HIKI NI CHAKULA Na. Abado Samwel (CF Catholic SINGERS )
Вставка
- Опубліковано 10 тра 2022
- www.swahilimusicnotes.com/wim...
Karibu kutazama wimbo huu mzuri wa Ekaristi utunzi wa Abado Samwel.
waimbaji: CF Catholic Singers
Audio & Video: CF Production Mbeya
Kupata nakala ya wimbo huu pdf, bonyeza hapa
www.swahilimusicnotes.com/wim...
kumbuka ku share video iwafikie wengine... pia subscribe channel yetu.
Bwana Yesu anatualika tuksmpokee Mwokozi wetu.
Huu ubeti sijauelewa , naomba ufafanuzi zaidi. Ahsanteni.
Wimbo na style upo mzuri.
Tafsiri fupi ni kuwa Yesu mwenyewe anahitaji tumpokee.... anatualika kwenye karamu ambayo chakula na kinywaji ni yeye mwenyewe...
Kibao kimetulia kabisa ..great team nawapenda sana ..from Nairobi
🙏🙏🙏
Mmenibarki sana kwakweli! Hongera kwa kazi nzuri
Soprano hao wapewe maua yao🌹🌹🌹🌹🌺💐
Amina.
asante xn
My brother FRAÑCES CHOGA...TO ME U LL ALWAYZ REMAIN AS THE BEST ORGANIST I EVER MET ON EARTH SO FAR....UNA MUZIKI FULANI IVI YAAANI DUUH
shukran mkuu
Hongereni wimbo Mzuri xna
Mungu awabariki kwa kazi nzuri 🙏🙏🙏 Hakika nabarikiwa saana na hii nyimbo
Hongereni 🌹🌹💚💚🌹🌹
Mkorinto umetishaa,,,big up sanaa🙏🙏
Safi saaana vijana wangu nawakubali mnooo Mungu aendelee kuwatunza daima kazi nzuri🙏🙏💪🥰
Watatuelewa tu kwamba Nia yetu ni kuimba mbaka mbinguni na si duniani tuuuu 😁😁
Safi Sana Cf na timu nzima
Mungu atukuzwe ili nasi Binadamu tukatatifuzwe
Hongeren Sana waimbaji! Mungu awabariki kwa nyimbo nzr.
Hongera kwa kusali Mara mbili
Amina. Barikiwa
Mungu awabariki sanaa
Kazi nzuri
Mungu azidi kuwabariki🙏🙏🙏👏👏👏
Santou santou woilombo yeux
nice dear's
Thank you so much
Nasi one day mtatufanyia Jambo
Asante. Karibuni sana
Wimbo mzuri sana
Nawpenda san mung awabariki
🙏🙏🙏 mwachoga
🙏🙏🙏
Nimeipenda vocal inasikika vizuri mnooo
Taaamu saaaaana aki💕🔥💋💋💋💋
Chogaaaaaaaa
Naam
Nakuonaaaa mkuu, Aiseeeee. Nimefurahi saaanaaa
Much congratulations to you guys 💞
perfect sounds, perfect instrumental 🎹
Nzuri tena sana.
Alto
ni fire
Thanks
Very perfect. 💯 perfect.
Naupenda sana Huu wimbo😍... Abado ni fundi
Haswa
Hongereni sana Mungu awabariki
lovely piece, nicely sung
Amen
Nice song
❤❤❤❤🥰🥰♥️♥️♥️I like the way you the song itself was sung solemnly ♥️♥️♥️A big congratulations and blessings from above 🙏🙏🙏
Amen. God bless you
Awesome...voices balanced
Thanks for listening
Evangelical melody
Be blessed brothers and sisters 🌹
Amen, you too
Wawoooo, hongereni sana. Big up for the soloist, organist en team as whole. I love you all. Contact please.
0753334975
Angelic voices indeed
Naomba namba zenu za simu
0753334975
Waoooooooooooooo
Hongereni sana
ua-cam.com/video/HISVpuKJ_9I/v-deo.html