LANGU JICHO - ZANZIBAR TAARAB

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 240

  • @fatiFATI-d5f
    @fatiFATI-d5f Рік тому +7

    Bi khadija napenda sanaaa nyimbo zako

  • @swaumumustaphamapondanga4707
    @swaumumustaphamapondanga4707 5 років тому +10

    Nyimbo inatia faraja sn unapo kwazika ...asante bi khadija

  • @SHARIFAABDULLHA
    @SHARIFAABDULLHA Місяць тому +1

    Nimekumbuka mbali sana wadau bay sharifa luwaga

  • @hawasadi6400
    @hawasadi6400 3 роки тому +3

    Rahaa saanaaa muimbajiii upoojuuu yoteehayo nikweliiii maana binadam kwakudatiliyana nishidaa

  • @nkalamially5357
    @nkalamially5357 11 місяців тому +1

    Enzi hairudi mashallah

  • @mercyshakyz8707
    @mercyshakyz8707 5 років тому +9

    Wapo baadhi ya watu wameumbwa na muweza nyoyo imejaa kiu.. Ya kugomnana na watu... Duh... Langu jicho tyuuuuu.. Pambeeeeeee...

  • @ZaituniAthumani-r1g
    @ZaituniAthumani-r1g Рік тому +1

    Nimeipenda hii taarb ni Khadija mashallah mng akuweke maneno yamenifundisha meng

  • @leilaleila4799
    @leilaleila4799 6 років тому +2

    We adijaaaa weweee umenikosha sanaaaa nikazikuishi nawatunatabiazaooo kuziwezaa

  • @asiakinia9344
    @asiakinia9344 4 роки тому +5

    2020 nikiwa Oman muscat napata raha za ki home home yaani cjutii kbs kupoteza mb zangu 💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @sarabello4328
    @sarabello4328 6 років тому +5

    Yangu macho,.mkono na shavu langu taarabu za kale zina mafunzo Sana,.old is gold!

  • @raymondjulius7052
    @raymondjulius7052 4 роки тому +2

    Hi taaraabu kiukweli ukiisikiliza lazima ujifunze kitu to

  • @Zainabu-s1c
    @Zainabu-s1c 3 місяці тому

    Mmh hii nyimbo jamani inanikumbusha mbali sana

  • @mathewmghanga3705
    @mathewmghanga3705 4 роки тому +2

    Hongera nyie Waja wake Mola!!!!Mko juuu tuuu sanaaa

  • @leilaleila4799
    @leilaleila4799 6 років тому +6

    huuwimbo pambeeee atariii

  • @amda6676
    @amda6676 5 років тому +4

    I like the song very much....yataniepuka mengi nikiufunga mdomo...

  • @jacksondismas4109
    @jacksondismas4109 2 роки тому +2

    Majaliwa ya rabhana

  • @helsmilerandrew2563
    @helsmilerandrew2563 8 років тому +5

    naipenda sana hi nyimbo sijui kujielezea hira naipenda

  • @SwaumMadezi
    @SwaumMadezi 4 місяці тому

    Langu jicho nyimbo yangu hii,naipenda hatar

  • @zamdamohamed2845
    @zamdamohamed2845 4 роки тому +2

    Langu jicho mkono na shavu langu yaniepuke mengi

  • @mtondokibibi897
    @mtondokibibi897 7 років тому +3

    Sigombani na wenzangu mi muungwana sana..safi sana bi khadija yusufu mm penda ww

  • @rashidmapande4105
    @rashidmapande4105 Рік тому +2

    Sisi watu wa Pwani hizi ndio nyimbo zetu,zinaburudisha,zinafunza ...

  • @raifamussa1522
    @raifamussa1522 3 роки тому +1

    Naweza kustahamili, ndio maana nanyamaza 2021 bado iko juu

  • @suzanamhando2611
    @suzanamhando2611 5 років тому +4

    Heshima yangu na utu sitaki kuuupoteza waja wakanidharau hatari sana haka kanyimbo

  • @collinslusweti
    @collinslusweti 3 роки тому +2

    Langu jicho langu jicho langu jicho, sinyanyui mdomo wangu, nanyamaza nanyamaza nanyamaza Masha a Allah.

  • @saadalacha5579
    @saadalacha5579 7 років тому +11

    Ninapigana na tumbo langu, nataka kuona hatima yangu, ipi inaendelea ipi inaendeleaaaa

    • @RioIpo
      @RioIpo 4 роки тому

      Hhhhhh teyna vipi naendelea

  • @mariamkanyungu3150
    @mariamkanyungu3150 5 років тому +3

    Jaman wimbo unanikumbusha mbali sana big up

  • @salmaomary979
    @salmaomary979 4 роки тому +1

    Sivunji heshima yang kwamambo yasonamana wakapata lakusema ....sant zanzibar ntawakumbuka daimaa

  • @hawaghasia8417
    @hawaghasia8417 10 місяців тому +1

    Wimbo una ujumbe wenye Mafunzo, pia unafariji na kutia moyo

  • @wagwankingston8913
    @wagwankingston8913 Рік тому +1

    Hekima na busara ❤❤

  • @salmangwale5413
    @salmangwale5413 7 років тому +5

    Kweli Hujakosea bi khadija sauti ya chiriku wakuacheee

  • @asmasoud6498
    @asmasoud6498 6 років тому +13

    Yanini shidawenzangu wakati raha nyingisana katuletea karima

  • @shahnaomary5454
    @shahnaomary5454 5 років тому +30

    penda sn huu wimbo 2019 wp jmn like zenu

  • @saburyyusuph2118
    @saburyyusuph2118 6 років тому +4

    masha Allah wimbo umejaa ujembe kuntu

  • @maimunaomary7135
    @maimunaomary7135 7 років тому +12

    Naipenda sana hii nyimbo hasa ninapokerwa nikiusikiliza hasira huniisha na kuendelea na maisha, naweza kustahimili ndiyo maana nanyamaza hahahahah good life LANGU JICHO

  • @rosenyoroka1516
    @rosenyoroka1516 2 місяці тому

    2024 nani mwingine askiza khadija Yusuf.. Mpeni likes ❤❤❤❤

  • @aminamustapha3826
    @aminamustapha3826 5 років тому +4

    Hakuna kama jahazi tenaaaaa

  • @mjunicharles1198
    @mjunicharles1198 10 місяців тому

    Mwwnzenu nadamu mbaya natambua👌👌👌👌🇺🇬

  • @silvestermogaka5126
    @silvestermogaka5126 Рік тому

    Taaaamu 2023 watu wa kikoneni,shika adabu,fingirika,mvindeni,majoreni , bounty nyumba sita,munje pwani na watu wa magaoni wote nawapenda buuree

  • @habiba0022
    @habiba0022 7 років тому +11

    jamaniiii raha sana song pambe Sana niwimbo wasikunyingi lakini haujachuja mpaka Leo jamani langu hicho mieeeeeee

  • @winfridachaula1847
    @winfridachaula1847 2 роки тому +2

    Iko safi dana

  • @KhadijaJuma-l6x
    @KhadijaJuma-l6x 11 місяців тому

    Nyimbo tamu mnò hii, inakupa raha haswa yhaan jmn

  • @saidytomasy6652
    @saidytomasy6652 5 років тому +1

    nami namkumbuka marehu mama arikuwa anapenda tarabu Sana asa zamani

  • @zeedymontanamontana7316
    @zeedymontanamontana7316 6 років тому +4

    Naipenda sana hii nyimbo nimejifunza mengi wallah,,khadija mungu hakuweke wallhah

  • @AsiaMreta
    @AsiaMreta 2 місяці тому

    🎉🎉🎉❤❤❤penda sana

  • @DullahKilua
    @DullahKilua 10 місяців тому

    Daaah sauti kama ya bint mdogo umejaliwa saut

  • @yusrayusrat6916
    @yusrayusrat6916 5 років тому +6

    2019 dah najilowazaga tu mwenyew

  • @ggjghh6245
    @ggjghh6245 7 років тому +10

    Jamani hii nyimbo nikisikiliza machozi yananitoka ina nikumbusha mbali sana yani nakumbuka miaka ya 2000

  • @gloryandrea9554
    @gloryandrea9554 2 роки тому

    So mpz wa tarabu lakini huu mmmmh nakpenda mpaka nalia kwakweli

  • @nasibndaro6281
    @nasibndaro6281 2 роки тому

    mwenzenu nna Damu mbaya natambua kipi nlofanya kibaya na kuchukiwa .Ni kazi kuishi na watu na tabia zao kuziweza .

  • @aishaallyb8718
    @aishaallyb8718 6 років тому +5

    pambe Tyuuuuuuuuu.hupo msemo wa zamani Mdomo hulimponza Kichwa.

  • @mwanakombobasho4762
    @mwanakombobasho4762 3 роки тому +1

    hapo sawa 😙

  • @azzaalmaamry76
    @azzaalmaamry76 6 років тому +3

    Wimbo huu nakumbuka mbali 2000 nipo dar miaka hairud nyuma miss saana dar

    • @RioIpo
      @RioIpo 2 роки тому

      Wakati nyimbo imetoka 2007

  • @salmaomary979
    @salmaomary979 4 роки тому +1

    Naweza kustamil 2020

  • @JackZulaDaJaime
    @JackZulaDaJaime 6 місяців тому

    Siwezi kunsahu ❤

  • @issahasan1299
    @issahasan1299 2 роки тому

    Nakumbuka mbali sana nikisikia nyimbo hii

  • @nicodemusmigiro9644
    @nicodemusmigiro9644 5 років тому +3

    Raha kweli!

  • @maryamhamza5546
    @maryamhamza5546 6 років тому +1

    Manshallah ulijua kuimba humu na mafunzo pia yaan naupenda sana

  • @janetmayala3690
    @janetmayala3690 5 років тому +9

    2019 tuonane

  • @aminajuma2625
    @aminajuma2625 6 років тому +1

    Naipenda sana hii nyimbo maneno yake kuntu

    • @nasorochamangwana1423
      @nasorochamangwana1423 6 років тому

      Amina Juma hiinyimboinanikumbushakwe2tanga jumbezakenimezielewasana

  • @aryanamendes8700
    @aryanamendes8700 5 років тому +2

    2020nipo Hapa nanyamaza mkono na meshavu langu

  • @AminaSongonya
    @AminaSongonya Рік тому

    Wambie vijuso wasiojielewa❤❤😅

  • @seifushabani9686
    @seifushabani9686 4 роки тому +6

    2020 oyoooooooo

  • @saudaabdallah8468
    @saudaabdallah8468 6 років тому +3

    Nikisikiliza hii taarab namkumbuka rafiki yangu aliefariki kwa ajali tulikuwa wadogo enzi hizo

  • @azzaalmaamry76
    @azzaalmaamry76 6 років тому +4

    Naangalia maisha yangu hilo ndo jambo la maana

  • @AishaMsami-du8vm
    @AishaMsami-du8vm Рік тому

    Haswaaa,maneno kuntu,Wala hayaishi ladha

  • @rosemarysebea8522
    @rosemarysebea8522 6 років тому +1

    Nyimbo nzuri sana mwanan
    Nikiiskiliza machozi yana nitoka

  • @jolvinaloyce3399
    @jolvinaloyce3399 5 років тому +2

    Heshima yangu na utu sitaki kuipoteza

  • @jolvinaloyce3399
    @jolvinaloyce3399 5 років тому +4

    Kuna kero za ajabu zinapotokea nasikiliza wimbo huu mashairi yake jamani naweza kustaimili ndo maana nanyamaza langu jicho(Asante Hadija Yusufu)Heshima yangu na hutu sitaki kuipoteza.

  • @maymunamohamed2053
    @maymunamohamed2053 5 років тому +2

    Pambe sanaa

  • @RioIpo
    @RioIpo 6 років тому +5

    Mwenzenu nna damu mbaya natambua kipi nilofanya baya na kuchukiwa

  • @fortunatanazareno6145
    @fortunatanazareno6145 3 роки тому +2

    Yaani nasikia kulia kila nikisikiliza huu wimbo hakika alijuwa kutoa funzo

    • @rahimalewe2835
      @rahimalewe2835 2 роки тому

      uko na ndamu mbaya kama mm😭😭😭😭

  • @marylymo7709
    @marylymo7709 4 роки тому +2

    Wale wa 2020 mko wapi

  • @mejakichenje
    @mejakichenje Рік тому

    nikushkuru mungu2 kwasasa hekimana busara zikowap kamazaman hakika dunia yenda nawatuwake chakuomba nimwishomwema2 by meja kichenje

  • @zarinaqasim9714
    @zarinaqasim9714 5 років тому +2

    😭😭😭Tunskumbuk mbali wengine

  • @Moon-wf2ec
    @Moon-wf2ec 5 років тому +2

    Nyimbo zurisana

  • @bahatirashidi3439
    @bahatirashidi3439 5 років тому +2

    2020 tupo au

  • @hsm3646
    @hsm3646 12 років тому +9

    maneno ya kweli maisha yako ndo muhimu

  • @saudasaidi6699
    @saudasaidi6699 2 роки тому

    Asante dd wa ukweee

  • @kiluwasalum5002
    @kiluwasalum5002 7 років тому +4

    daa jmn hii nyimbo atl

  • @AuntyKaira-zz6qm
    @AuntyKaira-zz6qm Рік тому

    Naweza kustahamil ndomana nanyamaza

  • @duniakaongo1488
    @duniakaongo1488 9 років тому +14

    Nyimbo hii nikiisikia nakumbuka mbali sana

    • @meckmajiko7617
      @meckmajiko7617 8 років тому +3

      haswa heshima kwa kila mtu upoo sahihi.

    • @sheikhaalharasi2480
      @sheikhaalharasi2480 6 років тому

      Dunia Kaongo wapi??

    • @antonfaru3600
      @antonfaru3600 6 років тому

      Nyimbo ya taarabu iliyopata tuzo ,Dada huyu anajua kighani si masikhara pongezi kea mzee Yusuf

    • @emilianamfinanga3397
      @emilianamfinanga3397 4 роки тому

      Namkumbuka marehemu mama yangu!mungu akupe pepo nzuri!

  • @eddieramso7003
    @eddieramso7003 2 роки тому +1

    Nikiwa Stockholm nasikiza hii ngoma Yenye miaka dahar bado hipo na ujumbe wake

  • @specialbreed6509
    @specialbreed6509 7 років тому +3

    Nami pia LANGU DJITHO!

  • @azzaalmaamry76
    @azzaalmaamry76 6 років тому +1

    Kazi kuishi na watu na tabia kuziweza

  • @rahaaa1845
    @rahaaa1845 6 років тому +1

    Nikiifunga mdomo tuliii nikiingalia

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 6 років тому +4

    Yani kama alvyonigusia mm kuimba hii nyimbo, langu ni jicho haswa nahofia nisinyanyue mdomo nikajitia matatizoni, bora niyaangalie tu kisha nitabaki kuyakumbuka naeka mboni yangu iwe kumbu kumbu yakujionea ila mdomo naufunga.

  • @mariamngonyani5458
    @mariamngonyani5458 4 роки тому

    Kweli kabisa , mi napigana na tumbo langu nijue hatima yangu 🙏

  • @haneefaomer6386
    @haneefaomer6386 4 роки тому

    Pendaaa Sanaaa hii Nyimbo😍😍

  • @aminaali7072
    @aminaali7072 6 років тому +2

    Yani anipenda xana hii nyimbo

  • @husnamagembe4782
    @husnamagembe4782 7 років тому +3

    nyimbo hii naipenda balaa saana

  • @safiaame7558
    @safiaame7558 5 років тому +1

    Naupend xn huu wimbo

  • @ashuraissa6897
    @ashuraissa6897 4 роки тому +1

    Masha Allah bi hadija

  • @khadijambuta4360
    @khadijambuta4360 7 років тому +8

    penda sna huu wimbo😍😍

  • @antonfaru3600
    @antonfaru3600 6 років тому +5

    Kwani hawa wasnii maneno walikuwa wanayatoa wapi?na awe mdgo kwangu hat akinitukana tuli nitizamaaa

  • @halimakasonta1400
    @halimakasonta1400 5 років тому +7

    2020 hiyoooo

  • @nasrahmohamedy6234
    @nasrahmohamedy6234 5 років тому

    Huu wimbo naupenda san😍

  • @DavidTangafresh-qi2bb
    @DavidTangafresh-qi2bb Рік тому

    Hongera

  • @asiamchingama9482
    @asiamchingama9482 5 років тому +1

    Pambe tuuuuu 2019

  • @faudhiamallata3074
    @faudhiamallata3074 4 роки тому +4

    Like zangu 2020

  • @rahmamwishehe2924
    @rahmamwishehe2924 5 років тому +3

    Sijui niseme nn ila kama bado kama mm miaka kama yotee kuisikilizaa laik zenu kwa sanaaa sauti maneno na vitendo vyangu inagusaa haswaaa