos4382 3 роки тому +1

      @@mohammedjabir6128 tuungane na ccm?

    • @rafaelmarquez9396
      @rafaelmarquez9396 2 роки тому +2

      Fasaha ya lugha ya kiswahili cha zanzibar sio ccha tqnganyika

  • @harounkuchi9100
    @harounkuchi9100 3 роки тому +4

    Ally Muhsin Al Barwan ni Zaimu

  • @masilambazaim5302
    @masilambazaim5302 2 роки тому +2

    Maa Shaa Allah, hongereni kwa juhudi zenu za kufikisha kile mnachokijua kuhusu historia na mafunzo muhimu ktk hazina zilizoachwa na lulu zetu.
    Maoni yangu kuna mambo muhimu na yenye thamani kufahamika kwetu sisi watazamaji au wafuatiriaji, kwahyo kulingana na muda kuwa mchache ningeomba ikiwezekana Mgawe vitabu kama hivi katika mfumo wa episode ili tunufaike kwa kiwango cha kutosha in shaa Allah

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 3 роки тому +7

    WAASISI WA
    ZANZIBAR NATIONALIST PARTY (CHAMA CHA WANANCHI WA ZANZIBAR)
    1) Vuai Kitoweo (Raisi) Jambiani
    2) Haji Hussein Ahmed ( Makamo wa Raisi) Ng'ambo
    3) Mwandoa Khamis (Katibu Mkuu) Mkamasini
    4) Miraji Shaalab (Ndijani)
    5) Maalim Zaid Mbarouk (Kiembe Samaki)
    6) Maalim Maksudi Fikirini (Mwachealale)
    7) Maalim Wazir Ali (Dimani)
    8) Othman Soud (Nga'mbo)
    9) Abdullah Mahmoud Kombo Jecha (Makunduchi)
    10) Ramadhan Khamis (Welezo)
    11) Maalim Hijah (Ndijani)
    12) Ameir Kitende (Ndijani)
    13) Abdullah Mali (Kiboje)
    14) Haji Kombo (Dunga)
    Hawa wote ni Waislam na Wazanzibari Kinda Kindaki walopigania UHURU KAMILI wa ZANZIBAR kutoka Uingereza na sio Oman kama Makaburu na vibaraka vyao wanavyopotosha.

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 3 роки тому +2

    Shukraan saana 👏👏 kwa kipindi kizuri

  • @jaanjaan111
    @jaanjaan111 3 роки тому +2

    Kwa vile watanganyika wengi hawakua na elimu na uelewa wa nchi yao ndio mwalimu nyerere aliwazulumu na kuwaonea sana na bado waliona ni mtu bora na mwema ndio mpaka sasa niwachache mwenye kufahamu maovu ya mwalimu nyerere

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 3 роки тому +1

    Mashallah. Kuna mambo mengi mimi sikuwa na yajua. Hiki kitabu nishaki order ktk Amazon.

  • @nassorali4564
    @nassorali4564 2 роки тому

    Zanzibar tunqelikuwa mbali mno lakin fitna majunqu na tamaa za watu wachache kwa tamaa zao mbk Kunifanya Zanzibar Kupoteza hadhii yake mb leo tunajutia

  • @alijuma7204
    @alijuma7204 3 роки тому +2

    Tunataka uchambuzi wa kitabu ukwel ndio huu kaka muhamed

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 3 роки тому +2

    Assalam aleiykum
    Tunawashukuru saanaaa
    Ismail na Muhammad
    Kwakeli zanzibar imeuliwa zamani
    Sanaaaa. Pia Tunaomba kitabu cha
    Bi fatma jinja please

    • @abdallahomar3332
      @abdallahomar3332 3 роки тому +2

      Kitabu.hichi.nilikitafuta.mda.mwingi.sijakipa.nilipenda.unifahamishe.wapi.nitakipata.kujuwa.au.kuelewa.wazazi.wetu.kazikubwa.waliyo.fanya.sisi.wengine.wazee.wetu.wamo.hasa.ulipo.wataja.watu.wa.k/samaki

  • @walterngowi5835
    @walterngowi5835 3 місяці тому

    Haya machotara yanataman kweli waarabu warudi Zenji kama xix tunavoitaks Tanganyika yetu Kwa udi na uvumba 😎😎

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 3 роки тому +1

    Yaani tukifundishwa azimio la Arusha. Nilikuwa sipendiiii. Na ilhali sisi ni watu ni watu na history yetu😓

  • @alijuma7204
    @alijuma7204 3 роки тому +1

    Wazanzibar kupelekwa Tanganyika ni suala lazaman toka mgogoro wa Barahash na majid

  • @SulemanKhan-lr1mu
    @SulemanKhan-lr1mu 2 роки тому

    Does anyone know where JK N hid during the 1964 Askari mutiny.The only person visible at that time was a top politician named Mr Kambona.It is interesting to know some historical facts about that period.

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 роки тому +2

    Sultan harudi tena Zanzibar!!

    • @sadofaraji5999
      @sadofaraji5999 3 роки тому +1

      Ameshafariki Allah amrehemu,labda kama una jingine.

    • @sulimanmasoud9337
      @sulimanmasoud9337 3 роки тому +1

      Wa ujiga fahamu nanikakutawa sasa japo unamuna mama Samia mzanzibari mama Samia Kaekwa kuku wadaganya wazazibari kama wewe bado umelalaa katikandoto. Labda mwabie Jusa kupe hadithi ya mfalme akishivipi alanini vipi anavo anavoka na raifa wake kasoma skuligani .utazame hawalo tawala sasa. nanibora.
      Ukita kujua zaidi nenda kwa mulim hiaja utamkuta msikiti Jbrill siku ya uradi.kwani yeye ni rafiki yake na wakisaka pamoja.
      a

    • @rastafare878
      @rastafare878 3 роки тому +1

      Wewe kapilima muarabu aje afanye nini huku , watu wanamaisha yao mazuri MashaAllah aje ahanisike huku kwenye dhiki shida zisizokwisha , acheni kutisha watu ,watu wakijitetea aaa waarabu watakuja, kwani Sasa hivi hawaji Na si ndio wanaotusaidia Leo misaada hii kesho misaada ile tena si Zanzibar wala Tanganyika Na wala hawabaguwi then munajitia midomo juu , ndio maana hatuendelei Kwa sababu watu wakijitetea aaa waarabu , hayo mambo ya kutisha watu ni mambo ya kitoto watu wanachotaka ni maendeleo sio kuleta stori hizo Kwa hizo .cha kushangaza misaada yao munaipokea mbiombio mbona hamukatai , waarabu Wana maisha yao Mungu aliyowanyooshea MashaAllah hawana shida Na kutawala Africa kwenye maendeleo duni milele

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 роки тому

      @@sulimanmasoud9337 jamsheed bye bye!

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 2 роки тому +1

      @@jumakapilima5674 Hata Mtume Muhammad (SAW) hatarudi.

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 3 роки тому +1

    Kila siku maskulini tunafundishwa historia ya Zanzibar kuanzia Mapinduzi kama kwa Zanzibar ilianza 1964! Sad 😔

    • @hudaasaalim1333
      @hudaasaalim1333 3 роки тому +1

      Very sad wallah

    • @ashaibrahim1786
      @ashaibrahim1786 3 роки тому +1

      Jamani tunaomba na kitabu cha Tanganyika Muslim Struggle Against Independent cha Al marhum Abdulwahid Sykes kichambuliwe tuelewe historia ya kabla ya uhuru.