Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Nimeijua hii channel leo nzuri snaaa ahsanteni kwa elimu
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi
@AGALUSTV naomba link ya video kilimo cha mbaazi kama ipo
Asante sana kwa elimu hakika nimejifunza
Barikiwa sana mtumishi Nyoni. Mungu awe nawe pia
Asanteh kwa maarifa kak
Tupo pamoja sana ndugu ✍️ tupo pamoja endelea kufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
Asante sana.jee,maharagwe yanaweza kumea vizuri kisarawe mkoa pwani?
Vizur tu yanastawi
@@AGALUSTV jee,wapo wanaolima kwa kumwagilia?
@msamgunda7684 Wengi tu na yanakubali vizuri tu
Ni muda gani wakupanda maharage au naomba namba
Mvua zinapoenda kuishia, lakini kama unamwagilia ni muda wowote ata kiangaz
Je km ntafanya intercroping nikayahudumia vzr maharage na mahindi itakua shida??
HAKUna shida ila unahitaji shamba lenye rutuba ya kutosha maana mahindi ya nahitaji Sana mbolea kwa iyo ubora w maharage utapungua
tup pamoja yan hp ni ugali na maharage weuweeee
💪😀😀🤔
Naitajia number yenu ya wahtsapp
Sawa ndugu tutakutumia
OK sawa nasubiri
@Kefafundi5 tupo pamoja ndugu
Naombeni namba ya whatsap