NYUMBA MOJA# Part 3 / Dongo I Naomba I Kake Simba I Goro I Makunde I Maunga I Naa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Director of Photography: Said Negro
    Boom Swinger: Dinyo JF
    Editors: Eddy Best/Said Negro
    Ass.Director EddyBest
    Director: Said Majumba
    Tafadhali SUBSCRIBE,LIKE,SHARE,COMMENT ili uwe wa kwanza kupata video zetu mpya.
    #jufefilmproduction#Comedy#Pemba@jufefilmtz

КОМЕНТАРІ • 173

  • @ashakhamis9093
    @ashakhamis9093 2 роки тому +8

    Wa 28 kidg nimejitahid nawaombeni like zangu wapenz👍

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 17 днів тому

    Nawapenda sana, filamu zenye maadili!

  • @issaofficialvideo6375
    @issaofficialvideo6375 2 роки тому +12

    Edy best na wenzako wote mulioshiriki kuandaa FLM hii Hongereni sana munafanya kazi vzuri... Allah awape kila la kheri

  • @ibrahimhafidh9512
    @ibrahimhafidh9512 2 роки тому +1

    Mashaallah dongo saiv kaz umeiweza vzr sana kake simba makunde n goro saiv mupo vzr na wengne ila ombi langu kwenu musitengane ktk kaz yenu ii mn tumeona wengne walipotengana kaz yao ilkua c nzur tena

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 14 днів тому

    Nyumba haikai Nyumba kweli

  • @malak-lz6kx
    @malak-lz6kx 2 роки тому +5

    Hongerani kwa kazi nzr sna filamu ni nzr mnajua mnajua tna. Nyie ndio namba moja Africa kwa filamu nzr na za kiheshima hongereni sana jufe filam.

  • @mudy4604
    @mudy4604 2 роки тому +3

    Tumemmiss kiswabi

  • @alisudi2779
    @alisudi2779 2 роки тому +2

    Oya best safi sana naipata nikiwa abu dhabi

  • @nasseiral-wardy9579
    @nasseiral-wardy9579 2 роки тому +3

    Jaman kiswabi nd mwisho wa mttz

  • @mariamually4710
    @mariamually4710 2 роки тому +3

    Safi sana pemba nkwetu.

  • @seifseif251
    @seifseif251 2 роки тому +1

    Hongereni hapo ndio mwisho au inaendelea

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 2 роки тому +1

    Kiukwel wazanzibar wanajua kuigiza

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 роки тому +1

    Mtihani nyumba haikai nyumba nikweli haya yanatosha kua fuzo

  • @nassproducts1569
    @nassproducts1569 2 роки тому +1

    Mimi kiupande wangu nawakubali sana lakin Amina na Gongo wamecheza vizuri sana tena sana maana wameuvaa uhusika

  • @hilalalismaili2933
    @hilalalismaili2933 2 роки тому +1

    Very nice movie I fill at home napenda Sana drama za home ✌️😄😄😄😄

  • @abdullasimba9426
    @abdullasimba9426 2 роки тому +1

    Bonge la muvi hongereni Sana wandugu kwakazi nzuriii

  • @salimmuhsin9907
    @salimmuhsin9907 5 місяців тому

    Vundooo😂😂😂

  • @zuleikhaissa684
    @zuleikhaissa684 2 роки тому +4

    🤣🤣 Naomba eti kunkaa kama mtoto kikojozi huchukuliki pahali 😂

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 11 днів тому

    Anasema benchi la ufundi halikukaa

  • @zuleikhaissa684
    @zuleikhaissa684 2 роки тому +3

    Mambo ni 🔥 asanten kwa muendelezo

  • @muhammadridhwan7562
    @muhammadridhwan7562 2 роки тому +1

    Mumeupiga nwingiiiii

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 Рік тому

    Sitaki familia za kihindi mie 😂😂😂😂😂😂😂 dah.

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 2 роки тому +1

    MashaAllaah tabaraAllaah kazi zuri
    Allaah awatangulie kwa kazi zenu zuri

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 2 роки тому +1

    Asanteni kazi nzuri ila jitahidini back to back

  • @laduboy
    @laduboy 2 роки тому

    mashallah munwwza sana mung atawaon na nyiny mutafik mbali

  • @saidpolish1988
    @saidpolish1988 Рік тому

    Kazi nzuri sana tatizo hawatoi mara kwa mara

  • @mansoursalim9849
    @mansoursalim9849 2 роки тому

    Kazi ni nzuri sana lakini ilitakiwa ipatikane solution nzuri mwishoni

  • @triplea_pilot9938
    @triplea_pilot9938 Рік тому

    Basi haya naiwe kun faya kun

  • @barghashally7791
    @barghashally7791 2 роки тому +1

    Kaz Kaz nawakubali sanaa Maashallh

  • @dulyking280
    @dulyking280 2 роки тому +3

    JUFE. Hongereni sana kwa kazi mzur Mmepiga hatua cast zote zimeshiriki vzr na uhalisia wao pia Director , Camera man , editing, sound naona zipo sawa . Hakuna sababu film zetu zisiende netflix good job👏👏👏

  • @mukrimchumhaji587
    @mukrimchumhaji587 2 роки тому +1

    😀😀😀😀😀dongo kaona isiwe tabu kabla ya kuamua ugomvi kaona abebe sahani ya muhogo mapema

  • @leilaalii3109
    @leilaalii3109 2 роки тому +1

    😄 vundo achochea ugomvi kankaa kama ibilisi😁😁mbavu zang 🤣🤣

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 2 роки тому +1

    Yani Dah Safi sanaaaaaaa

  • @issaofficialvideo6375
    @issaofficialvideo6375 2 роки тому +3

    Hongereni 🤙 sana kwa muendelezo...🤲 Allah awa wezeshe zaidi na zaidi.. 🤲Vpaji vizidi kupanda juu zaidi na zaidi. INSHA ALLAH

  • @mubasalu8470
    @mubasalu8470 2 роки тому

    Michezo ja hii irusheni public tv basiii mitamu sana lov from chwaka

  • @mozaahmed1213
    @mozaahmed1213 2 роки тому +1

    Kazi Nzuri. MashALLAH

  • @zuberkhamis1369
    @zuberkhamis1369 2 роки тому +1

    Masha Allah pemba tuna vipaji vingi tu Allah atubariki na vipaji vyetu amiin

  • @aishaabdi2059
    @aishaabdi2059 2 роки тому

    Hahahahahaha mbavu zangu jamani

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому +2

    Nimesheka mpka mbavu zina taka kuniuma eti hii 😂 naona sahani zote zinjaa madole ya zimei

  • @sephania8085
    @sephania8085 2 роки тому

    Dogo bana et ntakuja mbia mtu maganja ,🤣🤣🤣🤣

  • @abrahemhemed8369
    @abrahemhemed8369 2 роки тому

    Hahaha Kazi nzuri sana.. nimeipenda mash Allah

  • @kassuqutbi2199
    @kassuqutbi2199 2 роки тому +1

    From canada 🍁 hongera sana muandaaji na muongozaji’ mumeupiga mwingi sana elimu imefika” kwa walengwa!

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 роки тому

    Habari za mawiyo nimecheka atareee 😀😀😀wapemba wenzangu

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs Місяць тому

    ❤❤🎉🎉😂😂😂

  • @djfeda3988
    @djfeda3988 2 роки тому

    Jamani hongereni good kazi masha Allah

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 2 роки тому

    Maashaallah mko vzuri sana JUFE hongereni kwa ujumbe mzuri

  • @mpembainc
    @mpembainc 2 роки тому +1

    Dah kama series za mbele wallah, more creativity.

  • @gyeong5972
    @gyeong5972 2 роки тому

    Hongeren san kwa nyooote mlioshiriki

  • @Fatema-n8x
    @Fatema-n8x 10 днів тому

    😂😂😂😂😂👍👍

  • @kpryezy8161
    @kpryezy8161 2 роки тому

    Wallah vijana munaweza saaaaanaaa nakubalii

  • @abunahyan6129
    @abunahyan6129 2 роки тому +1

    Safi Sana

  • @maryamuabdul1535
    @maryamuabdul1535 2 роки тому +1

    Nileteeni mm.huo muhogo nimeutaman

  • @abdulkadirally8569
    @abdulkadirally8569 2 роки тому +1

    Moja ya kipande nilicho kipenda zaid na nakirudia mm mara kwa mara ni kipande cha mkwewe kaka yake dongo na jirani yake 😢

  • @wafaalatayn3791
    @wafaalatayn3791 2 роки тому

    Hongeren kaz mzur

  • @rahimajuma4633
    @rahimajuma4633 2 роки тому

    Safi saanaaaaaa 👮

  • @salumseyf9783
    @salumseyf9783 2 роки тому

    Muko vizuri sana sanaaa..

  • @saidngazijarashid2711
    @saidngazijarashid2711 2 роки тому

    Jman move nimzuri lkn naomba nampenda jufe

  • @imansaid8020
    @imansaid8020 2 роки тому

    Kweli huyu mke wa kibonge bonge anamdomo!!

  • @nadhrakhalfan8463
    @nadhrakhalfan8463 2 роки тому

    Nasie tumeolewa Wala hamna Ayo nitabia tu ya wngine

  • @bintihassan6534
    @bintihassan6534 2 роки тому +1

    Mashaallah Ramadhani Qareem wa Swaum Maqbul

  • @mudy4604
    @mudy4604 2 роки тому +1

    Jamani kiswabi yukowapi

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko 2 роки тому

    Great for jufe heshima kwenu

  • @hanifasilima900
    @hanifasilima900 2 роки тому

    Hongeren San ila munatucheleweshe tunasubir kw hamu zote. 🥰🥰🥰

    • @naimaabuualii578
      @naimaabuualii578 2 роки тому

      Mpk iwalie kidogo ndio maana wanachelewesha si unajua filam za kwetu

    • @hanifasilima900
      @hanifasilima900 2 роки тому

      Munatuonjesha utamu😋Bde mnatukatisha njiani

  • @binfaqihbinfaqih8844
    @binfaqihbinfaqih8844 2 роки тому

    Mashallah! Hongereni

  • @dullah5733
    @dullah5733 2 роки тому +1

    Mtoto kikojozi hachukuliwi pahali 🤣🤣

  • @mansoursalim9849
    @mansoursalim9849 2 роки тому

    Kazi nzuri

  • @anwarally7611
    @anwarally7611 2 роки тому

    Hiii naona sahani zote sasa zinjaa madole ya zimwii alooo una visa sana kamanda wangu 🤣🤣🤣

  • @fatmajuma9065
    @fatmajuma9065 2 роки тому

    Kazi mzur

  • @binsleyumonlinetv
    @binsleyumonlinetv 2 роки тому

    Daaaah nimependa kipande cha taarifa ya habar🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @maryamjuma3362
    @maryamjuma3362 2 роки тому

    Nikiwa oman kaz iendeleee mashallah

  • @salummurad3569
    @salummurad3569 2 роки тому

    hongereni mafunzo bora

  • @gyeong5972
    @gyeong5972 2 роки тому

    Kake Simba kanfanan na Kachara 🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️

  • @firdausgreen5006
    @firdausgreen5006 2 роки тому

    Wallah wapemba mwanipa rahaaaa😅😅😅😅

  • @ahmedabbas1587
    @ahmedabbas1587 2 роки тому

    Jufe ndio mwisho au

  • @imansaid8020
    @imansaid8020 2 роки тому

    😂😂😂jamani!! Nzur

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 2 роки тому

    Kaz nzri mnooq

  • @ibunjumuatv9502
    @ibunjumuatv9502 2 роки тому +2

    NDUGU ZANGU NAKUOMBENI MBONYEZE PICHA YANGU MKASAPOTI CHANNEL YA DINI
    ALLAH AWALIPE

  • @salumamour932
    @salumamour932 2 роки тому +1

    Mbna kiswabi hayumo

  • @ahmedabbas1587
    @ahmedabbas1587 2 роки тому

    Kabla sijambiga ntu maganjaaa🤣🤣

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому

    Khaaaa hata mim nisingeweza nyumba yangu arafu mninyime raha kwio

  • @Fatema-n8x
    @Fatema-n8x 10 днів тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @laythatsuleiman7184
    @laythatsuleiman7184 2 роки тому

    Nzuriy😍😘

  • @historicalzanzibartv
    @historicalzanzibartv 2 роки тому +1

    filamu yenye ujumbe nzito

  • @bisharaaalihassan174
    @bisharaaalihassan174 2 роки тому

    mbn muna cherewa kutowa maana unaendelea vizuri

  • @yahyamaulana7791
    @yahyamaulana7791 2 роки тому

    Nimeangalia movie nyingi sana sajaona kama katika dakika ya 15:05 dooooo ajjab.

  • @khamisabdallah1752
    @khamisabdallah1752 2 роки тому

    Iendelee jamani

  • @allyabdallahally4854
    @allyabdallahally4854 2 роки тому

    Tunasubiria no 4 Hadi mwezi unaisha

  • @omarmubaomar8498
    @omarmubaomar8498 2 роки тому +1

    Na nihizo mila za kihindi

  • @mwanaamour4046
    @mwanaamour4046 2 роки тому

    Familia za kihindi voo🤣🤣🤣

  • @mwanashasauti7833
    @mwanashasauti7833 2 роки тому

    Hiyo taarifa ya habari sasa😂😂😂

  • @zawadiabdallah8342
    @zawadiabdallah8342 2 роки тому

    Nimependa sana na kidg nikecheka😂😂😂

  • @maryamalli9090
    @maryamalli9090 2 роки тому

    Hata wapemba na nyinyi mmebadilika ujamaa hamuutaki dah kweli maisha yamebadilika tuendako siko sasa

  • @user-yn7wk4re9z
    @user-yn7wk4re9z 4 місяці тому

    😂😂😂😂

  • @bintichausa4744
    @bintichausa4744 2 роки тому

    Hhhhh🤣🤣🤣eti watu wa 4

  • @madamzuweyna5965
    @madamzuweyna5965 2 роки тому

    Nilikuwa naichungulia kila wakati, hatimaye

  • @mubasalu8470
    @mubasalu8470 2 роки тому +1

    Ila miziki punguzeni

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 роки тому

    Nilihisubiri sana asanteni 😂

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 2 роки тому

    Nyumba haikai nyumba

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому

    Maa shaa Allah

  • @naimat56
    @naimat56 2 роки тому

    wamepigwa na vitu vizito 🤣🤣🤣🤣🤣