How i wish i was in my country i wouldn't have missed here, for yrs have been watching you online na vile my wish imekuwa tu i see you pastor, i like your teachings
Katika Juma muzima nime barikiwa na mafundisho ‘ na Mungu ametenda na ataendeleya ku tendance… Muchungaji ubaririkiwe na Mungu kuongezeye hekima zaidi.
Wewe fanya kazi yako ya kumuomba mungu,wanaokubali kukuwa pastors wanawake wenyewe watajibu siku ikifika. Mary alikuwa mfuasi wa yesu na alihubiri injili ila yesu alikuwa na sababu ya kutomueka awe kiongozi wa sinagogi iliyojaa wanaume. Wanaowekea mikono hao wanawake pastors watajibu wenyewe siku ikifika,wewe fanya nafasi yako ambayo mungu amekupa. Kanisa la katoliki ndilo bado ninashikilia baadhi ya mambo mazuri na lilianza likiwa Kanisa la mungu la pekee kabla shetani aliteke nyara
How i wish i was in my country i wouldn't have missed here, for yrs have been watching you online na vile my wish imekuwa tu i see you pastor, i like your teachings
Amen nabalikiwa sana mungu afunguwe maisha yangu abaliki familia yang naatuze ndoa yang amani na upendo vitawale maisha yang
Amen. Mungu awabariki. Nimebarikiwa sana katika hii makambi kama online viewer. To God be the glory!
Amen if there is anything amazing that happened to Adventists in the USA is Pr. Mmbaga. Glory to God, mtumishi barikiwa beyond measures.
Aminaa, nimebarikiwa sana kweli alituokoa kwa damu yake, tulipokuwa tumezama dhambini Asifiwe Bwana Yesu
Ameen nimebarikiwa sana, pastor mungu akubariki ili uongoe roho nyingi zaidi
Happy Sabbath Church.....Barikiweni sana
Pr. Nakuombea Mungu akubariki Sana kwa Huduma yenye mguso wa kiroho...
Naomba kujua jina la kwaya
Amen
@@MahubiriPrMmbaga REVIVER'S MINISTERS FROM KISII
Amina asante watu wa Mungu
Happy Sabbath...jamani mtumishi wa Mungu Mch.Mbaga please extend the blessings huku K.south Nairobi🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe
@@MahubiriPrMmbaga Amina🙏
Mungu atukuzwe kwa matendo makuu. Nikumbuke nami bwana.
mchungaji napenda sana huduma yako nabarikiwa sana
Nimefarijika sana
❤❤❤ ubarikiwe san apost🎉
Wapi panafaa kutumia jina la Yesu na wapi panafaa kutumia Damu ya Yesu?
Ubarikiwe pastor
🙏 🙏🙏
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Amen 🙏🏿
Amen
Happy Sabbath.
Katika Juma muzima nime barikiwa na mafundisho ‘ na Mungu ametenda na ataendeleya ku tendance… Muchungaji ubaririkiwe na Mungu kuongezeye hekima zaidi.
Happy sabbath
Hii kwaya inaitwaje jamani imenibaliki sana
🙏🙏🙏🙏happy 7th mungu wangu awabarik
Happy sabatho
Tunawachungaji wanawake tangu lini jamani tena kwa wasabato?mchungaji tunaomba maelezo
Zaburi 68:11 Bwana analitoa neno lake; Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa;
Wewe fanya kazi yako ya kumuomba mungu,wanaokubali kukuwa pastors wanawake wenyewe watajibu siku ikifika. Mary alikuwa mfuasi wa yesu na alihubiri injili ila yesu alikuwa na sababu ya kutomueka awe kiongozi wa sinagogi iliyojaa wanaume. Wanaowekea mikono hao wanawake pastors watajibu wenyewe siku ikifika,wewe fanya nafasi yako ambayo mungu amekupa. Kanisa la katoliki ndilo bado ninashikilia baadhi ya mambo mazuri na lilianza likiwa Kanisa la mungu la pekee kabla shetani aliteke nyara
Ninaflahi sana ninapoona wanadam wakimtumikia mungu
Hakika umenitia nguvu mpya, Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Amen
Amen
Amen