Antony is so, so, so wise. very precise and on point unlike other children. Yani akiulizwa ujumbe kwa babake anaelezea exact chenye anafaa awe anasema. Tanzania great person to come
Antony mtoto amazing sana Yaani full of confidence Yaani anajitambua,hana uoga na akiwa ni mdogo kiumri sijui nimpe sifa ipi nyengine.I hope ataendelea kujitambua na afanikishe malengo yake
Kama umefurahi kama Mimi juu ya jambo hili hebu gonga like kwanza alaf tuendelee kumshukuru Millard ayo hakika Mungu hubariki kazi inayobariki wengine piaaa So endeleeni kujihusisha na maisha ya watu HSA hawa wa chini waliosahaulika mbarikiwe pia mliojitokeza kumsaidia mtoto huyu mi pia ni mwanafunzi ninachochangia ni maombi be blessed!!!!!
Mungu anampango mzuri kwako kijana, very brilliant. You have a great future ahead. May the almighty God bless you and your family. Your dad is proud of you.
May the Almighty God bless Anthony Petro. Naamn ni kati ya mtu mkubwaa na wa kusaidiaa taifaa hapo mbeleni. Mungu awabariki waliomsaidia awaongezee zaidi na zaidi. Be blessed Anthony in your studies so that you may success well towards your goals.
Very smart! I am so happy for this brilliant young man. 😄 Hardship, poverty and want are the best incentives, and the best foundation, for the success of a man. Hard work brings prosperity, playing around brings poverty. Wish you luck Lil brother! 😀
He is very inspiring boy natamani nimchukuwe mie MMungu atakufikisha mpaka master mjuku wangu yaani tuwekeeni tupeni account ya shule tumtilie kakitu kadogo Allah Bless him and the person who sponsored him
I just saw that video from the village and I felt sooo bad...I thank God an angel came to his rescue....may God bless you so much...huyu mtoto ana akili sana hata zaidi ya miaka yake...may Lord take you far my small bro Anthony and help your Dad and sisters,🙏👏👏
Had raha jmn maskin mungu hamtupi mja wake in shaa Allah mungu awazidishie wote mlojitolea kuisaidia familia hiyo mungu mpe akil mtt huyu atimize ndoto zake
Mungu ana njia zake za kukukutanisha na Mtu aliye beba hatima ya maisha yako,hakika Antony Mungu Kakukumbuka mdogo wangu, Nakutakia kila la heri na Mungu Akufanye uwe kichwa katika masomo yako. Ubarikiwe MILLARD AYO Kwa juudi zako
I wish I could have that child here in America to learn more seems like loves to studying may God bless him so much nakumpa akili mno zaidi ya hapo alipo
jamani huyu Mtoto huyu Mtoto unajua kuchange kuringana na mazingira, kipindi alikua anajitambulisha naitwa Antoni petero, SAA hizi anajitambulisha Antony Petro, safi sana, anaakilu ya kukariri haraka. Mungu akutunze dogo
maskini mazingira ya kijijini na ugumu Wa maisha umemuaffect kiasi kwamba kafika mjini kanashindwa kujieleza vizuri kama alivyokuwa akijieleza good kule kijijini , but kuna kitu ndani yake kizuri sana , naamini mazingira kwaujumla yatamshape vizuri atakuwa sawa ikiwemo walim wazuri watakao mtreate good, wanafunzi, chakula, etc. kila LA kheri anton
Mungu amemheshimisha huyo mtoto kamtoa chini kabisa Leo kamketisha meza moja na wakuu Mungu anabadirisha historian ya mtu kuna chakijifunza siku zote usikate tamaa ktk maisha Mungu hufanya njia pasipo na njia Yesu akutunze mkurugenzi Wa shule hiyo
Jamani huyu mtoto ana kitu cha ziada, unaweza kuona hata jinsi alivyoanza kuongea mala moja sound yake imechenji gafla kabisaa ni kama kiongozi flani ana hutubia jambo mbele ya halaiki.
yaani mpk nimelia kwa uchungu mama yangu pia alikufa ,na yeye mama take amekufa ameshindwa kushuhudia kipaji cha MTT wake Mungu akupiganie mtt mzuri uwe mfano
yaani mpk nimelia kwa uchungu mama yangu pia alikufa ,na yeye mama take amekufa ameshindwa kushuhudia kipaji cha MTT wake Mungu akupiganie mtt mzuri uwe mfano
Mungu ambarikie awe na imani zaid yakuja kulea ndugu zake na yeye pia nitaifa la kesho Inshaallah aje ainue wananchi wa nchi yake Tanzania. Mungu ampe kipaji kikubwa chakujua akifanyacho.
Ee mungu ww kweli kuna watu wazima hawawezi kufanya vitu anavyoongea huyu mtoto mungu akutangulie sana maana unaupeo mkubwa na maona makubwa ya kuja kusaidia baba jamanii yaani nikimsikiliza nafika mbali sana ila ndoto zako zitatimia tu
Anthony is wonderful among the children I've ever seen!! I pray that may God almighty be with you Anthony!!!! Babaake sasa kamwacha kijijini au naye kahamishwa
Mungua anajibu kwa wakati .Anton kajibiwa. Namuombea sana mtoto mafanikio katika masomo yake, ili aje asaidie familia yake kama ilivyo ndoto yake. Habari zake zinantoa machozi kila nnapomsikiliza. Hongereni wote mliotoa msaada wenu kwa namna yeyote kuhakikisha mdogo wetu anapata alichostahili isiishie kwake tu. Mungu awabariki
Mtoto mdogo kama huyu anajua anataka kuwa nan uiiiiii🤭mwalimu...wakat mie wadogo zangu wanazaidi ya miaka 18 hawajui wanataka kuwa nan baada ya kumaliza masomo😪😪
Morgan Smile Nyoni tukubali tu ukweli Tanzania elimu yetu ipo chini angalia kwa shule za Serikali na sio za private zinazotumia mitaala ya Cambridge zinazosoma watoto wa vigogo tu hizo ni sawa elimu yao ipo juu ila hizi za kata unaonaje? Bado utaendelea kusema tuna elimu bora kwanini basi walimtoa kijijini wamemleta mjini kama hizo shule zenu za kata zina elimu bora? #KubaliUkweli
Aggy George hiyo system ya kimataifa si ipo kwenye shule ambazo watanzania walio wengi hawawezi kuzilipia ada. Sasa utasemaje tuna elimu ya kimataifa au hata shule zetu za kata zina mitaala mizuri ya kufundishia? Tuukubali ukweli tu Kenya wapo vizuri
dastona michaels , akili kweli azikutoshi unaingiza ukenya hapa. System ya kimataifa unaiona kenya tu. Tanzania tunazonyingi system za kimataifa. Usituletee ukenya wako peleka ukenya wako na ukabila uko kenya
Am so happy to see this boy talk.. Yaani anajieleza vizuri... Mungu awajalie waliomsaidia am so happy for you Anthony. Thanks Millard ayo
Wendy Mutembei
Antony is so, so, so wise. very precise and on point unlike other children. Yani akiulizwa ujumbe kwa babake anaelezea exact chenye anafaa awe anasema. Tanzania great person to come
Antony mtoto amazing sana Yaani full of confidence Yaani anajitambua,hana uoga na akiwa ni mdogo kiumri sijui nimpe sifa ipi nyengine.I hope ataendelea kujitambua na afanikishe malengo yake
Mungu aliyeianza kazi hii njema ndani yako ataitimiza. Mungu akulinde na mabaya yote akakusimamishe panapo nafasi. all the best Anthony
mashaallah mtoto anajua kujieleza vzr big up Antony mungu yu pamoja nawe ktk kila hatua
Kama umefurahi kama Mimi juu ya jambo hili hebu gonga like kwanza alaf tuendelee kumshukuru Millard ayo hakika Mungu hubariki kazi inayobariki wengine piaaa
So endeleeni kujihusisha na maisha ya watu HSA hawa wa chini waliosahaulika mbarikiwe pia mliojitokeza kumsaidia mtoto huyu mi pia ni mwanafunzi ninachochangia ni maombi be blessed!!!!!
Mungu anampango mzuri kwako kijana, very brilliant. You have a great future ahead. May the almighty God bless you and your family. Your dad is proud of you.
May the Almighty God bless Anthony Petro. Naamn ni kati ya mtu mkubwaa na wa kusaidiaa taifaa hapo mbeleni. Mungu awabariki waliomsaidia awaongezee zaidi na zaidi. Be blessed Anthony in your studies so that you may success well towards your goals.
Aaaaaw so in love with this kid...
Love love love all the way from Kenya
Am a kenyan following from dubai.may God bless all those who came in aid of the family
Mashallah.. Very intelligent Young Boy. May Allah protect him from Evil Eyes.. May HE guide him to the right path.
Mwenyenz Mungu aendelee kuwagusa watumishi wa Mungu Antony Mungu azidi kukuinua zaidi kwa kiwango kingine
Very smart!
I am so happy for this brilliant young man. 😄
Hardship, poverty and want are the best incentives, and the best foundation, for the success of a man. Hard work brings prosperity, playing around brings poverty.
Wish you luck Lil brother! 😀
He is very inspiring boy natamani nimchukuwe mie MMungu atakufikisha mpaka master mjuku wangu yaani tuwekeeni tupeni account ya shule tumtilie kakitu kadogo Allah Bless him and the person who sponsored him
Alhamdulillah Mashaallah kweli hakuna kama mungu 🙏
Asha Ally l
Sinkala Sinkala Mambo
Mungu akamfanikishe katika masomo yake pamoja na maisha yake yajayo
yaa
Our God is able
He speaks better than some member of parliament. Dont forget to promote him for journalism
Amen soma mtoto na mimi pia ni mwelimu hahaha 😂😂😂😂😂 I like you kid
Rhina Regina na pia nampa bigup sana
MUNGU akujalie ufke mbal zaidii kjana 🙏🙏🙏
Anthony nakuona mbali sn mdogo wangu bukua uwe kombozi wa familia mungu atakusimamia mdogo wangu 👏👏 inshaallah
Rahima Juma Inshallah nimefurah sana kwa hii habar
Rahima Juma
Gaudensia Kumalija naam
noma
Rahima Juma A very bright pupil! God Bless the child and the sponsors!
safi sana... hii nchi ina super genius wengi sana..... dogo safi msimamieni asome zaidi
Amen mungu nimukuu jameni kwahali alimutowa kijana wetu Antony heeee mungu apewa sifa ana stahili kuinuliwa sikuzote
I just saw that video from the village and I felt sooo bad...I thank God an angel came to his rescue....may God bless you so much...huyu mtoto ana akili sana hata zaidi ya miaka yake...may Lord take you far my small bro Anthony and help your Dad and sisters,🙏👏👏
Had raha jmn maskin mungu hamtupi mja wake in shaa Allah mungu awazidishie wote mlojitolea kuisaidia familia hiyo mungu mpe akil mtt huyu atimize ndoto zake
diamond
Mungu ana njia zake za kukukutanisha na Mtu aliye beba hatima ya maisha yako,hakika Antony Mungu Kakukumbuka mdogo wangu, Nakutakia kila la heri na Mungu Akufanye uwe kichwa katika masomo yako. Ubarikiwe MILLARD AYO Kwa juudi zako
Inshaallah m.mungu Atakusimamia usome vizuri uje ukomboe familia yako
hongera sana Antony keep it up hii shule sijui ipo wap inaelekea wanafundisha vizur
I wish I could have that child here in America to learn more seems like loves to studying may God bless him so much nakumpa akili mno zaidi ya hapo alipo
Gudu Morning.....Gudu Morning Mass....
congrates lil brooo
yung talented
jamani huyu Mtoto huyu Mtoto unajua kuchange kuringana na mazingira, kipindi alikua anajitambulisha naitwa Antoni petero, SAA hizi anajitambulisha Antony Petro, safi sana, anaakilu ya kukariri haraka. Mungu akutunze dogo
Hakuna uzito usiokua na wepesi Allah dogo atafanikiwa tu
His sisters please. Wasaidiwe pia.
mungu akusaidie mudogo wangu utimize ndoto zako
Very interesting,,,Antony has full of knowledge and Wisdom God bless Him, Infact like this 👏👏👏👏
Wooow anajielezea vzr MUNGU amsaidie sana
Nimeona mtoto yupo shule mungu akubariki Sana niwachache wanaweza Fanya ulilo fanya mungu awe nawe milele amina
Mashallah mungu jamn hakunyimi vyotee
Habari miladhayo hongera Kwa kazi nzuri,tunaomba maendeleo ya Shule ya mtoto Antony ,2020
maskini mazingira ya kijijini na ugumu Wa maisha umemuaffect kiasi kwamba kafika mjini kanashindwa kujieleza vizuri kama alivyokuwa akijieleza good kule kijijini , but kuna kitu ndani yake kizuri sana , naamini mazingira kwaujumla yatamshape vizuri atakuwa sawa ikiwemo walim wazuri watakao mtreate good, wanafunzi, chakula, etc. kila LA kheri anton
Nawe pia ubarikiwe
Mvwereza
JOSEPHA JOSEPHAT
Mungu ampe maisha maref uyu mtoto 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Very nice guy!! And he is competent enough,! Let God Be wth him and be Bless him up2 climax!!!+
Mungu amemheshimisha huyo mtoto kamtoa chini kabisa Leo kamketisha meza moja na wakuu Mungu anabadirisha historian ya mtu kuna chakijifunza siku zote usikate tamaa ktk maisha Mungu hufanya njia pasipo na njia Yesu akutunze mkurugenzi Wa shule hiyo
nakupendraaa bure we mtoto😘😘😘😘
I thank God for this so much mimefurai ukweli nngali kuwa na uwezo nngali msaidia lkn I am too young ata ivyo nmefurahi sana God bless 🙏
Jamani huyu mtoto ana kitu cha ziada, unaweza kuona hata jinsi alivyoanza kuongea mala moja sound yake imechenji gafla kabisaa ni kama kiongozi flani ana hutubia jambo mbele ya halaiki.
Lady Bilionaire haswa na anajiamini
kweli anakipaji flani huyu mtoto mungu atamuwezesha atajua kadri atakavyo soma.
kabisa MUNGU amtangulie na kumkufanikisha
Lady Bilionaire
Mungu amjalie
Lady Bilionaire Exactly!!
Maasha allah soma dogo allah akujaalie wepesi kwa Kila kitu na wafadhili mukumbuke na family yake
Dreams are still valid.God be with you and your family
Sahv hata umeng'aa umependeza sana.....Mungu akucmamie mdg Wangu na wadogo zako nyumban wapate ukomboz tu
Mtoto mzuri na mwerevu kweli. Anaongea kama mtu mzima. Huyu hatakuwa mwalimu Atakuja kuwa Rais
..wala si ajabu!
yaani mpk nimelia kwa uchungu mama yangu pia alikufa ,na yeye mama take amekufa ameshindwa kushuhudia kipaji cha MTT wake Mungu akupiganie mtt mzuri uwe mfano
yaani mpk nimelia kwa uchungu mama yangu pia alikufa ,na yeye mama take amekufa ameshindwa kushuhudia kipaji cha MTT wake Mungu akupiganie mtt mzuri uwe mfano
MUNGU atamjaalia
I just pray to God to help him,atoe familia yake kwenye umaskini😓
Hahahahaha this boy is kinda funny,anyway all the best babyboy
Mungu akutie nguvu mwanangu mzuri ufanikiwe
"Mungu atubaliki sisi sote
Na masomo yaendelee "
Vizuri sana Kijana, Mungu akujalie ufike mbali
Mungu ambarikie awe na imani zaid yakuja kulea ndugu zake na yeye pia nitaifa la kesho Inshaallah aje ainue wananchi wa nchi yake Tanzania. Mungu ampe kipaji kikubwa chakujua akifanyacho.
Hassina Al Harthi nawashukuru walomvumbua siku ya kwanza mpaka hii leo mtoto kapata mthamini nimelia kwa fulaha
+Charles Mbwana mwanaume halii kirahisi hivyo jitathmini
Hassina Al Harthi Ameeen yarab👏👏👏
Charles Mbwana kwakweli my dear brother
Hassina Al Harthi
Good morning imeweza.am from kenya.may God bless those who decided to help the kid
Love the confidence 💪🏽
Nakuombea baraka tele, usome kwa bidii, uwe kielelezo chema kwa ndungu zako, tanzania, afrika mashariki na dunia nzima. Mungu awe pamoja nawe.
Jaman nampenda huyu mtoto mashaAllah Mungu ambariki
..tuma cash siyo namprnda!
Jacob Makono we ushatuma
mashallah 👏❤❤ nmekupenda bure mtoto Mungu akujalie
Huyu ndio magufuli hao makonda wakesho In sha Allah
safi sana dogo mungu akusaidie katika masomo yako very nice
👏👏 jaman mtoto mzuri san
Zenna Kailo sana wallah
Hana lolote kama mimi tu
Nyc site encouraging and motivating to other guys who are focused by what they admire to have in future
Ee mungu ww kweli kuna watu wazima hawawezi kufanya vitu anavyoongea huyu mtoto mungu akutangulie sana maana unaupeo mkubwa na maona makubwa ya kuja kusaidia baba jamanii yaani nikimsikiliza nafika mbali sana ila ndoto zako zitatimia tu
safi sana dogo unajua kujieleza
Mungu akusaidie ktk masomo yako mapya ulioanza##
Dogo yuko vizuri sana akili yake bado naitafakari Mungu amsaidie asije kubadilika
asante sana Petro cku zote mwalim ni kiongozi katka jamii hakika utakuwa rais ili uongoze nchi
Hahahahaha Huyu mtoto nampenda Jamani mungu said kumuinua
wasalimie..gudu moningi👌👏👏👏👏👏👏👏👏yani nimeipenda
😅😅😅😂 Good boy natamani kumsikia tena baada ya likizo dec
Kitone Kantasha1 hadi raha wallai
Rahaaaa
wow....
Hongera sana sogo
Anthony is wonderful among the children I've ever seen!!
I pray that may God almighty be with you Anthony!!!!
Babaake sasa kamwacha kijijini au naye kahamishwa
Ndoto zako nazitimie mwanagu kwa jina la yesu.
Amen
Hero Antony dogo langu...mungu akusimamie diamond alikua akijibu ndivyo cvyo ktk interview mwanzo wke sasa hv amekua gwiji..umri pia umekuruhusu
wow..God is good
am happy...
Mungua anajibu kwa wakati .Anton kajibiwa. Namuombea sana mtoto mafanikio katika masomo yake, ili aje asaidie familia yake kama ilivyo ndoto yake. Habari zake zinantoa machozi kila nnapomsikiliza. Hongereni wote mliotoa msaada wenu kwa namna yeyote kuhakikisha mdogo wetu anapata alichostahili isiishie kwake tu. Mungu awabariki
Mtoto mdogo kama huyu anajua anataka kuwa nan uiiiiii🤭mwalimu...wakat mie wadogo zangu wanazaidi ya miaka 18 hawajui wanataka kuwa nan baada ya kumaliza masomo😪😪
Pole
Mungu akuondoshee asada uje utimize ndoto zako mwanangu lnshaAllah
Hawa waandishi wa Tanzania wapuuzi hawana weredi! Maswali gani anamuuliza mtoto mdogo km huyo? Et pesa ya mshahara wa kwanza?!
Man Sure Official ameuliza swali nzuri sana, then mtoto pia amejibu jibu kulingana na swali
Man Sure Official kabisa kaka wanamswal ya kijinga
😂😂😂 jamaa anazidiwa akiri na dogo
Man Sure Official umesema vema
hapo jamaa angeweza muuliza bipi utaoa mzungu😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Lots of Tanzanias frm Uganda.gud spirit
Huyu mtoto atakuwa mtu fulani mkubwa
Gldis Aaaa sana zaidi ya sana
Gldis Aaaa .
umeonaeee, snaa
Gud boy
Amina sana
Happy to see Anthony in another phase of life, God keep you higher
Tucheki Kutazama VIDEO/MOVIES Zote Mpya Za Bongo 🔥🔥🔥
Masha'allah I wish you all the best in your education and your future after may God protect you Ameen Yarab🙏
Mungu akuongoze mtoto
Mungu mpe wepesi kijana huyu
Mungu amzidishie kipaji amnyanyue katika hali nzuri ya kimaisha
mungu amsaidie
jamani kafurahi kweli
Maajabu ya dunia leo.....mungu akuzidishie baba na wenzako pia mungu awalimike na tochi ya mwangaza
mashaallah Allahubariki Anthony petero
Sai kungereza ana kiongea vzr hongera sana ahadi yako umeitetea haki
Mungu akutimizie ndoto zako
huyu mtoto kweli Allah atamjaaria by Hakibu kashack
amen nakuona
Kamau Francis ameen
Hakibukenzo njoo bongo Twaha Amin
Aggy Peter umepotea aje
After studies,he will be a good journalist. Dont hesitate with that. Just listen his part of appreciating the school staff ayaaa
Bado mdogo sana na ananafasi ya kubadili O to HERO
Daa anaongea maneno mazuri Sana yaani, Mungu akufikishe mbali,
Uyu dogo napenda sana mleteni kenya jamani asome system ya kimataifa
Kwa nn Tanzania hakuna io system mbona ipo tenah yajuu kuliko unavyofikili
Morgan Smile Nyoni tukubali tu ukweli Tanzania elimu yetu ipo chini angalia kwa shule za Serikali na sio za private zinazotumia mitaala ya Cambridge zinazosoma watoto wa vigogo tu hizo ni sawa elimu yao ipo juu ila hizi za kata unaonaje? Bado utaendelea kusema tuna elimu bora kwanini basi walimtoa kijijini wamemleta mjini kama hizo shule zenu za kata zina elimu bora? #KubaliUkweli
Aggy George hiyo system ya kimataifa si ipo kwenye shule ambazo watanzania walio wengi hawawezi kuzilipia ada. Sasa utasemaje tuna elimu ya kimataifa au hata shule zetu za kata zina mitaala mizuri ya kufundishia? Tuukubali ukweli tu Kenya wapo vizuri
dastona michaels , akili kweli azikutoshi unaingiza ukenya hapa. System ya kimataifa unaiona kenya tu. Tanzania tunazonyingi system za kimataifa. Usituletee ukenya wako peleka ukenya wako na ukabila uko kenya
VXBreezyVEVO , martinis videos gani au unachora msitali mussels tu chini na juu. Vimeo tunavyovingi na wewe hapa ni kimeo
Allah akutangulie katika masomo yako mdogo wangu, nimefurahi sana, Mashallah mtoto yuko vizuri kujibu hadi raha,😂😂👏👏👏👏 Mashallah👏👏👏 nimefurah sana
I wish you all the best bby boy
Mungu awajalie sana tena sana kwaupendo huo munaofanya. Toka DRC
Mtoto huyu mbona anakil za kutisha Mungu msaidie
Mkongwi Judi
jaman
i like that, kuwa vyote watakavyovifundisha nitavielewa hahaha
I wish you all the best
JACKLINE WOLPER TV Safi sana dada yangu
Dada jack
Hey
Jazakallah kheri...heri ya kumtakia mema mtu ni nzuri sana
Mungu awabariki sana hao wafadhili.na hata huyo SHABANI anaetajwa na Anton kua Amekua msaada wa wa family yao MUNGU ambariki.
akiripot kutoka eneo la tukio anaitwa Antony malatu wa ITV.....
gudumoningi mazaa
gwanta Man umeonaeee
gwanta Man ...hahahahaha hatare
We gwantwa Mungu anakuona 😃😃😃
😂😂😂😂😆😆😆
Nimependa sana
Wewe Mtoto Upo vizuri mungu atakurinda na ndoto zako zitatimia
Sio kuila mala nyingingi😂😂
Shufaa Mohameed 😂😂😂
pesa Ina kazi yake sio kuila Mara nyingi nyingi😂😂😂
Shufaa Mohameed
Shufaa Mohameed sasa kubwa jinga unamdiss mtoto.. huyo ndio.. unathani atakuwa hivyo miaka yote.... huyo dogo akifika umri wako hawez kuwa bwege Ka ww
Shufaa Mohameed kaongea ukweli pesa babe usiile mara nyinginyingi
Mungu ambariki sana Huyu mtoto na Familia yake ... Mwenyezi Mungu amwezeshe akawe mfano bora Mbeleni jamani..
Yaani huyu Mtoto, anaongea point tupu za kiutu uzima
Upendo Robert jaman mwalim.gonzo nimekuona baba tumepotezan miaka mingi
napenda Sana mtoto mungu waimburaimu na Isaac na yakubu amsandie
Uyu mtoto kwa kweli natamani ata kulia naomba mungu Na mimi vizazi vyangu viwe ivi amen