Asalaam aleykum shekh nakupongeza sana tena sana maana Maadili sasa hv Mmonyoko wa Maadili umekuwa mkubwa. Allah akufanyie wepesi kwa kila jambo la kheri ufanyalo . Nina maoni naomba uanzishe kufanyw kituo cha Nusra. Kuna watu ambao wamepata ajali. Na wako Darasani . Huenda Allah akajaalia wakapata Mume au mke baadaya kupata Semina yako ustadh watu wakaona utapata fadhila kubwa sana shekh. Utawanusuru watu wengi.
Mojawapo mimi mmojawapo nimepata ajali. Sitaki sana ni Dadafue sana Allah anajuwa. Japo ni mtu mzima natamani nipate nusu ya dinii. Nipate ht wa kusaidiana naye. Kwa shida na raha.
Allah akuhifadhi na akulipe kila la kheri sheikh wangu,from drcongo
Asalaam aleykum shekh nakupongeza sana tena sana maana Maadili sasa hv Mmonyoko wa Maadili umekuwa mkubwa. Allah akufanyie wepesi kwa kila jambo la kheri ufanyalo . Nina maoni naomba uanzishe kufanyw kituo cha Nusra. Kuna watu ambao wamepata ajali. Na wako Darasani . Huenda Allah akajaalia wakapata Mume au mke baadaya kupata Semina yako ustadh watu wakaona utapata fadhila kubwa sana shekh. Utawanusuru watu wengi.
Maa Shaa Allahu shekh wetu baarakallahu FiiK
Sina maneno zaidi ya kusema Alhamdulillah alaa kul li haal
Alhamdulilah.
Allah akuzidishie rehma 'Baraqah darasa zuri sanaa nimefaidika sana natamani liendelee ❤❤❤
Maasha allah tabaraka rahman
Mashallah
Masha allah

Maa shaa Allah