Bob Junior - Oyoyo (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @heriethkusigwa8469
    @heriethkusigwa8469 3 роки тому +556

    Kama umerudi hapa baada ya kusikiliza Historia ya Caroline Hawa ya Ugonjwa... Mwambie Mungu Ahsante kwa Uzima na Usiache Kumuombea Kwa Mwenyezi Mungu Apate Uponyaji 🙏🙏

  • @allykazoa8324
    @allykazoa8324 9 місяців тому +181

    Aliyeludia Ngoma Hili 2024 Tbt Like Tafadhali

  • @ParkviewInn
    @ParkviewInn 9 місяців тому +88

    Ee mwenyezi Mungu,Mungu wa rehema mrehemu huyu dada akapate kibali mbele zako,mrejeshee afya yake Bwana najua kwako hakuna linaloshindikana

  • @shukumangula
    @shukumangula 9 місяців тому +27

    Naumia moyo wangu unavuja damu mungu mponye hyu binti kiukweli ameteseka vya kutosha msamehe tu

  • @rhodanakamba5279
    @rhodanakamba5279 8 місяців тому +102

    Anae sikiliza Ngoma hii 2024 ngonga like hapa tujuwane

  • @mtaostephen3660
    @mtaostephen3660 Рік тому +25

    Kama unasikiliza huu mkwaju 2023 wewe ni mkongwe na unastahili heshima kabisa....nyimbo Bora kabisa hii ya muda wote!

  • @ZiadaMohamed-hj5rx
    @ZiadaMohamed-hj5rx 9 місяців тому +10

    Mungu naomba msaidie huyu Dada apone jamn arud kwenye hal yake ya zaman AMINA🙏

  • @eddyeddy2907
    @eddyeddy2907 4 роки тому +143

    Nani alyerudi hapa kuja kuiangalia hii video upya baada ya kuskia taarifa ya huyu dada video queen wa nyimbo hii anaumwa

  • @amshapoposafaris9410
    @amshapoposafaris9410 9 місяців тому +5

    Duu kumbe ndo huyu aliikuwa ndo queen kweny wimbo wa sharo,huyu dada ni mzuri..mungu amlinde na amponye Pia 😢

  • @bonnychidi849
    @bonnychidi849 3 роки тому +47

    Kama unakubaliana na Mimi kua DIAMOND alimwibia NYOTA huyu mwamba BOB JUNIOR 💪💪na ndo ana shine nayo hadi leo,pitia hapa tujuane..👍👍👍

    • @mariamfanuli5070
      @mariamfanuli5070 Рік тому

      Kweli kabsa

    • @sadihashimu4664
      @sadihashimu4664 9 місяців тому

      Hakika

    • @ManofValor73
      @ManofValor73 8 місяців тому

      Acha njaa wewe!😂,,,,, discipline na hardwork=success

    • @AzizaRamadhani-uh6ho
      @AzizaRamadhani-uh6ho 6 місяців тому

      Huna akili

    • @soundmale
      @soundmale 3 місяці тому

      Alichokisema kinaingia akilini na kutoka ..hata mm huyu jamaa nilikuwa namuelewaga mpaka leo sijui ilikuwaje yaani diamond kama vle alirithishwa nyota na huyu jamaa😰

  • @MejasonMzazi
    @MejasonMzazi 9 місяців тому +15

    Machozi, maombi, masikitiko na dua zetu zote ni kwa Hawa. Kamwe watanzania wenzako hatutochoka kukuombea Mungu akuponye na kukuepusha na maradhi mengine.

  • @IssaTona
    @IssaTona 2 місяці тому +1

    Mwenyezi mungu
    Amfanyie wapesi sixter caroline upone❤ 🙏

  • @jackkidagayo3602
    @jackkidagayo3602 4 роки тому +180

    Jomone kama tupo ote 2020 gonga like jamn sjawah pata like npate ata 5 jamn 🤲

  • @walterlema5736
    @walterlema5736 9 місяців тому +5

    Kweli kabisa Mungu amsamehe tu Kuna ulimwengu wa roho unamtesa huyu Binti..2024...march 7

  • @leonking22
    @leonking22 Рік тому +43

    It's 2023 and still feels good as a throwback 🔥🔥

  • @mabubakitambi6599
    @mabubakitambi6599 5 років тому +83

    Wakwanza 2020 like zenu jmn tuliommix Bob j

  • @glorykarim1570
    @glorykarim1570 3 роки тому +44

    2021 uyu ndio calorine Hawa anaumwa sanaa jaman yaan yupo hoi ndio uyu queen video wa nyimbo hii masikin mungu amponye uyu dada😭🙏🏼

    • @emjay1016
      @emjay1016 3 роки тому

      Jamani hivi bado hajapona

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 роки тому +2

      😭😭😭😭😭😭Nimekuja apa baada ya kumuona Leo akiomba msaada amefumuka mshono utumbo adi unaonekana kidonda nimeshindwa Ata kuangalia pale alipokifunua nimehisi tumbo linakata

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 роки тому

      @@emjay1016 yaan kwasasa Hali Ile idi kua mbaya ametoboka tumbo ad utumbo unaonekana

    • @ujenziwanyumbakisasatanzan6343
      @ujenziwanyumbakisasatanzan6343 2 роки тому +2

      Nilipoona Ile interview nikasema nimewahi kumuona kwenye video, nimemtafuta kwa mb dogg nikamkosa, nikasema nijaribu Bob junior ndio nimemkuta,
      MUNGU amsaidie apone

  • @skmwenyewe07
    @skmwenyewe07 Рік тому +43

    Old is gold , watu wako huhu kuitazama 2023 April mko wapi❤

  • @cuppymarion7063
    @cuppymarion7063 Рік тому +13

    As kenyans we need a concert of these old school bongo😭 these songs slaps so hard😭❤

  • @abdallabakari6000
    @abdallabakari6000 2 роки тому +2

    Mwenyezimungu ampe afueni ya haraka uyu dada carina hussein 🙏🙏🙏🙏🙏 kweli binadam sio chochte Allah mpe nafuu ya haraka dada yetu uyu vixen carina hussein

  • @baizoboy1719
    @baizoboy1719 9 місяців тому +9

    Niko hapa baada ya kusikia huyu video vixen anaumwa jaman.. Mungu mponye😢😢

  • @Brian.f.odinga
    @Brian.f.odinga 5 місяців тому +1

    Naukumbuka sana huu wimbo nikiwa kidato cha kwanza,mapenzi tele toka 254

  • @brianamwai5658
    @brianamwai5658 11 місяців тому +17

    2024 his here more love from Kenya 🇰🇪

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 6 років тому +1

    Jamaa ndio alowafundisha wasanii wa muziki bonqo kukoqa na kupiqa pamba
    Salute kwako Mr chocolate 👨🏽‍✈️

  • @gamatv2249
    @gamatv2249 4 роки тому +32

    Who know caroline hawa now after sick
    God bless caroline back wll

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 Рік тому +5

    Tuliokuja hapa baada ya mateso ya hawa,tujuane😢😢😢😢😢😢

  • @Michealfarah-n1w
    @Michealfarah-n1w 7 місяців тому +4

    Vixen huyu dem ndio ambaye ambaye ni mgongwa San ila mungu atammsaidia operation nyingi amefanyiea bado hajapona inaumiza sana,😢😢😢

  • @AshaAdam-dh9vq
    @AshaAdam-dh9vq 9 місяців тому +5

    Mungu wa Ibrahim Mungu wa Isaka Mungu wangu ninayekuabudu naomba sikia maombi ya watoto wako dada yetu Caroline apokee uponyaji wa kiungu

  • @charitymanga5728
    @charitymanga5728 5 років тому +215

    who's still watching 2019😍...love from 254

  • @NasibuDotto
    @NasibuDotto 6 місяців тому +1

    mm Ndio naiangaria hihi video jamani kwani inanikusha mbali kweli❤❤❤❤

  • @ericomollo8181
    @ericomollo8181 4 роки тому +71

    Enough respect,this guy gave Diamond the platform to be where he is now.

  • @salmahemed410
    @salmahemed410 8 місяців тому +2

    2024 tujuanee Mungu amponyee uyu dada 🙏🏽

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 2 роки тому +7

    Niko hapa baada ya kusikia bint anaeumwa ameimba na junior😭

  • @mmnimshindi
    @mmnimshindi 7 місяців тому +1

    Twashukuru kuturetea storiya hawa tumemuonazizuri na mungu badoyupo pamoja nae ishalla

  • @kabintmpase1544
    @kabintmpase1544 3 роки тому +3

    Nyimbo zilikuwa zaman wanaimba watt adi wazee lakin sasa dah😥😥

  • @josephmbamba9773
    @josephmbamba9773 5 років тому

    Daaah maisha safari ndefu kweli enzi hizo dole gumba mia mia kweli Bob junior ndo kilikuwa kipindi chako unatamba leo mwaka 2019 nakumbushia tu daaah

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 4 роки тому +13

    Nimerud kuiangalia hii video ya bob kwasababu nimesikia huyu mrembo anaumwa jaman 😭 mungu amponye Amina 🙏

    • @shaabanthabit3730
      @shaabanthabit3730 3 роки тому

      anaumwa nn

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 роки тому

      @@shaabanthabit3730 a nasumbuliwa na tumbo hivi Sasa Hali imezidi kua mbaya yaan nimekuja hapa baada ya kumuona akiomba msaada tumbo limetoboka adi utumbo unaonekana kama una moyo mwepesi huwezi angalia Mara mbili yaan ni tukio la jusi tarehe kumi mwezi huu wa Sita eti ameota akichomwa Kisu na alivo amka amekua mshono umefumka damu zinavuja na alishafanyia upasuaji Mara kumi na mbili na Sasa a natakiwa kufanyiwa tena

  • @soundmale
    @soundmale 3 місяці тому +2

    Duu kipindi hicho hakuna hata tv home nikiisikia inapigwa hata saloon najisogeza..huyu jamaa ndie sharo🎉😢

  • @mussalubua8649
    @mussalubua8649 2 роки тому +22

    Tulio kuja apa baada ya kusikia huyo dada video Queen anamatatizo anaitaj msaada TUJUANE🙏

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 Рік тому +2

    Bob junior wap Tena ngoma Kama iz tmezmc Sana 💪 ktoka kwako2023

  • @salimhashim558
    @salimhashim558 5 років тому +54

    2019 bdo iko vizuri gonga like apa acheni utan zigi zaga zigi zigi zoo

  • @hillaryjoshua6326
    @hillaryjoshua6326 3 роки тому +2

    Dah.. Hii Nyimbo inanikumbusha Kitambo Sana Namkumbuka Mwanangu.. Issac Kokote Ulipo... Salam Kwako Sharobal... Enzi Hizo Hizi Nyimbo Tulikuwa Tunaimba Huku Tumejifunga Vitambaa Vyeupe mikonon na Kichwan... Nimekumiss sana Mwanangu Kokote... Ulipo Msalimie Denis na Mama Yake... Pamoja na Teddy..

  • @levinaonyango
    @levinaonyango 3 роки тому +60

    Who's here in 2021 and the lyrics still flows as if it was yesterday ♥️♥️♥️

  • @Riamaproduct
    @Riamaproduct 9 місяців тому

    Mungu amsimamie apone maana anateseka sana. Ya Rabi mjali dada huyu aweze kupona amiin

  • @khadijamwingo7331
    @khadijamwingo7331 2 роки тому +56

    I love this song and the lyrics still so fresh in 2022

    • @philemonradjiv757
      @philemonradjiv757 2 роки тому +1

      Same something

    • @sbr231
      @sbr231 2 роки тому

      You are not alone
      Tuko pamoja 🎶 🎧 🎤 🇨🇩🇹🇿🇺🇸

    • @ivenking254
      @ivenking254 2 роки тому

      Ngori.🔥🔥🔥

  • @humairamajengo6616
    @humairamajengo6616 3 роки тому +1

    Nyimbo nilikua naipenda sana akat inatoka na mm ndo nilikua naanza kukua ila leo nimekuja baada mrembo hawa kuugua mungu akuponye inshaallah

  • @TheVadFamily
    @TheVadFamily 5 років тому +57

    2019🔥🔥🔥hit still hot,, who's watching with me

  • @IrenePolycarp
    @IrenePolycarp 2 місяці тому

    MUNGU ni mwema sanaa uyu dada amepona nanimzima🙏

  • @frankmziri5324
    @frankmziri5324 3 роки тому +6

    Bob Junior. One love brother 🔥🔥🔥

  • @ya_zouk
    @ya_zouk 7 місяців тому

    Big up Bob Junior, nilikuwa nakuskiza nikiwa shule ya msingi nchini Kenya. Much love.

  • @marvelismail8654
    @marvelismail8654 5 років тому +7

    Oyoyo..i can't forget these days when i was still in Tanzania

  • @Officiallmyra
    @Officiallmyra 9 місяців тому

    😢😢Hatujii yajayo katika maisha yetu site..TUNAKUOMBA MWENYEZI MUNGU mponye Hawa, ninguvu zako TU ndio zitamponya🙏

  • @yusufumakoga2363
    @yusufumakoga2363 5 років тому +16

    Wanae ipenda hii ngom kam mm gong like twende saw

  • @JumaMomo
    @JumaMomo 3 місяці тому +1

    Ngoma kali Sanaa jama anajuwasana ❤

  • @esthermibaleo1900
    @esthermibaleo1900 2 роки тому +16

    This will always be a sweetest song ever🤩😛😍😍🥰

  • @neemalkiswaga6126
    @neemalkiswaga6126 4 роки тому +1

    Mwenyenzi Mungu amfanyie wepes huyu Dada apone😢😢calorina/Belinda kwenye move

  • @gabriellydaud5411
    @gabriellydaud5411 7 років тому +24

    Kaka nakubali sana kazi zako sema nn ndondosha #kichupa bhna kitambo sana jamaniiiiii

  • @AlhajiShekimweri
    @AlhajiShekimweri 4 місяці тому +2

    Kabla hujafa hujaumbika Mungu huyu Amfanyie wepesi dada huyu

  • @leylahnour8059
    @leylahnour8059 Рік тому +6

    it's been years now since I had this. sweet music in my ears but still lyrics flowing neatly 😅🔥

  • @cassperrevindines1620
    @cassperrevindines1620 4 роки тому +2

    Am here again after Caroline hawa (video queen)sickness ..
    God bless you hawa

  • @nacyluizer3734
    @nacyluizer3734 6 років тому +137

    Mbna huyu dad kavaa vizur na wimb uko Poa...

  • @EddyTandam
    @EddyTandam 8 місяців тому +1

    Nimemic Sana kukuona kwny game aiseee Bob junior

  • @lucywaka6649
    @lucywaka6649 6 років тому +15

    The king watching 2018 from 254. Sharooo

  • @johnsonbanda6034
    @johnsonbanda6034 3 роки тому

    Ngoma karii Tz mpaka Zambia bado tuna buludika💪💪

  • @franklinelikhanga1329
    @franklinelikhanga1329 Рік тому +3

    This song made me to fall In love with bongo songs forever

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 4 роки тому +1

    Bob junio wap now mziki wako mzur voice amazing the way unavyochezaga 💗💕❤️

  • @wiremeshmurume006
    @wiremeshmurume006 5 років тому +14

    2019 tunaifungia huku more love from kenya

  • @kizazijeuri8120
    @kizazijeuri8120 9 місяців тому +3

    Kama bado umerudia 2024 na bado unaishi kwenu bro bro stuka wewe ni mkongwe wakufukuze ukakae jela

  • @salimmtenzi1263
    @salimmtenzi1263 3 роки тому +18

    When bongo flavour was bongo flavour before konde geng and wasafi killed it. We really miss them days👌👌👌

  • @mussa_abshatrojimfitness6029

    Leo nimekumbuka kweli hizi nyimbo, enzi izo, ndugu yangu embu rudi studio basi

  • @judynjeri5077
    @judynjeri5077 5 років тому +6

    From himashal Pradesh with love❤️❤️❤️

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 Рік тому

    Mungu akujalie shifaa ya haraka akuepushe na mahasidi wanaokuhusudu Shari akuondolee 🙏😭nakuombea dadngu😢😢

  • @kindman2542
    @kindman2542 Рік тому +4

    Brother we need you in the industry of music

  • @vivianmwanthi994
    @vivianmwanthi994 6 місяців тому +1

    jamani this lady ameugua sana mungu heal her in jesus name

  • @jacklinelusekelo4842
    @jacklinelusekelo4842 2 роки тому +3

    Jaman huyo dada video vixen ndiye Carolin Hawa anaumwa Sana anaomba msaada kwa watanzania coz utumbo wake unazd yoboka na tumbo liko Waz Kama mtanza Nia ingia sehm yyt utaweza pata mawasiliano yake n jinsi ya kumsaidia 🙏🙏🙏

  • @massojoseph5318
    @massojoseph5318 Рік тому +1

    Nkwagara nnyo gwe mutima gwange woow it sounds like Luganda language of central uganda.

  • @zennarhzainab3739
    @zennarhzainab3739 Рік тому +3

    'em days when i fell in love for the first time 😊😊 forever my favorite Bob Junior

  • @merchantphilipo4301
    @merchantphilipo4301 Рік тому +2

    From mombasa kenya ..... Hii ngoma inamaliza .... Haipitiliki na muda

  • @oduorezdoesfitness1820
    @oduorezdoesfitness1820 2 роки тому +26

    the best song of all time still listening in 2022

  • @nickosimchimba8176
    @nickosimchimba8176 6 років тому +1

    Nilipenda sana huu wimbo kuzickiliza kupitia Redio free Africa RFA daaaa

  • @johnkalage2914
    @johnkalage2914 5 років тому +13

    2020 bado tupo ♥️ gud song

  • @ramadhansadik001
    @ramadhansadik001 Рік тому

    Ewe mwenyezi mungu muumba mbingu na ardhi hakuna kikushindacho chini ya jua tafadhali mungu wetu mpe uponyaji binti huyu carolin hawa naye ajihisi afueni kama zamani amiin.

  • @Beah4
    @Beah4 2 роки тому +4

    we miss these days...the OG s of bongo fleva 😭😭

  • @AdelinaBruno-vx5qr
    @AdelinaBruno-vx5qr Рік тому

    Haw we ni mrembo san mungu akusaidie na dau ya yesu inene mema juu yako .....nimeangalia na kukusikiliza mpk machoz yanitok jmn una ujasir San mam yako mungu ampe nguvu za kuendelea kukuuguza

  • @mariammariam2475
    @mariammariam2475 6 років тому +50

    2018 bado twaipenda

  • @LeylaDaudi-lh4lo
    @LeylaDaudi-lh4lo 8 місяців тому +1

    😢maskini hawa daah hujaf hujaumbik wallah

  • @kinjeathuman2350
    @kinjeathuman2350 6 років тому +27

    Oyoyo ngoma kali na sasa bado naitazama 2018

  • @ayoubkanny1135
    @ayoubkanny1135 2 місяці тому

    Aiseee pole sana kwake mdada mzury, ❤

  • @erastosanga1694
    @erastosanga1694 Рік тому +3

    Still a lovely song to date,moto ,moto moto song tough to imagine

  • @nosimhenry5845
    @nosimhenry5845 4 роки тому

    Jamanii she's so cute and mpolee.. akii jamanii tumuombeni kwa MUNGU amponye haraka anaumiaa.. pole sana Hawa

  • @zainahali1274
    @zainahali1274 5 років тому +11

    I remember one day l danced this song not knowing my mum is looking at me, I just hard a hot slap on my back 😂😂😂😂😂..l was rewinding this song everytime.. Here I am again 2019

  • @mankarichard5851
    @mankarichard5851 2 роки тому +1

    Huyu dada kanirudisha uku Daah Mungu akuponye jmn

  • @faltozznyakwarogollah5348
    @faltozznyakwarogollah5348 3 роки тому +3

    Forever you remain the superstar and bongo music legend

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe 6 місяців тому +1

    Mungu yupo yatapita mdogo wangu utapona

  • @princeuzieri4548
    @princeuzieri4548 6 років тому +175

    Bado tupo nayo 2018

  • @michilita2959
    @michilita2959 9 місяців тому +1

    Allah mpe hawa naye fursha nyingine twakuomba ya Allah

  • @makelelebosco567
    @makelelebosco567 3 роки тому +14

    2021 still on ma favorite song🙌🙌

  • @moemussa5212
    @moemussa5212 2 роки тому +1

    Uyu video queen anaumwa asee 😥

  • @doricemjunguli7455
    @doricemjunguli7455 5 років тому +8

    I really love 😍😍😘❤️ ths song,still watching 2019

  • @gradnessmark4786
    @gradnessmark4786 Рік тому

    Kwel hakuna haijuwae kesho na sababu zake.... Ee mwenyezi mungu mponye dada uyu Kwan maumivu yamezid juu yke tend mujiza mungu wetu🙏🙏😭