Hii ni video mpya ya SAJNA ft. LINAH, wimbo unaitwa SITAKI TENA KUUMIZWA, ni mwendelezo wa story ya IVETA. Imefanywa na kampuni ya VISUAL LAB/NEXT LEVEL.
Jama kidbway uko wap mbona kimyaaaaaaa sannnnnaaaaa aise njoooni okoeni bongofleva inaenda kufaaaa mlipambana san kukiwa hakuna pesa ssa kuna pesa mjitokeze sasa
Kuna nyimbo ukisikiliza zinarudisha memory flani akilini afu kuna nyimbo kama hii...hairudishi tuu memory bali inaishi mpaka sasa...na itaishi sana tuu...mashairi yalipangwa yakapangika🙌🏾🙌🏾
Wakati huo wimbo anautoa alikuwa Form3 pale Milimani Secondary Mwanza yaani Walimu wakike wakujitolea waliokuwa wamemaliza form6 niliwashudia wanadata kwa mwanafunz wao yaani nikikumbuka nacheeeeka sana Kweli maisha haya Basi tu. Nakuombea sana Faraji wetu urudo Online
Kwenye Trending hakuna msanii aliyewekwa humo kwa uwezo wa kipaji chake ni kafara tu, Muziki ungekuwa na haki huyu jamaa angekuwa anaishi MIAMI FLORIDA huko amerika kwa mafanikio ya huu wimbo pekee
Siku nimepata tokeo langu la olevel na jiti langu likiwa limesimama kwenye ile shule, ilikuwa furaha kubwa sana uku nimevuta elia kusikia nyimbo hii fm kupitia redio aina ya rising
Hichi kijamaa kilikua na kipaji sana ila viwanda vya bongo vikamtosa Tumebakia kushabikia mamziki yenye ladha mbayaaa Ladha kama hzi zimefukiwa daaaah sajna wap bana uludi ulingoni
2022 March 31st who is here still listen this song...nmekuja kutafuta mistari ya kuachana na mtu kwenye hii ngoma kweli..Sajna sijui uliendaga wap kaka🙏🙏🙏🙅♂️
It reminds me when I was form one student at St Thomas Aquinas Sec , Igunga in 2011. The song was played near the school at the centre of village. 🙌🙌🙌🙌
Kama kuna wengine wamerud kuuangalia tena 2024 km wimbo bora gonga like yako apa
Tupo hapa
Bila shaka tarehe 6 February 2024
Wimbo bomba sana
Hii ngoma haichoshi
Yeah 6/4/2024
Hii ngoma nmerudi kuisikilizaa tena june 18 mwaka 2024 weka comment kama umeumizwa na umepata penzi jipya tenaaaaaaa
2023 bt still this song teach how to be genuine to our spouses,big up man Sijna.
Singida bg sta
❤Ngoma Kari
Love from Burundi 🇧🇮 🎉
2023 still listenning to this masterpiece😢 unanigusa sna huu wimbo
Umechagua mwenyewe kuwa njiwa wivu wa nini kwa n'gombe anayekamuliwa ❤
ukowapi kaka sajna?Omba sapoti mashabiki wako bado tupo,,!!
Mashairi ya wimbo huu kila nikiyatafakari hakika Dogo ulijipanga na ukautendea haki ngoma haichuji
Unanigusa Sana Ujumbe Wa Huu Wimbo Daah
Namkubli San sajn sijui kapotelea wap saiv
Nikweli dogo aliimba sana
Dah hii nyimbo itaishi vizazi na vizazi what a song 🙌
Mwezetu kaimba ka Ally b wa Mombasa jameni lakni MUNGU aipe roho yake mahali pema peponi,,,nawe Sajna Mungu akupe maisha marefu ya uimbaji wako!🙏
Jama kidbway uko wap mbona kimyaaaaaaa sannnnnaaaaa aise njoooni okoeni bongofleva inaenda kufaaaa mlipambana san kukiwa hakuna pesa ssa kuna pesa mjitokeze sasa
Hizi ndio ngoma nani anasikiliza huu wimbo na mimi leo ni ijumaa 18/10/2024 nkono juu
Uyu sajna mikona kampa j melody gonga like hapa kama unasikiliza2024
Kama kunamtu anaskiriza hiingoma 2024 gonga like
Bonge moja la goma hili... Daah siku zinakwenda
Old is Gold 2020 kama kawa wahenga wenzangu gonga like twende sawa Sajna Anajua ila walimbania
Nakubali kweli kaka,walimbania sana man
Anajua sn
Hawa watu nyimbo zao bwana zilikiwa tamuu na bado ni tamu sikiliza hii na amaboko ahahahahahaaaaa utajua utofauti wake ni mini.
@@aishakabogo2725 kwel kabsa nyimbo haichosh kuskilizwa me kila siku naskiliza naona kama mpya vle
Ngoma kariii mnoo
Kuna nyimbo ukisikiliza zinarudisha memory flani akilini afu kuna nyimbo kama hii...hairudishi tuu memory bali inaishi mpaka sasa...na itaishi sana tuu...mashairi yalipangwa yakapangika🙌🏾🙌🏾
still loving this song to date.....big up SAJNA. and LINAH.watching from Kenya.
Dah nakumbuka 2011 nipo darasa 4 nilikua napenda kusikiliza huu wimbo
Huu wimbo uko sawa sana.. Instruments, audio, video 😍😍
Imebidi nije tena kuutafuta kwakweli. 2019 anyone?
Old is gold ❤ Dunia ilichompa mama
Wallah this is a true story of my life. But now am happy alhamdulillah nashukuru mungu.
waha ndo watu wetu aise
Great job.....mistari imeshiba ujumbe wa kweli!!!! Salute frm SA
Baada ya ushindi wa Man U vs Man City jana, leo 08.12.2019 nmekuja kupata wimbo mzuri sana kutoka kwa Sajna...utaishi milele wimbo huu.
Nakumbuka nilinunua kinokia 7230 changu enzi niko chuo, huu wimbo ilikuwa haipiti siku bila kusikiliza, wimbo mzuri sana. Sijui Sajna kapotelea wapi!
Yuko mwanza anauza mitumba Uhuru dampo
Yaani hawa wasanii walikua na vipaji sana sio kama hawa kina marioo
Moyo wang bdo unaixh kwkouku ugenin kun mwil pekee... ddaaaah mstary umenyook na umeeleweka... nice linah sanga
nakumbka ndo nipo 4m2 jaman ,nilikuwa naupenda sana huu wimbo
felister David sasa hivi umekuwa professor, mbona hutuambii?
Hahaha mm npo form two pia
Kila siku nasikiliz hili goma
felister David 2010 hiyo
Wakati huo wimbo anautoa alikuwa Form3 pale Milimani Secondary Mwanza yaani Walimu wakike wakujitolea waliokuwa wamemaliza form6 niliwashudia wanadata kwa mwanafunz wao yaani nikikumbuka nacheeeeka sana Kweli maisha haya Basi tu. Nakuombea sana Faraji wetu urudo Online
Natamni izi Melody zi rudi sajna urudi
Siwai kutoka hapa mpaka sasa 2019 nipo tu naipenda kufa nyimbo hii
mm mwenyewe hii nyimbo inanibamba kama huta umiza bas utAumizwa
Naikubali sanaaa
Wimbo unabamba sna
Me too
hosen machoz kafia geti
Kwenye Trending hakuna msanii aliyewekwa humo kwa uwezo wa kipaji chake ni kafara tu, Muziki ungekuwa na haki huyu jamaa angekuwa anaishi MIAMI FLORIDA huko amerika kwa mafanikio ya huu wimbo pekee
Kama bado una ukubali huu wimbo like hapa sijawai kuuchoka big up bro kwangoma Kali.
Siku nimepata tokeo langu la olevel na jiti langu likiwa limesimama kwenye ile shule, ilikuwa furaha kubwa sana uku nimevuta elia kusikia nyimbo hii fm kupitia redio aina ya rising
Nakumbuka ck ya haruc yng huu wimbo unanikumbusha mbali sana japo mume wng hayupo dunian Mungu amlaze pema 🙏
innalilah wainnailah rajjiun pole my muombe dua tu
Polee inshallah utapata mume bora mwingine
R.I.P
Pole sana ahsee Allah akuongoze kwa yote katika maisha yako
Pole sana sanaa Mungu akufungulie mlango jamani
alo tumerudi 2024 kuskiliza ngoma kwa mara nyingine
Nyimbo za maana achana na akina Diamond, eti paka mate niteleze
🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Inapendeza cha kale zahabu(old is gold)
🤣🤣🤣😃😃😃
😀😀😀
Mpaka. Mseme ❤
Kama unautazama mpaka 2019 gonga like kama unarikubari hili song
Mkombozi Nyalinga like
Aaaaah, jamaa cjui anakwama wap
2019 the god msc
pamoja sana
Tangia 2010 -2019 naingalia hii ngoma aisee ninoma sanaa haichuj
Mashahiri y zamani n ukwelele noma sna eeee mungu warudishe vijana wako wafunze dunia n siyo kualibu tena.
wimbo mkali sana. brrrrrrrrrraaaaaaaaaam! big up TZ.
Jita hidi kijana ili ufike uendako nakuta kia mwimbo zuri sana
da Nomaa nyimbo imenigusa
Hatar 2020
Dah enzi hzo cc pia tukijichangachanga et tukatoe wimbo wetu tushndane na sajna dah htr sana.
Sajana bado u rock in 2016 ata kama upo ziiii we miss u nan anakubali
Mm nakubali we luv yuh sajna
Videogame
Nammiss pia sjna afanye arud
Yuko vizur uyu jamaa cjui kaenda wap
Duh! Mdau kapotea kwenye dira yupo tuu mabibo anazulula😓😓😓😓😓
Staki Tena kuumizwa na Mimi staki kumuumiza mwenzangu ...so powerful 💯
Kila nikiona jina la huyu jamaa nasikitika sana😭 sijui nini kilitokea lakini alikuwa awe staa mkubwa sana aise....sajna🔥🔥
❤❤❤
oyyy 2023 Bado ipo juu sana
This guy was on top of his game.well balanced instrumentals crowned with parfect voices.
Yaaani memories
Sikuiz kawa mlevi anakunywa mpaka gongo
@@lastborn6620Ngai! Ati nini???
Safi....👍💥💥💥🥰🌹🌹
Sajna umetishaaaa jommbaaaaaaaaaaa! Aminia bradha..
Haswaa
Watu walikuwa wanaimba bhana siyo sahizi kelele kibao 29 Aug 24
moyo wangu bado unaishi kwako huku ugenini uko mwili pekee!!
Nimejifunza mengi sana kupitia wimbohuu na mungu azidikukutia nguvu kaka sajna uzidikufanya makubwa zaidi kwa wengine naowajifunze
God please take me back home. Missing Tanzania too much!
Hope you made it.😢
Hii nyimbo nimeikubali tangia niko mdogo coz nilikuwa ninamiaka 18 🎉🎉🎉❤❤❤❤
Tanzania we have to revew that miziki imepotea siku hizi tuna shabikia utumbo
Dah mke Wang ulie olewa na rafik ang Aman itawale kwenu AMINA
Tuliokutana tena 2020 tujuane kwa like bac
Bado tupo
In fact, it is a song that when you listen to it, it evokes true feelings for the person you love,
Likes za sajna na Linah sanga zicome through 2019 bado ngoma kali
namkumbali sajna mpaka leo watching from mombasa kenya
2019 still watching this from Kenya naombeni izo like joh
😙😙😙
tupe nyingine nyimbo m shabiki anko namba 1
hiingoma inanikumbusha mbali sana
Very nice song 👍👍👍
wimbo wangu pendwa kabisa jamaa sijui yuko wap
sajna brother,nihatare heburudi kwenye game
sajna a anajua sana 2019still listening 254
memories as I listen to it [2021], great song indeed
Hichi kijamaa kilikua na kipaji sana ila viwanda vya bongo vikamtosa
Tumebakia kushabikia mamziki yenye ladha mbayaaa
Ladha kama hzi zimefukiwa daaaah sajna wap bana uludi ulingoni
Down the memory lane. 2021 and still sounding as a new song in my mind. Anybody else from Kenya listening to this great song??
Ndaani listening 2021,2022👏
🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎵🎵🎵🎤🎤🎤🎤🎸🎸🎸💓💓💓💓
Here we go 254
2022
2️⃣ 0️⃣ 2️⃣ 2️⃣ 🇨🇩🇹🇿🇺🇸
Daaa ulikua lol modo Wang namis sana uwepo kwenye music
Umechagua adhabu ya kujiuwa iweje sumu umezee maziwa?...........umependa mwenyew kuwa njiwa wivu nn kwa ng'ombe anayekamuliwa............. 4/10/2019
Sajnah!😘😘
Old skool bongo is unique , beautiful and solid... Awesome 🎵🎶
Time really flies 2024 still a banger 🔥
Much love from Kenya 🇰🇪
Vidioz,
Huu wimbo mkaliy Sana Yani,utadhani umetoka Leo
like serious ctaki tena kuumizwa na mm ctaki kumuumiza mwenzangu😢😢
Karembo Suzzie hahahaa najua mi chaguo lakooo
Karembo Suzzie karembo nitafute
Karembo Suzzie
santha nakubali karembo suzzie
Hhhhh wewe
Sajna ulitisha kinyama kwenye hii ngoma but nakushangaa now days kimziki umekua marehemu while u are very talented.....2019 still we rock with it
Back in the days when message was music and music was message...forever a fanatic
2022 March 31st who is here still listen this song...nmekuja kutafuta mistari ya kuachana na mtu kwenye hii ngoma kweli..Sajna sijui uliendaga wap kaka🙏🙏🙏🙅♂️
This one will remain to be my favorite song .11yrs down. Still a hit.
Huu wimbo una nikumbusha mbali sana akhasnte x girl friend wangu kwa ulicho nifanyiagaa 2020
sitaki Mm kuumizwa wala sitaki kuumiza mwenzangu hujakosea
Yan nikiwa na stress bora nisikilize Ngoma za zamani kama hizi ase . Kama lina na mwa
2024 still a hit song
Kaka kipi kimrkupoteza... Maana Kila Ngoma ni Kali alafu ulikua unamaanisha
Hawa madogo walikuwa wanajuwa vibaya mnoo
Walah old is Gold🔥🔥🔥🔥 2020🙌🙌
Nipo hapa
Huyu jamaa kweli kajipanga . Ngoma haichuji . Kama mna mkubali gonga like hapa
nilkua 4m4 wakat ngoma hii iko on fire!
Me naomba kuulizani ya mwaka gan hii ngoma wadau
Naomba like 13-10-2019
Namshukuru mungu yupo nimpendae saana❤❤🎉🎉
It reminds me when I was form one student at St Thomas Aquinas Sec , Igunga in 2011. The song was played near the school at the centre of village. 🙌🙌🙌🙌
dogo sna wew hapo tunafanya mtihan f6
Most wanted Army nimelikumbuka daraja la Mbagala tupo live 2024
Watching this 2021..where did Sajna go???😓
Naipenda mpaka kesho
Ivi jamani uliishia wapi jamani ngoma zako kaliii kama hizi 🤲🤲🤲
Tunakupenda sana hapa kenya sajna
Here 2021.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ngoma kali sajina rudi kweny game mashabiki zako tunakuitaji2021
Kama 2022 unasikiliza kaz hii gonga like twende sawa👊
Ni Sajna yule yuleeee....izi ngoma daaahhh mambo mbaya
Kama unaskilza nymbo hz 2020 weka alama za vidole hapa Nida👇
🖐
2021
Who's here 2023...
The tune still fresh..like tukisonga happy new year
Old is gold ..nani anakubaliana nami
Gonga like 👇👇