Hamna shida akiwa mwanafunzi,imean she said she's a 3rd year student,makofii kwanza👏👏👏👏 2nd, she's also venturing into the same industry as her "hubby", nakwambia hapo kuna future tena bright sana bora kikubwa ni mazungumzo na maelewano. Hawa tayari washapendana❤❤ jamani.
Pia Mimi natamani sana nifikie hatua hyo natamani namuomba Mungu sana na Mimi nipate kama wenzang hvyo nimeipenda sana Mungu awatie Nuru mfikiee ndoa Hadi uzee mwemaa❤❤❤❤❤
Kupenda si ajali....naona kuongezeka kwa idadi ya talaka tarajiwa, poleni sana, hamjui tips za kupata mwenza sahihi wa maisha na wapi umpate Ingekuwa ni amri yangu hiki kipindi nisingeruhusu kurushwa Strong marriage emerges from strong right foundation and not incidences
Inategemea na hisia za watu hao 2.. Na unaweza shangaa wadumu miaka mingi kuliko hao waliokuwa na uchunguzi wa miaka 7.. Na bado ndoa zinavunjika.. Kikubwa hisia na mioyo yao inaongea pamoja?Na njia za MUNGU azichunguziki kwa kila amuombaye hitaji lake.
Kwl kabsa bro,,, wanajitafutia balaa majanga ya mapenz,,, coz Raha ya mahusiano mkutanane wenyew mkubaliane na umjuane deaply ndo mtawezana HV HV uongo tuu pole yao sn 😭😭
This is amazing 👏 kaka anaonyesha anajali na anajielewa this is kind of man i want hana mapepe ila mungu afanye kher kama ni mtu mwema kwa huyu bint na yeye huyu bint pia kama atakuwa mwema kwa mwenzie pia kila la kheri mmendana
Mi nilisha mchagulia tangu mwanzo huyo dadaa ni sahihi kweli Kwa kuwa mke wa huyo bro .... Nawaombea saana na bro kweli huyo dada anaonesha kutulia saana .... Na umemzidi umri pia ni sahihii kwenye ndoa kumuongoza mke wako huyo , Wasichana wa kanda ya ziwa akipata mtu sahihii ni watulivu saana... Barikiweni saaana.
Yaani Tanzania watu wako humble walai😂😂Karibuni kenya tabia zetu hazitawaruhusu mketi nasi ata kwa sekunde😂😂😂Anyway I'm happy for you guys..Nendeni mkaujaze ulimwengu😂😂
Sawa kaka tuletee wifi yetu nyumbani tumempenda wachaga wote sisi nindugu❤❤❤ wachaga wote
😂😂imeenda hiyo shwaaaaa
hao madanga tu
Nimempenda kaka yuko smart kwa maswali mazuri na anajitambua kaka yetu mungu awajali mfikie malengo yenu❤
Wachaga hatuna mbamba
Kaka yuko smart sana na suti nzuri ❤❤
Wow masha Allah na mkifunga ndoa mtuonyeshe jamani ili kuwaaminisha na wengine kama ukiamua kila kitu kinawezekana
Hamna shida akiwa mwanafunzi,imean she said she's a 3rd year student,makofii kwanza👏👏👏👏
2nd, she's also venturing into the same industry as her "hubby", nakwambia hapo kuna future tena bright sana bora kikubwa ni mazungumzo na maelewano.
Hawa tayari washapendana❤❤ jamani.
Third year kadangaaa wee kachoka 😂😂
Nimependa ,kweli naona kunaupendo ndani yenu mungu awasaidie mfike mbali 🙏
Nipend yani kama wanaend vilee
Pia Mimi natamani sana nifikie hatua hyo natamani namuomba Mungu sana na Mimi nipate kama wenzang hvyo nimeipenda sana Mungu awatie Nuru mfikiee ndoa Hadi uzee mwemaa❤❤❤❤❤
Kwa KWELI Tanzania Wako HUMBLED People And Respect Also
Nawapenda san mungu awaongoze kwenye même in..shaallah
Hi ndio couple yangu pendwa nampenda sana Hamax
Mimi tokea mwanzo nilipenda hawa watu wawe pamoja mashallah Mungu awatangulie
Mimi nimewapenda sanaa hii sio tu couple goal ila ni partners ❤❤❤❤
hadi raha yaan.....hapo wamtangulize Mungu tu....na mie kama mtu mpo ready...gonga like tukayajenge hahahhahahhq😆
Niko hapa for you honey
Hahahaaaa kafika
Unasemaa 🤣🤣🤣🤣
Waoooh nice mmeendana sana tena sana MR RIYTH unajua kuchangua unajua tena❤ mungu awabariki mungu awaogoze katika safari yenu ya maisha amina
Mr Right"
Bonge la couple, Mungu awajalie mfikie hatua ya ndoa ❤🎉
Nawaonea raha sana hawa watu. Congratulations 🌹❤❤❤❤
🎉🎉🎉😂😂 niko kenya hii station ya kunipa mchumba iko nchi gani nataka pia 😢😢
tanzania
MR RIGHT unajua kuchangua hongera kaka ❤❤❤
🙌🏾🙌🏾Mungu awabariki mfike malengo
Hongereni sana nawaombea mfikishane uzeeni❤❤
Wowowooo karibu usukuman shemej yetu
Nimependa na nimependa tena✌️♥️
Haroos tunayo jamani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ imeshaendaa
Ningependa nimeet miss right mwenye anaweza kuntake care
Hongera sana mr right umepata mke hadi najiskia raha niki muangalia uyo binti na wewe ulivo mna pendezea kweli
I really appreciate this , am from mombasa KENYA
Jamani nawaombeni sana mrudisheni amigal namwijaku wanachangamsha sana tunawataka
Wow I love you guys am from south Africa🥰😘
In shaallah mwenyezimungu awapiganie katika penzi lenu
Wamependezana sana maashallah ❤❤
Mauwa 🎉🎉🎉yenu tunawaombea mfunge ndoa
Hii couple ni amazing 🔥 nimewapenda bure wameendana sana
Hongereni nimewapenda sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Waoooo mwanaume awe hivo ❤❤❤❤😊❤😊
Waoooo❤❤❤ Nimeipenda hii
Uyu msichana ni mke bora,she is very humble
Kupenda si ajali....naona kuongezeka kwa idadi ya talaka tarajiwa, poleni sana, hamjui tips za kupata mwenza sahihi wa maisha na wapi umpate
Ingekuwa ni amri yangu hiki kipindi nisingeruhusu kurushwa
Strong marriage emerges from strong right foundation and not incidences
Inategemea na hisia za watu hao 2.. Na unaweza shangaa wadumu miaka mingi kuliko hao waliokuwa na uchunguzi wa miaka 7.. Na bado ndoa zinavunjika.. Kikubwa hisia na mioyo yao inaongea pamoja?Na njia za MUNGU azichunguziki kwa kila amuombaye hitaji lake.
🎉❤
Kwl kabsa bro,,, wanajitafutia balaa majanga ya mapenz,,, coz Raha ya mahusiano mkutanane wenyew mkubaliane na umjuane deaply ndo mtawezana HV HV uongo tuu pole yao sn 😭😭
Wape wewe tips,msyuu
@@faithfaith-zr6gz yes Mungu anapanga huyu ni wako au siyo wako
Congratulations keep it up good job ❤❤❤❤
I'm a Kenyan and would love to have a TZ wife.You guys are lucky.
Are you serious
Am here
I'm here nitaenda kukaa uko tew😂😂😂
@@suzanakabatano6581 definitely 🤗
@@grace735 lazima kazi ufanye😂
Nyinyi mnaendana pia dada hana mapepe Mungu awaongoze
Jamaniiii nimejiskia kutokwa na😭😭😭😭😭😭yafraha
Mungu awabariki sanaaa
nandoa yenu idumu daima❤❤❤❤❤❤
For really nimeipenda hii..
Naiwe hivyo kwenu wapenzi🥰
Mmi ni mkenya natamani mwanamume mtz awe wakutoka arusha mchaga original, 45yrs and above niko hapa namsubiria❤❤😂😂😂😂😂
Wewe unataka mbaba .... Gojea tu utapata
@@onesmustop4band11 uyo uyo ndio namuitaji mie
Mchaga keshapenda tyr😂😂😂😂 ujee naee Christmas 🎄
😂😂😂aje nae Xmas ndo mtalipa mahali🤷♀️😂😂😂
Nimependa kwakweli mnaonekana maisha yatakuwa nafuraha jmn mungu awatunze❤❤
Yaani natizama mahusiano ya watu najikuta natabasamu nyieeee❤
Hongera nawapenda wote wawili
Akitokea mzee mwenzangu mwenye watt wa 3 kama mm mniambie wapendwa 😂😂mm 😂😂😂😂😂 mana humu kila mwanamke hajazaaa
I like the word of love ❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mwanaume amependa eti 😂😂😂
Hii nimeipenda good
Penzi jipya hlo nilamoto kweli uuuuuuuuh 🎉🎉🎉❤❤❤❤jmn mwenyez mungu nipe namm mwenye kheri namie🤲🤲🙏
Wow ❤❤❤ mmependezana htr
Yan wachanga rafudhi yao jmn🤭🤭🤭🤭 inaondoa romantic scene🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Yan inaharibu 😅 mi inanifanya nisione kama wapo serious muda mwingine
Mashaallah ❤️ nimeipenda iyi kapo jamani Allah awajalie muweze kufika kwenye malengo yenu ya maisha inshaallah
Nimeikubali hiyo couples jaman hao ni Devi's na Hamax waoooo so amaizing
Mbona kama cinema hii😂😂
mungu awajaliye katika ndoa yenu
Naipenda sana hii couple ❤
This is amazing 👏 kaka anaonyesha anajali na anajielewa this is kind of man i want hana mapepe ila mungu afanye kher kama ni mtu mwema kwa huyu bint na yeye huyu bint pia kama atakuwa mwema kwa mwenzie pia kila la kheri mmendana
Wow 🥰🥰🥰 congratulations 👏👏👏 mungu awasaidie mfunge ndoa😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Love is a beautiful thing.❤
Nungu za Kenya ziko wapi, zione jinsi ya mazungumzo ya wapendanao🤣🤣🤣sasa hapa ungeskia halafu rada wwwe all da best mwafaana lakini
😁😁😁😂
Waooh kazi sahihi kabisa😅
Mke umepata ila kaka umtunze huyo mke mumche Mungu sana
Kwakweli nami nitakuja ramda nitapata Mzee mwezangu ishallah
Mkija kuachana mtujuze tasavali😂😂😂
Wow jamaan nyieee nmewapenda bure 😍
Wachagaa wote mbinguniii🎉🎉🎉nawapendaa sanaaa baby kokote ulikoo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙈
Jmn nimpate nani😢😢😢 tutengeneze maisha
Kapu hii itadumu Mung awabariki sana
Kapu😆😆😆
@@nancyg8664kapu tena 😂😂😂
Wow the amazing couple you are
Ningependa nijue hii couple inajiita aje Instagram ❤
Congratulations ❤
All the best❤
Am a Kenyan by birth based In Dubai i would like to have a tz hubby bt hardworking man
Sasaive tunaenjoy kipindi kizuli
Hongeren san
Waoooh Hadi raha
Ongela mwaya
Kama igizo Fulani kumbe kweli
Mungu awatunze sana
Wewe mwanamke umejichanganya kweri geita ungepigwa na ng'ombe
Wekeni nayawakubwa😂😂
Wameweza hata😊
❤❤❤❤❤❤❤mungu awabariki sana
Wamependezana sana❤❤❤❤❤
Wachaga tunajielewa sanaaaaa karibu nyumbani wifi yangu
Kweli mr right navutiwa nataka nipate mahusiano nawe naandika na mi ni single hallo right
😂😂😂😂 sijui nacheka nn
Nimewapenda bure❤❤
Hawa teyari wamependana nandoa itafungwa kwa utaratibu mauricio haijawai tokea
Kwa kifupi,mi naon mmepatana❤
Mungu awawekey wepesi kweny hatua nyingine
Aseeee sio poa ukiskia kulamba dume ndo huku sasa
Mwamba Karamba jike👏👏👏
Kweli kuna watu mungu ame waumba kua baraka huyu dada amepata mume na huyu kaka amepata mke ametulia sana
Karibu shemeji
Umalaya bongo mpaka mitandaoni ishaanza kutangazwa.
Kuna upendo ndani yao MUNGU awafanye imara zaidi
Hamax wew ninamaxhaka nawew kama kweli mke bora
Hongera!
Mi nilisha mchagulia tangu mwanzo huyo dadaa ni sahihi kweli Kwa kuwa mke wa huyo bro .... Nawaombea saana na bro kweli huyo dada anaonesha kutulia saana .... Na umemzidi umri pia ni sahihii kwenye ndoa kumuongoza mke wako huyo ,
Wasichana wa kanda ya ziwa akipata mtu sahihii ni watulivu saana... Barikiweni saaana.
Yaani Tanzania watu wako humble walai😂😂Karibuni kenya tabia zetu hazitawaruhusu mketi nasi ata kwa sekunde😂😂😂Anyway I'm happy for you guys..Nendeni mkaujaze ulimwengu😂😂
😂😂😂😂
Koooma😂😂😂😂