Tatizo Moja Watu Mnajua Mikopo Kausha Damu Mnaambiwa Mikopo Inaitwa Kausha Damu Kwanini Mnakopa Nakama Mnakopa Mlipe Kwani Wakati Mnachukua Mikopo Mnakua Mmelewa Au Vipi Kama Mmekopa Na Kabla Ya Kukopa Mnajua Kila Kitu Mikopo Kausha Damu Jina2 Hatari Mnaenda Kukopa Lipeni
Wewe mtu Kwa akili ya haraka unaweza kukopa milioni 4 ukadaiwa milioni 30??? Unawaambia walipe tu bila kudai haki? Usione mtu anaenda kukopa sehemu hujui changamoto anayopitia mpk kukopa,Sema taasisi zinatakiwa ziwe zinatoza riba inayokubalika na BOT
@@user-nb6yh2bn9y ndugu inaonekana huelewi,hayo makampuni kwenye mkataba huwa yanaficha hizo riba,unasaini mkataba mwingine na unakuja kufilisiwa na amount inatop up nje ya mkataba,uwe mfatiliaji wa mambo,usikurupuke kishabiki tu! Unadhani hao watu wote wanaolalamika hapo hawana akili ila we ndio unayo au sio? Fanya research utaelewa wanacholalamikia
Bwana Hashim ulipaswa kuwasiliana na msimamizi wa microfinance BOT kujuwa iwapo wamesajiriwa huko na kufuata miongozo ya riba wanayotakiwa kutoza wakopaji .Iwapo hawajasajiriwa na wanatoza riba zaidi ya asilimia 3.5 kwa mwezi chukua hatua na hata kusitisha shughuri zao hadi wasajiriwe na kufuata taratibu.Vinginevyo utalambishwa asali na wananchi wataendelea kuumia.
Wanaokopesha kausha damu niwachawi kinyama.....ukiandika dhamana vitu vyako mhimu basi umeisha lazima wakutengeneze wanakufanya pesa usipate yakuwalipa ili wakuzulumu 😊😊😊
Hiyo microfinance ya kapaya imesajiriwa na BOT ? na anafuata miongozo ya utozaji riba .BOT wamepewa jukumu la kusimamia wananchi wanaumizwa wao hawana udhibiti kilio kila mahali majibu ya waziri bungeni juzi yanaonyesha aidha hajui kinachoendelea au hataki kujua.Wakopeshaji wasio na usajiri ma DC wafukuzeni wasifanyekazi hiyo katika wilaya zenu vinginevyo mjiandae kusikia mazingaombwe jinsi laki moja imavyoweza kuuza nyumba ya milioni50 kwa miaka 3.Kufanya biashara bila kusajiriwa ni kosa na nihatari hata kama mtu hakulipa riba mkopeshaji anajiamria tu bila kufuata miongozo ni hatari kama vile serikali ilisafiri.
Kean mara ngap nmb ,crdb,equity na bank nyingine wauzia watu nyumba???? Swala hili mfanyabiashara hana shida tatzo ni hali ya maisha magum ya nchi hiii
Hapo Sasa mm naona pesa zao zinamakusudi Yao Zina kitu kinafanya ushindwe kumlipa ili upoteze lililo KUBWA million 1 ndio uuze nyumba hata kiwanja hupati
Media zinazo chapisha changamoto mbalimbali zinazoikumba jamii muwe msitari wa mbele kufuatilia changamoto hizo mwanzo mpaka mwisho wa hukumu au suluhisho la tatizo, maana viongozi wengi mpaka wakumbushwe wajibu wao. Pili wanajamii pia tuwe tuwe tunafanya kwanza utafti wapi na kwa nini uchukue mkopo. Tatu ni vizuri kabla ya kuchukua mkopo peleka mkataba kwa mwanasheria aliyeko karibu kwa msaada zaidi pia wanasheria wa mlioajiliwa na serikali kwenye halimashauri zungukeni na mtoe elimu katika jamii na si kukaa maofisini.
Aibu sana kwa viongoz,milion moja unauza nyumba ya mtu,kama siyo dhuruma ni nini ? Nchi hii watu wanyonge wakimbile wapi ? Siyo kwa viongoz siyo kwa mahakama.Rushwa tupu zimetawala.
Unyanyasaji huo jamani,,,kausha damu imeumiza watu wengi,,watu wamefirisiwa na kausha damu pia ndoa nyingi Sana zimevunjika Sana kwa ajili ya kausha damu
haya waziri wa fedha ayaone na angalie ni kwa kiasi gani hili tatizo ni kubwa acha hao nenda bayport na taasisi kama hizo za kibayport kwa watumishi nao wanavyoumia yaani wajanja wanawaibia watu kwa kutumia sheria sasa hizi sheria ambazo zinaumiza watu hazionekani jamani
Kwanini ulikopa tukaweka nyumba dhamana? Hamjui Sheria bhana, ya I unakopa pesa unakula unasahau kwamba aliyekukopesha yupo kibihashara? Hapo hakuna uonevu zaidi rejeeni mikataba na muache kukopakopa ovyo
MTU UNAKOPAJE PESA YA TAAASISI BILA KUA MALENGO HUSIKA AU MWEMDELEZO WA BIASHARA.MM NACHOJUA ILI UNUFAIKE NA MKOPO LAZIMA UWE NA BIASHARA.UKAIKUZE SYO KUANZA NA BIASHARA MPYA LAZIMA UFERI TU
Bunge limesema haya mambo ya mikopo kama vp msikope wandugu Maisha haya utajenga vp tena Na hizo nyumba wanachukua hao hao na madalali ndio tatizo kubwa sana😊
Yaani hilo ni bonge la tapeli jamani .ebu hawa wanyonge wasaidiwe jamani.hao wakuu wa wilaya wananunuliwa na huyo mwizi.Rushwa itauwa hao wazee jamani.
Nimeona makosa yapo kwa wakopaji. Bila unafiki makosa yapo kwa wakopaji .tangu 2019-2024 hujalipa. Jama huyo papaya pia ni mvumilifu benki ukifeli humalizi miezi bila kuuziwa dhamana yako. Wananchi wapewe elimu ya mkopo
Kwann mnakopa jmn Hz lawama sahv kila mtaa kuna flem y wanaokopesha pesa n ukikopa mala y kwanza lazima uende Yan Hz pesa kama zina mashetan vile n lazima udhalilike
@@PaulinaSemindu-ob3demimi mbona sijawahi kurudi tena? Nilikuwa nauguza nikakopa kwa ajili ya matibabu,nikarejesha kwa wakati kama tulivyokubaliana,mwaka huu wa 5,sijawahi kurudi wala kutaka kurudi tena.sasa sijui mnavyosema ukichukuwa unatamani tena uende,mimi nakataa kabisa.mnapokopa kumbukeni kulipa tu basi,wale watu hawanashida na mtu.
Ukikopa kumbuka na kulipa pia cyo kujisahaulisha hii ni ajabu unaenda mwenyewe bila kutushilikisha Leo unaminywa ulipe unaanza kutupigia kelele tuwe na nidhamu na vitu vya watu maana na yy anataka faida na yamkini analipa Kodi pia.
Wewe ni mbinafsi kama una chaneli ya kusaidiwa pesa na nduguyako mwenye uwezo tambua wengine hawana inabidi wakope ili wazungushie biashara wakidhani watapata faida na wanapo kwama ni kuwahurumia tu hata wewe hauta dumu na mafanikio yako milele siku ukikwama ndio utawakumbuka wenzako unao waona hawana akili kwa kukwama kwao
TATIZO SI WAKOPESHAJI BALI TATZO NI BOT,MAANA RIBA ZOTE za 20% KWA MWEZI,140% KWA MWAKA 😢 HUPANGWA NA BOT,KWA HIYO WAPO KISHERIA.WAKATI BANK ZA 1.8 KWA MWEZI HAUNA VIGEZO VYA KUKOPESHEKA
@@nussramussa5507 Sasa Si Waache kukopa , Wew huoni wanasiasa wanaingilia Maswala hayawahusu, Sababu huyo alieenda kukopa angeenda kwa kiongozi asingemsaidia, Pili Mahakama si inafanya kazi
Mkuu wa wilaya mamuzi yako dhaifu ,cha kwanza nyumba watu warudishiwe kwanza wote walio uziwa, je Ana kibari cha kukopesha, je hizo riba anazo weka ni sawa, pia kesi zote zilizo hukumiwa zipitiwe upya na mahakama kuu, pia takukuru iliyo pewa jukumu la kumkagua nayo ichunguzwe pia pamoja na mahakama, achana na kodi tatua ya wananchi kwanza wardishiwe nyumba zao zote,
Kwahiyo wewe ni mungu kwa sasa haunashida kama wengine na je unajua kama utaendelea na maisha bila kukopa?acha ubinafsi utatamani kuhurumiwa kama wenzako leo usijihesabie haki kwakuwa bado mungu amekusitili dunia haujaifahamu japo ni mkubwa kwa miaka shida ni fungu la wote na wewe subiri zamuyako
Kabisa mimi wananikera,kwani hao kausha damu,wanawafuata majumbani? Si wanaenda kama wateja na shida zao wanazimaliza kwa wakati huo,why kulipa inakuwa shida na kuja kwenye media? Mbona wanapochukuwa hawatangazi kwenye media? Lipeni pesa za watu.
Jmn msikope kama hauna Cha kufanyia mnakura pesa ya watu kuripa mnararamika mtu anakopa anakaha na pesa miaka mitatu kweri kama mripangiana mwaka miaka miwiri imezid inariba lazma izarishe pesa hachen rawama za kijinga,,,serekari muangarie hawa watu wanaokopesha na wanaokopa makampuni mengine wataperi
Makonda kawafungua macho .hongera makonda
Nazani mtaelewa kuwa RIBA ni haramu na RIBA ni inafilisi.
riba ni haramu na huwezi kupanda vyovyote iwavyo
Riba ni laana uwezi toboa kwa riba lzma ukwame tuu.
😢😢😢😢😢😢
YAANI JAMAANI. MBONA HUO NI WIZI KABISA.HUYO MTU AKAMATWE.
Kweli kabisa,huyo mkopeshaji afanya kaa biashara ya kukopesha watu, hiyo pesa ni nyingi hiyo ya kuongezea,,unataka maskini chap😂 ,
Asante makonda 😊
Tatizo Moja Watu Mnajua Mikopo Kausha Damu Mnaambiwa Mikopo Inaitwa Kausha Damu Kwanini Mnakopa Nakama Mnakopa Mlipe Kwani Wakati Mnachukua Mikopo Mnakua Mmelewa Au Vipi Kama Mmekopa Na Kabla Ya Kukopa Mnajua Kila Kitu Mikopo Kausha Damu Jina2 Hatari Mnaenda Kukopa Lipeni
Wewe mtu Kwa akili ya haraka unaweza kukopa milioni 4 ukadaiwa milioni 30??? Unawaambia walipe tu bila kudai haki? Usione mtu anaenda kukopa sehemu hujui changamoto anayopitia mpk kukopa,Sema taasisi zinatakiwa ziwe zinatoza riba inayokubalika na BOT
@@claudiajames2003 SASA wewe mkopo mil 4 marejesho M30 kwanini usishtuke nakukataa kwasababu ulikubali nakuchukia pesa lazima ulipe NaHapo ndyo utatimia ule msemo usemao kukopa shelehe kulipa msiba 😔
@@user-nb6yh2bn9y ndugu inaonekana huelewi,hayo makampuni kwenye mkataba huwa yanaficha hizo riba,unasaini mkataba mwingine na unakuja kufilisiwa na amount inatop up nje ya mkataba,uwe mfatiliaji wa mambo,usikurupuke kishabiki tu! Unadhani hao watu wote wanaolalamika hapo hawana akili ila we ndio unayo au sio? Fanya research utaelewa wanacholalamikia
Bwana Hashim ulipaswa kuwasiliana na msimamizi wa microfinance BOT kujuwa iwapo wamesajiriwa huko na kufuata miongozo ya riba wanayotakiwa kutoza wakopaji .Iwapo hawajasajiriwa na wanatoza riba zaidi ya asilimia 3.5 kwa mwezi chukua hatua na hata kusitisha shughuri zao hadi wasajiriwe na kufuata taratibu.Vinginevyo utalambishwa asali na wananchi wataendelea kuumia.
Wanaokopesha kausha damu niwachawi kinyama.....ukiandika dhamana vitu vyako mhimu basi umeisha lazima wakutengeneze wanakufanya pesa usipate yakuwalipa ili wakuzulumu 😊😊😊
Welcome again makonda your the best good job
Poleni sana wana geita
Ongera sana makonda umewafungua watu macho
Sio Makonda tu kuna yule ungine anaitwa Happy kaanza kitambo mambo haya
Hkunakitu mbaya kama deni Na muomba Mungu hiikitu anipenguvu nisiipate nimbaya sana
Hiyo microfinance ya kapaya imesajiriwa na BOT ? na anafuata miongozo ya utozaji riba .BOT wamepewa jukumu la kusimamia wananchi wanaumizwa wao hawana udhibiti kilio kila mahali majibu ya waziri bungeni juzi yanaonyesha aidha hajui kinachoendelea au hataki kujua.Wakopeshaji wasio na usajiri ma DC wafukuzeni wasifanyekazi hiyo katika wilaya zenu vinginevyo mjiandae kusikia mazingaombwe jinsi laki moja imavyoweza kuuza nyumba ya milioni50 kwa miaka 3.Kufanya biashara bila kusajiriwa ni kosa na nihatari hata kama mtu hakulipa riba mkopeshaji anajiamria tu bila kufuata miongozo ni hatari kama vile serikali ilisafiri.
Kean mara ngap nmb ,crdb,equity na bank nyingine wauzia watu nyumba???? Swala hili mfanyabiashara hana shida tatzo ni hali ya maisha magum ya nchi hiii
Hawa wakopeshaji binafsi Kwa kweli Mungu anawaona
Utapeli mbaya weka ndani uyo ni tapeli
Rudisheni hizo nyumba haraka sana.
Inawezekana hawa watu ni warushi hawalipi mikopo yao kwa wakati.ingawa wanaonewa sana
Kapaya Mungu anakuona jamani riba kubwa
Warudishiwe nyumba zao
Lipen pesa za watu jamani!
Sasa mbona wakiuza nyumba kinachobakia hamuwapi wenyewe
Hapo Sasa mm naona pesa zao zinamakusudi Yao Zina kitu kinafanya ushindwe kumlipa ili upoteze lililo KUBWA million 1 ndio uuze nyumba hata kiwanja hupati
Huyo jamaa ashikwe aelekwe jela akawe dem wa nyampara😢
Jamani hiyo Kausha damu serikali futeni jinatu Baya nyie Kausha mjuwe mungu yupoo
Media zinazo chapisha changamoto mbalimbali zinazoikumba jamii muwe msitari wa mbele kufuatilia changamoto hizo mwanzo mpaka mwisho wa hukumu au suluhisho la tatizo, maana viongozi wengi mpaka wakumbushwe wajibu wao. Pili wanajamii pia tuwe tuwe tunafanya kwanza utafti wapi na kwa nini uchukue mkopo. Tatu ni vizuri kabla ya kuchukua mkopo peleka mkataba kwa mwanasheria aliyeko karibu kwa msaada zaidi pia wanasheria wa mlioajiliwa na serikali kwenye halimashauri zungukeni na mtoe elimu katika jamii na si kukaa maofisini.
Uislamu raha .Ktk Quan Riba Halamu.Serikali inaruhusu mikopo haya wasaidieni hao .Wapeni nyumba zao .Dotto hanatatizo.Tamaa mbaya ya maisha mazuri.
Nyolo waisilamu wangapi tunakopa nao ww sema tuu umasikini mbaya liba ni halamu mungu hapendi wala sio swala la uisilamu madeni hayana uisilamu
Mikopo inalaana hata kama ulikua na biashara yafilisika
Aibu sana kwa viongoz,milion moja unauza nyumba ya mtu,kama siyo dhuruma ni nini ? Nchi hii watu wanyonge wakimbile wapi ? Siyo kwa viongoz siyo kwa mahakama.Rushwa tupu zimetawala.
Unyanyasaji huo jamani,,,kausha damu imeumiza watu wengi,,watu wamefirisiwa na kausha damu pia ndoa nyingi Sana zimevunjika Sana kwa ajili ya kausha damu
Tena wanawake ndio vichwa ngumu wakiambiwa utasikia maisha magumu tutafanyaje sasaa, nabadooo mpaka mkome
haya waziri wa fedha ayaone na angalie ni kwa kiasi gani hili tatizo ni kubwa acha hao nenda bayport na taasisi kama hizo za kibayport kwa watumishi nao wanavyoumia yaani wajanja wanawaibia watu kwa kutumia sheria sasa hizi sheria ambazo zinaumiza watu hazionekani jamani
Kwanini ulikopa tukaweka nyumba dhamana? Hamjui Sheria bhana, ya I unakopa pesa unakula unasahau kwamba aliyekukopesha yupo kibihashara? Hapo hakuna uonevu zaidi rejeeni mikataba na muache kukopakopa ovyo
Hela tamu, wanakopa Kisha kulipa inakua ngumu, wakikopa hawafanyii lengo husika baadae kilio tuu
Huyo Dada 7:23 Mwakilishi Kapaya alitakiwa awekwe ndani mpaka huyo kapaya bin shetani aje arudishe pesa za watu😮😮😮
😂😂 Mikopo inageuka Mipipa sasa😂😂
Hya kazi hii nikasema arusha tu kumbe kungwine ni mara mbili ya hapa kwetu Arusha.
Riba ni Dhambi japo tunalazmisha kukopa nikuongeza tatzo sikumalza shida
MTU UNAKOPAJE PESA YA TAAASISI BILA KUA MALENGO HUSIKA AU MWEMDELEZO WA BIASHARA.MM NACHOJUA ILI UNUFAIKE NA MKOPO LAZIMA UWE NA BIASHARA.UKAIKUZE SYO KUANZA NA BIASHARA MPYA LAZIMA UFERI TU
Daaaah polesana wananchi wa katoro nadhani kabaya sasa utakua mkimbizi katika Taifa la Tanzania
Mamlaka usika imenyamaza watanzania wengi wanasumbuliwa..hapana jamani.
Lipeni madeni yawatu hajawakamata mikono mkakope
Kwaiyo kwa akili yako mtu akope Million 4 halafu aje alipe Million 38 wejamaa au wewe naye unafanya kazi Kausha damu
Mama samia awasaidie wanaichi
Mpigeni mapanga tuuu kama hakunaa utatuzi
Bunge limesema haya mambo ya mikopo kama vp msikope wandugu
Maisha haya utajenga vp tena
Na hizo nyumba wanachukua hao hao na madalali ndio tatizo kubwa sana😊
Uonevu huu Mbingu ikaine.. zuluma hii tena kubwa.
Yaani hilo ni bonge la tapeli jamani .ebu hawa wanyonge wasaidiwe jamani.hao wakuu wa wilaya wananunuliwa na huyo mwizi.Rushwa itauwa hao wazee jamani.
Yani ukichukuwa hela za kausha damu,,,et ufanyie biashara inafirisi hata mtaji wko,,,
Warudishien kwanza nyumba za hao watu😢😢😢😢
Uwo wizi jamani ml 4 uuze nyumba ml 30 kweli hata kama jamani wizi wa kimacho macho kabisa
😮😮
Naishaurinserikali haya makampuni yafungiwe kabisa
Watu waache kulariba hamuelewi ayaa
Kwa nini mlikopa
Yoteiyo tamaa badaemnaanza kulalamika miakamitatu unakaana helayamtu
Duh
Nimeona makosa yapo kwa wakopaji. Bila unafiki makosa yapo kwa wakopaji .tangu 2019-2024 hujalipa. Jama huyo papaya pia ni mvumilifu benki ukifeli humalizi miezi bila kuuziwa dhamana yako. Wananchi wapewe elimu ya mkopo
Nawe unamuogopa kapaya mbona hayupo?
Babaeeee tumbua hao matapeli jmn
Mlikuwa wapi maamonda amewafumbua macho
Rushwa wanapewa
kalipe hela na riba zake nyumba ibaki hakuna muujiza hapo
Huu uonevu huu ni chini ya uongozi wa serikali ya CHADEMA basi SAWA. Tutaelewa tuu
Hakuna suluisho zaidi yamaneno matupu
Hyo serikali wanapaswa kuiona hlo
Huyo kapaya ni kausha damu aburutwe na kutupwa jela nimwizi anayeshirikiana na vyombo vya sheria
Kwani anawaita wakakope au wanajipeleka wenyewe?
Kwann mnakopa jmn Hz lawama sahv kila mtaa kuna flem y wanaokopesha pesa n ukikopa mala y kwanza lazima uende Yan Hz pesa kama zina mashetan vile n lazima udhalilike
Kwa kosa gani?
@@PaulinaSemindu-ob3demimi mbona sijawahi kurudi tena? Nilikuwa nauguza nikakopa kwa ajili ya matibabu,nikarejesha kwa wakati kama tulivyokubaliana,mwaka huu wa 5,sijawahi kurudi wala kutaka kurudi tena.sasa sijui mnavyosema ukichukuwa unatamani tena uende,mimi nakataa kabisa.mnapokopa kumbukeni kulipa tu basi,wale watu hawanashida na mtu.
Ukikopa kumbuka na kulipa pia cyo kujisahaulisha hii ni ajabu unaenda mwenyewe bila kutushilikisha Leo unaminywa ulipe unaanza kutupigia kelele tuwe na nidhamu na vitu vya watu maana na yy anataka faida na yamkini analipa Kodi pia.
Kausha damu
Hivi mkopo unaitwa kausha damu puuu
Hakuna kiongonzi ambaye anaweza kutatua kero kama Makondo
Mimi wamenifata uku wananiambia mkopo mbuzi awa😂😂😂😂
Syo mbuz ni biashara watu wakijaa na shida
Mikopo ni sawa shida ni masheriti na riba zisizo lipika na mtu anashida anachukua ivoivo you
Pesa za kukopa zingine zinakua si halali. Unakopewa hata milion 1 na unashindwa kulipa.
Sasa mnakopa kwann? Jamaa yupo sawa tena auze nyumba hadi vitu vya ndani
😂😂😂😂😂😂 hayajakukuta
Wewe ni mbinafsi kama una chaneli ya kusaidiwa pesa na nduguyako mwenye uwezo tambua wengine hawana inabidi wakope ili wazungushie biashara wakidhani watapata faida na wanapo kwama ni kuwahurumia tu hata wewe hauta dumu na mafanikio yako milele siku ukikwama ndio utawakumbuka wenzako unao waona hawana akili kwa kukwama kwao
Mbinafsi wewe kwani wote tunamafanikio kama yako?unaonaje ukimsaidia jirani yako aliyekwama mtaji ili asikope mkopo??
Hao wanao kopesha nimatapeli sikuhizi
Mbona wasitutapeli sisi wengine? Mnawafuata wanini kama mnajuwa ni matapeli? Lipeni pesa zao basi.
5
TATIZO SI WAKOPESHAJI BALI TATZO NI BOT,MAANA RIBA ZOTE za 20% KWA MWEZI,140% KWA MWAKA 😢 HUPANGWA NA BOT,KWA HIYO WAPO KISHERIA.WAKATI BANK ZA 1.8 KWA MWEZI HAUNA VIGEZO VYA KUKOPESHEKA
Kwani Nyie Hamjui Benki?? Mbona Mkakope kwake?? Nyie Ndo Mnamatatzo. Tangu lini Microfinance ikawa mkopo wa biashara??
Na benki ndio hayo hayo
Na benki ndio hayo hayo
@@nussramussa5507 Sasa Si Waache kukopa , Wew huoni wanasiasa wanaingilia Maswala hayawahusu, Sababu huyo alieenda kukopa angeenda kwa kiongozi asingemsaidia, Pili Mahakama si inafanya kazi
Lipeni hela za watu mnasaidiwa af mnashitaki kisa mmeshindwa kulipa pesa za watu
Liba ndio maana ilikatazwa pesa ndogo munapoteza nyumba zenu
Toa maamuzi hapohapo baba .
Ndio hivyo utawala bora ngoja inyeshe tuone panapovuja
Mbona tabora hakuna clinic ya hivi,maana shida Iko Kila mahali
K ama waziri mkuu aliambiwa asimamie mtu alipwe milioni miatisa na TRA ilishindikana wanaongeaga tu kutoa maagizo utekelezaji ziro mpaka m
Utapeli mkubwa sana zambi kumbwa sana
Kimbieni mikopo ndugu zanguni hata ukiwa nashida usikope
Huyo jamaa tamaa kubwa sana, duh, kuna moto wa riba
Kukopa harusi kulipa matanga
Mkuu wa wilaya mamuzi yako dhaifu ,cha kwanza nyumba watu warudishiwe kwanza wote walio uziwa, je Ana kibari cha kukopesha, je hizo riba anazo weka ni sawa, pia kesi zote zilizo hukumiwa zipitiwe upya na mahakama kuu, pia takukuru iliyo pewa jukumu la kumkagua nayo ichunguzwe pia pamoja na mahakama, achana na kodi tatua ya wananchi kwanza wardishiwe nyumba zao zote,
Unakopa M4 nyumba inauzwa M32 afu bado unadaiwa. The math isn’t mathing🤔
Penalty ipo ktk mkataba kila mwezi ukizidisha milioni 1
Wee mdogo wangu alikopa mil 2 alikatwa mshahara wake miaka 2
Kashasema miaka mi3 hajalipa kwahyo malimbikizo ya liba×miezi36 mmmh ukijichanganya ukoo utauzwa kulipia deni😏😏😏
Angalau waondoke ofsini wakafanye kazi wasile codi zetu bure
lipeni hela za watu dawa ya deni ni kulipa
Wahuni vya watu mnakula mnachukulia poa
Hawa wasukuma mtawaua
Nakwaminia mkuu hashimu komba wanyooshe kama. Ulivyowanyoosha mabibo wewe ni jembe
Mnakopea nn sasa? Alafu mnalalamika
Mkopo wa mtaani au bank ni laana
Ndio hujalipa eti sasa kosa ni lanani
Hivi wewe unajua shida??mikopo ina masheriti ya kuibia watu maana riba yake hailipiki na mtu anapokuwa na shida anachukua tu ilimladi .....
Mnatumwa mkakooe
Ukikopa sharti lipaaaaaa.
Je wewe siku ukikopa ukakwama au wewe una mkataba na mungu,,unayajua maishayako yaote ya badae???haya ni maisha nduguyangu
Wivu hawamuachi mtu salama..
Mpeleken hapo mjomba wangu makondo mwone atavyo mnyosha
Kunyoosha nn walipe maden gharama za uendeshaji wa microfinance n kubwa kuliko pumbavu
@@sadickponera2464kbsaa mtu anadeni tangu 2019 mwngne n kusudi tu wanafanya vitu km kujaribu watu
Poleni
Muwe.mnalipa pesa za watu
Kwahiyo wewe ni mungu kwa sasa haunashida kama wengine na je unajua kama utaendelea na maisha bila kukopa?acha ubinafsi utatamani kuhurumiwa kama wenzako leo usijihesabie haki kwakuwa bado mungu amekusitili dunia haujaifahamu japo ni mkubwa kwa miaka shida ni fungu la wote na wewe subiri zamuyako
Wacha wapigwe tu na mikopo yao hiyo ili akili ziwakae vizuri
Kabisa mimi wananikera,kwani hao kausha damu,wanawafuata majumbani? Si wanaenda kama wateja na shida zao wanazimaliza kwa wakati huo,why kulipa inakuwa shida na kuja kwenye media? Mbona wanapochukuwa hawatangazi kwenye media? Lipeni pesa za watu.
Lipeni. Acheni kukopa madeni alafu mnakataa kulipa.
Jmn msikope kama hauna Cha kufanyia mnakura pesa ya watu kuripa mnararamika mtu anakopa anakaha na pesa miaka mitatu kweri kama mripangiana mwaka miaka miwiri imezid inariba lazma izarishe pesa hachen rawama za kijinga,,,serekari muangarie hawa watu wanaokopesha na wanaokopa makampuni mengine wataperi
Kwa hiki kiswahili😂😂😂 rudi shule khaaa mwanandugu
L na r 😏😏😏