Tunda Man ft Kayumba - Nimekusahau (Official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 237

  • @TasinimuAlly-pm3vg
    @TasinimuAlly-pm3vg 10 місяців тому +22

    Chanuo kanifanya nije kuisikiliza vzur nyimbo Nzur 💃💃💃🎉

  • @lonkenny
    @lonkenny 11 місяців тому +89

    Nipeni likee toka nianze kucomment sijapata likeee😢😢😢

  • @BikauMadarak
    @BikauMadarak 10 місяців тому +12

    Upo vizuri Tunda asikukatishe tamaa mtu anaesema wimbo wa madebe atunge yake tumuone bgap

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 11 місяців тому +11

    naona mwisho wa Amapiano unaenda mwisho wale wa Bongo Flavour tuje hapa juu.....

  • @OFFICIALSEMAH
    @OFFICIALSEMAH 11 місяців тому +22

    From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 fans of tundaman mzee ft kayumba mabanzenga gonga like hapa za tundaman nimesahau wa Kwanzaa Mimi hapa weka like zote hapaaaaaaaaaa

  • @nalandayusuf641
    @nalandayusuf641 11 місяців тому +12

    nyimbo nzuri ❤❤❤ kadir Tunda,love you so much from Congo

  • @moneykiks2434
    @moneykiks2434 11 місяців тому +14

    from Philippines this is amazing song appreciate you Tundaman

  • @mathewnaiguta6914
    @mathewnaiguta6914 11 місяців тому +10

    Kali za mwaka noma sanaaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @zuusalim5660
    @zuusalim5660 11 місяців тому +5

    Sijachelewa tunda man napenda Sana nyimbo zako from Kenya Mombasa

  • @faustinhommedetatnifasha9669
    @faustinhommedetatnifasha9669 10 місяців тому +8

    Madebe's fravour light song.
    Ngoma ya madebe

  • @barackbrysonramsey
    @barackbrysonramsey 10 місяців тому +6

    Huyu ndio Tunda man sasa

  • @ZaituniJumanne
    @ZaituniJumanne 10 місяців тому +14

    Jamani hii nyimbo tamu sana like zangu nyingi hapa

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 10 місяців тому +4

    Nyimbo fupi lakini ujumbe kg100 kaka hukoseagi kabsaaaa❤❤❤❤🎉

    • @moratwaya8923
      @moratwaya8923 10 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂, Ujumbe kilo ngapi??? 😂😂

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 10 місяців тому

      @@moratwaya8923 nisogezee spika kama hujaskya😂😂😂

  • @Husna-i9g
    @Husna-i9g 9 місяців тому +3

    Nyimbo Kali sanaa❤❤❤much love from Kenya

  • @ramadhankakai7303
    @ramadhankakai7303 10 місяців тому +5

    Asala ametisha zaidi ya Tundaman..ukweli usemwe japokuwa hii ya tunda pia ni ya moto

    • @Azza-o8c
      @Azza-o8c 10 місяців тому +2

      We kama mimi 😅 nimependa ya asala imechangamka na sauti yake Safi kabisa

    • @SharonKerubo-z5w
      @SharonKerubo-z5w 10 місяців тому +2

      Halaf mjue tunda kaibia asala

  • @scholahmwelange1406
    @scholahmwelange1406 10 місяців тому +12

    Wapi madebe lidai😅😅😅

  • @fatmaThabit-os1lq
    @fatmaThabit-os1lq 10 місяців тому +1

    Dah nyimbo nzuri sana ina ujumbe mzuri sana. ❤❤

  • @justinomtili9226
    @justinomtili9226 11 місяців тому +3

    Nimekusahau,,, kumbukumbu Sina nikumbushe na jina.. bonge la song ❤❤❤

  • @ImmanuelKawishe-qi5kc
    @ImmanuelKawishe-qi5kc 11 місяців тому +3

    Imenibidi nirudie zaidi ya mara 10 maana ni kali sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @tresorkahenga9542
    @tresorkahenga9542 7 місяців тому

    Big dédicace depuis la RDC pour la Queen de Bujumbura Audrey Lumière ❤❤❤

  • @Halima-hh6gx
    @Halima-hh6gx 9 місяців тому +1

    Nawakubar brother kayumba na tunda ❤❤❤❤❤❤

  • @hancyplatinumz52
    @hancyplatinumz52 9 місяців тому +1

    Hiii nyimbo aliimba jamaa mmoja namjua tupo nae job anaitwa ASALA nyimbo inaitwa PUMBA.

    • @hancyplatinumz52
      @hancyplatinumz52 9 місяців тому +1

      Yeye ndio aliimba vizuli such Asala PUMBA usikize Kali san a

  • @Stmosesholyc
    @Stmosesholyc 11 місяців тому +3

    Tundaman you're my role model nice city sana fan and also upcoming artist from 254@Tundaman #your 001 fan in Kenya❤🎉

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire 11 місяців тому +13

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @husseinmgandi-ej5kp
    @husseinmgandi-ej5kp 11 місяців тому +3

    Kayumba kaimba wapi ssa hapo...tunda umezengua ungemuachia kama dakika moja

  • @mwajabumusirikale3420
    @mwajabumusirikale3420 9 місяців тому +1

    Ungeweka Punga instead ya mbwa. Good music

  • @ivantompoo3420
    @ivantompoo3420 11 місяців тому +6

    Wa kwanza mm nipeni 🎉🎉 yngu

    • @hamidaramadhani9511
      @hamidaramadhani9511 11 місяців тому

      Chukua🎉🎉kutwa kushinda mitandaoni au nikuongeze

  • @misseve0lee
    @misseve0lee 11 місяців тому +9

    Jamani @tundaman has always been my favourite🎉🎉🎉showing ❤❤from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 11 місяців тому +4

    Kazi Kubwa Xan Hii 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 9 місяців тому +1

    Hinyimbo nimitsfuta mpakanimeipata 😂😂😂😂nidilizeyote tunda man kunywa sodaa nitalipa atryy

  • @TimilaiSekadodo-nk6md
    @TimilaiSekadodo-nk6md 6 місяців тому +2

    Kibabe

  • @mobby_official-VEVO
    @mobby_official-VEVO 10 місяців тому +2

    Nimekufwata ww brother @kayumba nakubali 🔥 ujawai koseaga bro ❤❤🎉🎉

  • @neylucaskapua3234
    @neylucaskapua3234 8 місяців тому

    My favourite Artist, give us Back to Back Tundamanny ❤❤❤

  • @MirajiHassani-rb4od
    @MirajiHassani-rb4od 10 місяців тому

    Ujawai kuniangusha Kaka na pia nawpa Siri mwamba ana roho ya utu nilishawi kufika kwake ana utu na ukarimu sana yeye na mdgo ake richi big up kakaaaaa chuma ichoooooo

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk 11 місяців тому +1

    Tunda Man wewe ni msanii mkongwe ila kaka una feri una imba kama mtu unaanza muziki leo viwes wachache jitahidi kwenda na wakat pia kuna Nyimbo una shirikishwa una jishushia heshima mfano ule wimbo wewe na tajiri chui kuwa na uchungu na kile unacho kifanya una feri sana

  • @armandoleonardo6966
    @armandoleonardo6966 11 місяців тому +3

    Boa colaboração tunda Men ft kayumba🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Empdigitaltanzania
    @Empdigitaltanzania 11 місяців тому +1

    capten wanajifanya hawa msemei 🎉🎉 wakati wimbo uko mtaani tunda umetisha sana

  • @agustinokimaro1483
    @agustinokimaro1483 11 місяців тому +2

    Uyu ndo Tunda naemfaham mm

  • @officialramah1255
    @officialramah1255 11 місяців тому +2

    Raha nazopata status nakuwekeaga wewe uzuli wake usifute no yake alafu upost aone sema NN huu mzki nzuli wacha tubuludike nao tunda anajua sana

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 11 місяців тому +2

    Nimekuwa Wa7 Kusubili ngoma Kali Ya Tunda na Kayumba

  • @benayasamson1270
    @benayasamson1270 11 місяців тому +1

    Daah ety we mbwa wew 😂😂 umetisha san bro

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 11 місяців тому +1

    Bonge la ngoma Hii ndio bongo fleva, 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mubarakhassan2618
    @mubarakhassan2618 11 місяців тому +5

    Vib lamwaka ndio hili

  • @Azza-o8c
    @Azza-o8c 10 місяців тому +1

    Mi nahisi tundaman kuimba hakumshuhulishi sana ila ni fire

  • @annertz9969
    @annertz9969 11 місяців тому +2

    Wa 6
    Leo❤ nyimbo kari

  • @shamamamalisa6513
    @shamamamalisa6513 7 місяців тому

    Ndugu yangu tunda kama kwer ngoma ni ya asala faida. Hujafanya poa kaka

  • @sillaasiemapesa5306
    @sillaasiemapesa5306 11 місяців тому

    My brother from another mother from another father but funny thing we are related through the blood of JESUS.MUNGU AKUPE UMRI MREFU.am still in mombasa napambana bado.

  • @user-samweli
    @user-samweli 11 місяців тому +3

    Kayumba saiz ana yumba wap

  • @NasraKaranja
    @NasraKaranja 11 місяців тому +1

    Nimekusahau 😢😢😢😢nice hit

  • @HhHh-jq4ti
    @HhHh-jq4ti 10 місяців тому

    Tunda forever nyimbo pambe💖💖💫💫💫

  • @muuminmiraji2465
    @muuminmiraji2465 10 місяців тому

    Nyimbo nzur sana hongera tunda man

  • @kigondipeter3372
    @kigondipeter3372 10 місяців тому

    Shabiki wa Tundaman kutoka Kenya 🇰🇪 . Umeupiga mwingi sana Bro

  • @SadaToyobo
    @SadaToyobo 5 місяців тому

    😢tunda man upo vizuli bana

  • @JessyBeauty-h6u
    @JessyBeauty-h6u 10 місяців тому

    Nyimbo niya asala mwenyewe bt tundaman n remix tuu hii, aliyeimba mwenyewe aliishosha vizur ikanyoka sana, tuachane na hizi remix 😢😢

  • @lonkenny
    @lonkenny 11 місяців тому +2

    Mtu wa 74 mm jmn nipeni like zanguu

  • @mgonjafamilystudio3167
    @mgonjafamilystudio3167 5 місяців тому

    Kanileta bongo trending

  • @lonkenny
    @lonkenny 11 місяців тому +1

    Unyamaaa kabisa ili gomaa✈️✈️💫💫

  • @RukiaMnango
    @RukiaMnango 10 місяців тому

    Goma limenikonga moyo wangu ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @hassanmwasiwa296
    @hassanmwasiwa296 11 місяців тому

    Magoma kama haya tunda watu wajirushe salute sana

  • @EbambeWakilongo
    @EbambeWakilongo 11 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 unajuwa nakupenda sana

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 8 місяців тому

    Nyimbo nzuri jmn❤❤

  • @lonkenny
    @lonkenny 10 місяців тому +1

    Nimekusahau🙌🙌🙌

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 10 місяців тому +2

    Hii sauti ya tunda nimeimiss sana

  • @malickxtwotv1739
    @malickxtwotv1739 11 місяців тому +4

    Go baba

  • @kingcolloofficial9344
    @kingcolloofficial9344 11 місяців тому

    Good music🔥🔥🔥 @Kingcollo🇰🇪.. shabik wa muimu hatar..

  • @rsctv4258
    @rsctv4258 10 місяців тому

    MWANDISHI ASALA MWI,MBAJI TUNDAMANI NAPENDA VILE MNASHIRIKIANA KWENYE MZIKI

  • @ramseymasalu8629
    @ramseymasalu8629 10 місяців тому

    Nyimbo nzul sana ❤

  • @MarthaWafula-rc9kd
    @MarthaWafula-rc9kd 10 місяців тому

    Thumps up ilike it amazing song

  • @bernaberna4159
    @bernaberna4159 10 місяців тому

    NiMekusahauuuu Tena nalishw a vnono❤

  • @kassimali1477
    @kassimali1477 11 місяців тому

    Hii N tamu Sana.... Kiba ndio kakosekana

  • @lambertbitaofficial1998
    @lambertbitaofficial1998 10 місяців тому

    Nendaaaaaa , wee Umbwaa wee😅😅

  • @MkilemaPantaleo
    @MkilemaPantaleo 10 місяців тому

    Hii beat apewe miso misondo popote alipo maana hii ni kotu asili kabisa mmetisha tunda na kijana wako

  • @mussahaji230
    @mussahaji230 11 місяців тому +1

    Unyamaaaaaaaaaaa mbwa wewe

  • @lonkenny
    @lonkenny 11 місяців тому

    Nomaaa hili gomaa la kufunga mwakaaa❤❤❤

  • @Fortune-x5q
    @Fortune-x5q 10 місяців тому

    Mmmmm haya sasa xx

  • @itunganobalanga5373
    @itunganobalanga5373 11 місяців тому

    Hongera sana from USA.

  • @yeyemkulu8743
    @yeyemkulu8743 9 місяців тому

    Nime sikiza hu wimbo mara miya bado naendelea kuusikiliza.

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 10 місяців тому +6

    Nimekuja huku kwa sababu ya chanuo na madebe😂😂

  • @ntuzuboy7342
    @ntuzuboy7342 10 місяців тому

    Ngoma kali sana hongera broo

  • @lonkenny
    @lonkenny 11 місяців тому

    Nimerudia zaidi ya mara miaaa😢❤❤❤❤

  • @zuusalim5660
    @zuusalim5660 11 місяців тому

    Wale wa 24 mko wap kwa tunda❤❤

  • @StenoDeAlpha
    @StenoDeAlpha 11 місяців тому

    Kaliii japo kayumbaa kaimbaaa second

  • @YusufuSaidi-sr4ip
    @YusufuSaidi-sr4ip 9 місяців тому

    We mbwa weweeeee

  • @ibrahimkilete7132
    @ibrahimkilete7132 10 місяців тому

    KWAKWELI HII NGOMA UMEIBA BHANA ATA ULIVYOPITA UMEPITA KAMA WEWE NDO UNDERGROUND

  • @ShebaniJuma
    @ShebaniJuma 11 місяців тому

    From kuma Moto city Japan big up

  • @Fortune-x5q
    @Fortune-x5q Місяць тому

    Simchezo xx sasa kazi unayo

  • @dollarmusic546
    @dollarmusic546 11 місяців тому +1

    Goma kalii just neibour254

  • @lonkenny
    @lonkenny 11 місяців тому +1

    Nipeni likeee zanguu

  • @PendaelHagaiMRPH
    @PendaelHagaiMRPH 11 місяців тому +1

    Wa 21 apa naombeni like zangu

  • @IssaBakari-rl8ze
    @IssaBakari-rl8ze 11 місяців тому

    ❤❤❤❤ nyimbo Kali Sana broo 😂😂😂

  • @mactone1
    @mactone1 11 місяців тому

    Ngoma kali sana captain

  • @Kelvinihuncho
    @Kelvinihuncho 11 місяців тому

    Ngoma kali sana mnyama❤❤❤

  • @maukilah8680
    @maukilah8680 11 місяців тому +2

    Unyama mwanangu

  • @HellenSikawa-y8d
    @HellenSikawa-y8d 10 місяців тому

    Uwimbo wanani munatuchanganya mashabik zenu

  • @ConsoleMulinda
    @ConsoleMulinda 10 місяців тому

    Safi brow 🇨🇩

  • @saidesanto1120
    @saidesanto1120 11 місяців тому +2

    Wakwanza ni mm

  • @SeleBaba
    @SeleBaba 11 місяців тому

    Nakukubali Sana tunda man

  • @Babi_Mapigo
    @Babi_Mapigo 11 місяців тому

    Imandikwaaaaaa 🔥🔥🔥🔥

  • @aryan_simba
    @aryan_simba 11 місяців тому

    True meaning of bongofleva🎉

  • @Babizzo_classic
    @Babizzo_classic 11 місяців тому +1

    Umeua kaka