Nyie mnaimba kwa ruksa ya nani? Hamuoni mnajifananisha na makahaba? Isaya 23:16) Asema Bwana (Yaweh) Mwenyezi-Mungu. Halafu pia hapa siyo Israel. Soma Zaburi 81:1,4) Hapo ndo kwao ilikuwa ruksa. Na siyo wakati wa kusali, alisifiwa Mungu nje ya Salah. Zaburi 150:6)
Utukufu wa mungu Bado upo hata sasa kwa wing na ofcoz kufanya ulinganifu wa kipind cha nyuma na kipnd hchi kwenye suala zima la wokovu nikukosea hamna tofaut na kujiihesabia haki kujiona you are some how better than others siafiki acha watu wamuimbie mungu mtu anaweza imba amen hallelujah na Bado roho wa mungu akaflow so kuna mentality mbaya sana yakuona wokovu kipind cha sasa hamna kitu siafiki neema ni ile ile nguvu ya wokovu ni ile ile roho wa mungu ni yuleyule
Kila Jambo na wakati wake,sio Lazima tuwe na style za miaka ya 70 -80......Madam tunamtukuza Mungu katika Roho,hata daudi alimchezea Bna na Style zake amazing ....
Mbinu kali ambayo adui shetani anatumia sai ni kwa katika nyimbo hizi za kumsifu Mungu ameachiliya chembe ama harufu ya dunia watu wakiwa kwenye kusifu wengine wanapata style ya duniani
Mafundisho haya yananikumbusha hali ya Kanisa la kipentekoste. Kweli ni baraka ikiwa tutafuta sote kuongozwa n'a roho mtakatifu katika utungaji wa nyimbo. Mungu si wa kisasa ,ni yule yule Jana,Léo hâta mille Amina
Huyu alikuwa kuruta wa ulozi na uganga wa chienyeji kwa babu yake, bado hajavunja maagano ya kishetani aliyo unganishwa kwayo. Praise and worship akizisikia hirizi za maagano ya kichawi zina muunguza.
Mwachie Mungu mwenyewe ndo ahukumu cyo kusema waimbaji hivo kwani neno la bwana halipo na wangapi wanasikiliza nyimbo hizo na wanabarikiwa na kuokolewa kupitia mapambio
Hajamhukumu mtu ila anazungumza ukwel, maana kunabaaz yanyimbo zingine zinaibwa kanisani hadi unahisi nimekosea kuja kanisani Mfano Nacheza kidole..... Huu nawenyewe tusemaje?? Kelekele hahaaa.. Tambilamoyo cjui mann yaan dah!!! Tumelichafua kanisa (amos 6:5, muhubili 7:5)
@@mathiasstephano8165hata zamani hizo nyimbo zilikuwepo,.hata sasa nyimbo nzuri zipo sema ndio hazina umaarufu, kuhukumu et sasa hakuna nyimbo nzuri Sio kweli na ni dalili ya kujihesabia haki
Nyakati mchungaji,utandawazi unapokuwa na Mambo yanakuwa,hizo ndizo alama za nyakati zilizotabiliwa na manabiii hatuwezi kubaki palepale miaka nenda Rudi,utandawazi unapelekea mabadiliko yoote hayo.Mungu akubariki sana
Kwa kweli Kanisa linahitaji mabadiliko makubwa mno, kinachofanyika kwa sasa katika ibada yaani shetani anatucheka na Mungu anatushangaa, inaitwa bora liende style. Roho Mtakatifu tumemuweka pending tunachanja mbuga kwa kutumia akili zetu wenyewe.
Hahaha! Hat mimi huwa siielewi kabisa dhana ya " nyimbo za kusifu " na " nyimbo za kuabudu" maana kuabudu na kusifu viko pamoja wakati wote, wimbo wowote anaoimbiwa Mungu ni ibada na sifa kwake. Mawazo ya wanadamu haya, tunayafuata bila kujali Ushuhuda katika Biblia kwamba ni sahihi au la.Yatatupoteza!!!!!
Haya ndo madhara ya kuishi generation isiyoyako, Kila kiti utaona wanakosea, hata vyakula wakila utawaambia wanaharibu pesa, Wanakula vitu vya anasa sana. Lakini Siri ya nyimbo ni kumfanya, muimbaji aburudike au ahudhunike hayo yakikosekana, wimbo hakuna maana
Mchungaji Nakukubali sana Ila nyakati zinabadilika, lazima haya yatokee ili yaliotabiriwa ktk biblia yatimie kikubwa mteule azidi kujitakasa ndivyo neno lisemavyo huwezi kuzuia yasitokee itakuwa Ni kulipinga neno
Amen
1 Bwana ni Ngome Yangu Ni Muogope Nani??
2 Tembea Na Jesus haleluya Amen.
3 Nimefutiwa Deni Mwenzenu Sidaiwi Tena.
4 Nimekombolewa Nae Aliyenirehemiya
tuliolielewa church la huyu mchungaji tujuane kwa kutupia like...then twende tukaimbe wote
Nyie mnaimba kwa ruksa ya nani? Hamuoni mnajifananisha na makahaba? Isaya 23:16) Asema Bwana (Yaweh) Mwenyezi-Mungu. Halafu pia hapa siyo Israel. Soma Zaburi 81:1,4) Hapo ndo kwao ilikuwa ruksa. Na siyo wakati wa kusali, alisifiwa Mungu nje ya Salah. Zaburi 150:6)
Kwa hiyo kuimba ni dhambi au
Ubarikiwe baba
Tu ungane tu
@@khalfanifarisy7398 11
Wazee ni hazina mungu akubaliki sana Askofu magembe
Ni kupondana tu hamfundishi kumcha Mungu ni wivu tu unawasumbua
Barikiwa Saana mungu Akupe Maisha marefu
Nmecheka San barikiwa San mtumish Mungu aendeelee kukuinua
Nakukubali Sana mtumishi was Mungu, naomba no yako
Baba barikiwa sana kwa mafundisho mazuri ya kipentecostal, mpigaji wa vyombo pia ubarikiwe umeziwezea kabisa nyimbo kwaya ya zaman
Mungu ndie atapima sikuhio yup aingie ufalme wake na yupi abaki maana wamuabuduo mungu wapaswa kumwabudu mungu kwa roho na kweli
Utukufu wa mungu Bado upo hata sasa kwa wing na ofcoz kufanya ulinganifu wa kipind cha nyuma na kipnd hchi kwenye suala zima la wokovu nikukosea hamna tofaut na kujiihesabia haki kujiona you are some how better than others siafiki acha watu wamuimbie mungu mtu anaweza imba amen hallelujah na Bado roho wa mungu akaflow so kuna mentality mbaya sana yakuona wokovu kipind cha sasa hamna kitu siafiki neema ni ile ile nguvu ya wokovu ni ile ile roho wa mungu ni yuleyule
Unapotaka kweny maadili ya Mungu lazima wakuonye uache
soma vizuri utamuelewa@@ELIPHAZAMON-ex9zc
Upo sahihi sisi tunasikiliza ujumbe na siyo biti ivyo Mchungaji aache kujiisabia Haki🙏
Daaa Magembe jamana piga injili upo juu
Asante baba magembe nakuombea Mungu akukumbuke siku za mwisho love so much dady by Rev E Nnko
Aaaa mchungaji kumbe unasauti nzuri baba , Nabarikiwa sana kila nikutazamapo .
Kila Jambo na wakati wake,sio Lazima tuwe na style za miaka ya 70 -80......Madam tunamtukuza Mungu katika Roho,hata daudi alimchezea Bna na Style zake amazing ....
Kwa namna hiyo kea kwenda na usasa injili ya kweli utapoteza kabisa
Kanisa la Leo sio kanisa...ni kama guest house...ukubali au usikubali,kanisa ni lazima turudi enzi za kale
Sio lazima tuimbe kama zamani eti ndo mungu anasikia,,
Kanisa ni Kama Guest house ,uliesema hivyo huo ni upumbavu,hauwezi fananisha Kanisa la Mungu na Guest.... Nonsense
Baba mchungaj nabalikiwa sana na mahubiri yako
Mungu akupe maisha marefu baba kanisa len lipo sem gan
Very talented pastor🎉🎉🎉🎉
Kweli sahivi kuna sifa za kawaida sana yan nyimbo za zamani ni motooo
Mbinu kali ambayo adui shetani anatumia sai ni kwa katika nyimbo hizi za kumsifu Mungu ameachiliya chembe ama harufu ya dunia watu wakiwa kwenye kusifu wengine wanapata style ya duniani
Amina🙏🏽 Mungu azidi kukutiya nguvu Mutumishi wa Mungu!
Mafundisho haya yananikumbusha hali ya Kanisa la kipentekoste.
Kweli ni baraka ikiwa tutafuta sote kuongozwa n'a roho mtakatifu katika utungaji wa nyimbo.
Mungu si wa kisasa ,ni yule yule Jana,Léo hâta mille
Amina
Baba tunakufurahia sana, tunamshukuru Mungu kwa kuwa na wewe Ili kutujulisha njia itupaswayo kuenenda.
Unaimba vizuri Ila mchungaji.
Ila acha kuwaponda waimbaji wengine
Hata amen aleluya. Ina maana kubwaa
Hujamuelewa mchungaji
Hujaelewa alichomanisha
Huyu alikuwa kuruta wa ulozi na uganga wa chienyeji kwa babu yake, bado hajavunja maagano ya kishetani aliyo unganishwa kwayo. Praise and worship akizisikia hirizi za maagano ya kichawi zina muunguza.
@@Wamisangijamani!!
Umeongea kweli kabisa labda hasikilizi ujumbe vizuri na ndo anakurupuka kuponda tuuu😢
Bwana yesu alisema zijueni nyakati na majira
Pastor machachari Sana
Mung u akubariki sana mtumishi Magembe Isaya 46;9
Amina sn my pastor
hubiri neno la mungu siyo kukashif waimbaj mungu hapendi
Amina Mchungaji, Mungu akubariki zaidi
Mwachie Mungu mwenyewe ndo ahukumu cyo kusema waimbaji hivo kwani neno la bwana halipo na wangapi wanasikiliza nyimbo hizo na wanabarikiwa na kuokolewa kupitia mapambio
Hajamhukumu mtu ila anazungumza ukwel, maana kunabaaz yanyimbo zingine zinaibwa kanisani hadi unahisi nimekosea kuja kanisani
Mfano
Nacheza kidole.....
Huu nawenyewe tusemaje??
Kelekele hahaaa.. Tambilamoyo cjui mann yaan dah!!! Tumelichafua kanisa (amos 6:5, muhubili 7:5)
Kunanyimbo za sifa zingine zikiimbwa had kweli unahisi kubarikiwa
Zinabariki
Zinafariji
Na kugusa mioyo ya watu
@@mathiasstephano8165hata zamani hizo nyimbo zilikuwepo,.hata sasa nyimbo nzuri zipo sema ndio hazina umaarufu, kuhukumu et sasa hakuna nyimbo nzuri Sio kweli na ni dalili ya kujihesabia haki
What a voice, Nabarikiwa sana hasa baada ya kusikia sauti ya baba mchungaji
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
MAGEMBE MUNGU AKUBARIKI BABA
Nyakati mchungaji,utandawazi unapokuwa na Mambo yanakuwa,hizo ndizo alama za nyakati zilizotabiliwa na manabiii hatuwezi kubaki palepale miaka nenda Rudi,utandawazi unapelekea mabadiliko yoote hayo.Mungu akubariki sana
Eti dege dege ,Muchungaji Mungu akubaliki
Aleluias Gloria's a Deus. Deus vos abençoe
Yesu nibebe wa Roz ni wimbo mzr saaaana una ujumbe mzr na ubariki wengi
He can preach indeed.. God bless him
Baba Mungu hakupe nguvu mpya katika haya unanifanya nitafute jinsi ya kuwafundisha watoto wa Mungu
Wawooohoo najifunza vingi sana kwako
Alleluia ni kusifu
Mungu akubariki sana pastor.
Nimebarikiwa na ujumbe 👏👏👏
Good I like that 🙏🙏
Amina mchungaji.
Sasa hivi kuna kazi.
MUNGU AKUBARIKI SANA MCH.MOSSES MAGEMBE KWA KULISEMA NENO LA MUNGU BILA KUPINDISHA UKWELI.MUNGU ANA MPANGO NAWEWE
Nakuelewa sana Mch. Maghembe.
Nakupenda sana Muchangaji naomba number yako
Hahahha amen be blessed my Pastor injili yako yaponyaaaa
Ubalikiwe sana Muchungaji ongea ukweli na utabalikia
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
Oooooh!! Lord,,,, How will we change from the current; only one option being with the real God!!!!
Asante baba yangu Magembe
Baba barikiwa saaaana
Ww ni mtumishi Mungu
Mungu akubariki sana. Mmebaki wachache wenye kusema ukweli!
Amin nimebarikwa
Mungu akutunze mtumishi
Oooh MUNGU atuzaidie manake huwa nashindwa ata tukisiimba aziendi sawa.
Mchungaji Bwana akubariki sana!!!
Hallelujah Hallelujah mtumishi wa Mungu wamboe mambo yanayo faaa tufanye kwa ukweli mbele za Mungu
Asante mtumishi wa bwana nimebarikiwa
Ubarikiwe mtumishii...
Mchungaji nakupendasana unaubili ukweli
Y
E
S
U akubaliki naomba namba yako baba naitaji mafundisho yako
Ubarikiwe mzee
Ubarikiwe kwa kutukumbusha
Kwa kweli Kanisa linahitaji mabadiliko makubwa mno, kinachofanyika kwa sasa katika ibada yaani shetani anatucheka na Mungu anatushangaa, inaitwa bora liende style. Roho Mtakatifu tumemuweka pending tunachanja mbuga kwa kutumia akili zetu wenyewe.
Mtumishi muaminifu mbele za MUNGU. Litukuzwe jina la MUNGU baba na baraka za MUNGU na ziwe juu yako.
Huyu ni moja wa wachungaji naohitaji aniwekee mikono yake kuniombea🙏🏻
Kwani wewe huwezi kuomba.
Upeo wa juu sana
Amen aaah haruya ameen
Injili iliyohai safi sana baba
Nimekuelewa sana Paster,,,,, Mungu azidi kukusimamia
Utukufu ni kwa Mungu.Uhamsho,Uhamsho,Uhamsho.
He is the best pastor
Magembe 2024❤
Nasikia kama Nandy ila itakuwa nanii😂 magembe safi sana✓🙏
Ameen mchungaji jamani mimi nabarikiwa sana na maneno ya mchungaji huyu japo sijui kanisa lake lilipo
Lipo majumba sits njia panda segerea
Mungu akubaliki
Really blessed
Mhubiri nimekueelewa sana tufunue imani
Ubarikiwe
Haaahaa be blessed legend
Amina pastor
Poleni sana jamani !
Namwamini Sana huyu mchungaji tungepata watu 5 kama hwa taifa Zima lingekuwa sawa
I'm blessed
🤣🤣 safi pastor, nyimbo za DINI lazima ziwe na ujumbe, hapo kwenye ujumbe wasabato wamefuzu kiasi
Ni kweli
Hahaha! Hat mimi huwa siielewi kabisa dhana ya " nyimbo za kusifu " na " nyimbo za kuabudu" maana kuabudu na kusifu viko pamoja wakati wote, wimbo wowote anaoimbiwa Mungu ni ibada na sifa kwake. Mawazo ya wanadamu haya, tunayafuata bila kujali Ushuhuda katika Biblia kwamba ni sahihi au la.Yatatupoteza!!!!!
Tutembee na yesu hakika
Amina sana pastor
Uyu mzee alitakiwa awe mchekeshaji!!!
Umeona anachekeshaaa
Kabisa
Ok. Ila hata kuhubiri ni Sanaa pia
Haya ndo madhara ya kuishi generation isiyoyako, Kila kiti utaona wanakosea, hata vyakula wakila utawaambia wanaharibu pesa, Wanakula vitu vya anasa sana.
Lakini Siri ya nyimbo ni kumfanya, muimbaji aburudike au ahudhunike hayo yakikosekana, wimbo hakuna maana
Vizuri sana
Mchungaji nimepata kitu cha kunisaidia hapa asante Mtumishi.
Hatali sana moto uliwaka apo
Kanisa lililobaki na uimbaji wa kicho na heshima ni Sabato pekee fatilia nyimbo na staili za uimbaji za sabato.
Kapumzike nyumbani mzee, umechoka maana ulikuwa unatumia nguvu nyingi sana
Safi Sana pastor
Zaman wa watu walimba kwa lengo la kuhudumia jamii zao.sasa wanaimba ili wapate umashuhuli na afanikio yao binafsi.
Mchungaji Nakukubali sana Ila nyakati zinabadilika, lazima haya yatokee ili yaliotabiriwa ktk biblia yatimie kikubwa mteule azidi kujitakasa ndivyo neno lisemavyo huwezi kuzuia yasitokee itakuwa Ni kulipinga neno
Ndio naamini postor sikuhizi hakuna real worship I miss those dayys
Amina sana barikiwaaaaa