VITASA | Jose Hernandez vs Juma Choki | Mo Boxing 30/09/2022

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Tazama raundi nane za Mtanzania Juma Choki akimtandika kwa pointi Jose Hernandez kutoka nchini Mexico.
    Ni katika #UsikuWaVitasa #MoBoxing kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, Septemba 30, 2022 likiwa ni pambano la utangulizi kuelekea pambano kuu kati ya Ibra Class vs Alan Pina.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 29

  • @yahayarashidngabuja632
    @yahayarashidngabuja632 Рік тому +1

    Tukiongelea ngumi huyu dogo yupo vizuri kuliko manondia wote mnaowaona hapo Tanzania 🇹🇿 akipata trainer mzur tu atafika mbali sana yuko professional

  • @guzomc255
    @guzomc255 2 роки тому +2

    Juma choki hongera sana sana sana uneonyesha uwezo wako tena bila kukata tamaa yule mmexico ni jini

  • @mathiaslaurent756
    @mathiaslaurent756 2 роки тому +1

    Huyu choki ndio mabondia ambao wataleta ushindani sio akina mandonga, yuko vizur sana ana pumzi pia anaonekana ni very trained

  • @leonardfrancis9523
    @leonardfrancis9523 2 роки тому +1

    hongera JUMA choki good performance

  • @KambiAsso
    @KambiAsso 7 місяців тому

    Choki leo amecheza chini ya kiwango sana

  • @Hshshhsi1222
    @Hshshhsi1222 2 роки тому +1

    Chokiiiiiiiiiiiiii ni fire

  • @mirajiramadhani2128
    @mirajiramadhani2128 2 роки тому

    Juma choki saf sana kaka

  • @abasimtowa1073
    @abasimtowa1073 2 роки тому

    Hongera Kwa kutufurahisha watanzania

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 роки тому +2

    🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👽🇹🇿

  • @mustafaosman1838
    @mustafaosman1838 2 роки тому

    Safi sana choki

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 2 роки тому

    Nasibu ni mchambuzi bora sana

  • @abuubakarkichimbo9957
    @abuubakarkichimbo9957 2 роки тому

    Huyu jamaa choki kwa nilivyomuona kwenye hili pambano sina budi kumpijia saluti kilichobakia mazoezi azidishe

  • @lama6310
    @lama6310 2 роки тому +1

    Class kaua

  • @kibagosaidi7078
    @kibagosaidi7078 2 роки тому

    Juma nature tumepigika danload audio

  • @salumnkugwa9096
    @salumnkugwa9096 2 роки тому

    Kama ngoma

  • @thegreattv7647
    @thegreattv7647 2 роки тому

    Huyo choki Hana ngumi nzito huyo wa k.o mapema TU japo siujui mchezo ila inaonekan tu

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 2 роки тому

    Jebu inauma light inatoa damu choki safi saaanaaa 💪🇹🇿🇦🇪

  • @abdullahahmedi9586
    @abdullahahmedi9586 Рік тому

    Choki ndio bondia alietimia ana kila kitu

  • @ibrahimyusufu1721
    @ibrahimyusufu1721 2 роки тому

    Ubabe Ubabe

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 2 роки тому

    Refa nae mzembe badala ya kuseparate boxers ye anaelekeza kwa ishara

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 роки тому

    HAWA WA MXICO NI MA RED INDIANS UKIPIGANA NAO NI BALAA.

  • @mastert6420
    @mastert6420 2 роки тому

    Piga wazungu hao

  • @aliathman5511
    @aliathman5511 2 роки тому

    Mexico sio mekiko

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 роки тому

      Kwa Swahili ila. Wenyewe ukisikiaa wanasema mekiko na sio mexico Kama tunavyoisema sisi

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 роки тому

      Kwa Swahili ila. Wenyewe ukisikiaa wanasema mekiko na sio mexico Kama tunavyoisema sisi

    • @jonaspaul7974
      @jonaspaul7974 2 роки тому

      Unaweza ukajua unajuq kumbe hujui😂😂