VIDEO: TAMKO la ALIKIBA 'Sina UGOMVI na DIAMOND/ Ampa SIFA hizi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лис 2019
  • ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram rickmediatz...
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 249

  • @shebyguarantee5271
    @shebyguarantee5271 4 роки тому +31

    Dahhh Mie sina Team ila Ali kiba Genious kwa jibu ilo la Pensel Yani duuhh nouma

  • @betricecharls7444
    @betricecharls7444 4 роки тому +5

    Daah we kaka unahekima sana mungu akuongoze ktk muziki wako

  • @user-pn7er7ej2i
    @user-pn7er7ej2i 4 роки тому +89

    Kamaunamkubali mfalme gonga like

  • @husseinbally1736
    @husseinbally1736 4 роки тому +34

    *_king kiba 4really tuna jibu kifalme yaani_*

  • @neemanelson3617
    @neemanelson3617 4 роки тому +61

    Team kiba kama tuko pamoja comment yeee babaaa

  • @almamymoha
    @almamymoha 4 роки тому +42

    Mature response from Alikiba. I believe the guy was sent to interfere with the press conference. Kiba Ana akili iliyokomaa

    • @zawadisaidy755
      @zawadisaidy755 4 роки тому

      Kweli kabisa.

    • @Akhonya_jnr
      @Akhonya_jnr 4 роки тому +2

      Nooo....it was planned by Alikiba so that he can explain it very well.

    • @godfreymajagi1867
      @godfreymajagi1867 4 роки тому

      Sio kweli kwamba katumwa., ts very trivial., very weak trick., yawezekana ni shabiki tu kaamua., bt amejibiwa kiustaarabu sana., at last Kiba ameongea fact, ameongea ukweli., hawana bifu., ila wana malengo tofauti., na yy anataka asimame afikie lengo lake, sio kupitia mgongo wa mafanikio ya mwenzie., thats normal., its wat he believes and thus he will achieve

    • @faithachieng6453
      @faithachieng6453 4 роки тому

      Yer am so proud of him he is problem solver

  • @mounirakhalfan4590
    @mounirakhalfan4590 4 роки тому +29

    Heshima zako king 👑

  • @ramosfally2318
    @ramosfally2318 4 роки тому +1

    mozambique tunakujuwa vile vile king kiba asante sana muito obrigado star usiovuka mipaka una tatu wala kipuli na unajuwa allah yupo mbeleyako na kuna maisha ya badae dunia ni njia tu. 👑 kiba 👑 music

  • @m2bad
    @m2bad 4 роки тому +10

    Kiba handsome men brother 💯 iko very good and thx kwanyimbo yako cuz umetutowa hayaa wewe mndo baba lao akuna hinzi atakufikiya kimziki know the my brother support tunakupa my braza keep up now

  • @aminasubira6591
    @aminasubira6591 4 роки тому +7

    Watu wengne bana kaaaah kamenikeraaa😏😏Najivunia Kukupenda MykingYeebabaaaaa Lets Say It TeamKibaa YEEEBABAAAAAAA✌👌👏👏👏

  • @beatriceemmanuel6037
    @beatriceemmanuel6037 4 роки тому +4

    ubalikiwe sana king kwakz yako nzr mungu akupe wepes unaweza sana

  • @zawadisaidy755
    @zawadisaidy755 4 роки тому +13

    Inshallah MW/ mungu akuzidishie baraka tele na pia akuzidishie kila hatua unayopitia ishallah king kiba🙏🏻🙏🏻

  • @mathiusthomas3074
    @mathiusthomas3074 4 роки тому +39

    Huna heleni wala kipuli wala tatoo lkn ni star

    • @eligiuselias4469
      @eligiuselias4469 4 роки тому +1

      Kweli kabisa Mimi si shabiki Wa bongo fleva ila namkubali sana Alikiba kwani anaangalia maadili sana

    • @aishaaisha18
      @aishaaisha18 4 роки тому +1

      Wala hasuki nywele

    • @sihabaomark1201
      @sihabaomark1201 4 роки тому +1

      Huyu ndo kioo cha jamiii

    • @alvinziddie6309
      @alvinziddie6309 4 роки тому

      Ila tabia zake Chafu

  • @jamiloadan7012
    @jamiloadan7012 4 роки тому +1

    King kiba 4realy love u big up inshallah 💕💞💓💖😍😍😍

  • @nimahassen4686
    @nimahassen4686 4 роки тому +30

    Well done my king that's why am team kiba forever no matter what.

  • @halima23862
    @halima23862 4 роки тому +20

    Safi Sana King.

  • @mathayonyerera3144
    @mathayonyerera3144 4 роки тому +1

    Yeeeeeebaba,👏👏 MORE FIREEEEEEE 💥💥💥💥💥

  • @salmachuma2226
    @salmachuma2226 4 роки тому +10

    🤣🤣😂😂 jembe nime kuku bali sana Tem mondi. Tujuane woyoooooo simbaaaaaa tuna kupendaaaaa tuonyeshee maajabuuuuuuuuuuu

  • @kigangamdohimjukuu121
    @kigangamdohimjukuu121 4 роки тому +16

    Wewe nikijana uliyelerewa ktk familia iliyojaamaadili🙏🙏🙏

  • @victarterry9217
    @victarterry9217 4 роки тому +8

    nakukubali sana bro

  • @bigpoverty499
    @bigpoverty499 4 роки тому +3

    😂😂😂😂😂😂 daaaah!!! Ati nmeleta penseli wapi +254 likes hii imeweza 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @donishayo9534
    @donishayo9534 4 роки тому +3

    Get stronger broo and keep it up life still goes on,, unajua xanaaaaa

  • @germainmulondo9453
    @germainmulondo9453 2 роки тому

    I support from DR Congo. You're king bro

  • @thenextmvp8568
    @thenextmvp8568 4 роки тому +8

    😃😃😃😃😃😃 Bongo nyoso jamaa kamletea penseli 😄😄😄

  • @johariathumani1761
    @johariathumani1761 4 роки тому +21

    Dogo kama katumwa aiseeee, vilasta kma utambi wa chemrii,
    Kiba 4 life

  • @zainabuswai6681
    @zainabuswai6681 4 роки тому +1

    Pamoja brooooo salute 👨‍🎓

  • @maryamyislam31
    @maryamyislam31 4 роки тому +8

    that was very wise Ali❤️

  • @naominabwire7729
    @naominabwire7729 4 роки тому +10

    Every person has his way of trending ..sasa huyo team diamond alienda kwa alikiba kufanya nn,

    • @ajilimaria9488
      @ajilimaria9488 4 роки тому

      Ndo hapo sasa, kwa nn kaenda

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 роки тому

      Maswali meng halafu hatupat majibu kwa nn kapeleka pensel? Km hajatumwa huyu

  • @salumuasha9207
    @salumuasha9207 4 роки тому +11

    Namkubali sanaaa kibaaaa jomon

  • @beroyagospelchoirkahama1979
    @beroyagospelchoirkahama1979 4 роки тому +5

    Clouds wako bize na Konde boy, Eatv iko na Alikiba, Wcb iko na Diamond. Wacha tuone nani baba yao

  • @mwasicostamasuba6884
    @mwasicostamasuba6884 4 роки тому

    You are the best bro proud to have you

  • @rosemarymoses6068
    @rosemarymoses6068 4 роки тому

    Mungu akutunze my king ,daah naajivunia kuwa team kuba

  • @yassinm69
    @yassinm69 4 роки тому +1

    Real talk KING KIBA we nimuelewa saana

  • @suleamber7252
    @suleamber7252 4 роки тому +4

    Handsome LA Tz hili jamaaaa

    • @hamadramadhan2381
      @hamadramadhan2381 4 роки тому

      sio tz tu hata out sema huyu sio muwekaj mambo yake hadharan kwan ni mtu ambaye ametokea ktk familia yenye maadili na dini pia

  • @ramadhanzmlay1331
    @ramadhanzmlay1331 4 роки тому +1

    M nilicho gundua n kwamba clouds hawana shukran , , nakumbuka fiesta ya mwaka juz wakat mond anawapiga chini KIBA aliibeba fiester mwanzo mwisho lkn leo hii hawajotokea hata mmoja , kuja kumsikiliza , , NASEMA IVI KIBA WW NIWETU TUKO PAMOJA NAWE NA TUMESHAGUNDUWA KILICHOFANYIKA , ,, , ALLAH BLESSING U BROH

  • @jenolove7603
    @jenolove7603 4 роки тому

    Waaooooo! Unajielewa sana kiba Mungu akubarki na kazi yako

  • @Matfa-Alsaad
    @Matfa-Alsaad 4 роки тому +1

    001.... you're a matured Mashallah

  • @conslatorjossy3951
    @conslatorjossy3951 4 роки тому +4

    Hongera kiba ww n mtu.mzima na wajiheshimu..big up.mungu ukuongezee umri wako

  • @habibaibrahim8151
    @habibaibrahim8151 4 роки тому +6

    😂😂 karudish pensel 😅😅😅😂

  • @shacksam760
    @shacksam760 4 роки тому +5

    Kwa mtu mzima anaeelewa hii penseli yenyewe imetengenezwa alitaka kuliweka sawa

  • @zamdaramadhan3421
    @zamdaramadhan3421 4 роки тому +4

    watu wanajitoa mabetry 😂😂😂😂😂

  • @piusmbaka8150
    @piusmbaka8150 4 роки тому +7

    Hata kama ww uko na ujinga ya ukoo umeina king will always be a king

  • @Matfa-Alsaad
    @Matfa-Alsaad 4 роки тому

    All way from UAE alikiba for good

  • @zubedajimmy4336
    @zubedajimmy4336 4 роки тому +3

    Kiba❤️👏👏🔥🔥

  • @michaelenn9979
    @michaelenn9979 4 роки тому

    Hapo sawa broooooo

  • @estherblack2770
    @estherblack2770 4 роки тому

    Ali amepewa zawadi ya penseli😂😂🤣🤣😂😂 nimecheka Sana Hadi guanguka😂😂😂😂😂

  • @zainabwafula5503
    @zainabwafula5503 4 роки тому +5

    Team kiba😇😇

  • @hanankhalifa8309
    @hanankhalifa8309 4 роки тому +2

    Love you kiba😘😘😘😘😘

  • @harrvannyofficiall2557
    @harrvannyofficiall2557 4 роки тому +4

    ᵞᴱᴱᴱᴬᴬᴴ ᴮᴬᴮᴬ....💥💥

  • @froncemwinuka4821
    @froncemwinuka4821 4 роки тому +14

    Kwnn dimond anaangaika na kiba au baba ake nn ?

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 роки тому +1

      Hapo ndo ujue kwamb d anatumia kiki kupitia Aliy na mashabiki kumchukia Aliy bila sababu lakin Aliy ana akili nahis katumwa huyu kumpim imani ya Aliy kuon km atafukuzwa huy kijan lkn Aliy ana akili zake

    • @ramahaji9342
      @ramahaji9342 4 роки тому +1

      Fronce Mwinuka hapo umemckia diamond kmamako ww?

    • @ramahaji9342
      @ramahaji9342 4 роки тому +1

      Khadija khadija we pimbi hjaona hapo mabodgard walitaka kmaind ila kajikaza t kpokea penseli

  • @worldwide9207
    @worldwide9207 4 роки тому +5

    Kwili kila mtu Ana njia yake

  • @rseleselemani2818
    @rseleselemani2818 4 роки тому

    Safi Sana Kiba Najuwa Hakuna Vita Zaidi Ya Kibiashara Hapo

  • @mwanyanje48
    @mwanyanje48 4 роки тому +4

    Daaaah watuu wamepingaaa kweliii et anampaa penselii kibaa hahahahahah......ukimuangalia Sana huyo dogo alikumbatiwaa na mondiii nakupewaaa lakii 5

  • @wlkme6644
    @wlkme6644 4 роки тому +2

    Akiyamungu uyushabiki ananivunja mbavu😄😄😄😄😄😄😄

  • @azzamamichalazo1156
    @azzamamichalazo1156 4 роки тому

    unajitambua sana brook kaka angu

  • @ladylady8440
    @ladylady8440 4 роки тому

    We noma

  • @mamisakibwana5384
    @mamisakibwana5384 4 роки тому

    kiba🙌🙌🙌🙌🙌

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 4 роки тому +6

    Hhhh watu washavurugwa wanajiuliza watatokaje nd ivo???

  • @zulpharajab7805
    @zulpharajab7805 4 роки тому +11

    mwanaume wa kweli😚😚😚😚😚team kiba damun

  • @firstname600
    @firstname600 4 роки тому +4

    Wa kwnz

  • @tanyatzmodel742
    @tanyatzmodel742 4 роки тому

    Kama umecheka dogo alivyovutwa kibeg like

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 роки тому +3

    🔥🔥🔥🔥

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 4 роки тому +1

    Kiba💖💖💖💖

  • @jobushabani9793
    @jobushabani9793 4 роки тому

    Jaman hadi na we,

  • @shacksam760
    @shacksam760 4 роки тому

    Ali unajua ila upole wako na ukimya mingi ndo unakufanya upowe sana ndomana unashindwa ata kujieleza unang'ata sana ulimi jitaidi maisha yako ba kazi yako ni ya ustaa Kwaiyo usiogope kuishi kistaa utaumbuka sisemi utaumbuka kwa nia mbaya ila namaanisha kuwa pengine itakukosti utashindwa kuwa comfortable na kazi yako ya ustar

  • @irenevm5513
    @irenevm5513 4 роки тому +4

    That why I love you king kiba miye na kuunga mkono mwanzo adi mwsisho huyo dogo naye kama ka tumwa vile like wtf ame kosa kazi yaku fanya adi amfate king 👑 kiba eti chukuwa penseli yako like wtf he’s crazy men damn mimi ninge mpa kofi yakila rangi 👊🏾

  • @ShazeenBaby
    @ShazeenBaby 4 роки тому +2

    💪💯👌

  • @ahmedara9450
    @ahmedara9450 4 роки тому +2

    Yooooo ✌🏻

  • @thomascountry2353
    @thomascountry2353 4 роки тому +1

    King

  • @Usawa_phonetech
    @Usawa_phonetech 4 роки тому

    real life# love

  • @simontheofili6315
    @simontheofili6315 4 роки тому

    Yeee babaa

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 4 роки тому +8

    Huyu jamaa kaleleka ana maadili alopewa na wazazi wake

    • @mdugiyahya1840
      @mdugiyahya1840 4 роки тому

      Fatma Mhamed
      Hiv unajua mzik n haramu familia ya maadili haiwez kukuruhus kuimba

  • @msafirisalum8436
    @msafirisalum8436 4 роки тому

    Bangi za uchochoroni sio nzuri dogo katoka kupuliza

  • @zainaramadhan7769
    @zainaramadhan7769 4 роки тому

    Wazamini wakutoshaa mzee babaaa

  • @ashirially8301
    @ashirially8301 4 роки тому +5

    Uyu dogo katumwa ukiwa na akili timamu ndo unajua alikiba ni mtu gani na daimond ni mtu wa aina gani. Uyu dogo katumwa na alikiba kamnyooshea maelezo kuhusu alikiba na daimond wameshindwa watu wa maana hataeza uyo mtoto mvuta bangi? Kwaiyo daimond mtu wa kiki alafu imefeli maana alikiba kajibu vizuri na pia akumfukuza kama walivyo plani afukuzwe walete maneno kwamba umedai pensel umeletewa umepanic sasa alikiba akuingia mtego wao watafute kiki kwa harmonize

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 роки тому

      Daah Umeonae walitak kuona imani yake wamebug kwakweli

  • @jihadytv145
    @jihadytv145 4 роки тому

    Namkubali sana kiba

  • @danmanga4342
    @danmanga4342 4 роки тому

    hahahahaaaaaa, kiba ungekuwa na maadili ungemtimua mkeo?

    • @hamadramadhan2381
      @hamadramadhan2381 4 роки тому

      ulikuwepo wakati anamtimua watu wengine kama wanawake vile,habar za mitandaoni ndo wajua kwel huyy jamaa sio boya kama alivyohuyo domo wenu na kaa ujue ally kiba hajamfukuza mkewe na usiamini kila habar ww habari nyingine zinawwkwa ili watu watengeneze mtonyo ww kichwa maji kwel yan

  • @upendodanieli8457
    @upendodanieli8457 4 роки тому +1

    Nikweliii jamani Mimi ni TM kibaaaa

  • @khericarrey6725
    @khericarrey6725 4 роки тому +5

    Kiba anajitekenya kisha anacheka mwenyewe....

    • @michaelluhumbika5924
      @michaelluhumbika5924 4 роки тому

      Unataka akutenye ww huyo siyo basha k ww

    • @khericarrey6725
      @khericarrey6725 4 роки тому

      Acha ungese mjomba...nilikuita ucomment mxiuuu....jike dume uso na mbele wala nyuma

    • @michaelluhumbika5924
      @michaelluhumbika5924 4 роки тому

      Ww ndiyo mgese maana unashobo sana k ww

    • @khericarrey6725
      @khericarrey6725 4 роки тому

      Niondolee nyege zako za kishenzi hapa...wee mwari rudi tena darasani uwe Kama Bob risky tukuelewe kiwazi si kwa ugumegume huu...mxiiuuuu

  • @suleamber7252
    @suleamber7252 4 роки тому +5

    Huyu jamaa atawapasua vichwa maboya yaani wanahenya kutoa minyimbo jamaaa linaharibu kwa kuongea tuu

  • @geecastag5610
    @geecastag5610 4 роки тому

    King Kiba we ndo msanii pekee huna kipuli,huna tattoo huna dreads na bado we ni star.... Mimi binafsi nakukubali sana sana @officialalikiba.

  • @arafajabir3194
    @arafajabir3194 4 роки тому

    Ali Kiba umenyoosha maneno na umemjibu vizuri huyo.kibaraka aloleta peseli😃😃😃

  • @irenepriscuss3860
    @irenepriscuss3860 4 роки тому +7

    Kings forever

  • @jellysemwali3509
    @jellysemwali3509 4 роки тому

    Tim kiba wapiiiiiiiiii uyoooooooo

  • @masoudabdalla2843
    @masoudabdalla2843 4 роки тому +1

    Kumbe kiba unaekti hapo sychological huyo jamaa umumuanda

  • @kigangamdohimjukuu121
    @kigangamdohimjukuu121 4 роки тому +1

    Huyu ndio mfalme Hakika

  • @kassuomar
    @kassuomar 4 роки тому +1

    Weee sema tu hata icho cha kuimba kinaharibu maadili

  • @mirajiibrahim51
    @mirajiibrahim51 4 роки тому +1

    Jamaa ata kuongea na press hajui anaongea pumba tu

  • @jumamkongowe8870
    @jumamkongowe8870 4 роки тому +14

    Shkamoo bangi 😂😂😂😂😂

    • @mpandadangote8217
      @mpandadangote8217 4 роки тому

      Juma Mkongowe hahahahaha

    • @genioustv4169
      @genioustv4169 4 роки тому

      Matumizi ya mihadarati kwa vijana ni hatari, kiba ndo unikome jamani wanaume hatuzungmzii hvyo

  • @bernicewairimu1521
    @bernicewairimu1521 4 роки тому

    King kiba forever

  • @asmahabiyambere2518
    @asmahabiyambere2518 4 роки тому

    KING KING KING

  • @mwangimainakizomba3062
    @mwangimainakizomba3062 4 роки тому +1

    Wtf he just ambushed him Salala !!!

  • @helbertsabai6490
    @helbertsabai6490 4 роки тому +18

    Dogo kaagizwa afanye hivyo

    • @azizisalum6190
      @azizisalum6190 4 роки тому

      kaazigizwa kweli huyo

    • @Platnumz11
      @Platnumz11 4 роки тому +2

      No cikubali hiyo hata mimi mpiya nipo USA nakubali diamond platnumz kwasababu anatupa mziki mzuri sana all the world

    • @aminasubira6591
      @aminasubira6591 4 роки тому +1

      @@Platnumz11 Hakuna Alokataa Sasa Kuvamia conference ya watu Inahusuuu😎😎

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 роки тому +2

      @@Platnumz11 hat km una amin huyo dog ametumwa kumpim imani ya Aliy na hapo angekataa kujibu watu wengesem wanaugomvi lkn amin hawa watu hawana ugomv wal nn

    • @Platnumz11
      @Platnumz11 4 роки тому +1

      Amina Subira jamani tusemeni ukweli uwongo Zambia diamond fundi wamziki

  • @wardamasoud3227
    @wardamasoud3227 4 роки тому +5

    🤣🤣dogo kanivunja mbavu, kuna watu wamepinda jmn

  • @francislesilwa881
    @francislesilwa881 4 роки тому

    Mimi si mtu wa bongo fleva ila huyu ndugu nampenda sana

  • @rajabusalumu1736
    @rajabusalumu1736 4 роки тому

    Safi kiba

  • @aminamakacha6258
    @aminamakacha6258 4 роки тому +7

    Bangi mbaya aisee duuh 🤣🤣 Lkn hongera zake kiba

  • @mtukwaomedia
    @mtukwaomedia 4 роки тому

    Huyu mtoto hanisi kweli huyu karudisha penseli

  • @alibakari280
    @alibakari280 4 роки тому +3

    Weweeeeeee! Sasa kiba umeshapewa penseli yako. ugonvi uisheeee!😅😅😅😅

  • @iamsaxy2693
    @iamsaxy2693 4 роки тому +2

    Hajui kuongea uyu jamaaa na waandishi wa habari