NTEMI EPI 72||Swahili Movie ll Bongo Movies Latest II African Latest Movies

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Huu ni mwendelezo wa filamu ya NTEMI na hii ni Season 3. Ni moto!. Endelea kuifuatilia hautajuta!
    NTEMI ni moja kati ya filamu bora za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie nchini Tanzania.
    NTEMI ni kijana wa Kisukuma mwenye juhudi katika ufugaji wa Ng'ombe. Tatizo lake anathamini sana Ng'ombe kuliko hata mwanae kumsomesha.
    Kupitia series hii Swahili Movie /Bongo Movies utajifunza zaidi kuhusiana na kabila la Kisukuma pamoja na makabila mengine yanayowazunguka Wasukuma.
    Hakika utajifunza kitu kikubwa.
    Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia kila Alhamisi saa Tisa na Nusu Alasiri.
    Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
    Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL. ...........................................................................................................................................................................................
    KAPAYA THE GREAT FILM
    Contact:
    0655 218 331/0753 318 331
    email. kapayamic75@gmail.com
    Instargram
    Kapayathegreat
    TANZANIA.

КОМЕНТАРІ • 52

  • @LucyT-i8e
    @LucyT-i8e 6 місяців тому +5

    Huyo alie tunga hiyo story ya hiyo move kuanzia mwanzo hadi sahivi.Apewe mauwa yake ❤😂

  • @karembo7082
    @karembo7082 6 місяців тому +8

    Mimi hatamsipo nipa like lazima ntazeme hata nikiwa hamam

    • @Betykalomo
      @Betykalomo 6 місяців тому

      Siku ukibambwa na waigulu huko hamamu ujue fulusi utaisikia tu

  • @lucyalto7320
    @lucyalto7320 6 місяців тому +3

    Jamani Yale matukio ya kukumbuka ya nyuma msiwe mnaonyesha Tena yanajirudi yanapoteza muda

  • @neemaayubu5186
    @neemaayubu5186 6 місяців тому +1

    Jmn hongereni sana, Zena na Maria chukueni maua yenu🥳🌹🌹🌹🏵️💐💐💐🥰

  • @pauldogan568
    @pauldogan568 5 місяців тому

    Jaman hongeren sana wote wahusika wa tamuthiriya ya ntemi mm nipo huku mpakani na zambia nawazooom sana kwan nimeona dhamira kubwa sana kutoka kwa zena ameonekana kuwa na MAPENZI YA DHATI Kwan anafaa kuigwa na jamii

  • @annastaziakilangi4552
    @annastaziakilangi4552 6 місяців тому +1

    Aisee waigzaji wa ntemi mmenenepa sana sijui mnakunywa maziwa ya ng'ombe wa ntemi😊😊

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 6 місяців тому +4

    Ahsante sana NTEMI mimi nawapenda mpaka sielewi ❤❤

    • @kapaayathegreat
      @kapaayathegreat  6 місяців тому

      Kweli?

    • @janeombati2290
      @janeombati2290 5 місяців тому

      Nakupenda sana kwanza ire abanyo inaitwa kosa ra mama irinibaba sana🎉🎉

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 5 місяців тому

      @@kapaayathegreat kabisaaaaaa nawapenda sana nyie watu

    • @kapaayathegreat
      @kapaayathegreat  5 місяців тому

      @@janeombati2290 tunakupenda pia

  • @pauldogan568
    @pauldogan568 5 місяців тому

    Sina zawadi mm Ya kuwapen maria na zena lakin mungu awape mnachositahir kupewa❤❤❤❤❤❤🎉

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂 ntemi na mwanae😂😂😂😂but zena l love you so much 💕

  • @FrankKemas
    @FrankKemas 5 місяців тому

    Zena hongera xn pmj na ntemi

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 6 місяців тому

    Zena hongera yako pmja n maria❤❤❤❤🎉 mashimba Mungu uwakuona 😢ntemi na tedy wake mwanikosha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mpeleke shule jmn 😂

  • @SimonMasanja-k1d
    @SimonMasanja-k1d 5 місяців тому

    Ww ntemi ni noma sana

  • @irenewavinya6961
    @irenewavinya6961 6 місяців тому

    Kwani kesho aifikagi, mpelekea kajere kwa mganga mnajikokota sana😢

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 6 місяців тому

    Shukuran sana mtemi tunawapenda sana mashabiki zenu❤❤❤️

  • @salmasalam3268
    @salmasalam3268 6 місяців тому +1

    Wowo🎉🎉🎉

  • @JaredOdhiambo-r1g
    @JaredOdhiambo-r1g 6 місяців тому

    Napenda kuwaona wazee wakishauriana!

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 6 місяців тому +2

    Ntemi habadilishagi nguo si zitakuwa na chawa😂😂😂

    • @shinjengasa3574
      @shinjengasa3574 6 місяців тому

      Hahaha,ndo asili ya matajiri wafugaji,anawakilisha vema,anaweza kuwa na ng'ombe Mia tano lkn nguo Moja tu

    • @selestinimbezi7345
      @selestinimbezi7345 6 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂duh nalo neno

    • @levinaernest4364
      @levinaernest4364 6 місяців тому

      Ata Mzee Simon pia abadilishi nguo sharti moja nyeusi kutwa nzima yupo na panga lake tu mtaani 😄

  • @EnoceMakenza
    @EnoceMakenza 6 місяців тому

    @@@ mnatufurahisha pigen kazi nawapenda sana ❤❤❤❤❤

  • @lucybudeba6561
    @lucybudeba6561 5 місяців тому

    Boke anawivu jaman 😂😂😂😂😂

  • @prettyney3812
    @prettyney3812 6 місяців тому

    Zena wangu Asante ❤❤❤🎉

  • @serengetiboy526
    @serengetiboy526 5 місяців тому

  • @SuzyyungeSuzyyunge
    @SuzyyungeSuzyyunge 6 місяців тому

    Jamani temi namwanae mwanikosha eti usinishe

  • @MaryamMoosa-g5s
    @MaryamMoosa-g5s 6 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SarahTsuma-g3r
    @SarahTsuma-g3r 6 місяців тому

    Hongereni sana 🎉🎉🎉

  • @kennyjr2840
    @kennyjr2840 6 місяців тому

    Jaman japo kwa kuchelewa zifike 10 please 😊

  • @JamilaAlly23
    @JamilaAlly23 5 місяців тому

    Ntemi punguza kuwa mnaweka matukio ya nyuma inachosha

  • @noellaniyonizeye1646
    @noellaniyonizeye1646 6 місяців тому

    Ntemi na Teddy ❤❤❤ 😂😂😂😂

  • @Pascalsmon
    @Pascalsmon 6 місяців тому

    Ntemi anawaigizaji wazur😅

  • @WinnieNafula-op2gz
    @WinnieNafula-op2gz 6 місяців тому

    Leo nmewai jamani

  • @rebecasilas7913
    @rebecasilas7913 6 місяців тому

    Selina mbona Hana mimba kajifungua au

  • @zeyadazeyada8050
    @zeyadazeyada8050 6 місяців тому

    ❤❤❤

  • @officialjayclassic577
    @officialjayclassic577 6 місяців тому

    Mimi wakwanza Leo ila ushauri wangu jaribuni kutoa kazi mnachelewesha

    • @salmasalam3268
      @salmasalam3268 6 місяців тому

      Mmh ww nae ata awachelewi

    • @shinjengasa3574
      @shinjengasa3574 6 місяців тому

      Waoneshe mfano kwa kutoa yako harakat haraka

  • @sananegms
    @sananegms 6 місяців тому

    Sijachelewa 😂😂

  • @Kavulajuma5
    @Kavulajuma5 6 місяців тому

    Misingi😅😅😅😅😅😅

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 6 місяців тому

    Zena na Maria😅😅😅😅

  • @Kavulajuma5
    @Kavulajuma5 6 місяців тому

    Mze simon umetsha mze.

  • @deusdedithclement6807
    @deusdedithclement6807 6 місяців тому

    Michael kwan Zena kaolewa? Nimempenda hivyo hivyo hata kama anaigiza

    • @LucyT-i8e
      @LucyT-i8e 6 місяців тому

      Wewe umempenda Zena mi nimempenda ntemi.Nahivo hajuwi kutongoza wala asiahangaike kumsubili Jere apone

  • @asmajuma4960
    @asmajuma4960 6 місяців тому

    Sasa mbona mnailudia ludia😠ata havinogi mnazingia hamleti mwendelezo😏

  • @serengetiboy526
    @serengetiboy526 5 місяців тому

    😂

  • @patrickokale386
    @patrickokale386 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂