NTEMI EPI75||Swahili Movie ll Bongo Movies Latest II African Latest Movies

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Huu ni mwendelezo wa filamu ya NTEMI na hii ni Season 3. Ni moto!. Endelea kuifuatilia hautajuta!
    NTEMI ni moja kati ya filamu bora za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie nchini Tanzania.
    NTEMI ni kijana wa Kisukuma mwenye juhudi katika ufugaji wa Ng'ombe. Tatizo lake anathamini sana Ng'ombe kuliko hata mwanae kumsomesha.
    Kupitia series hii Swahili Movie /Bongo Movies utajifunza zaidi kuhusiana na kabila la Kisukuma pamoja na makabila mengine yanayowazunguka Wasukuma.
    Hakika utajifunza kitu kikubwa.
    Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia kila Alhamisi saa Tisa na Nusu Alasiri.
    Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
    Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL. ...........................................................................................................................................................................................
    KAPAYA THE GREAT FILM
    Contact:
    0655 218 331/0753 318 331
    email. kapayamic75@gmail.com
    Instargram
    Kapayathegreat
    TANZANIA.

КОМЕНТАРІ • 55

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 5 місяців тому +4

    Ila wasukuma wana ngombe mashallah

  • @zagalazabuinge3893
    @zagalazabuinge3893 5 місяців тому +3

    Asanteni Sana kwa Muendelezo,tunaendelea kusubiria mpaka kieleweke

  • @ElishaMasolwa
    @ElishaMasolwa 5 місяців тому +7

    Hata tatu tu like zenu jaman naombeni

  • @MwanapiliSidi
    @MwanapiliSidi 5 місяців тому +8

    Ww Ntemi tule tee mwendelezo wa Shujaaa

  • @amosalphonce1631
    @amosalphonce1631 5 місяців тому +1

    Yaani ukitoka NTEMI mwenyewe , staaa mwingne kwenye hii movie ni ZENA , yaani huyu mdada anajua mpka anakera duh🎉🎉🎉

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 5 місяців тому

      Kweri ndugu yangu hata mim nimewaelew

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 5 місяців тому +2

    Mashimba hiyo roho mbaya jamani duuh sasa unataka kuua kiumbe kisicho na hatia jamani 😭😭😭

  • @EstherPaul-f7c
    @EstherPaul-f7c 5 місяців тому +1

    Jamaniiii naomba mwendelezo usichelewe maana natamani nimuone Jeremiah akiwa amepona na akili zake timamu

  • @michaelkapaya7164
    @michaelkapaya7164 5 місяців тому +3

    mimi wa kwanza leo sasa 😂😂

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 5 місяців тому

      Jamani ntemi we hatari nimekupenda bure

    • @michaelkapaya7164
      @michaelkapaya7164 5 місяців тому

      ​@@kamarhelokweli umenipenda?😂

  • @Sophiadalaly
    @Sophiadalaly 5 місяців тому +3

    Mbona jaman

  • @AirinjunsmaakiyAirinijunsmaaki
    @AirinjunsmaakiyAirinijunsmaaki 4 місяці тому +1

    Yaaan we machiba punguza loho mbaya jaman

  • @janetjerotich-hd8sz
    @janetjerotich-hd8sz 5 місяців тому +1

    Nampenda zena

  • @noellaniyonizeye1646
    @noellaniyonizeye1646 5 місяців тому +1

    Leo Ntemi mpole kabisa

  • @Kangwamakenza
    @Kangwamakenza 5 місяців тому +1

    Mambo ni 🔥 🔥 ntemi ndo hbr ya mjini

  • @donardmsomi8451
    @donardmsomi8451 5 місяців тому +3

    Leo nimeiotea. Nabhiza wa kwandya

  • @JeromeKautu
    @JeromeKautu 2 місяці тому

    Jaman mm nampenda mganga😂😂😂😂

  • @josephkisura4406
    @josephkisura4406 5 місяців тому

    Ntemi...et wee sengi umeolewa😂😂😂😂😂

  • @MayengDulu
    @MayengDulu 5 місяців тому +1

    Kazi poa ❤❤❤❤❤

  • @danielnhonge409
    @danielnhonge409 5 місяців тому

    mayombya na Ntemi mnatuvunja mbavu balaa😂😂
    Watching from South Africa

  • @simonwaswa2535
    @simonwaswa2535 5 місяців тому +1

    Kazi nzuri

  • @prettyney3812
    @prettyney3812 5 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Ntemi maua yako 🎉🎉🎉

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 5 місяців тому

    Huyu kakake make nyanjige hajui kuigiza kbsaa mtoeni Ntemi hswa kurudi mshughulikie 😂😂😂ataka vibiko😅 Jane umecheza party yako vizuri sana ❤ Zena usiondoke bila Jeremia tafadhali😢 Mzee small majuto n mjukuu watoto wakikeqatakukimbia wote sijui utakuja kuuguzwa nnani kuwa n buasara hyo mahimba uwakupotosha kbsaa😢

  • @BonMahuba
    @BonMahuba 5 місяців тому

    🎉🎉🎉

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 5 місяців тому

    Zena mtemi ilove you so much❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @salomevestinamichael1458
    @salomevestinamichael1458 5 місяців тому

    Ntemi,bhalekotoja esafali eye😂

  • @karolijuma5201
    @karolijuma5201 5 місяців тому

    Nakuchimba mkwaraa

  • @MaryamMoosa-g5s
    @MaryamMoosa-g5s 5 місяців тому

    Kazi nzuri sana ntemi❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Jeanmarienshombo
    @Jeanmarienshombo 5 місяців тому

    Mashimba ni kichana mpumbavu sana kuliko ashugulike na mambo yake anajisumbuwa na mapenzi ya siyo muhusu.

  • @LucyT-i8e
    @LucyT-i8e 5 місяців тому

    Piga nahuyo😂😂😂Jele apone

  • @alphoncelaurent4680
    @alphoncelaurent4680 5 місяців тому

    👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌

  • @eliasndayishimiye2058
    @eliasndayishimiye2058 5 місяців тому

    Go achard

  • @PendoJemsi
    @PendoJemsi 5 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @itumbistudio
    @itumbistudio 5 місяців тому

    Tunasubiri episode ya 76 kwa ham

  • @salmahoperi9783
    @salmahoperi9783 5 місяців тому

    From Pakistan Zena nampenda sana

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 5 місяців тому

    Ila mashimba ana roho mbaya na sura yake nyeusi kama chungu😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @NathanielMoshi
    @NathanielMoshi 5 місяців тому

    Duh mashimba Ka kakang jaman Kwa mamb anay fanya utazan kwel

  • @PauloAmos-k2f
    @PauloAmos-k2f 5 місяців тому

    Shangazi 💃wooo

  • @latifa7358
    @latifa7358 5 місяців тому

    Ila wewe ntemi jaman😂 eti hivi umekuja kutugesha au kunitoja 😂

  • @IrenePaschal
    @IrenePaschal 5 місяців тому +1

    Kaz nzuur sana lakin mwanzon matangazo maref punguzen nawapendaaaaaaaa 9:43

  • @RosebellahNambiro-gf5ot
    @RosebellahNambiro-gf5ot 5 місяців тому

    Mmeamua kuleta jumatatu❤❤❤

  • @RashidKasula
    @RashidKasula 5 місяців тому

    Zena ni staa jaman

  • @LucyT-i8e
    @LucyT-i8e 5 місяців тому

    Zeena jihazari sasa

  • @adijaamur962
    @adijaamur962 5 місяців тому

    Mashimba mchawi

  • @MarcoMatong
    @MarcoMatong 5 місяців тому

    Umekua sitaaa

  • @ReginaMartin-o3s
    @ReginaMartin-o3s 5 місяців тому

    Ila Mashimba kubwa jinga

  • @AshuraMjungu
    @AshuraMjungu 5 місяців тому

    Mmmhh

  • @MartinNiyukuri-n2t
    @MartinNiyukuri-n2t 5 місяців тому

    Safi Sana ila huyo kaka anae dai mtoto nimjinga Sana yanimwanamke umemchezea ukamterekeza afu unakuja kudai mtoto hujuwi kama ulichezea maisha yake

    • @shinjengasa3574
      @shinjengasa3574 5 місяців тому

      Hata kama angemtunza VIP bado Kwa Mila za wakurya ni ngumu kumpata mtoto