habari, asaante Kwa elim hii, swali ni kuhusu mbolea ya can umeitaja kuwa inatumika kukuzia lakini pia Kwa matunda, je naweza kuiunga mala mbili. pia wAkati wa kukuzia ni muhind ukiwa urefu upi? asaante sana.
Mbolea ya CAN ni kwa MATUNDA.kama kuweka weka mara 1.ila UREA ndyo tunaweka mara mbili.yaaani katika Jani la 6 utaweka urea na kabla ya kutoa mbelewe una weza weka urea TENA ila unachanya na CAN. Utachanya TU KAMA mahindi yako hayajakua vizuri
Pole Sana ndugu apo KUlikua hakuna mbolea. AU kama mvua ilikua kubwa basi mbolea ilipotea Bure. Kama mbelewele bado kutoka waweza weka mbolea ya Chumvi Chumvi Chukua SA, UREA NA CAN CHANGANYA ZOTE. KISHA WEKA ILA KAMA UNYEVU, UNYEVU UPO SAWA TUMIA IVYO ILI IYAYUKE KWA HARAKA
Unaweza weka ila nusu ya mbolea nzima iwe SA. Yaaani kama Unatumia sado 2 za CAN basi sado 1 iwe SA. Pia angalia Hali ya majani y mimea yako yaaani kama Yana unjano c ya kijani Sana bas ongeza SA
No it's not good to do so. Each fertilizer has it's function . However you can do it after 1 to 2 month after: planting your maize, here mix fertilizer for growth and fruits bt not during seedling stage I m I claer?
No it's not good to do so. Each fertilizer has it's function . However you can do it after 1 to 2 month after: planting your maize, here mix fertilizer for growth and fruits bt not during seedling stage I m I claer?
Japo sasa ivi kuna mbolea nyingi kila kampuni inatangaza biashara yake. Bt kwa ufupi kupandia ni DAP, kukuzia UREA, na Matunda ni CAN kwa mahindi. Kwa maeneo mengi Tanzania lakini Pia kumbuka utumiaji wa mbolea hutofautiana kat ya eneo 1 na lingine hasa kwenye mbolea ya kupandia maana kuna eneo wanatumia DAP, Minjingu au NPK Japo kwa ufupi nafikiri umepata picha kidogo🙏🙏🙏
Kutengeneza rangi ya kijani kw majani. Hivyo chakula ktk mmea utegemea rangi ra kijani. Ivyo ukuaji uwa vizuri kwa UFUPI urea na SA ufanya Kaz y ukuaji. Japo urea ukuza zaidi mahindi
Je kwa marangapi naweza kuweka mbolea kwenye mahindi mbolea Kama Urea , je na yang’ombe na yenyewe marangapi mpaka nikivuna ,pia naweza kuchanganya ? Ya asili na Urea au inatosha moja wapo?
Mbolea ya samadi ni wkt w kupanda tu. Ila urea unaweza weka Mara 2 yaani muhindi unapofika urefu w futi 2 ivi au usawa wa kwenye magoti Kisha baadae kabla y kutoa mbelewele utachanganya urea na matunda (CAN) . Nafikiri nimejibu ndugu yangu
Kuna wataalam wana vituo vyao vya kupima udongo kitaalam kwa bei nafuu. Wasiliana na Afisa kilimo wa eneo uliopo atakwambia wapi kuna kituo cha kupima udongo
Naomba kuuliza baada ya kupanda mahind ni baada ya siku ngap naweka urea
Fuatilila video hii apa itakusaidia saana
ua-cam.com/video/AzcpAbOiSAY/v-deo.html
Je mbolea unaweza weka endapo mazao yamesharibika, na je majivu au chokaa unaweka chini kwenye mizizi
Utegemea yameharibika vp .na uweke mbolea za aina gani
Nashukuru unafundisha vizuri na ni wakati muafaka asante.
, barikiwa
Asante kwa somo la mbea
Pa 1
Nimeelewa
Tupo pamoja ndugu
Asante kaka nakufatilia sana tuko p1
Ubarikiwe
Shukrn
Tupo pamoja
vp kk mnapima udongo na galama yake ikoje
Ngoja tuzid wasiliaana zaidi
Kaka nipo songea pia mbegu gani ya mpunga nzuri yenye mavuno mengi nipande
Apo Muone bwana shamba aliye karibu na eneo la shamba lako akupa Elimu zaidi
Poa nzuri sana
🤝🙏pa 1
Asante kwa somo zuri
Swali langu ni moja tu.
Chokaa inatakiwa kuwekwa kiasi gani kwa kila mmea.??
Kifuniko cha maji AU soda
@@AGALUSTVasante sana kwa ufafanuzi mzuri.🤝
kitu kingine ambacho ningependa kufahamu ni ainagani yachokaa inayofaa zaidi au ni chokaa yaaina yoyote?
Niko Kenya mbolea Gani,choka uwekwa chin ama juu
Katika hii Video zimeelezwa vizuri ifuatilie utaelewa tu
@@AGALUSTV mbegu gani nzuri
Mbegu hutofautiana na eneo unalotaka kupanda ndugu
habari, asaante Kwa elim hii, swali ni kuhusu mbolea ya can umeitaja kuwa inatumika kukuzia lakini pia Kwa matunda, je naweza kuiunga mala mbili.
pia wAkati wa kukuzia ni muhind ukiwa urefu upi?
asaante sana.
Mbolea ya CAN ni kwa MATUNDA.kama kuweka weka mara 1.ila UREA ndyo tunaweka mara mbili.yaaani katika Jani la 6 utaweka urea na kabla ya kutoa mbelewe una weza weka urea TENA ila unachanya na CAN. Utachanya TU KAMA mahindi yako hayajakua vizuri
Asaante
Tupo pamoja ndugu
Naweza kuweka dap hata kama mahindi yana majani matano nakuendelea
Weka urea. Fuatilia video hii itakusaidia Kila hatua na mbolea
ua-cam.com/video/AzcpAbOiSAY/v-deo.html
Shamba langu mahindi Yana miezi miwili na yanarangi ya njano pia ni mafupi sana je nifsnyeje? Udongo wake ni kichanga
Pole Sana ndugu apo KUlikua hakuna mbolea. AU kama mvua ilikua kubwa basi mbolea ilipotea Bure. Kama mbelewele bado kutoka waweza weka mbolea ya Chumvi Chumvi Chukua SA, UREA NA CAN CHANGANYA ZOTE. KISHA WEKA ILA KAMA UNYEVU, UNYEVU UPO SAWA TUMIA IVYO ILI IYAYUKE KWA HARAKA
Iyo chokaa unaweka kias gan kwenye mmea Yan kipimo
Kifuniko 1 cha soda
Vp nikiona mahindi yamekuwa njano nikatumia mbolea za maji km booster, au Yara je haziwezi saidia?
Apo tutafute booster ya kupandia inayo LISHA miziz
Wakigoma tz nimbegu ip Bora ya mahind kwa ukanda wetu
Apo ndugu inabidi uwasiliane na mtaalam w kulimo aliyekaribu nawe ushaur zaidi 🙏🏿
Unapo tumia Npk wkt wa kupandia kunahaja ya kutumia Npk tena wakati wa kukuzia??
Hapana hupaswi
Unapokua umetumia npk kupandi kunaurazima wa kuttumia Npk tena wakt wa kukuzia??
Hapana ndugu
Naomba kujua kama SA nikichanganya na urea kwa kukuzia ina hatar au?
Ni nzuri japo ni kutumia gharama kubwa bila msingi
Swali liko namna ya kuweka mbolea ya kwanza yani dap baaada ya kuweka dap yulea naweka baada ya muda gan na can nayewe naweka baada muda gan
Fuatilia video hii apa
Aina zote 3za mbolea na Muda wake
ua-cam.com/video/AzcpAbOiSAY/v-deo.html
Umeongelea kiasi na umbali. Ni kiasi gani na umbali gani
Okay
Organic manure is the best
Exactly
Cokaaaunawekaumbari gani au majibu naomba namba yasimu
Apo hatujakupata vizuri. Iyo umbali wa nini?
Cool
🙏🙏🙏🙏🙏
Mm nimewa mbole ya SA lkn kwa bahati mbaya kuna bazi ya miche ime nyauka nnitumie njia gani ili niweze kurudisha ile miche kwenye ubora?
Apo ni kuomba mvua au maji kwa wingi angalau kupunguza nguvu ya mbolea bt kwa siku nyingine usiweke mbolea karibu na shina
Naweza kuchanganya asa. na can kwenye mmea unaoanza kuweka mbelewelle? Na kwavipimo vipi kwa Kila mbolea?
Unaweza weka ila nusu ya mbolea nzima iwe SA. Yaaani kama Unatumia sado 2 za CAN basi sado 1 iwe SA. Pia angalia Hali ya majani y mimea yako yaaani kama Yana unjano c ya kijani Sana bas ongeza SA
How to use fertilize when planting seed is it necessary to mix two kind of fertilize to meet triple nutrients for better growth of plants
No it's not good to do so. Each fertilizer has it's function . However you can do it after 1 to 2 month after: planting your maize, here mix fertilizer for growth and fruits bt not during seedling stage
I m I claer?
No it's not good to do so. Each fertilizer has it's function . However you can do it after 1 to 2 month after: planting your maize, here mix fertilizer for growth and fruits bt not during seedling stage
I m I claer?
Absolutely
Somehow
KUHANDA unatakiwa data kuwasa ama mahidi
Je ugonjwa wa watoto wa mhindi kubabuka kama wapikwa
Apo bado hatujakupata ndugu. Waweza elekeza zaidi
Nahitaji kulima nyanya chungu
Karibu Sana ktk kilimo je unahitaji kufaham nini kwenye nyanya chungu
Ukipandia mbolea ya samadi ya ng'ombe kuna sababu ya kutumia mbolea hzo za kiwandan?
Hutegemea na msimu w upandaji mahindi ktk eneo lako pia hutegemea na rutuba y eneo la shamba
Ahsante, majivu yanawekwa.kiasi gani?
Mara nyingi ni gao au kiganja 1 cha mkono
kama shamba lilikuwa pori nikafyeka na kupandia samadi ya kuku bado ntahitaji mbolea huko mbeleni au inatosha?!
Inatosha tu ladba ya matunda baadae
Vp mbolea ya ng'ombe nikiweka kuna haja ya kuweka za dukani?
Utaweka ya kuku zia na y matunda kw za dukani
Niko tabora nipande mbegu gani ya mahindi yenye mavuno mengi
Apo Muone bwana shamba aliye karibu na eneo la shamba lako akupa Elimu zaidi
Habari, katika kila hatua yaani kupanda, kukuza na kuzaa mbolea ipi ni bora ?
Japo sasa ivi kuna mbolea nyingi kila kampuni inatangaza biashara yake. Bt kwa ufupi kupandia ni DAP, kukuzia UREA, na Matunda ni CAN kwa mahindi. Kwa maeneo mengi Tanzania lakini Pia kumbuka utumiaji wa mbolea hutofautiana kat ya eneo 1 na lingine hasa kwenye mbolea ya kupandia maana kuna eneo wanatumia DAP, Minjingu au NPK
Japo kwa ufupi nafikiri umepata picha kidogo🙏🙏🙏
Asante sana kwa maelezo mazuri
Nakushukuru kufuatilia channel hii . naomba usisahau kusubscribe na kuruhusu notification ili upewe taarifa kw video vingine
Karibu sana ndugu🙏🙏🙏
@@AGALUSTVnaomba kujua kaz ya SA
Kutengeneza rangi ya kijani kw majani. Hivyo chakula ktk mmea utegemea rangi ra kijani. Ivyo ukuaji uwa vizuri kwa UFUPI urea na SA ufanya Kaz y ukuaji. Japo urea ukuza zaidi mahindi
Mbona ujaonyesha jinsi ya kuweka mbores
OK 🙏🏿🤝✍️
Habari, Je ni mbolea ipi bora zaidi kwa kupandia kati ya samadi ya kuku au DAP?
Zote 2 changanya
Inatakiwa kutumia mbengu ngan
Mbegu zipi nyingi ila hutofautiana eneo 1 na lingine waweza muona mtaalam w kilimo ktk eneo lako
Aina gani ya MBEGU NITUMIE ILI nipate faida kwenye mahindi ya kuchoma.
Mbegu hutegemea na eneo uliopo maana mbegu zinatengenezwa kulingana na ukanda
Je kwa marangapi naweza kuweka mbolea kwenye mahindi mbolea Kama Urea , je na yang’ombe na yenyewe marangapi mpaka nikivuna ,pia naweza kuchanganya ? Ya asili na Urea au inatosha moja wapo?
Mbolea ya samadi ni wkt w kupanda tu. Ila urea unaweza weka Mara 2 yaani muhindi unapofika urefu w futi 2 ivi au usawa wa kwenye magoti Kisha baadae kabla y kutoa mbelewele utachanganya urea na matunda (CAN) .
Nafikiri nimejibu ndugu yangu
AGALUS TV Asante kwakunifahamisha , nakushukuru
Pa 1
Je nikichanganya SA na Urea kwa kukuzia inafaa?
Kama mahindi si ya kijani. Unaweza weka na SA lakini kaama ni kijani vizuri. Tumia urea tu kukuzia
Mtaalu naomba kuuliza Je Dap
inafaa kukuzia mahindi kama huna UREA?
Ni NPK ingawa nahisi ulinipigia tukaongea ndugu
Nina nyanya zinakauka shina tatizo lake Nini
Ila nimeipenda sana elimu hii
Kata shina 1 lililo athirika na angalia ndani ya shina kama kuna rangi ya kahawia yaweza kua dalili ya mnyauko pia chek dalili zingine kwenye majani 🙏
Unaweka mbolea Mara ngapi na kwa interval kabla kuvuna?
Mbolea gani ndugu unazungumzia
Kwa maeneo ya Tanga mjini ni mbolea gani inafaa kwa kukuzia mahindi?
Urea
Kwahiyo can na npk ipi inatakiwa kuanza
NPK
@@AGALUSTV okay Asante unaweza kupandia hiyohiyo npk au
Hutegemea na Aina ya udongo. Mara nyingi utumika kukuzia
@@AGALUSTV ila hata ukipandia dapu halafu ukaweka can napenyew inaweza kusaidia?
DAP yakupandia na Can ni ya matunda
Mazara ya mahindi kukauka majani ni yapi?
Yawezekana ni upungufu wa madini. Majani yanasaidia mmea kutengeneza chakula kwa iyo mmea uwa dhaifu
Kaka naweza kuchanganya mbolea zote mbili npk na can
Yaaah unaweza ila zingatia size ya mahindi yako
@@AGALUSTV mbegu ni tari sasa jua kali mvua haijanyesha na yapo kimo cha kalibia kutoa mbelewele
@@AGALUSTV je niweke mbolea gani
Weka mbolea tu
Aina gani
Kama nimepanda bila kutumia mbolea kwa shamba ambalo nimefyeka pori ,,je ni hatua gani natakiwa kufanya na hasa kwa muda gani baada ya kupanda .?
Kuweka za kukuzia mimea ikifika hatua y magot au Jani la sita
Kisha nikiweka ya kukuzia naweza kuweka kwa ajil ya Matunda ambayo ni can?
Yes ni nzuri sana🙏🏿🤝
naweka mbolea wakati gani tangu kuota kwa mahindi?
Jani la 6 adi la 7 au urefu wa kwenye magot au futi 2 adi 3
Kati ya mbolea ya Urea, NPK na SA ipi ni mbolea nzuri kwa kukuzia mahindi?
Mimi nakushauri UREA ni bonge la mbolea
@@AGALUSTVna je ukichanganya urea na sa?
Udongo unapimwaje?
Kuna wataalam wana vituo vyao vya kupima udongo kitaalam kwa bei nafuu. Wasiliana na Afisa kilimo wa eneo uliopo atakwambia wapi kuna kituo cha kupima udongo
@@AGALUSTV naomba kujua umbali wa kuweka mbolea kutoka kwenye mmea.
Sm 5
Unaongea kwa kirefu mno kwa jambo moja...sorry lakini
Pa 1
Samahani boostar kwenye mahindi ninasaidia nn
Ni mbolea ya maji
nahitaj. namb. yak. ya. cm
0765467484
Hayo majivu nayo unaweka kwa kipimo na umbali ule ule Toka mmea kama mbolea za kisasa?
Kiganja cha mkono