Waalaykum salaam warahmatullahi wabarakatuh sheikh Allah akulipe na akuzidishie kila la kheri wallahi Allah akufanyie wepesi wa kila jambo na kila kitu na Allah akuepushe na akukinge na kila aina ya maradhi na kila aina ya husda hasad na vijicho na akukinge na akuepushe na kila aina ya mabalaa shida taabu dhiki misukosuko mitihani na Allah akujaalie na kila aina ya furaha raha na akuepushe na kila aina ya huzuni majonzi na Allah akukinge na akuepushe na kila aina maradhi maradhi ya kiwiliwili na maradhi ya nafsi
Maa Shaa Allahu maa shaa Allahu... Sikujaaiwa kuhudhuria kongamano Hilo. Lakini Alhamdulillah nimefaidika huku. Jazakallahu khayran mwalimu.. nahitaji Sana kusomea mambo hayo kiundani ili niwalee katika misingi imara mabinti zangu.. na pia nitoe madarsa haya katika shule zetu za kata hizi na msingi.. naomba muongozo katika hili. Kitaaluma Mimi ni mwalimu WA nursery kwahiyo nikiipqta kozi hii kiundanizaidi inaweza kiniwezesha kufikia malengo in Shaa Allahu
Na Allah akuingize katika mabustani ya jannatul firdaus mabustani ya mitende mabustani ya mizabibu ambayo chini Yake inapita mito ya maji matamu sana mito ya maziwa matamu sana ambayo hayajachakachuliwa na mito ya asali tamu sana ambayo hayajachakachuliwa na mito ya pombe ambayo haiharibu akili na ni tamu kwa mnywaji wewe na familia yako na vizazi vyako vyote inshaallah bila ya hesabu wala adhabu kwa rehma zake maulana inshaallaah
Waalaykum salaam warahmatullahi wabarakatuh sheikh Allah akulipe na akuzidishie kila la kheri wallahi Allah akufanyie wepesi wa kila jambo na kila kitu na Allah akuepushe na akukinge na kila aina ya maradhi na kila aina ya husda hasad na vijicho na akukinge na akuepushe na kila aina ya mabalaa shida taabu dhiki misukosuko mitihani na Allah akujaalie na kila aina ya furaha raha na akuepushe na kila aina ya huzuni majonzi na Allah akukinge na akuepushe na kila aina maradhi maradhi ya kiwiliwili na maradhi ya nafsi
Aamin ya Rabb
MashaAllah❤
Na Allah kariim akujaalie na akuwezeshe uweze kutamka kalima tauhiid ya laaailaahaillallaah wakati wa kutoka roho yako inshaallaah
Aamin.
Na Allah akupe afya njema na siha njema na umri mrefu na umri wako autie baraka inshaallah
Aamin.
ALLAH akujaalie kheri nyingi na akupe umri mrefu wenye tija na udumu katika kutuelimisha in shaa Allah biidhnillah.
Allah akujalie kheri shekhe
Aamin.
Na inshaallaah Allah akufungulie riziki ya halali riziki ya wasaa na riziki nzuri na riziki nyingi sana ya kutosha
Aamin.
Na Allah akukinge na akuepushe na kila aina ya adhaba ya kaburi na joto la kaburi na mvuke wa joto la kaburi inshaallaah
AAMIN.
Maa Shaa Allahu maa shaa Allahu... Sikujaaiwa kuhudhuria kongamano Hilo. Lakini Alhamdulillah nimefaidika huku. Jazakallahu khayran mwalimu.. nahitaji Sana kusomea mambo hayo kiundani ili niwalee katika misingi imara mabinti zangu.. na pia nitoe madarsa haya katika shule zetu za kata hizi na msingi.. naomba muongozo katika hili.
Kitaaluma Mimi ni mwalimu WA nursery kwahiyo nikiipqta kozi hii kiundanizaidi inaweza kiniwezesha kufikia malengo in Shaa Allahu
Inshaallah
Na Allah akuingize katika mabustani ya jannatul firdaus mabustani ya mitende mabustani ya mizabibu ambayo chini Yake inapita mito ya maji matamu sana mito ya maziwa matamu sana ambayo hayajachakachuliwa na mito ya asali tamu sana ambayo hayajachakachuliwa na mito ya pombe ambayo haiharibu akili na ni tamu kwa mnywaji wewe na familia yako na vizazi vyako vyote inshaallah bila ya hesabu wala adhabu kwa rehma zake maulana inshaallaah
Aamin nawe pia ndugu yangu.