Hakuna sauti iliyo bora kuliko nyingine! Mahadhi ya wimbo wenyewe yametokana na mchanganyiko wa sauti za wote hawa wasanii🙂..... Ivyo tukiikosa sauti ya mmoja wao, nyimbo itakosa ladha! Nawish wangerudiana tena na kuendelea kutoa midundo kama ii❣️
Basi mama basi na nyenye kea, KizaZi sana nakama wewe ndo mtunzi , ungali bado utafika mbaaali zaidi ya Mbali mzee wangu kwamaana iyo kazi ni 🔥🔥🔥🔥 mkuu wangu
Nipo kwa hii wimbo kwa ajili ya Enock Bella, sauti nzuri ndugu. Napenda hyo all the way from 254🇰🇪🇰🇪, mnipe likes jameni
Lions voice
Yes like it
Re XD fdßddf Dr g4 egg
We are together brother
Unanikunisha nazi, 🌴na kuosha masufuria.
wangap wanataman kundi lirudi tena...
Sote tu warudi
Aki warudi the group was on fire aki
Wote tunataka waludi
mm hapa
Mm jamani
Nawependa sana vijana kama unaikubali leta like yako,from254
Lol hii sauti ya Enock noma sana , anaye ikubali gonga likes hapo twende mbele
Iko sawa kabisa
pp
Oscar tome
hscar tome
Thank you for your prayers and care of yourself in the morning morning
like ya bella na mbosso hapa 💚
I'm like
collins kirwa saa
Kama mungu alikuepusha corona gonga like
8. U
U c c
Anae sikiriza hii vesi ya mbosso 2023 gonga like hapa.
❤
ni moja tu
aslay❤❤❤
Beka flavour aliweza🔥🔥🔥🔥🔥
Nawakubali hawa vijana kabxa, wenye tunasikiliza from +254 gonga lyks za mboso na Enoch Sauti mzito sana still rocking 💞💞💞💞
Mkiwa bendi mlikuwa freshii saana, kila wakati narejelea ngoma zenu 🔥🔥
Nimecheza huu wimbo mara sitini huu mwaka na Leo 2/4/2024 nipo ndani kinyama....❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hadi 2023 nko hapa gonga like ya 254
hii nyimbo ilikua inatakikana iwe millions of views its a very good song big up yamoto band nyimbo yenyewe moto sana
i like the way he boosts his voice at the starting intro, purely Gold voice Enock.....2024 but still refreshing my minds from +254 ke
If you are watching this song 2023 show some love here
Enock ndye anafanya nisitosheke na ngoma big team come together plz and if u r with me weka like tukisonga
Big up guys kazi mzuri ❤❤❤
Msimsahau mpishi wa hili beat Kali.LAIZER CLASSIC.🔥🔥🔥
penda sana enock❤
Ushauri wangu rudianeni mlipendeza sana mlivo wte sasa mmh
Please yamoto mrudiane,,climax mkiwa pamoja
Yamoto band ipo cku mtarudi pamoja inshallah 🙏 🙏❤❤
From Kenya nipo hapa kwaajili ya aslay❤❤❤❤❤❤❤❤ Mungu akuzidishie
2023 and am still here!
2022 like hapa i love huyo wa tishati la jeshi
Plz plz and plz come back together
We need yamoto band back
Kweli warudi tena
@@lovegeorge8528 yeah wa rudi
@@bazengadhiblawe952 Benn
@@bazengadhiblawe952 +qqq++
The world needs them back together
2023 gather here
Who is here March 2020
I listen to this mor than 100 times,......this was your climax music ,before you split
Especially when Enock bella comes in with the voice.🥺🥺🥺
So true
saddening
I too
But I dont any word
Hakuna sauti iliyo bora kuliko nyingine! Mahadhi ya wimbo wenyewe yametokana na mchanganyiko wa sauti za wote hawa wasanii🙂..... Ivyo tukiikosa sauti ya mmoja wao, nyimbo itakosa ladha! Nawish wangerudiana tena na kuendelea kutoa midundo kama ii❣️
2022 still on the lyrics 🔥🔥Kenyans love💕💕
Can't get enough of this song... watching it over and over again
Me NEITHER!!
Who's still listening in 2022????😍😍😍😘😘😘 show love🙏💪💪💪💪
Alievunja hili kundi alaniwe
Fera ndio fisadi wa kundi
Naona mumetoa diamond Big up... Yamoto band.
2023 bado Iko juu hii Ngoma,,,,,mbosso napenda
Ukisema unakwenda basi Nenda na moyo wangu eeeh jamani penda hii team sanaaa🔥🔥🔥😍
Mchawi ni. Mkubwa fela ndio amewazima
@@didierlola1396 na kweli kabsa
Mbosso my Favorite
Who is here March 2022 iwish wangerudi jmn😍😍
Kenya twawapenda much love brother
Niko hapa kwa ajili ya mbosso Khan 🔥📛
It was exclusive band in TZ , I can say only GOD know as to why was broken into pieces. I wish to have another one like this.
254 woooow ,salute you Enoch
Furaha kuwaona pamoja,the Yamoto
from uk good song 👏
Turudishieni vijana
Wapi like za yamotto 2024🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏
Yaani mlikuwa vizuri saana.da sijui ilikuwaje hawa vijana.
Aslay my man love you sana
Napenda hiyo part ya Aslay"naiishia kusema inshallah"
Enock ulikua ww ndo mkweli kwenye ili kund
Wimbo tamu kweli kongole
Mchakamchaka moyo unaupeleka mbio kishenzi natamani kusema basi🔥🔥🔥
Muendelee vivyo hivyo nimependa song waooo😄
Kbisaaa
aliesambaratisha muungano wa hawa vijana mungu amlani... ingekua empire kubwa sana hii this group was loaded Talent galore
Alikuwa mondi 😢😢😢
Kabisaaaa.... walikuwa moto sana
Listening to this music thousands times ❤
2024 oct 2nd,bado hujanikomoa❤❤❤❤❤
Will never get enough of this song 🔥🔥🔥🔥🔥….Mbosso’s part 🙌🙌🙌🙌🙌
You guys should do more songs together it's always a vibe❤️
Mziki mzui haujifichi Ngoma tamu sana
2024 Tuko hapa nayo Ke🇰🇪🇰🇪
Basi mama basi na nyenye kea, KizaZi sana nakama wewe ndo mtunzi , ungali bado utafika mbaaali zaidi ya Mbali mzee wangu kwamaana iyo kazi ni 🔥🔥🔥🔥 mkuu wangu
Mbosso's voice..I'm always in Love
kama naww unasema mboso aliuwa tia like
Naipenda saa
John
nimeipenda Sana io wimbo
mboso aliuwa sanaaaaa
Mbosoooo all the way up 2022
Always in love with Enock Bella and his voice....can you please revisit the yamoto band and make a new song.
Whaou supper show!!!!
Beka.....his voice is impeccable.🔥🔥🔥
My favorite band i wish they were still together 🎧🎶🔥🔥🔥🔥💃🏿💃🏿💃🏿🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hello 2024 yamoto songs still shinning ❤❤ I really love this boys.
Enock Bella kamaliza na base👏👏👏 whose with me 2022
2022 ngoma bado tamu
Je ne comprends rien mais la mélodie est super 🥰🥰🥰💖💖💖💖💘💘 vous chantez très bien 💘💖💖🥰🥰🥰💖💘💘💘
We need y'all 😭😭 😭💯 phone come back please please please 😭🙏😭😭 😭
One of the top band in Africa
My favorite band the greatest Swahili band of my time
Hakuna vile angalau mnaweza kutengeneza ngoma pamoja, i used to listen to you guys alot alot. And i still does.
Still listening 2023 April love this song so much expecially mbosso part😊😊😊
J'adore vraiment ce groupe
Still in love with song 2023 Nov..
Team mwaaah walai mumenimaliza nakubali wakubwa zangu zangu mko juu 👌👌👌👏👏👏👏👊
Enock 👌👌👌👌👌👌
kapnirikua napenda
Enock juu sana
Mgani kati yao
Great band, unite 2023 and entertain us
Murudi Basi yamoto 👏👏
hello from kenya turn it back ysmoto band
Am in love with Enock z voice
Enock ni bonge la mwandish big up san bro
My team from 250 murudi bandeko
Walikuwa wapendeza wakiwa pamoja..... Yamoto ni moto kweli
30/9/2022. 10:18am still listening to this hit. Hapo bella anaingia na bass ACHA wewe!!
Nimekuwa mlinzi Hilo libase ,walai uko Juu nakupenda bure
Bro keep it up I love this song
More love ❤ 😍 💖 ❣ 💕 💘
Mbona kama mzimu wa yamoto unamtesa zaidi Bella you should learn how to move on
Natamani warudi pamoja
Dogo alikua hapendi mtengano wao! Hivyo vitu vipo sana hususan kwa wale wanaopenda umoja!
Good song till today on top 🎉
Nice song,I like your voices
Inanikumbusha mbali sana aslay
mbosso my favorite in this track...
The song..
Daah!28/8/2021 bado basi hujanikomoa
Wanang Rudi pamoja
Nice one
Yani nyimbo yote nzuri..
i have discovered this band in 2018, until then can't get enought of you guys . my wishes is to see you together again from dakar, senegal