MKASA MZIMA KIFO CHA MUME WA MENINA HUU HAPA/SABABU YA KUMFICHA/KUTEMBEA NA WAGANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 лип 2021
  • Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
    MKASA MZIMA KIFO CHA MUME WA MENINA HUU HAPA/SABABU YA KUMFICHA/KUTEMBEA NA WAGANGA
    #Bonatv #Exclusive #Menina
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 423

  • @mozaummy327
    @mozaummy327 3 роки тому +13

    Kumbe Huna uhakika umesikia tu subhanallah kuna moto chungeni midomo yenu iyo kuna kufa wewe dada usione sifa kutafuta umarufu

  • @asiamwarabu7510
    @asiamwarabu7510 3 роки тому +8

    Wanawake wanawake wanawake nimewaita mara 3 tujitahid kustiriana Sisi tutaolewa na kuhamia familia ngen unapoona mtihan wawenzio usiushike kidedea tambua na ww linaweza kukuta kama hili huo ni uwongo mtu dada na ww ipo siku yako haya ni maisha tu

  • @MasoS024
    @MasoS024 3 роки тому +8

    Story imejaa mashemegi hakuna mawifi 😂😂😂hakuna wakwe 😂😂 hapa kuna uwongo mkubwa labda ukweli mdogo mstiri mwenzio naww ustiriwe

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 3 роки тому +15

    Mungu atusitiri na watu km hawa,,,,yaani unasema ya mwenzako, utasema wewe msafi,,,,sema na yako,,,mtu ameshakufa waacheni

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 3 роки тому +4

    Jamani huyu mwanamke mshenzi sana,hafai kuwa nae karibu au kumfanya rafiki,,,,,haya umeshasema ya mwenzako, sema na yako

  • @azizajuma9688
    @azizajuma9688 3 роки тому +20

    Nani mwingine ajamuelewa huyu dada🙄🙄🙄

    • @mariamgodfrey53
      @mariamgodfrey53 3 роки тому

      Mimi

    • @lulually5209
      @lulually5209 3 роки тому

      Huyu dd chizi Mambo mengine ata hayahusu kuyaongelea

    • @barikiwa22
      @barikiwa22 3 роки тому

      @@lulually5209 we ndio mnafiki kichizi, kama hayahusu mbona uko hapa unasikiliza

    • @lulually5209
      @lulually5209 3 роки тому

      @@barikiwa22 wee msenge nini achana na Mimi kuma ww

    • @lulually5209
      @lulually5209 3 роки тому

      @@barikiwa22 nisikilize nisisikilize wee pia inakuhusu kumala mamaako

  • @evandosimboro1364
    @evandosimboro1364 3 роки тому +3

    Sema huyu jamaa muandishi me nimekukubali sana 💪💪💪

  • @ummymzee5159
    @ummymzee5159 3 роки тому +26

    Menina MUNGU Anakuona😭😭 Pepo Yako Ilikuwa Kwa Mume Wako My Dear Dah😥😪😓

  • @mishiomarhassan3807
    @mishiomarhassan3807 3 роки тому +12

    😂ila binadam wabaya sana huu dada unaona through macho yke ni muongo anatafuta umarufu

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 3 роки тому +2

      Ni ukweli mtupu ila hakutakiwa kuzungumzia mambo ya faragha ya mwenzie maana kila mtu ana yake ya sirini .

  • @zahraathuman5509
    @zahraathuman5509 3 роки тому +5

    Ww dada muogope mungu kwa kwel acha kusema mambo ya watu mstiri aib za wenzako 🙂🙂

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 роки тому +21

    Subhanallah 😳 Aisee dunia ipo kasi na ibris yupo kasi Allah atuhifadhi tusidhalilike

  • @Gift-cx1uo
    @Gift-cx1uo 3 роки тому +3

    Mnatumia muda mwing kuchafua watu ili mjulikane sasa umeongelea nn vitu ambayo hauna uhahika navyo mnafiki mkubwa wew mungu atakulipia ........

  • @aminabozen8765
    @aminabozen8765 3 роки тому +3

    Dada muongo wew dah atakujibu Mungu 🙏.......uache umbea ata Kam anarogo inakuhusu nn....... Ha ha ha ha 😆 jamaniiii duniahii

  • @jesuyesu4227
    @jesuyesu4227 3 роки тому +1

    Uyu mudada nimuongo sana Mwenyezi Mungu akuhurumiye kbs mwanamuke mwenzako ,,unataka kumuzalilisha kwauwongo kesho nikwako tena ww unawivu na Menina

    • @rayahsuleiman5957
      @rayahsuleiman5957 3 роки тому +1

      Huyu mwanamke anatafuta umaarufu tu,anaonekana njaa tupu. Akatafute kazi afanye. Sasa kina Darleen na Iyobo imehusu nini hapo. Wigi limekakamaa kama ukoko pumbavu

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 3 роки тому +6

    Huyu dada dhahiri ni muongo kwa jinsi anavyoongea ,hii ni kiki anatafuta kupitiya mgongo wa menina na mumewe ,wa LLAHI ulivyofanya si vizuri huo ni uhasidi na fitna,yani hapo Kwenye interview unaonyesha dhahiri umetaayari haki ya mungu

  • @latifaomary7538
    @latifaomary7538 3 роки тому +16

    Nilichogundua apa uyu alikua ndo mke mdgo wa malehem ndo mana menina akaimba nyimbo

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 3 роки тому +4

    Wabongo mko radhi kupata dhambi. Lkn kusema uongo hamuogopi. ALLAH anakuoneni jamani. Muogopeni ALLAH. Kesho kuna magumu kwenye kuhesabiwa.
    Na pia acheni kua na imani za kushirina. Na kumbe wengi mnaenda kwa waganga. Hamsemi, mnamsema Hamisa tuu.

  • @edithaedwin8120
    @edithaedwin8120 3 роки тому +15

    Nikosa kutoa taarifa za wengne wakiwa kwenye Mambo Kama hayo... Huyu dada anatafuta kiki tu...

    • @swalhashuaibu8149
      @swalhashuaibu8149 3 роки тому

      Kabisa anatowa shutuma na yeye hana ata ushahidi laaa dunia hiii sio vizuri kabisa tena watu wapo kilioni makosa Sana Sana 😏

    • @lisahhans295
      @lisahhans295 3 роки тому +2

      Mjinga mno.like zanhu kuzarau huu utopolo pls

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 3 роки тому +1

      Unajua anaweza akashtakiwa kama Menina kama akiamua

    • @maimunarashid4313
      @maimunarashid4313 3 роки тому

      Sana

  • @somaiyahslim6142
    @somaiyahslim6142 3 роки тому +1

    Innalillah wainna illah Rajiun baki Allah, Yaa Rabb L, husni Hatema tujiombee mwisho mwema, huu Ni msiba juu ya Msiba Tufe tupate kuongelewa kwa Vizuri sio kama hivyo mtihani mtupu, huyo mine kafa ila nimsibaa mkubwa wa maneno,Dah!Sabra aliteseka sanaa ila huwa nasema mwisho wa ubaya Aibu, gueen haya yote nimalipo hapa hapa Duniani ujifunze kuwa karibu na Allah sio kukimbilia kwenye ushirikina

  • @swalhashuaibu8149
    @swalhashuaibu8149 3 роки тому +12

    Kama kafariki ni mganga wa kiyenyeji( mfumu) finari jahanamu khalidina fiha.... Inna lillahi wa inna ilahi raji'uun
    Allah atupe mwisho mwema

  • @mename6020
    @mename6020 3 роки тому +1

    Mtangazaji upo vizur Sana... Hongera na mungu akubariki... Umejuwa kumsuta bidada kiustaarabu...

  • @mename6020
    @mename6020 3 роки тому +7

    We mdada umejijenga uadui kwa hao waganga 2 na pinina.... Da fitna ni mbaya sana...

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 3 роки тому +5

    Yani madhumuni ya Huyu dada anataka kudhalilisha wenziye kwa Mambo ya uwongo na fitna,hasbiyyah llahu wanaemaal wakeel

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 3 роки тому +30

    Inaonwsha huyo Mume wa Menina alikuwa na Ugonjwa kitambo unamla kdgkdg kw vile ni familia ya waganga wakaamini ni Marohani mkiwa washirikina mtu akiumwa mnasingizia shetani

    • @MohammedMohammed-rf3we
      @MohammedMohammed-rf3we 3 роки тому

      Muu alikuwa mganga apo kaongopa Muu mganga kabisa Sema alikuwa ataki uganga kwa mambo za ujana

    • @ashurahatibu5069
      @ashurahatibu5069 3 роки тому +1

      No alikuwa anafanya mikazi ya vumbi alfu alikuwa anakula ugoro tb ya mifupa

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 3 роки тому

      True

  • @iyadahmed9797
    @iyadahmed9797 3 роки тому +3

    Ww Dada nimuongo kwasababu huumwezi kitukikaeleweka

  • @shakira1301
    @shakira1301 3 роки тому +28

    Wawache kutafuta umarufu mtu kasha kufa mbona hawa kusema akiwa mzima.

    • @dottohamisi9844
      @dottohamisi9844 3 роки тому +3

      Haswaaa anataka kujulika tu

    • @shadiashamurani569
      @shadiashamurani569 3 роки тому

      mpumbavu sana uyuu kuma ana taka kiki msenge moja sura mbovu yakwako yana kushinda mbwa ww shetani nyoo fanya yako wcha kufata maisha yawatu mkundu ww una sema vitu ambavo una uaika kuma ww subili mbwa ww uoo mdomo uta kupoza una mchafua mwenzio shetani ww

    • @queendoe3740
      @queendoe3740 3 роки тому

      Uyo dada yuko sawa na anachokisema ni kweli kabis jaman msichokijua mcpend kutukan bule ndug ndo wanajua ukuweli lait kam mngekuwepo au mngemuona ndo mgejua jamn wasanii cio watu jamn kuwen makin sana

  • @Gift-cx1uo
    @Gift-cx1uo 3 роки тому +6

    Kila unaloliongea juu ya mwenzio Allah atakulipa ni muda tu

    • @zuhuramsangi9962
      @zuhuramsangi9962 3 роки тому

      Hakika Ni kweli mungu ana mihifadhia maneno yake

  • @stellanchagwa5297
    @stellanchagwa5297 2 роки тому +3

    Shemeji, Shemeji imekua nyingi...

  • @amour5535
    @amour5535 3 роки тому +1

    Weewee najuwa utapitia hii comment yangu , lidada limbeya mnafiki mtafuta kiki kwa nn hujaenda ww kumuuguza huyo muh kachambishe hicho kinyeo chako unatafuta kiki fyuuuu

  • @agneskighenda3795
    @agneskighenda3795 2 роки тому +3

    Sijamuelewa huyu mwanamama!

  • @zahraathuman5509
    @zahraathuman5509 3 роки тому +4

    Subhanaallah Allah atusuru na tusamehe

    • @kudrasadi765
      @kudrasadi765 3 роки тому

      Watanzania hawana siri hapo utakutA NISHOSTII HUYO

  • @htx1873
    @htx1873 3 роки тому +12

    Watoto wadogo wanakutana kwenye ushirikina na pia wanatembea na hao Waganga feki, ushenzi mtupu, acheni ushirikina , fanyeni kazi hakuna pesa ya burr .. disgusting 🤮

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele 3 роки тому

      Kweli waganga ndivyo walivyo wanatembea na wanawake sanaaaaa

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 роки тому

    Subhanaallah mungu wangu binadamu tunapenda kulaumu wenzetu sana 💔💔💔💔💔💔

  • @zeinabaabdi5675
    @zeinabaabdi5675 3 роки тому +1

    Mbona siku zote alivo kua anaumwa ndugu yao hawakumsaidia wenyewe mpaka mnakuja kuongea leo hii kwelii jmn

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 роки тому +6

    Siku nyingine usikurupuke kuongea ktk mitandao nimesema hivyo kwasababu uko mbele ya camera sasa na hakuna cha maana unachoongea au ulitaka kk tu kupitia kifo cha mume wa menina?tupishe huko 😏 sijui kwanini wanawake hatupendani mtihani kweli 😔😡

  • @minjafamily5243
    @minjafamily5243 3 роки тому +3

    Mbona wakati anaumwa, sijui kafungiwa ndani mbona hamkuwa mnasema, mtu kashafariki ndio mnaanza kuleta vimidomo vyenuu mwacheni apumzike kwa amani kaka wa watu khaaaai😏

  • @neydamsekefu2753
    @neydamsekefu2753 2 роки тому

    Wew dada ni mwongo Sana km unataka kumdharirisha menina umeshindwa mwenzio ni staah uoni km unaongopa uy shemeji yako asikualike chiz we unataka utwend tu mav ww

  • @zuwaaomar8253
    @zuwaaomar8253 3 роки тому +2

    Ww kila kitu unaskia tu lkn huoni kwanza yahakikishe ndio uyafikishe,mfichie mwenzako na ALLAH nae akufichie mjinga ww

  • @Official83640
    @Official83640 3 роки тому +1

    Wanawake km hawa walijitokeza kipindi cha kifo cha Reginald Mengi kwahy hatushangai wanawake tunaroho mbaya sana tena chuki za roho zimetujaa tumuogope Mungu

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 роки тому

    Duuuuu mjin ushakuwa mzito jmn eheeee mungu ondosha hii ibris jmn pole menina

  • @zuhuzuli.5150
    @zuhuzuli.5150 3 роки тому

    Hivi mwanamke unapata ujasiri gani kumsema mwanamke mwenzako hadharan unajua wewe utaingia kwenye familia gan Mungu tunusuru

  • @rashidkarisa7427
    @rashidkarisa7427 3 роки тому +7

    Una msem mwenzk wakt mwenyew ulikuw hu end kumuon

  • @mdsaid1527
    @mdsaid1527 Рік тому

    Wanawake WA bongo utamkuta ana shida zake kuzitatua hawez lkn mambo ya wenzie anaweza kuongea kumbe hata no yake huna unasema Una ushahid Acha umbea

  • @zulphaalhaji2549
    @zulphaalhaji2549 3 роки тому +1

    Mmmh wanazengo huyu dada mnamuelewa kweli Wenda alikuwa nae anamtaka muuh kwaiyo amekufa now anamshtumu menina ili kumchafulia fanya yako unasema alikuwa shemeji lakin ujashiliki chochote mnafki tu we Una jipya Malaya ww unatafuta Kiki ili utrend mitandaoni

  • @salmaadam5388
    @salmaadam5388 2 роки тому

    Sawa ww dada umeeleza ila jua Kuna kesho na nirafiki yako

  • @ikramukhalidi268
    @ikramukhalidi268 3 роки тому

    ww ni mshamba tofautisha dua na uganga

  • @annmanu3134
    @annmanu3134 3 роки тому +1

    Niseme tu ukweli nachokiona hapa huyu dem alikuw nyumba ndgo ndo maan menina akamwanga nyimbo ya bi mkubwa hahaha

  • @shardalove1159
    @shardalove1159 3 роки тому +3

    Sabasi wa dunia ww mbona ulikua husemi siku zote mbea mkubwa

  • @merrymerry4282
    @merrymerry4282 3 роки тому +1

    We dada uko kizabi saana mama lizima hovyo

  • @gloriatesha4779
    @gloriatesha4779 10 місяців тому

    Shemeji shemej shemej shemej shemej khaaaaaaaaaa😅😅😅😅😅

  • @dorahisinika7576
    @dorahisinika7576 3 роки тому +1

    Sad..

  • @victormushi6641
    @victormushi6641 3 роки тому +2

    MMEKALIA KULOGA TU HATA KWENDA KUMWONA MGONJWA UMESHINDWA AIBU KWELI.

  • @oliviasalivatory5934
    @oliviasalivatory5934 3 роки тому

    We mwanamke ni muongo sana unafiki unakusumbua leo hii unamtangaza mwenzio mungu atakulipa malipo ni hapa hapa duniani

  • @zuwaaomar8253
    @zuwaaomar8253 3 роки тому

    Menina is super woman so be care full bibie uctafute kiki na umaarufu wakati ata ayo mazungumzo yako hayana ata mantiki ww ni muongo mpaka macho yanaonesha menina ni mtu mzm anajielewa acha uongo

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 2 роки тому +1

    Shemeji ivi na ivi, mambo vipi, ulipita halafu eti ndo unamtolea mtu ushahidi kwa mambo mengi ivo 😏😏😏 ina maana kila akienda kwa mganga lazima uwepo 🙄🙄

  • @josephjohnmagesa8256
    @josephjohnmagesa8256 3 роки тому +1

    Majina ya gift viherehereeee

  • @alexkalonga3632
    @alexkalonga3632 3 роки тому +1

    Dada ana mashemeji wengi huyu,, hii story tuipe Jina gani jamani,,

  • @khalossalim3723
    @khalossalim3723 3 роки тому +1

    Huyu nae mnafki mgonjwa hajawah hata kumuona msiban hajakanyaga na bado analaumu mwenzie

  • @neydamsekefu2753
    @neydamsekefu2753 2 роки тому

    Ww dada ni mtako kweli msiba wa mmewe asiende we ni chiz unabatish tumwone menina mbaya chiz we yule staah sijui we danga km mm

  • @divinebernard1047
    @divinebernard1047 3 роки тому

    Kumbe mzuri

  • @felisterjames5859
    @felisterjames5859 3 роки тому

    Mmmh huyu dada haeleweki kbsa hata maisha ya menina na mmewe haya jui

  • @user-ms8kn6xo9q
    @user-ms8kn6xo9q 3 роки тому +2

    We dada mbona kama huna uwakika unasema mpaka watu wengine

  • @Epiread2024
    @Epiread2024 3 роки тому +1

    Anasema ni Shemeji iweje hajaalikwa harusini na 40 ya mtoto huyu dada muongo sana

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 3 роки тому +1

    Huyu interviewer hasikilizi vizuri ndio maana anarudia hovyo maswali

  • @hadijaabdrahamani5089
    @hadijaabdrahamani5089 3 роки тому

    Mungu ndiyo anaejua ukweli na ndiyo anaehukumu

  • @irenebellabellah4003
    @irenebellabellah4003 3 роки тому +3

    Huyu dada mnafki.. hana akijuacho kwa menina. Anatafuta kiki tu

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 3 роки тому +3

    Ukute hawana hata undugu na menina wals huyo mwanaume.......umbea tuu na unafkii kumbe naww ushaachika nyooo kweeendaa

  • @alfarsialfarsi2754
    @alfarsialfarsi2754 3 роки тому

    Sio vizur

  • @fatumamwaveso247
    @fatumamwaveso247 3 роки тому +2

    Sasa kuwaon kweny dhikr ndio kwend kwamgang?je km walimsindikiz mwenzao kusomew? We dada mnafik umbea wahtaj kituo dada

  • @mahombibyamungu7350
    @mahombibyamungu7350 3 роки тому

    Ajielewi muongo sana

  • @agnesdidas2790
    @agnesdidas2790 3 роки тому

    Kumbe na wew hukwenda kazi umbeatuuu huna maana unamsemea mtu ambae hujaenda kumwona hujui anaumwa nini alafu unasema unamjua acha unafk .mnafk mkubwa mume wamwenzako hujui lolote msibani hujaenda kamwombe Menina msamaa.yamekushuuukaaaaaaaa

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 3 роки тому +1

    Waganga washenz

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 роки тому +3

    Sasa huyu dada bona amekosa kazi ya kufanya.

  • @anethamon2061
    @anethamon2061 3 роки тому

    Huyu Dada nimnafiki sana hana analolijua mpuuzi mmoja huyu

  • @pendohillrey1164
    @pendohillrey1164 2 роки тому

    Wa TZ mmezidi kusema sana ssa nawe alikua rafiki wa mumeo kwann ufatilie life yake ama ulikua wampenda ww mmmh hongeren wenzetu sio kwa kufatiliana uko

  • @zahratahmad7990
    @zahratahmad7990 3 роки тому +4

    Dada ulikuwa unakaa kwenye mlango wa mganga?

  • @villanjimmy7625
    @villanjimmy7625 3 роки тому +1

    Mbea mkubwa nimefurah mtangazaj anamuuliza masaa had kujibu anamung'unya maneno mnafik mkubwa 😏

  • @neemalucas4582
    @neemalucas4582 2 роки тому

    Kwahiyo unamashemeji wangapi jamani maana kunashemeji yako mwingine mala achana na shemeji huyu mwingine tena aiseee😂🙌

  • @bilo1106
    @bilo1106 2 роки тому

    Huyo n mpumbavu mmoja ...na atafute pesa kwa njia yake lkn sio kwa jina la mtu..alikua anawataka mpka huyo mganga..

  • @celestukaless
    @celestukaless 3 роки тому

    Hapo kwa queen darling kidogo imefanya nikuamini sababu masha ashawai sema iyo kitu

  • @sadamwaka6460
    @sadamwaka6460 3 роки тому +1

    Huyo dada ni Malaya hapo yupo sokoni. Mwanamke mwenzio yupo kwenye msiba mzito. Wewe upo mitandaoni kumuongelea ujinga Malaya ulielaniwa nyoooooo.

  • @lilyluambanoluambano1037
    @lilyluambanoluambano1037 3 роки тому +2

    Nyoooo yako yakushinda unamtangaza mwenzio basi tuambie na yako

  • @pendohillrey1164
    @pendohillrey1164 2 роки тому

    Mmmh uyu dada mbona simuelewi zaidi mambo fitna tu

  • @verociousagnerus9793
    @verociousagnerus9793 3 роки тому +3

    Huyu dada nilimbea hatarii

  • @ummymsangi1204
    @ummymsangi1204 3 роки тому +1

    Dua gani ya hivo

  • @elizabethmafuru5338
    @elizabethmafuru5338 3 роки тому

    Wanawake hatupendani jamani!!sio vizuri kumsema mwenzio wakati wa matatizo

  • @ashurajuma9086
    @ashurajuma9086 3 роки тому +2

    mnafiki wewe,,acha kumchafua mwenzio..kama huyo musa alikuwa anakujua kwa nini asikuarifu harusi yake?mnafiki wewe bwana .usitake kujulikana kwa kutumia jina la mtu ...muacheni menina wa watu sasa

  • @kulwamachugu936
    @kulwamachugu936 3 роки тому +3

    Uchawi wenu unawarudia, nawewe SEMA yako, wewe mwenyewe ndiyo Zaidi kuliko huyo mwenzako

  • @roseatieno6691
    @roseatieno6691 3 роки тому +2

    Wee mashemeji zako wote ni waganga tu ? Huyu mama anatafuta kiki kupitia msiba Jamani ? Hata hawajuwani na Menina Jamani. Astakiwe na Menina apate adabu hana akili jitu zima anangea mavi tu .

  • @khadijamohammed2855
    @khadijamohammed2855 3 роки тому

    Jamani jamani

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 3 роки тому +2

    Yani familia ya ushurikina na utapeli ukiwa mjinga lzima uolewe na waganga kwanza Marohani yanawaingia watu maalum sifa ya Marohani ni Wachamungu wanapenda Ibada sio uchafu huo

  • @zarezarebby7476
    @zarezarebby7476 3 роки тому +2

    Huyu dem hajielewi nae yuwataka kiki wabongo nyinyi

    • @ashurahatibu5069
      @ashurahatibu5069 3 роки тому

      Yani ni kweli huyo mganga wa kwanza anawararua tu wadada wote walotajwa ni mganga wao hadi kaka yetu anaejishauwa na mindinga alikuwa mganga wake mganga wa kwanza,ndio mwalimu wa,kina muu

  • @marthamangasta2341
    @marthamangasta2341 3 роки тому +1

    Kanaonekana kaongo kaongo

  • @auntbebe8323
    @auntbebe8323 3 роки тому

    Tabia mbaya we dada jmn kumchafua mwenzio hvyo

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 роки тому +3

    Mbona mkubwa ila akili hana alafu nawataja watu ambao hawahusiki kwenye hayo mambo umbea tu 😏😏😏😏

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 3 роки тому

      Yaani, jinga kweli hili mwanamke

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 3 роки тому

      @@NR-ll4sr Haha mambo wangeongea wanafamilia haya yye hayamuhusukibaya zaidi nawataja na wengine sasa je Menina akimshitaki atamuona mbaya na hao waganga wakimkataa maana hii ni kesi tuwe tunaangalia na memento ya kuzungumza hata kama ni kweli zuia usije pata matatizo mmmmmmh haya mdomo uliponza kichwa

  • @ubahalfan105
    @ubahalfan105 3 роки тому +1

    Uyu wivu unamsumbua ana atah uwakika,, yani anajifanya anajua kushinda familia ya musa

    • @ubahalfan105
      @ubahalfan105 3 роки тому

      Yani ameropoka utasema anamjua vizri uyo menina,, sura nzito ka kibibi,, sipendi viherehere mm japo sina udugu na uyo menina

  • @abdimalikabdulaziz4954
    @abdimalikabdulaziz4954 5 місяців тому

    Cjaelewa hata ki1

  • @joynnko8895
    @joynnko8895 3 роки тому

    We mshenzi bhnaa
    Menina hawez fanya huo uchizi mjinga wewe
    Shemeji shemeji shemeji shemeji mxiiiiiew

  • @alfarsialfarsi2754
    @alfarsialfarsi2754 3 роки тому

    Kumbe Musa wamemloga ao waganga wengine na sio.menina

  • @neydamsekefu2753
    @neydamsekefu2753 2 роки тому

    Uy dada unataka utwend lakin ndo ukishatoka Apo hatukujui tn uoni km unaongop mengine yakupite na uwez kuolewa nyoko ww