Mko vizuli sana ningependa kufahamu kwaambao tunaishi sehemu ambazo mvua zinakua zakusuasua na ninapenda kulima kilimo chakujikwamua ambacho nichakisasa ni hiro tu
Kilimo cha mahindi mchanganuo wake pia unaweza kuwa kama hivi Kwa heka moja Mbegu ni pakt nne hadi tano ... Kila pakt ni shlng elfu 12 jumla ni 60 elfu Mbolea ya kupandia ni dap kwa tabora ni 65 kwa mfuko na inatumika mifuko miwili , kukuzia ni urea , mifuko miwili na mfuko ni elfu 58 , mbolea ya kubebeshea ni can , elfu 45 ni mifuko miwili , kwa jumla mbegu na mbolea ni shiling jumla ni laki tatu na elfu 36 pamoja na usafiri ni laki tatu na 76 , , kukodi ni elfu hamsini , kusafisha shamba ni 30 elfu , kulima ni elfu hamsini , jumla ni laki moja na thelasini , hapo bado dawa , kupanda , palizi , kuvuna , nk mambo ni meng Ila kilimo jinsi unavyolima sehem kubwa na garama zinapungua
Heka moja ya shamba la mahindi unapiga mashimo mangapi!? Au heka moja unaweza panda mimea mingapi!? Na ip, ni faida zaidi kwa kuuza mahindi mbich na makavu, hususani kwa wakaazi wa jiji la dar es salaam!?
Nimelima sana tena nimebolesha sana kiukweli kabisa mahindi hayana soko la uhakika kiujumla mtaalam hakilipi.
Kilimo sio kulima tu, mkulima Bora ni yule anaefahamu taarifa za somo na kuweka mipango ya jinsi ya kupata soko hata kabla hujalima.
*Taarifa za Soko*
*Taarifa za Soko*
*Taarifa za Soko*
Mhhhhh
Mko vizuli sana ningependa kufahamu kwaambao tunaishi sehemu ambazo mvua zinakua zakusuasua na ninapenda kulima kilimo chakujikwamua ambacho nichakisasa ni hiro tu
Tunaweza kuwasiliana 0764148221
Ni kiasi gani cha mbolea ya samadi ambacho mkulima anapaswa kuweka kila shimo?
Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi 0764 148 221
Kilimo cha mahindi mchanganuo wake pia unaweza kuwa kama hivi
Kwa heka moja
Mbegu ni pakt nne hadi tano ... Kila pakt ni shlng elfu 12 jumla ni 60 elfu
Mbolea ya kupandia ni dap kwa tabora ni 65 kwa mfuko na inatumika mifuko miwili , kukuzia ni urea , mifuko miwili na mfuko ni elfu 58 , mbolea ya kubebeshea ni can , elfu 45 ni mifuko miwili , kwa jumla mbegu na mbolea ni shiling jumla ni laki tatu na elfu 36 pamoja na usafiri ni laki tatu na 76 , , kukodi ni elfu hamsini , kusafisha shamba ni 30 elfu , kulima ni elfu hamsini , jumla ni laki moja na thelasini , hapo bado dawa , kupanda , palizi , kuvuna , nk mambo ni meng
Ila kilimo jinsi unavyolima sehem kubwa na garama zinapungua
tunashukuru sana kwa maoni yako ya kujenga
Naomba namba zako boss
0764148221
Naomba kuuliza miche elf kumi ya mahindi inaweza ikachukua eneo gani kwa ajir ya kilimo cha kumwagilia?
Heka moja ya shamba la mahindi unapiga mashimo mangapi!? Au heka moja unaweza panda mimea mingapi!? Na ip, ni faida zaidi kwa kuuza mahindi mbich na makavu, hususani kwa wakaazi wa jiji la dar es salaam!?
Hatree
Hayo magunia ni mahindi ya kishapukuchuchuliwa ama?
Bado mbolea ya kuzalisha bado unaweka bei ya chini sana
🤔🤔
Eneo kivip bro wakati mbegu unayopanda inatakiwa iendane na eneo ulilopo ....???
Naomba kujua jinsi ya upandaji wa mahindi mpaka uje upate gunia 25 au 30
Tuwasiliane 0764148221
Kupiga halo ndio nin
Asant kwa elimu mawasiliano yako kiongozi tuulize vizuli
0764 148 221
Nahisi kama nimechelewa ila naomba nipate mawasiliano yako kiongozi
Bado ujachelewa Sana karibu 0764148221
Na maharage je inakuwaje
Ntaelezea pia
@@RubabaTv kwa mawasiliano zaid ili kupata taarifa zaid tunakupataje wkt no zn sn
0764148221
Asante sana tupatie namba ya simu please
0764148221
Unapandaje
Namba ya mtaalam ndio hiyo ama?
0764148221
Namba yako ili kujua mambo mengi kutoka kwako
0764148221
@@RubabaTv naomba number zako kutoka kenya
0764148211
know
Mkoa wa kigoma kuna baadhi ya maeneo ambayo unakuta yana miaka mingi sana hayajalimwa ukiweka mbolea ya urea mazao yanaingia sasa nini tatizo
ila kaka mimi.nawaza kulima.kweli.yaani.goja.nichukuwe.naba.yako
🤝
Mbona hamniunganishi na watsp
TUTUMIE namba yako
TUTUMIE namba yako