¥PRINCE - NIHURUMIE (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 2,8 тис.

  • @masekete
    @masekete 6 років тому +404

    Wow wow.. You've made me shade tears..... Wapi likes za dogo huyu.. Nakupata nikiwa #KENYA 254

    • @RAY_B
      @RAY_B 6 років тому +2

      ua-cam.com/video/LsuN0HDuhP4/v-deo.html

    • @kinyotasalum4968
      @kinyotasalum4968 6 років тому +3

      Nakuombea malengo yakoyatimie kaza ndugu habanahabayujazakibaba mungu atakubarik

    • @hasmasalum7901
      @hasmasalum7901 6 років тому +2

      yani wewe mtoto nakupenda mungu akuongoze mbali ufike mdogo wangu

    • @djatm1319
      @djatm1319 6 років тому +4

      Kenya we the big support to Tz music

    • @victormuthomi7232
      @victormuthomi7232 6 років тому +3

      He's killing it

  • @yprincetzofficial
    @yprincetzofficial  6 років тому +2213

    Asante kwa wote mnaoendelea kuniunga mkono

  • @Nickojunior
    @Nickojunior 6 років тому +302

    Dogo wetu tuko nawe mpaka mwisho unaweza sana na utafika mbali ..hii imenifika moyoni kbs chozi la nitoka kama mtoto

  • @Richie0039
    @Richie0039 5 років тому +83

    Nime ikubali dogo.
    Wale wa kenya nipe likes hapa

  • @ismailrebe7072
    @ismailrebe7072 4 роки тому +3

    Dogo uko sawa. Mungu akujaliye ufikiye ndoto zako

  • @roseirungo1950
    @roseirungo1950 6 років тому +433

    Waooo if you believe this boy Will go higher gonga like tukiskizanga✔✔✔✔😘😘😘😘😘

  • @raymondkazungu6261
    @raymondkazungu6261 6 років тому +349

    mashairi ya hali ya juu sana kama unaamin huyu dogo atapaa achia like tuhurumiane

  • @leylaamina5063
    @leylaamina5063 6 років тому +10

    mashaallah nakupenda sana mdogo Wangu utanipa simanz god bless you

  • @naftalkirui6434
    @naftalkirui6434 5 років тому +3

    Baba mdogo napenda bidii yako... Mungu akujalie yaliyo mema mbeleni

  • @bubaboy25
    @bubaboy25 4 роки тому +2

    Hiii ngoma imenigusa sana mpaka machoz yamenitoka big up mdogo wangu

  • @Nelson_Oluoch
    @Nelson_Oluoch 6 років тому +97

    Wimbo mzuri Y Prince.Aslay alianza hivo tu sasa hivi ndiyo watu wakusema East Africa.Keep it up.

  • @serugomandela7282
    @serugomandela7282 6 років тому +440

    Nani anaitika kwamba TANZANIA kuna kipaji? Nishushiye like apo .

  • @amuatv1763
    @amuatv1763 6 років тому +36

    Daaah huyu dogo ni diamond mwingine ni moto wa kuotea mbali

    • @SupremeKimani
      @SupremeKimani 6 років тому

      Hi,am a comedian please link in my bio # supreme kimani thanks

    • @matronashirima1489
      @matronashirima1489 5 років тому +1

      Aisee usimfananishe na huyo jamaaa, Huyu mtoto anaimba vitu even hao waliomzidi hawezi, wanaimba vitu vya ajabu havieleweki, Kila saa mapenzi maneno yale Yale, Yaan wanaboa wanavipaji ila namna yakutumia change motor trust me.. matumizi mabaya ya vipaji..
      MDOGO WANGU KEEP IT UP..

  • @napoleonobele6621
    @napoleonobele6621 4 роки тому +41

    I'm Nigerian but it's so surprising how I understand this without translation 🇳🇬 ❤️❤️❤️❤️ heal the world.

  • @fredrickbaraza861
    @fredrickbaraza861 5 років тому +98

    One day we shall look back to this clip and call it a TBT. Keep the good work up Prince, A day is coming when we shall call you King. Nimependa

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 6 років тому +609

    Huyu dogo ameshinda woote. Yani hata diamond hafikii maishairi yake . Kama ww ni mzazi na imekugusa hii nyimbo gonga like😢😢😢😢😢?

  • @wilsonwachirandirangu1843
    @wilsonwachirandirangu1843 6 років тому +59

    +254 representing +974 dah! nipe like kama unaamini huyu dogo anatamba na ataenda far kwa uwezo wa maulana

  • @morgan_biggy9614
    @morgan_biggy9614 6 років тому +88

    Kazi nzuri hapa 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪nawe hadi mwisho

  • @barakahassani9258
    @barakahassani9258 5 років тому +17

    Daaah dogo mungu akutangulie maana naickiliza mpaka moyo nahc unalia
    By-TRIPLE D from masasi mtwara

  • @shanileboo9000
    @shanileboo9000 3 роки тому +28

    I salute all the step mother who extend motherly love to orphans.

  • @rachelkhavere1532
    @rachelkhavere1532 6 років тому +95

    Kazi njema mdogo wangu.Kazana kuna siku utafika tu.

  • @allantitusceo2624
    @allantitusceo2624 6 років тому +44

    Kabro Nazipenda kazi zako milele,Talanta unayo keep moving #Watching from 254

  • @periswambui514
    @periswambui514 6 років тому +45

    Y prince wimbo wahuruma sana. Mpaka nikatoa machozi..mungu akuonekanie..watching from +254

    • @mauriceogola9243
      @mauriceogola9243 6 років тому +1

      much love fvrom n airobi. kid good yoh

    • @johniemarsha8790
      @johniemarsha8790 6 років тому

      Peris Wambui mtoto ako Sawa,ameshinda wengine huku uimba nonesence

    • @papamussa7612
      @papamussa7612 6 років тому

      Kwa umri wake na urefu wa safari ya mziki alio alio nayo, dogo huyu ni future NO1singer in Est Africa

  • @fataouakondo7254
    @fataouakondo7254 2 роки тому +1

    Je suis togolais et vit en Allemagne. Je suis envahi d'émotion quand j'écoute ce petit malgré la barrière linguistique. La musique est le seul langage qui aplati les frontières. Ma camarade allemande n'arrive pas à retenir ses larmes. Chapeau à ce talent latent.

  • @cliffordmuriithi4619
    @cliffordmuriithi4619 3 роки тому +18

    pure talent from this son of the soil.....blessed to have this guy in africah

  • @manyweretv5177
    @manyweretv5177 6 років тому +58

    Jamani mnihurumie na mie nipen like za y prince

  • @benoitfirmino7504
    @benoitfirmino7504 6 років тому +78

    Wa kwanza leo nipe japo like 3 hivi keep it up prince

  • @damianmachilutv1167
    @damianmachilutv1167 6 років тому +28

    Huyu dogo anweza,apate mtu mzuri wa kumuongoza na kumsimamia

  • @trillionthamani
    @trillionthamani 5 років тому

    Huyu dogo ni zaidi ya kipaji.he's so blessed

  • @mwinyiabdallah7566
    @mwinyiabdallah7566 4 роки тому

    Y prince uko vizuri allah akufanyie wepesi japo Harmonize au allikiba wakusaidie nimekukubali sana

  • @princessfettyrashidi2409
    @princessfettyrashidi2409 6 років тому +13

    Tulio pitia yote hayo baada ya kufiwa wazazi tunalia tu 😭😭😭😭😭 nyimbo kama umenitungia mimi daaaah 😭😭😭 siku moja MOLLAH atanibeba mgongo in nsha Allah

    • @professerayyub6781
      @professerayyub6781 6 років тому

      Pole dadangu subra inshaAllah ulimwengu tu huu 😢😢😢😢😢 may Allah atuhifadi I.a

    • @sakinasheidhan4642
      @sakinasheidhan4642 6 років тому

      Pole Allah atakupe subra inshaAllah ni mitihani yake

    • @princessfettyrashidi2409
      @princessfettyrashidi2409 6 років тому

      @@professerayyub6781 kweli my dunia ina mitihani sana hii kama hujakutana nayo haya unaweza ukawa unacheka tu 😭kumbe wap wengine tabasam tu ni gum ALLAH anipe subra Ameen 🤲🤲

    • @princessfettyrashidi2409
      @princessfettyrashidi2409 6 років тому

      @@sakinasheidhan4642 AMIIINA YARRAB na ikawe kheir In nsha Allah

    • @stevenkanyana3039
      @stevenkanyana3039 5 років тому

      Pole sana fetty

  • @bahatibahaty6549
    @bahatibahaty6549 6 років тому +32

    A big fan of you, representing Kenya , keep keeping on

  • @Iyce-Kid
    @Iyce-Kid 6 років тому +65

    Am a Ghanaian and don't understand the words in this track but trust me I have felt in love with it .Go higher boy
    *cantonment boy icekid*

  • @brucekokonyacounsel5241
    @brucekokonyacounsel5241 5 років тому

    Huyo kijana kweli ana kipaji cha ushairi. Hongera, utafika mbali kimziki

  • @madinamadinn3845
    @madinamadinn3845 4 роки тому +1

    Wewe mtoto mbona unachoma sana mwanangu duu 💯

  • @fatumaabeid1049
    @fatumaabeid1049 6 років тому +49

    Atareee fireeee, gonga like km unamkubal y prince

  • @jasonrosario9277
    @jasonrosario9277 6 років тому +19

    Even tho i dont understand the lyrics this little boy has so much talent and so much pain in his songs may d almighty bless him and give him the richest blessings to foward his singing career Y Prince u are blessed and u will make it far i. Promise u that

  • @patoumiracleofficiel2082
    @patoumiracleofficiel2082 6 років тому +71

    Je ne comprends rien du tout à ce que tu dis.
    Mais ta voix me donne des frissons.
    La souffrance que tu véhicules dans cette chanson me transporte.
    Bravooooo petit frère.
    Depuis le Cameroun.

    • @afairouzoo306
      @afairouzoo306 6 років тому +3

      JURE MOI AUSSI JE COMPREND RIEN MAIS JAIME

    • @djanamalsaid1062
      @djanamalsaid1062 6 років тому +3

      Pareille que moi mais j'adore

    • @linabosse9256
      @linabosse9256 5 років тому +2

      @@djanamalsaid1062
      C'est touchant comme message
      Malgré le fait que nous ne comprenons pas les paroles mais les images parlent d'elles même.

    • @fadiasaul5783
      @fadiasaul5783 4 роки тому

      Moi.aussi

    • @jeanbaptistetiine1471
      @jeanbaptistetiine1471 4 роки тому

      Moi aussi je ne comprends rien de se k il dit mais vraiment sa touche

  • @sthabilehazel7191
    @sthabilehazel7191 5 років тому +3

    Y 🤴 yani we ni noma mdogo wangu salute 👌👌👌

  • @allyshabani6761
    @allyshabani6761 5 років тому +3

    pambana hadi hatua ya mwisho mdogo wang mungu atakufikisha u apotaka kufika amin. kam wew mzazi na upo sambamba na dua yangu gonga like.

  • @nakijwaelitumaini4228
    @nakijwaelitumaini4228 4 роки тому +4

    Y Prince wimbo unaerimisha naktoa machoz watu jamani godbless

  • @mumberemalinga9517
    @mumberemalinga9517 5 років тому

    Mungu aku neemeshe ndugu. Mimi ni mu kongo, na kutakiya baraka za Mungu

  • @supernovaclassic6077
    @supernovaclassic6077 3 роки тому

    Daaah... Talented boy.... Kijana.. we Ni star mkubwa... unasauti pia Ni Mwandishi mzuri sanaaaaaaa✓✓✓✓✓

  • @alexandermutisya7901
    @alexandermutisya7901 5 років тому +15

    I how tanzanians you are blessed with that talent ...tz the best bong orgin

    • @saluali2648
      @saluali2648 5 років тому +1

      Good y price god bless you

  • @sarahmethy2842
    @sarahmethy2842 5 років тому +11

    Jamn had machoz yamentoka Dogo unajua kuziteka hisia Mungu aku tangulie jamn

  • @emmahmelisa4511
    @emmahmelisa4511 5 років тому +30

    Keep it up junior kipawa unacho, na utaenda mbali I wish u all the best. From Kenya

  • @NyamtigaIbrahim
    @NyamtigaIbrahim Рік тому +1

    Bonge La Ngoma Limeimbwa Kwa Hisia Kali MUNGU Pamoja Nae Atafika Mbali Kikubwa Dua Na Sapoti Kwa Wadau Afkie Malengo Yake

  • @marywambui519
    @marywambui519 4 роки тому

    Y prince kipaji kipo sio kuingiza uko vizuri kaka mdogo Kenya twakupenda

  • @neneschannel4209
    @neneschannel4209 5 років тому +84

    I don't understand a word of it, but I love it! It's the type of sad songs that hits you straight in your heart when you least expect it. Good luck Y prince! Such a beautiful voice.

  • @atifthegr3at
    @atifthegr3at 6 років тому +48

    daah huyu dog nawez sana . kam unakubalian na nnacho sema gonga like✌ ili tuwe paj katk kumsaport dg

    • @professerayyub6781
      @professerayyub6781 6 років тому

      Ana weza tu sana walahi kushinda hata hao wakubwa wasani manake ndio ameanza utotoni tu sio kama wengine utuzimani

    • @fredogutu6915
      @fredogutu6915 6 років тому

      Me to

    • @emidaphoneth8804
      @emidaphoneth8804 5 років тому

      Kweli anawezaaa sanaaaa

  • @leahjoram7693
    @leahjoram7693 6 років тому +21

    Big up Y prince. Nice song.

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 5 років тому

    Mrithi wa LOVERLOVER. Nice kwa kweli 👍👍👍

  • @vailethkinabo7961
    @vailethkinabo7961 5 років тому

    Mtoto mzuri Mungu akakupe haja ya moyo wako nakupenda sanaa unakipaji kikubwa sanaa ndani yako

  • @heradiyanssine7434
    @heradiyanssine7434 4 роки тому +5

    tu es un vrai magicien mon frère ,
    la première fois que j'ai maté tes sons je pas pu retenir mes larmes que Allah te propulse de l'avant et que tu devienne plus que la grande star que t'es aujourd'hui
    vas de l'avant

  • @danielwanjiru6018
    @danielwanjiru6018 6 років тому +13

    Am sure am watching at the next Aslay #Bright future

  • @giibeetube5252
    @giibeetube5252 5 років тому +17

    i am from Ethiopia i love kisŵahili song God blessed you kenyan and Tanzaniyan,na kumpenda sanaa

  • @JohnKMzey
    @JohnKMzey 5 років тому

    The message is strong. Amekuwa sauti ya wengi wanao ranga pasi kujua wanakoelekea. Dogo nmemwaga chozi na hizo lyrics. This is TALENT.

  • @sultanaswaleh8892
    @sultanaswaleh8892 5 років тому

    Mtoto Mungu ! Aku fungulie.💕💕👣👣👏👏👏👏

  • @terimbereassir2326
    @terimbereassir2326 5 років тому +6

    Uyu bongo fleva ndio hodari, wengine eti ndio wanafaa, wameikalia kutangaza mboo tuu, Kuma tuu, kutombana.
    Dogo we kiboko

  • @petermaina8063
    @petermaina8063 6 років тому +13

    THIS GUY IF GIVEN FULL SUPPORT IS A GREAT TREASURE TO TANZANIA AND THE WORLD AT LARGE. BIG LOVE FROM KENYA. GONGA LIKE KAMA WAAMINI DIAMOND AND ALIKIBA SHOULD CONSIDER HIM FOR THEIR RECORD LABELS. PURE GOLDMINE NOTED.

  • @officialtalenttv3882
    @officialtalenttv3882 6 років тому +121

    #y_Prince
    Umetisha gonga like
    Kama unamkubali huyu dogo

  • @stephenbuluma2656
    @stephenbuluma2656 5 років тому +1

    Nakuombea maulana akufungulie njia maana already unasikika,,,napenda wimbo wako wa Atarudi,,anayependa pia nipe like

  • @rachelwakesho8168
    @rachelwakesho8168 4 роки тому

    Hongera ndugu utaenda mbali na hiki kipawa chako napenda nyimbo zako 💖💖💖💖

  • @kinglayzwakuchana
    @kinglayzwakuchana 6 років тому +6

    unaweza mdogo wangu bd nyota tu Kung'aa

  • @hekimahamis4192
    @hekimahamis4192 6 років тому +5

    Hicho ni kipaji toka kwa Mungu nyimbo nzuri sana

  • @kingsmoney360
    @kingsmoney360 4 роки тому +3

    Much love from me IGBO man from Nigeria,I might not understand the language but I can feel it ,you will go fur

  • @radiyasaleh2677
    @radiyasaleh2677 4 роки тому

    Mashallwa yani dogo umenitowa machozi kama kweli naona mungu akuzidishiye kipaji

  • @maitalucky3424
    @maitalucky3424 5 років тому

    Hongera sana @Y Prince. Kazi safi na like your energy poa sana napenda nakufurahia wimbo zako.

  • @Shaduuq
    @Shaduuq 6 років тому +140

    I love african people becouse i am SOMALI
    Gonga like if you love african people's❤

  • @josephinejasson8011
    @josephinejasson8011 5 років тому +7

    Kama umetoa machozi kama Mimi hapa achia like 😭😭😭

  • @tigerskin9050
    @tigerskin9050 6 років тому +39

    Watching from +254... good one

    • @SupremeKimani
      @SupremeKimani 6 років тому

      Hi,skin am from 254 comedian please link in my bio # supreme kimani

  • @dastanjohn843
    @dastanjohn843 4 роки тому +1

    Daa dogo wewe noma Kama umeniimbia Mimi@ munguakubaliki

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 4 роки тому

    Eeeish mdogo wangu mungu akujalie ufike mbali atimize maono yako.

  • @daoudnd.9849
    @daoudnd.9849 5 років тому +16

    Protect the orphans!!!
    They need us for growing up serenely!

  • @keyakeya8911
    @keyakeya8911 6 років тому +6

    Duu kaza mdogo wangu utafika mbali

  • @kabaisadangote1466
    @kabaisadangote1466 6 років тому +36

    Wooooooow lovely song bro your big fun from kenya

    • @SupremeKimani
      @SupremeKimani 6 років тому

      Hi ndangote, 254 here for comedy please link in my bio # supreme kimani

  • @priscakidali7297
    @priscakidali7297 4 роки тому +1

    Mungu azidi kukuza katka uwimbaji wako

  • @witineskikiwa1906
    @witineskikiwa1906 5 років тому

    Umefanya nilie gd gd song mungu akujalie kipaji chako kizidi kukuwa

  • @sharonkims1543
    @sharonkims1543 5 років тому +12

    You'll go far boy.... So talented

  • @albertokari1374
    @albertokari1374 6 років тому +9

    This kid is going places..raw talent. Content 100

  • @kennybizzoh
    @kennybizzoh 6 років тому +15

    Watching from South Africa I don't understand Swahili but Hiyo Video inaongea yote,Nimeipenda

    • @manuek722
      @manuek722 5 років тому +2

      I see you dont do swahili haha

    • @kennybizzoh
      @kennybizzoh 5 років тому

      @@manuek722 😂😂😂😂😂

    • @zakiaathuman354
      @zakiaathuman354 5 років тому +1

      Asante sana dogoo

    • @belindamoh7130
      @belindamoh7130 5 років тому +1

      U understand kamba
      Right?😂😂😂😂😂😂

    • @kennybizzoh
      @kennybizzoh 5 років тому +1

      @@belindamoh7130 bana we 😂😂😂

  • @dorcasmueni4042
    @dorcasmueni4042 3 роки тому

    Uwiiii aki huyu boy a nafanya nilie aki mungu tupe nguvu tulee Watoto wetu mama wa mambo mungu Ana waona

  • @nyakatodominican5056
    @nyakatodominican5056 4 роки тому

    Dah mdogo wangu!! Mungu akujali.

  • @aishaabdj8913
    @aishaabdj8913 6 років тому +9

    yani nyimbo inanisisimua sana namkumbuka mama na mateso nilopitia pumzika mama kwa amani nakupenda hkana kama mama

  • @maillotjaune8539
    @maillotjaune8539 6 років тому +118

    Y prince tu es un enfant pétri de talents. Meme si je ne comprends pas ce que tu dis mais le clip nous montre ce dont tu parles dans ta chanson.Alors courage à toi petit.Je suis #Maillot_Jaune_993 depuis la Cote d'Ivoire

    • @negrandfondamental445
      @negrandfondamental445 6 років тому +2

      Super même moi-même j'entends pas ce qu'il dit mais je sens que c'est triste et que ça vient du cœur. J'adore super

    • @thekingtchoopy2066
      @thekingtchoopy2066 5 років тому +1

      Y Prince tu est couvert de talent certe je ne comprends pas ta langue mais je comprends des mots et comme à dit #Maillot jaune le clipe nous fait comprendre la morale de la musique courage à toi #Y Prince

    • @irenelogique1930
      @irenelogique1930 5 років тому +6

      Moi aussi vraiment cette chason me touche, mais désoler á vous qui ne comprenez pas, je sais que c un peu diffile avec cette langue,il parle de comment sa vie est devenue difficile après la mort de sa mère, maintenant il est réster avec la femme de son père qui le maletraite,vous même vous savez comment ça fait, ça me touche trop parceque j'ai déja passé dans cette situation.

    • @cesarfbsf4875
      @cesarfbsf4875 5 років тому +1

      Bien sur pareil

    • @masoudtemba3618
      @masoudtemba3618 5 років тому

      inaumaaaaaaaaa

  • @15_baya
    @15_baya 5 років тому +4

    Broooo we ni mkali uko fine big up👑👑

  • @anastazia3946
    @anastazia3946 4 роки тому

    Hakika nakapenda ka y princ dahhh choz limenitoka mdog wangu kiukwel wanaume jifunzen kupitia ujumbe huuu u are talentedy my yough

  • @stellamsemo1020
    @stellamsemo1020 5 років тому

    Jamani, nimelia sana, Mungu yupo na wewe, atakuinua mwanangu

  • @patrioticpeacekeepers3405
    @patrioticpeacekeepers3405 6 років тому +4

    I had to shade tears after watching this young star.

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 6 років тому +6

    Huyu mtoto mbona anajua sana, yani nyimbo zake mi hua zinanitoa michozi kama mtoto mdogo

    • @professerayyub6781
      @professerayyub6781 6 років тому +1

      #AsiahMariam he's very talanted wlaahy mashaAllah mungu tu amuhifadi I.a ako juu tu sana wlaahy na sio mara ya kwanza kwa hili nyimbo m.a

    • @thomagaudens8104
      @thomagaudens8104 5 років тому

      Nikweli kabisa

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 6 років тому +8

    Dah inahuzunisha!!!!!!!😢😢
    Ila prince unaweza

  • @milcahussein3899
    @milcahussein3899 4 роки тому

    Yaani Hutu mtoto ana kipaji charged kweli eewe Allah pokea dua zetu myannyue mtoto wetu afikie hatima yake Allah taqabar duaana Alabama aamina Ishallah Yusuph utabarikiwa kwa owe wake Allah utavuka na kuwa super star kama wengine

  • @janerosemaranga8069
    @janerosemaranga8069 5 років тому

    OMG this cute man is soo talented....unaenda mbali kaka...

  • @gloriadaegee9303
    @gloriadaegee9303 6 років тому +6

    hatari...dogo kapenda talanta anayo sio siri...gonga like ka umeipenda

  • @wanderjoy181
    @wanderjoy181 5 років тому +5

    I can't hold ma tears ,I grow up in dat situation like this oooh ma God# God bless u bro

  • @jamesowino8495
    @jamesowino8495 4 роки тому +10

    This boy is already a star and it gonna shine brighter

  • @hannahwanjiru6886
    @hannahwanjiru6886 2 роки тому

    Mtoto kajaliwa kipaji.. sauti iko 👌👌👌👌👌👌God bless u utaenda far🙏🏻

  • @asiabushiri7566
    @asiabushiri7566 3 роки тому

    Maneno kweli n'a ndio imejaaa ndani ya jamaaaa

  • @benrichsqoods9109
    @benrichsqoods9109 6 років тому +12

    Talent 100%

  • @AplainEast
    @AplainEast 6 років тому +5

    This Jam Touched me Man Kidd Keep Grind you have everything you want 🔥🔥🔥🔥🔥You gat the Gold With you Bless up Maaan To More Life 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥