Kama huwezi skia sauti ya Ali kiba kwa hii wimbo then you are not a true fan of king kiba manze😄,,,this song gives me goosebumps,,it's fireeee,,am here in 2022 1st November
Huu wimbo ni WETU sisi mashangazi, ulitokea tukiwa mabinti😅😅😅😅😅😅😅 2024, Kenyans na Tanzanian, it's my birthday week, turning 35 mshangazi na bado nipo singo😂😂😂😂😂 TopC, kingkiba❤🇰🇪🇹🇿
Saiv tunaishi ishi tu bila formula..zaman maisha yalikua matamu si tajiri si maskinn kama unavoona kwenye nyimbo..mapenzi kote kote saiv tunaringishiana maisha tu
Haya mapenzi naogopa sana bwana mimi, Kuamua wakati mwingine nakosa hata raha jamaniiiii Nani nimpende, asinizingue Nani nimpende, asinizingue Hivi ni nani mrembo atakayenipenda kwa dhati Na siyo kunitamani Mvumilivu kwenye Raha hata nikiwa na dhiki Asinishushe thamani Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa Ona bora nitulie niufaidi ujana, Kuliko kujitia kaa la roho wangapi walipendana kuahidiana, hawatoachana mpaka kifo wengi, wako kimaslahi, wakitimiza lengo inakuwa ulofa aiii mapenzi yanakaba kama tai, mwisho wa siku unaweza poteza uhai Haya mapenzi naogopa sana bwana mimi, Kuamua wakati mwingine nakosa hata raha jamaniiiii Nani nimpende, asinizingue Nani nimpende, asinizingue Nataka jiko, jiko la peke yangu mimi, si kila mjanja apikia aje anipe raha mimi, asiwe anachakachua niambie nimjue, nieleze ni nani mamaa niambie ni nimjue, nieleze ni, nani nani mamaaaa Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa Nani nimpe dhamana, alitambue dhumuni Mola nipe muungwana, si kama wale wahuni Nani atanipenda mimi, iwe furaha siku zote maishani aje aniliwaze mamii, iiiii Nataka jiko, jiko la peke yangu mimi, si kila mjanja apikia aje anipe raha mimi, asiwe anachakachua niambie nimjue, nieleze ni nani mamaa niambie ni nimjue, nieleze ni, nani nani mamaaaa Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa Sababu ya Ulofaaaaaaa!
Nakumbuka mwaka 2011 mzee kanunua video kijijin kwetu tukaonekana tumejpata enzi hzo alafu nikaenda kuburn CD mjini hii ngoma ilikuwa ya kwanza kuiweka!! Alaf kujua kama alikiba yupo ndani nimejua 2022
@@jimmynambilis2187kiba wa kitambo wewe acha usenge kiba yupo kabla hata shilole hajatoka igunga nyimbo ya 2011/12 unasema kiba hapo alikuwa bado😂😂😂😂😂
Mwamba TopC alitoa ngoma hit hii hii na akapotea hapohapo tulimtafuta ngoma ilipotoka redion tulipomuona kwenye video hatukumuona tena dash way back sana 2010 R.I.P sharo millionea,...n
Wale wakenya 🇰🇪 mmefika hapa hii 2024 wekeni likes
Tanzania
Kenya☺️2024
Ndo iyo bruh
Murundi hapa anakupa Five!
September 29
Wale wa 2024 gonga like twende sawa
am here TBT , thursday 21/03/2024 ❤❤
22/3/24
Tupo hapa
24/3/24
🔥🔥
Whose here 2024 Alikiba shishi h baba ajawa mwehu r.i.p sharo enzi hzo 2009
Here
Hii nyimbo 2010/2011
Ivi kiba iko aje?
@@NClaude-qk3gbhizo Sauti Za kwenye colas aliimba Ally hizo Za juu zinazoitikaa
2025 here we are! Bado nyimbo yangu pendwa Top C please come back!
Same here 😢
Omani
The part of "Nataka jiko la peke yangu mimi, sikila mja anpitia" still gets me
Pikia, jiko la kupikia
@@Ericmwangii ukweli
Ni pikia man
Who's here in 2024?❤
Nice song lyrics wale wanapanga kuangalia nataka likes hapa tukisonga mbele
Sauti ya king kiba inasikika kwa huu wimbo WA top c vizuri sana
2024 just realized the chorus vocals in the song was sung by Alikiba❤❤ Great song💯
king kiba all time
Iyi ina itwa music yakutunga...sababu yau lofa 2025
Je wangapi tunaendanao huu wimbo Hadi 2025 ikiwa tunaanza November 2024!!!
Kama huwezi skia sauti ya Ali kiba kwa hii wimbo then you are not a true fan of king kiba manze😄,,,this song gives me goosebumps,,it's fireeee,,am here in 2022 1st November
Ukaona uje utafute uthibitisho kabisa 😂😂
@@allinasser2024 udhibitisho wa Nini?
@@allinasser2024 Ali Kiba alifanya back ups hapo kwa chorus 😂
@@musadays8083 very true mkuu
😄😄
Sauti ya alikiba ndani oooh huyu mwamba ni mnouma🙌👏
Sema Shishi dhaa 😊
2024 gonga like zenu hapa kama bado wimbo unakukumbusha mbali❤
2023 am still loving it ❤️
We are here together
Where is this guy he only made this song 🎵 and dissappear to nowhere
yes, where is top c?
@@thomasezekia6741
all banging from US😂
ALIKIBA KAPIGA BACK VOCAL HUMU NDANI
STILL LISTENING 4.12.2023
4:00 23/12/2024
Shilole na shalo millionea hawakuitendea haki hii ngomaa
Top c hi mziki iliweza kweli whose still listening to this untill now my favorite
Alikiba ni jini sio bure🙌🏽😂
Endelea kupumzika vizuri , wewe ni Shujaa wangu. Keep resting in peace.
Ngoma safi itaskizwa siku zotee niko hapa 2023,may,8 ikiwa moto ni moto ❤from Kenya 🇰🇪
July 23,2024
Burundi
Uyu ba mdogo alikua freshi sana....mbona alizima ghafla?? Lakini kama bado wamtambua gusa like tukipita
Alifariki kitambo sana
Huu wimbo nilikuwa nauskia ukipigwa home 2011 nikiwa na Miaka 10
@@GwakisaMwakatobe💪
@@GwakisaMwakatobe💪
Nili😢@@ashaallykh.1521
December 2024 niko hapa 13 years and counting.
I am here to remind people that this song is still hitting differently
🔥🔥🔥🔥 hili songi niunyama sana 2023
Huu wimbo ni WETU sisi mashangazi, ulitokea tukiwa mabinti😅😅😅😅😅😅😅
2024, Kenyans na Tanzanian, it's my birthday week, turning 35 mshangazi na bado nipo singo😂😂😂😂😂 TopC, kingkiba❤🇰🇪🇹🇿
Kabla wasanii wa bongo hawajashambuliwa na degedege
🤣🤣🤣🤣
R.I.P Sam wa Ukweli and Sharo milionea,,, y'all did great on this master piece
2024 I'm here taking myself back years back to nice memories 😢🎉
That Chorus was Sung by Ali Kiba what a great song.... Naupenda sana 2024 and still the best representing 🇰🇪🇰🇪Kenya
Nani amekuja anaitazama Tena November 2023 wimbo hii Gonga like hapa
Big music
Big memories
Salute from Tanzania.
2024
2023/8/8 that's 12yrs down the line and still 🔥🔥🔥🔥, Kenyan showing love from Qatar.
Who else came here from TikTok baada ya kukutana clip ya uchambuzi wa vyionjo vya Alikiba... Honga likes
Kama uko 2024 piga like...mazee TopC na Background ya Kiba iko moto ka pasii..
November 2024 still lit 🔥
Kama umemuona shilole leo 2024 like apa
2024 twende nalo much love from🇰🇪watz huyu jamaa aliendaga wapi?
Wale wanaetazama 2024 gonga like hap
2023 still listening to this song.I used to listen to it when I was a young kid
At least am not the only lover of this song... Deep meaning,deep message and deep voice.
Still hiting
My Brother hope your doing great
@@abdulldebruyne761
@@abdulldebruyne761
Kiba kaaua kwenye vocal
2023 and the song is still trending ❣️❣️
Jamani huu wimbo nikisikiliza nakumbuka mbali sana 😱😱
Shishi wa humu alikua wamoto sana🙌🏿🙌🏿🙌🏿
😂😂😂shishii kabla hajawa mama lishee ndo akawa bongeee sasa😂😂kwa nyamnyam😂
This song was a big hit in 2011-12 unfortunately it's so underrated
Hizi ngoma za sikuhizi hazitoshi mboga bana...quality song this one.
Saiv tunaishi ishi tu bila formula..zaman maisha yalikua matamu si tajiri si maskinn kama unavoona kwenye nyimbo..mapenzi kote kote saiv tunaringishiana maisha tu
Kitu Kali Hadi hizi hezi big up top c💕💪🔥
2023 we here with these songs reminds me of alot back then
King kiba voice 🙌🙌🙌🙌
Yea hard lips❤
2023 still a hit ❤
2023 still watching thumb up....254 represented
2024 bado tuna kusikiza Sam ukweli 🤗, we love you sam, rip Sam😢
Haya mapenzi naogopa sana bwana mimi, Kuamua
wakati mwingine nakosa hata raha jamaniiiii
Nani nimpende, asinizingue
Nani nimpende, asinizingue
Hivi ni nani mrembo atakayenipenda kwa dhati
Na siyo kunitamani
Mvumilivu kwenye Raha hata nikiwa na dhiki
Asinishushe thamani
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Ona bora nitulie niufaidi ujana, Kuliko kujitia kaa la roho
wangapi walipendana kuahidiana, hawatoachana mpaka kifo
wengi, wako kimaslahi, wakitimiza lengo inakuwa ulofa aiii
mapenzi yanakaba kama tai, mwisho wa siku unaweza poteza uhai
Haya mapenzi naogopa sana bwana mimi, Kuamua
wakati mwingine nakosa hata raha jamaniiiii
Nani nimpende, asinizingue
Nani nimpende, asinizingue
Nataka jiko, jiko la peke yangu mimi, si kila mjanja apikia
aje anipe raha mimi, asiwe anachakachua
niambie nimjue, nieleze ni nani mamaa
niambie ni nimjue, nieleze ni, nani nani mamaaaa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Nani nimpe dhamana, alitambue dhumuni
Mola nipe muungwana, si kama wale wahuni
Nani atanipenda mimi, iwe furaha siku zote maishani
aje aniliwaze mamii, iiiii
Nataka jiko, jiko la peke yangu mimi, si kila mjanja apikia
aje anipe raha mimi, asiwe anachakachua
niambie nimjue, nieleze ni nani mamaa
niambie ni nimjue, nieleze ni, nani nani mamaaaa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya Ulofaaaaaaa!
1:07 Like zote hapa 2025🎉
Wakat huo shishi ni shishi kweli ametoka igunga wahuni wamekata utepe kitamboooo😂😂😂😂😂😂
Inaishi mpaka leo💃
Wale tunao malizia mwaka 2024 na unatoka Kenya gonga like hapa
Top C mbaya sana...
Great song writer and vocalist..never gets old
Upo wapi njoooni tujadili huku wimbo huu ulikuwa one of the best song❤😂
Dec 2024❤
ILIKUWA NYIMBO YANGU BORA NA NILIAPIA NIKIJA KUWA NA SIMU LAZIMA NIISILILIZE 24.11.2024.
Nakumbuka mwaka 2011 mzee kanunua video kijijin kwetu tukaonekana tumejpata enzi hzo alafu nikaenda kuburn CD mjini hii ngoma ilikuwa ya kwanza kuiweka!! Alaf kujua kama alikiba yupo ndani nimejua 2022
hiingoma naitazama 24 9 2019 aliye pamoja na mm alayk hapa
Good music is timeless... 2020 anyone?❤️
2022.
2022
Carren Monae tuko wengi love❤️❤️🌹🥳🥳
2023 😊
Yo!!2024🎧🔥🖤
2024 here gonga like leo December 3❤
this hit is simply underrated,,, top notch
true I was shocked to find out the no of views it has💔💔... This song is a banger ❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥
Ckujua background ni saut ya king Kiba dah kauaaaa
It slaps differently every time I listen to this classic 10 years and over TZ to the world listening from Toronto
H baba ndevu alizipenda toka zaman
Nasikia.sauti kama ya Kiba kwenye Corus
Hapa Kiba alikua bado
@@jimmynambilis2187kiba wa kitambo wewe acha usenge kiba yupo kabla hata shilole hajatoka igunga nyimbo ya 2011/12 unasema kiba hapo alikuwa bado😂😂😂😂😂
@@jimmynambilis2187Kiba Toka 2003 mzee 😂😂😂 ,yupo kwenye game na hiyo Colas hizo Sauti Za juu aliimba yeye
this is one song i can listen to a million times , the message is especially to those for love for real
Duh huu wimbooooo😢😢😢
2024 mbona tuko wengi ngoma kali
Still jump this hit 2023 I'm from rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Bad ngoma inaish mpa hii 2024 gong like ap❤❤❤
Hii ngoma hai juji aise da wale wa 2024 ngoga like hapa
Bongo kwenye ubora wake❤
I used to love this song reminds me of my college days 😂😂we used to get down to this song Faith and I ❤
From uganda with zero swahili but this song is in my head, word for word. Much love Ke ✊🏾
The singer is from Tanzania.. no Swahili like that in Kenya
Please don't be blind like that ,I he is from Tanzania
@@Thekidp3702 sorrry, big up TZ 🇹🇿
Daa nakumbuka mbari sana
Shishi bybe❤❤❤❤❤ 2024💃🏻💃🏻
2009 hadi 2024 ngoma bado inaishi kwenye maskio ya watu wazima gonga like
Mwamba TopC alitoa ngoma hit hii hii na akapotea hapohapo tulimtafuta ngoma ilipotoka redion tulipomuona kwenye video hatukumuona tena dash way back sana 2010 R.I.P sharo millionea,...n
Hii ngoma hatari sana❤❤❤❤❤
Babuu kisaa orgyyy more love brother ❤❤ am mr chocolate flavor then sharobaro record ukurasa ndo kwanz unaanza get mee
Underrated top notch 2023 here
Mpenda nyimbo kuweka likes aaanh
Alikiba voice is 🔥🔥🤩🙌
Not alikibas voice, that's bob junior voice
@@goblessjrtz5464ni Ali kiba mzee sikiliza vizuri..
@@shaxonboy_ndio ni alikiba
2023 still loving the song
Same here..natamani nirudishe muda nyuma.,ila siwezi 💔
Nakubali sana hii ngoma jameni ❤❤❤❤.
🤦♂️🤦♂️🤦♂️🤦♂️🤦♂️🇨🇩 sitachoka kuskiza ngoma
hii oh my gooness Top C juu
Mola nipe muungwana si kama wale wahuni.......❤❤❤.Tupo hapa 2024 Oktoba.
1st June 2023 still listening to this hit💯🔥🔥
Listening to it now.... aww such an amazing tbt
When bongo music was the true definition of real sweet music 🎶 🎉🌹💕💕💕
2023 Kenyans still using the song in tiktoks😻😻😻😘❤️❤️❤️💯💯💯
Leo 2022 ndio najua kuwa kuna sauti ya aikiba kwa mbali
Ahhh hata mim
Nataka jiko la pekeyangu s kila mtu anapikia❤
City culture never change it's just the people 😂😂... music reflect culture 🎉