When things were at their very worst: 2 Suns, Cross in the sky, 2 comets will collide = don`t be afraid - repent, accept Lord`s Hand of Mercy. The first sign - the Earth will spin faster. The second sign concerns the sun, which will loom larger, brighter and begin to spin. Scientists will say it was a global illusion. Beaware - Jesus will never walk in flesh again. After WW3 - rise of the “ man of peace“ from the East = Antichrist - the most powerful, popular, charismatic and influential leader of all time. Many miracles will be attributed to him. He will imitate Jesus in every conceivable way. Don`t trust „pope“ Francis = the False Prophet - will seem to rise from the dead - will unite all Christian Churches and all Religions as one. One World Religion = the seat of the Antichrist. Benedict XVI is the last true pope - will be accused of a crime of which he is totally innocent. - banking collapse was deliberately masterminded by the Antichrist - Antichrist will step in and create a false peace in the state of Israel by joining them with palestine in an unlikely alliance. - „He will recite extracts from My Teachings, which he will passionately proclaim from every secular stage in the world, until people sit up and take notice of him.“ The Book of Truth mdmlastprophet.com/there-will-be-different-levels-in-the-new-paradise-of-12-nations/
Mi ndio n upcoming Kenya afro bongo artist najua uko na moyo wa kusaidia unaonaje uki sign mkenya under kondeboy . ama Tu tufanye kolab nawe jesshiiii ama ibraah
You guys wacha naona watu wanasema wamerudi,leo ndo mara yangu ya kwanza kuskiza huu wimbo..nimeskia kwa matatu...I can tell you imebidi nimebuy bundles.....repeat mode..i think nimeiskia mara 100 already and still counting..naona 2GB bundles itaishia hapa....TRUST ME I AM AN ARTIST IN KENYA na najua nini inamaanisha kupigwa kimziki bila sababu....KONDE HII KUBWA..BLESS UP BRO.
Kenya tuko trending no. 2 tunaipeleka moja... Audio kufika hapo Kenya sio mchezo... The message is so real... Tz wanasema msg imeandikiwa mondi.. Kenya tunasema huu ujumbe ni wa kila mtu..
You've proved that msanii ni kioo cha jamii... This will be one of your songs that will live forever after you gone. No hard feelings since death is a fact no compromise about it.
*~NEVER GIVE UP~* Ndo ngoma yake ambye imetufnye sisi wengine huku nje tuzidi kugangana na maisha yaani tusikate tamaa kwa kufnya kazi yetu..... He is areal fighter and ahero too...be blessed bro... We are fully here to support you Love from 001🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@mustafahamisi296 wakiwepo wapende wote wape haki sawa wote wasipoku pia watunze mama zako wafamilia na baba zako wa familiale na pia upende kutoa sadaka ukianzia ndani ya familia kwanza ukiwa na uwezo lakini
@@halifaomari9553 mzazi ni mzazi. Na kama huwezi kumsamee mzazi wako utamsamee nani. Isitoshe mambo ya watu wawili huyajui. Siku zote mama zetu hufanya tuhisi baba zetu ni wabaya
Aah ofcoz this guy he is on Own level, kama umesikiliza "Never give up, Sina, Atarudi, Mpaka kesho, Jeshi,Matatizo,etc,,,hii "Wapo" haishangazi sana, maana ana Kipaji cha hali ya juu kabisa, na anagusa maisha halisi ya wengi
Dah kwel JESH Leo umenikmbsha mbaliiiiiiiii sanaaa kam kna mungine pia amekmbushwa alio yapitia kwene hasooo zaoo weka like twende kwa jeshiiiiiiii woteeee
Joshua Faruq medical appeal Kindly view and be of help by sharing that the boy can get assistance ua-cam.com/video/5pZV7erMvFc/v-deo.html You can donate on paypal through samuelbonaya3@gmail.com or Mpesa 0702019573 Contact +254702019573 on whatsapp for more information
When you feel like giving up then boom harmonize inspires you...the only artist in Africa singing relevant songs inspiring us youths who are going through challenges ...thanks king
Wangapi tumependa huu wimbo hadi siri zimewekwa hazalani bila huu wimbo baba diamond asinge jua kuwa yeye baba mlezi jaman pongezi nyingi sana harmonize umesaidia kitu kikubwa wote wapo hai kuiweka hii siri leo
I was once diamonds fun but after i heard wht harmonize went through his hands...was soo disappointed...diamond once alianzia chini mbona asisaidie wenzake kufika alipo...anawatumia tu vibaya...it was such a sad story...and i believe thats why harmonize sang never give up...much blessings konde boy may u get many followers as possible
Fanya kwanza research kabla hujahukum..Jiulize ingekuwa kalaaniwa huyo mond angekuwa hapo alipo? Kuna wakati wazaz wanaposhindwa kuplay part yao hawana haki hyo. Simple rule of life, huwezi kuvuna usichopanda. Itokee kama hisani tu. Tunakumbushwa kuwa tusikimbie wajibu wetu tukitegemea huruma ya mtoto ambaaye ulimzaa ukamtelekeza hata Mungu laana ya hivyo haruhusu kamwe.
@@mzalendotz3397 kumbuka baba diamond hakumtelekeza mwanae mpaka miaka 9 sikosei walikuwa wote huko mbele ndiyo hakuna ajuae hilo nalo ni sisi wanawake tunachangia kuwaroga ili mpoteze faham kwa watoto mlio tangulia kupata lakin bado mzazi atabaki mzazi neno linasema samehe saba mara sabini tena kwa siku moja hujui kipi utakipata kwa kumsamehe mzazi wako kuhusu kushuka hilo usibishe kuto kusamehe hasa kwa mzazi Mungu anaweza akakushusha kwani sisi pia tunamkosea Mungu kila siku wengine wanaabudu miungu kupata pesa lakin bado Mungu anakulinda je nayeye akuache asikupe ridhiki kwa kua anatenda maovu mbele zake
Am not used to bongo music but when its become matured , najipatanga na vibe nayo automatically,..... Mr Konde big up, all the way outta 254 kanairo...🇰🇪🇰🇪
Much love Harmonize,,,dont give up we are praying for you🇰🇪🇰🇪,,it hurts to hear what you went through,,I understand how you felt with the death of Magufuli,,God will fight your battles

Kwa hio nko apa pekee yangu 2024
Tupo pamoja
Tupooo
2024 bado ukiisikilize unaamini Harmo katika mziki wa Tanzania amejenga legacy akiwa hai. Hatumnai mpaka mda huu🙌🙌🙌
This is my song!!🥺❤️
Weka like kama una mpenda Kondeboy!!
Love from Kinshasa 🇨🇩
❤❌❌❌👇🏻👇🏻
ua-cam.com/video/puR5FAMRCv4/v-deo.html
Tunaosikiliza hii ngoma 2024 gonga like
Noma
Wangapi wameipenda hii nyimbo kama mimi gonga like @kondeboy jeshi💯
very lit motivational song though wengine wanaichukulia personal but hii ni ya kila mtu na sio kwa Mondi 🙏🙏🙏🙏🙏💥💥
Steve waambie wakin middle simba wasifitinishe ktk mzk
Mie ❤🔥
@Benson Baba pamoja
@@Ashley_family123 umeonaee
"Wanatamani milele wawe wao, ukijituma wanasema unashindananao" best line of the year...... #JESHI.
Umeona ee
ua-cam.com/video/Hm-J_mjEkP4/v-deo.html
❤🇰🇪
@@mwabetv601 ua-cam.com/video/Hm-J_mjEkP4/v-deo.html
❤🇰🇪
Wawe wao maaana yake?
I love so much most ur songs
Huyu ndo HARMONIZE ninae Mjua Mimi,Kiukweli Ngoma Ni Kali Sana ,
KONDE GANG 4 EVERY BODY
Umeona ee
Kwel kbs uyu ndo tunaemutaka
Huuu ni motoooo
Motoooo
Kuimba ndoo huko siio me bf bf
I don't know why people can hate this dude he sings sense stuff always, he's active, he's great he sings the reality, Danm we love you from USA 🇺🇸
Ñ
People love evil , and hate good
Daniel From which state
@@festuskores1538 check me up in Ohio
@@DanielDePeterson thanks bro any handle to follow you
Umetisha Harmonize 😘
Japo cjaomba like, ila ngoma ni kali.
Umeonaee
Daaah! Huyu jamaa pasua kichwa .
JESHI LA MTU MMOJA KAMA 100.
Sisi ndo Wana jeshi wake Yeye general 🐘🇰🇪❣️
@@niphermukolwe9346 True
Jeesshiiii kazi Kali and that's true story nmependa huu wimbo. Nkweli wapo wasio tutakia . mi napitia changamoto nyingi sana
Kumbuka ulipotoka wewe
@@pemamusictv5270 nn ww kwan katoka wap ww hayo ni mapito tu
When things were at their very worst:
2 Suns, Cross in the sky, 2 comets will collide = don`t be afraid - repent, accept Lord`s Hand of Mercy.
The first sign - the Earth will spin faster.
The second sign concerns the sun, which will loom larger, brighter and begin to spin.
Scientists will say it was a global illusion.
Beaware - Jesus will never walk in flesh again.
After WW3 - rise of the “ man of peace“ from the East = Antichrist - the most powerful, popular, charismatic and influential leader of all time. Many miracles will be attributed to him. He will imitate Jesus in every conceivable way.
Don`t trust „pope“ Francis = the False Prophet
- will seem to rise from the dead
- will unite all Christian Churches and all Religions as one.
One World Religion = the seat of the Antichrist.
Benedict XVI is the last true pope - will be accused of a crime of which he is totally innocent.
- banking collapse was deliberately masterminded by the Antichrist
- Antichrist will step in and create a false peace in the state of Israel by joining them with palestine in an unlikely alliance.
- „He will recite extracts from My Teachings, which he will passionately proclaim from every secular stage in the world, until people sit up and take notice of him.“
The Book of Truth
mdmlastprophet.com/there-will-be-different-levels-in-the-new-paradise-of-12-nations/
Pita nakwangu ndugu👇🏻ua-cam.com/channels/AQJAMhO3wjMn5XUjJjmSpA.html.
Mi ndio n upcoming Kenya afro bongo artist najua uko na moyo wa kusaidia unaonaje uki sign mkenya under kondeboy . ama Tu tufanye kolab nawe jesshiiii ama ibraah
You guys wacha naona watu wanasema wamerudi,leo ndo mara yangu ya kwanza kuskiza huu wimbo..nimeskia kwa matatu...I can tell you imebidi nimebuy bundles.....repeat mode..i think nimeiskia mara 100 already and still counting..naona 2GB bundles itaishia hapa....TRUST ME I AM AN ARTIST IN KENYA na najua nini inamaanisha kupigwa kimziki bila sababu....KONDE HII KUBWA..BLESS UP BRO.
Hahah
Vizur sana harmonize jaman naomben ata like 60 cjawah pata ata 20 tu
Hizo 20
@@mariamselemani5208 aya asanteni
Nyota ndogo inspired this dope vibes💯🔥
Noma
True it's dope
Thanks Nyota mdogo... 0254... we love you Big
👊🏼👊🏼
Nyota anayo sipo kuwa bifu Lao na diamond bro ila jamaa mkali
Konde likes from Kenya🇰🇪🇰🇪...acha nikuibie siri moja konde,fanya ngoma na msanii mmoja wa gengetone Kenya ,itakuwa shidaaa
Kaliiii funga mwaka
Tafadhari Subscribe kabla 2021, ili tuwe pamoja mwaka mpya 💝🌹,
ua-cam.com/channels/9ShPmPzSH5s2Z9A-PtLEFQ.html
kweli afanye na nyashinski ama mejja
@@Ashley_family123 yeah itamake sana
Ooooh Kuna watu na viatu ❤ this song 2024 mpoo
oyoooo ngoma imepaa hiyo audio tu 1 ONTRENDING like nyingi kwa konde boy mjeshi
Umeonaee
2
@@Mronlinetz ok
Kwa kusoma mashairi ya nyimbo mbalimbali yaani *Lyrics* Bonyeza herufi L apo pembeni ila nakuomba SUBSCRIBE kwenye channel yangu.
🎶🎶🎶
Huu hapa wimbo mpya wa harmonize. Tazama lyrics👇👇
ua-cam.com/video/sq6xPu154BE/v-deo.html
Jeshi wimbo imetulia kabisa kama umerudia gonga like💪💪
ua-cam.com/video/Hm-J_mjEkP4/v-deo.html
Tafadhari Subscribe kabla 2021, ili tuwe pamoja mwaka mpya 💝🌹
ua-cam.com/channels/9ShPmPzSH5s2Z9A-PtLEFQ.html
Noma
@Mr Mbega Official nice
@Mr Mbega Official hpv
Kenya tuko trending no. 2 tunaipeleka moja... Audio kufika hapo Kenya sio mchezo... The message is so real... Tz wanasema msg imeandikiwa mondi.. Kenya tunasema huu ujumbe ni wa kila mtu..
Mpk tufike leo hiiii ndo tushapiga honi hivyooo
Hakika tuko pamoja leo mpk tufikishe 1M,,,
true 🙏🙏🙏🙏 even me i take it the same way motivational to everyone
Hahh🤣🤣 exactly Tz call dis Kenya call an Inspirational sounds
Well done
You've proved that msanii ni kioo cha jamii...
This will be one of your songs that will live forever after you gone.
No hard feelings since death is a fact no compromise about it.
Tuko no. 1 on trending konde gang wote tupo kileleni like hapa twende sawa.
Hatupoi
Oyooo
@@manfredlilanga184 acha utani
Oyoooo🔥🔥
Kenya tuko namba 3 ...
Kama na wewe hii mara ya kumi hapa twende sawa 🇰🇪
Nimepitiliza mie
Kama umeiludia hii ngoma zaidi ya mara moja gonga like hapa
wow thanks brother nice song
Hii ni moja ya nyimbo ambayo itaishi MDA mrefu Sana... Still heat song... Lyrics reality makes the song more than just a song..
Ingekuwa siri but wacha nionge, tena kwa sauti hadi ipote....I LOVE THIS SONG... Konde boy to tha world.
Asante
@Dj Razzy Mkali ok
Now this is the Haromize ninayemjua,,
Wimbo wenye ujumbe,God bless you my darling
True
BONYEZA PICHA YANGU KISHA SUBSCRIBE na KWANGU
Katisha
Hawatosheki Na vikubwa vyao, wanataman hata kidgo chako kiwe chao.* I appreciate this is really
Noma
Ths real message 🤗🤗
*~NEVER GIVE UP~* Ndo ngoma yake ambye imetufnye sisi wengine huku nje tuzidi kugangana na maisha yaani tusikate tamaa kwa kufnya kazi yetu.....
He is areal fighter and ahero too...be blessed bro... We are fully here to support you
Love from 001🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Unajua sana konde boy like 10 naziomba
.Pita nakwangu ndugu👇🏻ua-cam.com/channels/AQJAMhO3wjMn5XUjJjmSpA.html
Nice
Haya tumekupa mia nadhani umeridhika twende nalo mpaka huko juu
Daah Kali mnoo
Tafadhari Subscribe kabla 2021, ili tuwe pamoja mwaka mpya 💝🌹,
ua-cam.com/channels/9ShPmPzSH5s2Z9A-PtLEFQ.html
#1 on trending toka mwaka jana kode boy for life TEMBOOO TEMBOOO TEMBOOO jeshii kama jeshii music mzur upo kode gang
Pamoja
🤗💥🤞🏻
Well done
"Baba na mama ndo nguzo ya dunia..."This line made my night.
Na wengine wasiokuwa na baba na mama watasemaje au nguzo zao nn
@@mustafahamisi296 wakiwepo wapende wote wape haki sawa wote wasipoku pia watunze mama zako wafamilia na baba zako wa familiale na pia upende kutoa sadaka ukianzia ndani ya familia kwanza ukiwa na uwezo lakini
@@marymungi2104 sawaaaaa, asante
perfect
ua-cam.com/video/VSbD72V_rCY/v-deo.html
Hata upige maelfu ya music 🎵🎶 hii kwangu na number one kwangu. Harmoniz uko juuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanahhh
Wallah natamani niku like mara miya ulivyo jibu kwabusara hongera
Umeonae yani mi sicoki kuisikiliza mara nyingi
Huyu ndo harmo wa aiyola na matatizo..tulimmiss sana
This is kind of music we need 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mm pacha wako toka nchi jirani KENYA cjai pewa like plz nipe ata Kama nitano nitashukuru🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪
✌✌✌hatariiiiiii
Ngoma kaii
TEMBOOOOO UMETISHAAAA BROOÓO NA WANA TUNAKUBEA MMAZURI HUKU MTAANI usiwaze JESHIIIIIIIIII
Harmonize watakuponda kwenye medi a ila wakijifungia majumban kwao lazima watasikiliza your music,Geneous musician🙏
Huu wimbo inasikilizwa na lika wa umri yoyote✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾
Exactly 🥰
Kama hii ngoma ni kali kwako. Ngonga like...
Mwambie Diamond isiwe mzazi wa kike anacheka ilhali wakiume analia baraka zatoka kwa wote.
Kaka kama hujawahi kutelekezwa na mzaz mmoja shukuru mungu ila mbal na mond acha tu mama
@@halifaomari9553 mzazi ni mzazi. Na kama huwezi kumsamee mzazi wako utamsamee nani. Isitoshe mambo ya watu wawili huyajui. Siku zote mama zetu hufanya tuhisi baba zetu ni wabaya
@@donaldmwachongomwamburi4722swadakta
Aah ofcoz this guy he is on Own level, kama umesikiliza "Never give up, Sina, Atarudi, Mpaka kesho, Jeshi,Matatizo,etc,,,hii "Wapo" haishangazi sana, maana ana Kipaji cha hali ya juu kabisa, na anagusa maisha halisi ya wengi
ua-cam.com/video/Hm-J_mjEkP4/v-deo.html
True hasa ukiweka ushabiki wa kipuuzi pembeni huyu jamaa hakunaga anakipaji sio cha janja janja 💯💯
true
Harmo mkali sana 1st one eastern he don't sing the kelele wandishi inspiration song for young people
Kabisaaa
Nice song konde. Mungu nipe ujasiri kwenye kufanya mamuzi uniamushe alfajiri kama jana na juzi
Let's humble ourselves for God shall exalt us ....correct message from harmonize "yanini nijitutumue"..... Am speechless jamaa amegonga ndipo
ua-cam.com/video/Hm-J_mjEkP4/v-deo.html
❤🇰🇪
🙏🙏🙏🙏😢😢😢😭
wallahi hii nyimbo imenitoa chozi sorry to way this 😭😭😭😭
@@Ashley_family123 oooh so sorry
Jeshi Ukiimba wimbo hivi wallahy utazidi kua fiti cz ngoma zako nazipenda ukiziimba hivi #unatupa moyo saana sisi wanyonge..##Iko lv frm KENYA
Baba na mama wote niwazaz asanteee kwa ujumbe like Kama umemkubali konde boy harmonize
True
Sasa itabidi umeback kutoa audio juu daaa unatisha sana konde....i'm back after #vibaya konde for everyone ❣❣❣❣
Tuache utan ngoma kali. Ni moto💥
Kama unaungana na mm gonga like yako hapa 🙏🙏
Siwezi kukupa like kwasababu waijua
I like the song🎶🎶🎶🎧🎧
Kuishi na watu Kazi, Kuskiza ngoma za Harmonize hapo Fiti
Umeonaee
My favorite artist mwenyezi mungu akuongoze
Gonga like kama unamkubali harmonize 💯💯💯
Amen harmonize forever
After that airport interview, now I can understand your sentiments in this song. Never give up, much love from Kenya.
Harmonize ni Teacher ila Diamond anawivu sana
Teacher konde ❤️
Me too may God keep him safe and focused
As we Kenyan let support harmonize fuck wcb
Konde boy ✨🤴🏻❣️
Dah kwel JESH Leo umenikmbsha mbaliiiiiiiii sanaaa kam kna mungine pia amekmbushwa alio yapitia kwene hasooo zaoo weka like twende kwa jeshiiiiiiii woteeee
Konde juniorua-cam.com/video/TRwyNISryvs/v-deo.html
Hakuna nyimbo hapo Kaz kumuimba mtu fanya mzik acha kusema watu
wallahi nimetoa chozi usimuone mwenzio akicheka anayo yapitia Mollah tu ndiye anajua yaani very inspiring massage 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
@@mohamedsalum9460 Dah ad na nyie mumo ujui mziki kasikilizeee Waah ndo nyimbo uipige msikitini sheikhe
Siku zote wenye Roho mbaya wapo pia na wenye roho nzuri wapo.. One love to Konde boy 🤗💥
@Mr Mbega Official yeah Katisha Sana 👌🏻
Joshua Faruq medical appeal
Kindly view and be of help by sharing that the boy can get assistance
ua-cam.com/video/5pZV7erMvFc/v-deo.html
You can donate on paypal through samuelbonaya3@gmail.com
or Mpesa 0702019573
Contact +254702019573 on whatsapp for more information
@Mr Mbega Official SAAAAANA
💥🤞🏻🤗
Waliorudia zaidi ya Mara mbili mnipe like kwangu leo.
NGOMA kali sana hii
ua-cam.com/video/Hm-J_mjEkP4/v-deo.html
🇰🇪❤
Mara ya tano continues
Mara 50 yaan hili jamaaa kweli ni talented hakun kelel bt message delivered.
Kama umerudi baada ya kusikiliza #Vibaya gonga like hapa😍😍
#KMWW🐘🐘🐘🐘🐘🐘
fr fr
Tuko wengi....,😭😭@harmonizw he's such a great saul
ua-cam.com/video/nlS-hrcoPjA/v-deo.html
Dak 4 na sekunde kadhaa za konde Zina ujumbe wa dunia ya Leo kwa vijana ... Gud Sana brother 🔥🔥🔥
Kabsaaa
mdogo wangu hamonize umeuwa sana bro
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇸🇦🇸🇦🇸🇦
aka bachuchu mombasa
Ujakua sana hadi umepitiliza Don’t give up
Pamoja riyadh🤗
Noma
@@pradeeprawat2549 umeonaee
@@aishaswab3942 noma
Never give up hii ndio nyimbo ujumbe umefikia kila mtu
Kabisaaa
🔥 🔥 🔥 🔥
Application moja tu itayokupatia kipato kupitia kwa simu yako wahi sasa
affiliate.iqbroker.com/redir/?aff=154228
Maelezo WhatsApp 0679345914
, ,,,, @@Ibratz255 ,,,,, x
magoli ya simba
Like kama umerudi mungu ametuweka hai
Jamani naomba like,,kwa kondeboy,💥💥💥
Give it up to Harmonize Tanzania golden voice of sentimental music!!!
True
💞💞
👏👏👏👏👏🤜🤛
Aaaaaaa wapii bado Sana voice changer
@@a7mad3dl83 wewe na roho yako chafu kaibe tukusikie sauti yako, sauti ya harmonise is very sweet
Waswahili wa Uganda, Tanzania, Kenya, Sudan Kusini, Burundi na Rwanda tuko pamoja !
🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇹🇿🇰🇪🇸🇸
Kiswahili chetu ni nguvu yetu !
Kwa Nini Congo ahujaweka hapo
@@bikeyalikiba3036 jaman msamehe kasahau
Kbs nyimbo nzuli jamani
MUNGU bariki Harmonize , that is a good message gonga like 100
Anayeamini leo tunaingia 1M na kukaa 1 on trending kenya twende sawa..
Naamini .....
Noma tumeingia milion moja
@@impactoelectrical5814 asante kwa imani yako tumeingia
@@WaridawaridaWarida mbna wametutoa on trending akat wao wana views 543k jmn....
@@WaridawaridaWarida wametutoa on trendin lakn hali ni mby coz wana 673k in 2 days ....
When you feel like giving up then boom harmonize inspires you...the only artist in Africa singing relevant songs inspiring us youths who are going through challenges ...thanks king
true
Together
@@Ashley_family123 yes
Huu hapa wimbo mpya wa harmonize. Tazama lyrics👇👇
ua-cam.com/video/sq6xPu154BE/v-deo.html
Yaani king of lyrics.. Anamashairi poa
Hii ndo nyimbo yangu bora ya kufungia mwaka...... Tulioielewa basi tudondoshe like hapa!
Am back to listen again in 2024 anyone is back like i bring love to @km❤❤
Wangapi tumependa huu wimbo hadi siri zimewekwa hazalani bila huu wimbo baba diamond asinge jua kuwa yeye baba mlezi jaman pongezi nyingi sana harmonize umesaidia kitu kikubwa wote wapo hai kuiweka hii siri leo
Nyimbo za adab sana ambayo inafunza jamiii safi mzee Kondeee
Like twende sawa
ua-cam.com/video/TRwyNISryvs/v-deo.html
🐘🐘🐘🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
111
@Tanga Raha ntabwenge ufise
Usiwaz broo tunakuombea Allah akuongoz inshaallah,,!!? Tujuwan tunaemuombe
P
Tuko hapa
Amen
@@malikzafarani172 pamoja
@@azamkundowela2910 Amen
Did you know,? Currently, This is Only Audio with highest UA-cam Viewers in East Africa, what a record
Absolutely
Yes here I’m with you
Hamormonize this is kind of music we want SIO kuimba matusi Kama wengine
Tembo
Tembo
Tembo
Nalo neno
@@mymunamymuna4807 nice
Hao ndiyo binadamu harmonize😭😢, big up sana hii ngoma umeitendea haki🙌🙌👏👏
😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
.Pita nakwangu ndugu👇🏻ua-cam.com/channels/AQJAMhO3wjMn5XUjJjmSpA.html
Kama nawewe unaamn hapo ulpo wapo wanao taka ufely acha like hapa
Tena mpka ndugu zako wa dam wapo wanaokuombea ucfanikiwe uwe ni wa kulia shida kwao tu kila sku, ila hii Dunia hii waja ni noma
Nisaidie Tu , hiv mtu aki like comment yako inakuaje?? Mbona kila mtu anaomba like
I was once diamonds fun but after i heard wht harmonize went through his hands...was soo disappointed...diamond once alianzia chini mbona asisaidie wenzake kufika alipo...anawatumia tu vibaya...it was such a sad story...and i believe thats why harmonize sang never give up...much blessings konde boy may u get many followers as possible
Mzazi ni mzazi,ata akufanyie nni,laani zigne twajitaftia wenyewe,jamani,natamani niwe na mzazi ata mmoja,inaumiza roho kweli
Hakikaaaaa
Fanya kwanza research kabla hujahukum..Jiulize ingekuwa kalaaniwa huyo mond angekuwa hapo alipo? Kuna wakati wazaz wanaposhindwa kuplay part yao hawana haki hyo. Simple rule of life, huwezi kuvuna usichopanda. Itokee kama hisani tu. Tunakumbushwa kuwa tusikimbie wajibu wetu tukitegemea huruma ya mtoto ambaaye ulimzaa ukamtelekeza hata Mungu laana ya hivyo haruhusu kamwe.
Pole sana mpedwa najua unavyo umia
@@mashaurimayombya1260 sana
@@mzalendotz3397 kumbuka baba diamond hakumtelekeza mwanae mpaka miaka 9 sikosei walikuwa wote huko mbele ndiyo hakuna ajuae hilo nalo ni sisi wanawake tunachangia kuwaroga ili mpoteze faham kwa watoto mlio tangulia kupata lakin bado mzazi atabaki mzazi neno linasema samehe saba mara sabini tena kwa siku moja hujui kipi utakipata kwa kumsamehe mzazi wako kuhusu kushuka hilo usibishe kuto kusamehe hasa kwa mzazi Mungu anaweza akakushusha kwani sisi pia tunamkosea Mungu kila siku wengine wanaabudu miungu kupata pesa lakin bado Mungu anakulinda je nayeye akuache asikupe ridhiki kwa kua anatenda maovu mbele zake
Wakenya najuwa hamwezi kosa hapa 🇰🇪
Huyu Jamaa kamchana mtu😂😂 if you know you know
👇
Tupo
Harmo you have my support from Kenya... Kenyans please mnipee likes watanzania wajue tunawapenda
Umeweza bro 254
Am not used to bongo music but when its become matured , najipatanga na vibe nayo automatically,..... Mr Konde big up, all the way outta 254 kanairo...🇰🇪🇰🇪
Kama umesikiliza hi nyimbo zaidi ya mala mbili gonga like twende sawa
Mala au mara
@@hajihaji8958 matumizi ya smart phone kama nimgeni wa smartphone twende sawa
Tembo
Kama umeirudia ngoma zaidi ya mara moja gonga like tujuane tukutane hapo👇
Tafadhari Subscribe kabla 2021, ili tuwe pamoja mwaka mpya 💝🌹
ua-cam.com/channels/9ShPmPzSH5s2Z9A-PtLEFQ.html
@Mr Mbega Official 🤣🤣😂konde kaimba katika nyimbo zote hii konk
Very nice harmonize
@@mushiyolanda8456 sema kama ajiamini kwenye kuimba anahisi kama siku moja ata pinduliwa
Noma
Yaani huu ni WIMBO WANGU BORA 2020... BE BLESSED YOUNG BOY.....
Tafadhari Subscribe kabla 2021, ili tuwe pamoja mwaka mpya 💝🌹🌹
ua-cam.com/channels/9ShPmPzSH5s2Z9A-PtLEFQ.html
Sure bro
I came here after listening to Harmonize interview. I'm sorry konde boy you had to endure a lot but you will win in the end. Hapa ulijaribu kutueleza
Dah,,,am from wasafi,,,kwa hilo wacha nijisogeze tu kwa uyu dogo .hui mziki mm siupati sku nyingi jaman.i appreciate kondegang from now
ua-cam.com/video/Hm-J_mjEkP4/v-deo.html
🇰🇪❤
Hataareeee...........
Hatar
🙏🙏🙏😭😭😭😭
@@Ashley_family123 yeah😓😓it touches
Watu Wa East Africa pitia hapa uache likes za konde boy na inspiration tosha 🔥🔥
Konde Boy to the world 🌍🌍
Tupo kwa wingi🔥🔥
Jeshi,,,wapi likes za Kenya!!!
ua-cam.com/video/Hm-J_mjEkP4/v-deo.html
🇰🇪
Great
@Kuomoka Tv macha wapi ??
Much love Harmonize,,,dont give up we are praying for you🇰🇪🇰🇪,,it hurts to hear what you went through,,I understand how you felt with the death of Magufuli,,God will fight your battles
Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia wapende wote. Sio wa kike anacheka huku wa kiume analialia Bila msaada wowote. 🙏🙏🙏🙏
Tatzo kila cku anamuwaza Mondiii
Kabisa
@Saitoti Saimon ukweli
Hii ndo sauti tunayo ijua harmonize hapo umerudi kimziki ulipoteza mashabiki nimerudi kwa kishindo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 gonga like twende sawa
Safi
@Mr Mbega Official noma
Mknii
Ukweli hii ndio sauti ya hamonize
👍Haswaaa
Nilishaogopa kutia comment UA-cam coz sio like kwangu. Ila mm kwa kila mtu natia like. Anyway ngoma qalllllliii ivi.
Apo chacha
A Kuna kama konde
Penda sana ❤️❤️bong la gem 💋💋💋
🐘🐘🐘🐘🐘💋💋💋💋❤️❤️❤️
aseeeh hii ngoma inanihusu kabisa thanks jeshi
Walioona no 1 trending twende na like
Brother unajua, nyimbo zako zinamaujumbe mazuri sana, zinatupa energy vijana.
Joshua Faruq medical appeal
Kindly view and be of help by sharing that the boy can get assistance
ua-cam.com/video/5pZV7erMvFc/v-deo.html
You can donate on paypal through samuelbonaya3@gmail.com
or Mpesa 0702019573
Contact +254702019573 on whatsapp for more information
Ila nyie team konde magumu kunipa like mie kila coment natoa like
😅😅🤣🤣🤣🤣💥
Nimekupa 😘😘
@@Ashley_family123 unanicheka nimekosea wagumu siyo magumu😀
@@WaridawaridaWarida 🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏naona umeingiza kama yote haha
Kwani wee timu gani😂😂😂
After watching his interview yake.....I now understand his pain through his music
Keep doing you konde gang!!!! nakupenda tu jeshi!!!
Mweeee npo nataka kuliaa 😭😭😭😭🙌🙌🙌 jaman naomba ata like kumi nimeeipenda munooo
Jamani konde hii ngoma kweli jamaa kaandika ni homa ya jiji..
😅😅😅😅😅
Ahahah😆😆😆
Good thing abut HARMONIZE akona message true in this world
Jeshiiiiii💥💥💥💥💥🇧🇮🇿🇦tayari ishaanza kupirwa dha📻💥💥Kupata kukosa ni siri🙏🙏🙏
ua-cam.com/video/Hm-J_mjEkP4/v-deo.html
❤
ua-cam.com/video/Hm-J_mjEkP4/v-deo.html
🇰🇪❤
Nikweli nimeikubali kinoma
Kama wapo wanaosikiliza na kusoma comment like
Ngoma ni kali sana naomben hata like 5 tu
Mbona zimezidi sasa 5🔥🤣
zinakusaidia nni buda
@@kendrickdybala7622 furaha ya ngoma kali lakin like
@@WaridawaridaWarida 🤣 umeonae jesh ni🔥
@@anoldsadick7730 nimeona mpedwa🔥❤
kondboy never disappoints when it comes to emotional motivational songs,,,ndo maana utabaki kuwa icon wangu harmo🔥🔥🔥
Waaambie
Pamoja sana 🔥
@@caitlinkacva1310 ushafika ujumbe
apa kweli kaka
That's why konde is the best!!! Like sijai pata nipeni jamani
#flyboytz
Pamoja
@@djwetu1569 nice
@Mr Mbega Official noma
@Dj Razzy Mkali ok
Skia konde wee pamban mjini shule ❤❤❤❤this hit cools my nerves gives me a reason to work hard😢