Kweli tunamkumbuka na tutamkumbuka watanzania tushikamane natumuombe mungu muweza wa yote atatusaidia Katika kipindi hiki kigumu mnoooo Pumzika kwa Amani Hayati magufuli 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
That's was so painful especially to TZ brothers and sisters. Rabi ailaze Roho ya kiongozi pahala pema. We are and will be all together dear TZ people. Blessings thee come to entire country.
😭😭😭in Bowling green 🇺🇸😭😭🛫Kentucky tuonane baadaye Jonh Pombe Magufuli nenda kwa Amani na upumzike😭😭kijana wakingomani nakulilia ntakukumbuka daima sitokusahu
@@stephanoiddy696 tokea 17 Mach hadi 26 Mach alivyo zikwa nilikuwa online kwenye Azam tv everyday yani kuhamini nibaada ya kuona anaingizwa kaburi kwao chato
...the fact remains that this legend will never die in the hearts of many ,he was a true servant of common mwananchi , our leaders are supposed to mimick his legendary life, rip legend will never forget you 🙏 💔
Poleni Steve na team yako. Also mourning from Kenya. R. I. mchapa kazi. He really loved his people of Tanzania. Alitangulisha mungu mbele. Safiri salama baba salimia maulana.
@@modestapeter2997 sasa wewe uke fariki ahuta bakiaka mu roho za watu wenye wana kufamiya? Kila kihumbe kya mungu kitapo onja ahuti ni maremu Sababu alisha fariki....
@@modestapeter2997 kwani aku fariki shibote tuko chini ya juwa tuta fariki leo ao kesho kwani sudja aku fariki? Sudja ni Mungu peke yake wewe ndo fara kabsaaa
I keep going back to this song. I can't count how many times I have listened to. I don't understand all the words but I know it's a tribute to the son of the African soil. Pole Tanzania. Lala salama Pombe Magufuli.
Ahsante Sana kwenu yote wadogo zangu kwa wimbo Ulio bora nakwatia Mioyo ya watu Wote katika kipindi hiki kigumu mno, Mungu Awabariki Sana, natunawapendeni sana
Cant hold my tears from kenya,,,may you rest in eternal peace ,,,we kenyans we really love you,,we will miss your love to the pure,,,your support and the care,,,enda salama yusufu
RIP Babu Rais Magufuli We love you but God loves you more that's why Allah Has Taken you, Allah Akueke Mali pema, Ameen watching from Gulf Its a great song with message God bless the choir ,Ameen
R.I.P Hon. President JPM 🇹🇿😭😭🇹🇿🇨🇩🇺🇸😭😭😭😭Tutakukumbuka Daima Kiukweli wimbo huu umefunika nyimbo zote za maombolezo kuhusu Mh.Hayati Rais JPM, Tupia neno ikiwa na ww umeguswa na hili ☝️
Mungu mpokee mwanao ambae ulimtoa kwetu kama sadaka kwa watanzania ,hii ilikuwa kama tunu kwetu na leo hii umemuita kwako mpe kama ulichompangia kama mafao yake kwa kazi aliyoifanya kwa wanao haswa watanzania nakuomba usamehe pale alipokosea maana kwetu alichokifanya nikikubwa sana tuna shukuru baba #muweke mahala pema peponi #JPM
Stever nakuku Bali Sana watoto.wangu wanaiba pure yimbo hii nahawajuwekiswahili.wana ogeha English Na africaise ...good jobs stever Niko cape cape town
Amen ujumbe mzuri kwa wazazi weifesso 6: 3 hadi 6 inatufundisha tutii wazazi 😮 ❤😂 ndio tuishi siku nyingi dunian naomba wanangu wawe kama ww YOHANA be blessed
Kwa hakika huu wimbo umenitoa machozi 😭😭Unahuzunisha Sana lakini Mungu awarehemu haswa nchi yote Kwa jumla.Mama SULUHU Mungu akuonekanie Kwa kila Jambo.Kazi ya Mungu haina makosa😥😥pumzika salama.
Kweli tunamkumbuka na tutamkumbuka watanzania tushikamane natumuombe mungu muweza wa yote atatusaidia
Katika kipindi hiki kigumu mnoooo
Pumzika kwa Amani Hayati magufuli 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
May his soul RIP
Pole Sana Steve kaka Yangu Pole Sana Seli Pole Sana Yohana Pole Sana Watu Wote Raisi 💔😭😭💔😔😭😭😭
💔💔💔
That's was so painful especially to TZ brothers and sisters. Rabi ailaze Roho ya kiongozi pahala pema. We are and will be all together dear TZ people. Blessings thee come to entire country.
Duhhhh is true bro
Kama umelia Kama Mimi kwa kutazama huu wimbo Leta likes nijue from Kenya.RIP Baba Magufuli.
😢😢😢😢
😢😢😢Hata sai nalia
N kweli sky
I am from Kenya, but I will forever mourn this enigma for the rest of my life. May God provide His solace to your country.
2024 mwenye bado yupo hai anausikiliza huu wimbo piga like hapaa 😊
Just in mid 2023 and still one of African icons. Rest well champion. 😭😭😭 Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nyimbo zimeimbwa nyingi but huu wimbo umenimaliza nimemeurudia sana sana from 🇰🇪
Tanzania was the luckiest country to have such a hardworking leader like Magufuli may his soul rest in peace ,,,,n mengi ameyafanya Tanzania
From Israel ,,,,may God bless this two small boys ,,may they turn into kings of nations,,love from Kenya but stay in Israel
Amen
I❤Loketo
Yaani ktk nyimbo zt za maombolezi hii ndo no 1. Mmeimba ipasavo
Yes
Rest in peace ✌️ magufulia always you will remain in my heart ❤️🙏 . I'm from Kenya when I listen to this song I cried 😭😭😭😭😭
Me too
Mimi pia😭😭😭😭
Daah, nyimbo ina hisia kweli, nimejikuta Machozi yananilengalenga. Endelea KUPUMZIKA Kwa amani Mzee wetu Magufuli, Daima Utaendelea kuishi katika mioyo yetu. 💔💔😭😭
Wallahi
Chukua like zangu 10 dogo sele na Steve mweusi, love from Kenya
😂😂😂
Be blessed yohana....I love your songs......keep growing in Christ young Soul😍😍
Hongera mdogo wangu Steve wote mlioimba huu wimbo mungu awabariki
Ttakukumbuk
FROM 🇺🇸US , KAMA NA WEWE UNAMLILIA 😭😭MAGUFULI AHADI SASA NIPE LIKE
😭😭😭in Bowling green 🇺🇸😭😭🛫Kentucky tuonane baadaye Jonh Pombe Magufuli nenda kwa Amani na upumzike😭😭kijana wakingomani nakulilia ntakukumbuka daima sitokusahu
@@wilsonfbipolice911 YEAH INAUMA MPAKA SASA KUMPOTEZA SHUJAA WA AFRICA MTETEZI WA NYONGE
@@stephanoiddy696 tokea 17 Mach hadi 26 Mach alivyo zikwa nilikuwa online kwenye Azam tv everyday yani kuhamini nibaada ya kuona anaingizwa kaburi kwao chato
So sad...
@@stephanoiddy696 tumhombee aende tu kwa Amani😭😭😭😭😰😰amemaliza kishujaa
Kwa uhakika wimbo huu umenitoa machozi😭😭😭😭😭 mungu ailaze roho yako panapofaa
Mtoto Yohana na wengine wote Mungu awabaliki kwa wimbo mzuli 😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Pole wa tanzania
Pumzika kwa amani baba J.P.M.
Amen
...the fact remains that this legend will never die in the hearts of many ,he was a true servant of common mwananchi , our leaders are supposed to mimick his legendary life, rip legend will never forget you 🙏 💔
Huku kenya tunao baba ambae anatubeleka Kila after election mandamano
Nyimbo bola ya maombolezo Nice song. Mungu mlaze mahali pema peponi.
Sure
Amen
Enda salama😭😭😭
Lala salama😭😭😭😭😭
Tutakutana siku ya mwisho Magufuli
Poleni watanzania,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kumbe Steve anajua kuimba.... Goga likes za Steve tukisoga
Tena saana
BabA amuka uone madudu amka baba tumeekumisi
Wimbo mzuri sana watoto wazuri hakika tunamlilia baba yetu mpendwa katuacha ,katuachia pengo kubwa sana na halitazibika kamwe. R.I.P baba🙏
This man Magafuli will never die in the hearts of many. The true servant of common wananchi. May he continue rest in peace.
Mungu awabaliki
For sure
Poleni Steve na team yako. Also mourning from Kenya. R. I. mchapa kazi. He really loved his people of Tanzania. Alitangulisha mungu mbele. Safiri salama baba salimia maulana.
Am still in tears up to date, am a Kenyan but I loved doctor John magufuli. Continue resting in eternal life .
Anaye liliya marehemu Magufuli kama mimi agonge like ili tu zidi kumu kumbuka
Rip
Wewe ni fara, yani unamuita shujaa wetu Marehemu
@@modestapeter2997 sasa wewe uke fariki ahuta bakiaka mu roho za watu wenye wana kufamiya? Kila kihumbe kya mungu kitapo onja ahuti ni maremu
Sababu alisha fariki....
@@matyfun1372 wewe ndo fara kila kihumbe kya mungu kitapo onja mahuti ni marehemu we fara %
@@modestapeter2997 kwani aku fariki shibote tuko chini ya juwa tuta fariki leo ao kesho kwani sudja aku fariki? Sudja ni Mungu peke yake wewe ndo fara kabsaaa
Goga likes za Antony, dogo sele na Steve kwa kufanya kazi safi💯✔️much love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪
0:00
😮 0:00 0:00 0:00
Hakika hata tulio nje ya nchi tunakulilia 😭baba yetu Magufuli huo wimbo umeniliza😭 kwa kweli R I P rais wetu🇹🇿🇺🇸
I keep going back to this song. I can't count how many times I have listened to. I don't understand all the words but I know it's a tribute to the son of the African soil. Pole Tanzania. Lala salama Pombe Magufuli.
Absolutely amazing
Me too but l don't know the language
@@magiemutesa4807 me too I
Tanzania is very special tosing the song any we u go me l like Johan
Hii wimbo imenitoa machozi😭😭😭😭😭😭😭😭😭 shine on ur way baba y wanyonge
Huu wimbo nikiusikiza machozi yanitiririka ak😭😭😭😭😭😭shine on your way Magufuli
Wooi .. Already in tears 😭😭😭😭 Rip kiongozi wa wanyonge....shine on your way Magufuli...from kenya
raelly a legend
From kenya,God bless these boys and may magufuli rest in peace😢
Indeed it was a sad moment ubarikiwe sana Yohana from Kenya 🇰🇪 🙏🙏
Mwimbo mzuri sana mungu akuzidie nguvu humshinde wimbaji wote inshallah
Tulio angalia 2024 weka like
Ahsante Sana kwenu yote wadogo zangu kwa wimbo Ulio bora nakwatia Mioyo ya watu Wote katika kipindi hiki kigumu mno, Mungu Awabariki Sana, natunawapendeni sana
Cant hold my tears from kenya,,,may you rest in eternal peace ,,,we kenyans we really love you,,we will miss your love to the pure,,,your support and the care,,,enda salama yusufu
This is so painful.actually I shed tears.sorry Tanzania 🇹🇿 Kenyan we r together
That is how it but God bless him
Mtoto Yohana may the Almighty God wipe your tears. We Kenyans are with you this hard time. God bless 🙏🙏🇰🇪🇰🇪
Maybe
Diamond
Daah jamani inauma siwezi kujisuiya machozi yananidodoka kila ninapo angalia picha ya Jpm....... Take heart my brothers and sisters from Tz
Steve nafurahiya nyimbo yako kutoka congo 🙏😭😭
Steve🇯🇲😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭👋👋
Kama yupo anaye ifatilia hiii nyimbo mpaka Leo gonga like
Machozi hayatafutika milele tanzanian
May God console that nation
😢😢😢
Thank you so much for your feedback Emmanuel muhando.😅😅❤
Tupo mbona
speaking from Austria in Australia, God gives Tanzania strength
Naikubali hii nyimbo 👍👍👍👍
My Daily Reminder that Our Diaspora Souls are 1... They are Singing Our Diaspora Souls Together into 1 Voice❤️
Yani nikweli tunalia natuta choka kulia kwa sababu uyu tulipata ata tuwenza
Oooh!!pole sana watanzania mungu hawatie nguvu ,RIP president magufuli 😭😭😭🇰🇪
😭😭😭😭😭
😭😭😭😭
R I P Dr. Magufuli, Tanzania na Dunia nzima tutakukumbuka daima milele.
Poleni ndugu zetu steve+sele.... Sote twaomboleza... Tuko pamoja 🇰🇪
We were also shocked to heard that , Mr pombe Maghufuli is . No longer with us,, we heard pains in Kenya
Tunao sikiliza 2024 tuinuane kwa like hapa japo 5
Like from kenya
Yoooo urare Salma tanzania tunabapenda san mi nik mototo waburundi
Jamani 🤣🤣🤣 sijui tulikuwa wapi?
❤
😭😭😭😭😭
Haji huuu wimbo unazidi kuniliza huwiii ,jmni tulizani umelala kumbe umekufa kweli dah tungekuwa na uwezo wa kukuamsha tungekuamsha huwiii 😭😭😭😭Tunakulilia jmni Magu huwiii kiliiooo watanzani hivi nitazoea jmni maumivu mkli moyoni
🇰🇪 Kenya bado huu umenigusa sana,nimpenda Magu sana
Thank you for coming back Antony God bless you forever I miss you
This child is so talented,ho my God may you be with him add double grace to his life❤❤❤
Tunakukumbuka baba Magufuli,roho yako iendelee kupumzika salama 😭😭🙏🙏🙏🙏
This song has good lyrics and nice voice brothers only Baba can control our tears.
😭😭 what a wonderful song touching wimbo hu utakufanya kulia ata kama uchisiki kulia😭 R.I.P baba team dogo bless you
Watanzania tuna upendo sana kila mtu kajitoa kadri ya uwezo wake, nyimbo 🙌😭😭😭😭😭😭😭pole taifa
Wimbo Huu kuutazama Mara moja 2 haikunitosha😭😭😭😭😭
Alhamdulillahi ndo iliyo baki Rahma
This song is nice I really agree waimbaji barikiwa you are creative
😭😭😭😭😭 Rest in peace baba ,,,,kwa kweli umekua mshtuko mkubwa kwangu ,,take hearts wana Tanzania 🇹🇿 kazi ya Mungu haina makosa..from 🇸🇦 🇸🇦
Ndiyobaba tunashindwa kujizuwiyakuliya yoòooosafarinjema Magufuli🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭
Msiba huu ni mzito sana unagusa kila mmoja
I can't stop crying for president magufuli every time I listen to this song
Me too am here mouning from Saudia Arabia rest in peace our Father aman of people
RIP Babu Rais Magufuli We love you but God loves you more that's why Allah Has Taken you, Allah Akueke Mali pema, Ameen watching from Gulf Its a great song with message God bless the choir ,Ameen
Vijana mpo vizuri kazeni buti mnaweza kwani hata vichekesho mnaweza kufurahisha jamii pamoja na kuelimisha bigup sana Steve along side dogosele
R.I.P Hon. President JPM 🇹🇿😭😭🇹🇿🇨🇩🇺🇸😭😭😭😭Tutakukumbuka Daima
Kiukweli wimbo huu umefunika nyimbo zote za maombolezo kuhusu Mh.Hayati Rais JPM,
Tupia neno ikiwa na ww umeguswa na hili ☝️
Live wanastahili pongez yani nausikirza kwa kurudiarudia
Steve mweusi na sele ndogo.. my all time comedians, I always watch u from Kenya
For sure u are blessed guys keep pressing on
Mungu mpokee mwanao ambae ulimtoa kwetu kama sadaka kwa watanzania ,hii ilikuwa kama tunu kwetu na leo hii umemuita kwako mpe kama ulichompangia kama mafao yake kwa kazi aliyoifanya kwa wanao haswa watanzania nakuomba usamehe pale alipokosea maana kwetu alichokifanya nikikubwa sana tuna shukuru baba #muweke mahala pema peponi #JPM
surely evn in such a wonderful song thr are dislikes hope thr is no one from +254 anyway talented yng boys
Nimelia sana,,nilimpenda sana ila natokea kenya ameenda mapema 😭😭😭😭poleni sana ndugu zetu watanzania
So painful iwill never forget abt our President maguful we really love you continue resting in peace much love from kenya💘
Dah jmn nimejikuta nalia Tena kipenzi chetu umeondoka bila kutuaga 😭😭😭😭😭daima tutakukumbuka
Félicitations en tout cas suis très contente vraiment magufuli pourquoi Dieu a permis son âme repose en paix
Kabisa
Lala Salama mwibo muzuri kabisa
nice
tutakukumbuka sana magufuli laisi wetu lala salama
From Kenya..May Lord Continue Blessing You Little Boys For This Powerful Song...Continue Resting In Peace Legend(John Joseph Pombe Mafufuli)😢😢😢😢😢😢
We loved Mr magufuli all over the Africa and we miss him but inshallah God can bless you with someone like him let him rest in peace
Huu wimbo nikiuaikiliza nafarijika Sana na unanikumbusha baba yangu kipenzi😭
Dois príncipes de Deus louvado o nome do senhor Jesus PARABENS ✴️✴️✴️🎇🎇✨✨✨🎈🎈🎈🌈🔥🔥🔥☔
Kumbee steeve mweusi anasauti nzuri namna hii
Im from Kenya I liked and loved this prezo.mungu amweke mahali pema mbinguni
j'ai aimé papa magufuli sans le connaitre véritablement.. puisse Dieu ai pitié de son âme. love you dady Magufuli. RIP🇨🇮🤝🇹🇿
Stever nakuku Bali Sana watoto.wangu wanaiba pure yimbo hii nahawajuwekiswahili.wana ogeha English Na africaise ...good jobs stever Niko cape cape town
I can't control my tears watching this song,,,we are with you,,, we love you from 254
Mungu apokee maisha yake raisi pombe njhon magufuri,natunakuriya .
😭😭😭😭😭😭 Mmeimba vizuri sana Steve
Go well daddy 😭😭😭😭 RIP legends never die we will still remember you as Kenyans
Ata ssiwawaichi zigine tumerumia kabi sa laa hatitàmusajau ndaima baba
apo du! 💪💪
Yohana,young boi bt fire,the song is boom rip magufuli,🇰🇪 poleni watanzania
I hv been mourning since he died, may his soul continue resting in peace, am from kenya
Wimbo unahuzunisha sana.
Tutakukumbuka sana JPM kapumzike Baba kazi umeimaliza duniani.
You kids You kill it's. This is the song of the moment. Thanks very clear
Steve uko na sauti bro jaribu utoe song.....tunawapo pole humu Kenya poleni majirani wetu
Still thinking about Magufuli. Keep resting in peace the Legend till we meet again. Love from Kenya gonga like kama bado unakumbuka Magufuli.
Wow steve na dogo sele igekua tuzo mgeondoka nalo wimbo wenu unabariki sana karibu unitoe machozi ni kutoka Nairobi 🇰🇪
The best mourning song in memory of the late president Magufuli.
Ban
R.i.p my hero
Mungu Wa mbinguni kazi yako haikosolewi "èmêïńî"🙏🙏🙏
mubarikiwe sana kwa wimbo nzuri waku mkumbuka raisi wetu
Amen ujumbe mzuri kwa wazazi weifesso 6: 3 hadi 6 inatufundisha tutii wazazi 😮 ❤😂 ndio tuishi siku nyingi dunian naomba wanangu wawe kama ww YOHANA be blessed
Upendo mwingi Toka na pole kwa kumpoteza kiongozi shupafu 🇰🇪🇰🇪
Aisee hii nyimbo inaniliza sana, mungu aiweke roho yake mahali pema,lala Salama baba wa wanyonge 😭😭😭😭
😭😭🇨🇵
So touching.. let his soul rest in eternal peace.. may God comfort all the tanzanian family.
Iii nyimbo inanifariji sana.Mungu awabariki.baba wetu Magufuli apumzike sala .
Can't hold my tears from🇰🇪We love You Maghufuli😥💔😭
Can't control my tears😭 May his soul rest in peace Dr Magufuli.;🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Kwa hakika huu wimbo umenitoa machozi 😭😭Unahuzunisha Sana lakini Mungu awarehemu haswa nchi yote Kwa jumla.Mama SULUHU Mungu akuonekanie Kwa kila Jambo.Kazi ya Mungu haina makosa😥😥pumzika salama.
Duuu kweli tunakulilia magu
Tulizani umelala kumbe
Poleni Tanzania ..mmpepoteza mtu mashuhuri ila kazi ya Mungu haina makosa nenda salama Magufuli