Kipindi iko namtongoza dem ananiambia sina cha kumpa ela sina weee saiv nimekua mjeda kila nikienda home et ananiambia aachike kwa mme wake nimuoe bas nacheka sana
If you listened this 2000 upto now naomba likes na comments wanangu mbarikiwe tukisukuma gurudumu LA maisha Enzi hizo kama Jana kama kama maeneo ya Marekani Kusini pamoja
Inanikumbusha mbali Sana😭...nikiwa primary... natoka shule napitia video show moja Kijijini...utararatibu ni kuwatch ngoma kma tatu ivi bure halafu mnalipa kuwatch movie...nawatch ngoma mwenyewe akianza kulipisha watu for the movie... mimi huyoooo nakwenda zangu mbio homu nkamchotee mamangu maji...
Tbt 2008 nkiwa class 7 duh miaka zakimbia aisee. Future generations don’t loose this masterpiece. These are people who used to release one song that will stick forever and live rent free in our heads. Now 2024 we here
this song opened me to the music world its crazy how 5 years have changed the world is first moving i wish all those reading this comment the best and move with time never forget where you are from
Wananguu wa 2023 Eeeeee Gonga like Twendwe Sawa na Kigongo Chetu Alfu Isikikize kwa Hisia Hii Ngoma Upate Kukumbuka Japo Mpendwa Wako Mmoja Wa Long Time!!
Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana ina mda mrefu sio 4yrs ago now 2021 itakua na miaka 10+ coz nakumbuka primary ukoo sim ya mwalimu ilikua ikiita darasan na huu wimbo
This song reminds me 2008 when I was finishing primary school, I loved my classmate Suzana back then, On graduation day I danced alot about this song. 19/10/2020.
Nilikuwa na demu wangu tulisoma wote kidato kimoja 2002 na wakat huu wimbo unatoka 2008 tulikuwa wote tumemaliza kidato cha 6 na tupo wote huko kijijin kwao Nama2h. Wimbo ulinigusa sana huu jaman
Still watching the soothing music, despite the economy🇰🇪 @2024❤
Hahaha yes for sure
Exactly
Wanangu wa 2024 like zenu apa 🎉
❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Good songs never tire
❤❤❤❤❤
Love this song imebidi nisakie,watu wa 2024
When East African music was melodious, NO Alcohol, NO Drugs, NO Nudity just pure talent. Big Love🇰🇪. #NOV2023.
sure
True
💯💯✔️
Your mum is one
Beautiful music
2024 tuko waaaaapi 😅😅tupite na like
Tuko huku
Tupo mnama
Mimi ni yule yule tuli soma kidato kimoja Boqol Cinro Wll I Nollow
🤚
😅😅😅
Dah mwamba aliishia kidato kimoja hakuendelea hata amalize cha 4
Nani bado anasikiliza hii song in 2024 😍
Hii ngoma ni hatari sana kipindi icho nikiwa namfukuzia Dem mmoja ivi alafu anazingua Hadi 2021 bado nacheki tu like 10 tu jmn
Kipindi iko namtongoza dem ananiambia sina cha kumpa ela sina weee saiv nimekua mjeda kila nikienda home et ananiambia aachike kwa mme wake nimuoe bas nacheka sana
@@baaliyanuun416 duuuuh ata mm nimecheka bro 😁😁😁
Hatari sana
Hatar sana
@@piusgiringa4557 kbs bro
Hii wimbo nimeisikia mahali ikabidi nikuje kusikiza 2023❤❤ 😭😭
Umeskiza wapi
Old is Gold where is the likes of 2024😂
When bongo was bongo still listening in 2020 despite Corona the situation 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Arthur Oduor bongo was bongo for Tanzanian, when Genge was genge for Kenya and Uganda.........
Yes. Bongo ilibadilika baada ya 2010.
Vp
Vp
@@musaeucu8579 true broo well said
Who is still here 2024😂❤
Me😂😂😂😂
🍻✌️
😅
Me
Mziki wa zamani unaishi asee,,,nani yupo hapa 2023
Timeless vibes, soothing melodies,sweeter than ever even in 2023
Sure
Ni kweli
Kama Mungu amekueka hadi unasikiza hii ngoma gonga like
If you listened this 2000 upto now naomba likes na comments wanangu mbarikiwe tukisukuma gurudumu LA maisha Enzi hizo kama Jana kama kama maeneo ya Marekani Kusini pamoja
Wewe
Hizi ndio zilikuwa nyimbo kabla diamond akoroge sewage
😆
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅
NILIKUWA NIPO FORM 2,
ALI DAROUS, MSANII RAYON, SHAM BOY, MED Y WOTE TULIKUWA PAMOJA KITAMBO SANA
2023 am still tuned in please kama uko bado hapa huu mwaka nipee kalike ata kamoja 🙈🙈
U
September 2024 still a vibe
😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤
😂😂 any 2027 here😂
If only musicians of this generation would give such valuable vibes like this. We could never tire of their music
Perfectly said
afu club tukaskilize ukaiidiii. ebu tofautisha Einsten na Bill gates. Kua na ujuzi na haukuingizii kipato ni UTAIRA
2022
nice song
Siku hizi ni Gidi, kamata, waah😂😂
Kama bado unakula hiii ngoma tunapofunga mwaka gonga like twende sawa
Soon nitarud home Zanzibar inshallah, hii ngoma inanifanye nakosa furaha kua nje ya Zenj..gonga like kama wewe kma unaipenza zenj
J.i ni mzanzibari ?
@@salimmohamud5390 Nzega ndio kwao sema zenji kikazi tu 💪🇹🇿🇦🇪
@@salimmohamud5390 mnyamwezi wa nzega na wale A boy's group wote nayy ni alikuwa members wa hao bad sky na jacko b
2024 njoon kwa like 💪💪💪
This guys is very humble, he usually visit a local joint in Nakuru, it took time for us to believe he is J.I
Not so sure but last year he spent quite sometime in Nakuru, kiondo area
@@LETOYAlubricants haiya huenda we may have met kama ni hiyo area. But he's TZ...good music.
Ni "mtoto wa NZEGA"...Tabora TANZANIA 😄
💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥❤🩹💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥❤🩹💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥❤🩹💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥❤🩹💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Wangapi Wana iimba Hadi 2024 like zangu
kenyans tuligrow na hii song its 2024. Hope life is kind to you and if not music always heals
Inanikumbusha mbali Sana😭...nikiwa primary... natoka shule napitia video show moja Kijijini...utararatibu ni kuwatch ngoma kma tatu ivi bure halafu mnalipa kuwatch movie...nawatch ngoma mwenyewe akianza kulipisha watu for the movie... mimi huyoooo nakwenda zangu mbio homu nkamchotee mamangu maji...
before waanze kulipisha movie kulikua na session ya kuwatch ngoma wakifagia video🤣🤣🤣
Wenye tuko uku 2025 juu ya love eka like❤🥰
kitambo.... kma ww upo hapa hadi leo hii 2020
gonga like
I reminds me of when I was in primary school #Nairobi🇰🇪 love all way from United States 2023
Kama na wew ni mtoto wa tbr unaingalia hii paka leo 2019 gonga like hapa
Npo hapa
Mboka manyema
niko hpa
Npo apa Mt wa nzega kbs🎉❤
I am Kenyan and I remember this song like it was yesterday. lots of love from Netherlands
those of us who ar watching in 2025 lets gather here 🎉🎉🎉
Tbt 2008 nkiwa class 7 duh miaka zakimbia aisee. Future generations don’t loose this masterpiece. These are people who used to release one song that will stick forever and live rent free in our heads. Now 2024 we here
Kitu kizuri kiitwe kizuri,my guys from 254 how's this
Beautiful
Ni 🔥🔥🔥🔥 sana
2023 june love the song coz of ma big bro he really loved the song coz of her new gf then🥰🥰🥰 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
2023 am right here listening to this masterpiece . Give thumbs up guys.
Much love
Hii nayo inadunda hadi kwa intestines, nani anakubaliana na mm, likes tukisonga please
Still singing this song from the intro to the outro na bado niko single. Jameni nimeshindwa mnitaftie mpenzi sasa 😂
Hahaha
😹😹😹😹
🤔🤔🤔😂😂😂😂😂
Hahaha 😂
My memories back in 2008 from KETAU express KBC top ( 10)and Mambo MSETO radio Citizen Top( 5) wangapi tunakumbuka hii❤
Yes the likes Caro Robbie(one of the hosts on KBC radio) ilikuwa raha but just like everything else, it ended too 😢 .... life was great then.
Wagasikinai hii Ngoma,,
this song opened me to the music world its crazy how 5 years have changed the world is first moving i wish all those reading this comment the best and move with time never forget where you are from
2022 still enjoying it but can't get enough of it. Much love 🥰 from Uganda 🇺🇬
Vp
Let's listen to
i didnt know swahili when it came out but i rememeber i had all the lines by heart ❤️❤️🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴 Somalia
🇸🇴 ad iyo ad sxb
Haa sxp hakuna shida kiswahili ni rahisi
Aniba jab maka fahmin sxb hadana waa ii macaantahay heeshta 😍😂😂
Diyar weye walal
Damn, this songs hits differently, when you actually had a crush back in high school.
Wananguu wa 2023 Eeeeee Gonga like Twendwe Sawa na Kigongo Chetu Alfu Isikikize kwa Hisia Hii Ngoma Upate Kukumbuka Japo Mpendwa Wako Mmoja Wa Long Time!!
This is what brought us to bongo fleva cool music and pure sound hakuna kelele Kama now kulialia😢😂😂 drop that shit back🤭🤭
Music ya zaman haiishi ladhaa skamaa ya saiii big up broo ngoma yakoo kali
Huyu anaitwa nani
December tuko hapa 2024
Walikua kidato cha pili mwaka 2008 wakati huu mwimbo unatoka weka like hapo tujuane..
Hii hit song🔥 kila mwaka ni 🔥 wap Aprili 2024 nipeni maua yangu Tukumbuke mbali kwa pamoja
Wanangu wa 2024 November, like here
Sijisifu nyimbo hiii nilikuwa form tow lakini wakati huo kunabinti alikuwa ananipa wakati mgum Sana . hivyo huwa ninakumbuka mbali Sana
Don’t know what he is singing about but love this song. ❤️❤️❤️from Mauritania 🇲🇷
It's a love song,very beautiful indeed!
Aisha Barry one love babe
𝐜𝐨𝐨𝐥 😎
It's just a swahili love song
The singer says he is in love with a certain girl whom he schooled with
The epitome of Kiswahili lyricism. A timeless classic
2020 and we still here, still dope 🔥🔥🔥👌
Good music
Reminds me of the time when East African TV/channel5 was still good.
Hi
Tuko wengi when music was lit
I need a connection
💯💯🔥🔥🔥 here in 2024
Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana ina mda mrefu sio 4yrs ago now 2021 itakua na miaka 10+ coz nakumbuka primary ukoo sim ya mwalimu ilikua ikiita darasan na huu wimbo
Still in 2024?
December 2024
Chaliii angu ya Nzega na mboka gonga like ako
J I vp kaka tuxhakumic kwenye game
Dah Leo tar 3December 2024 natoka isikiliza hii ngoma. Mavelous hit song🚀🚀🚀🚀🚀
This song reminds me 2008 when I was finishing primary school, I loved my classmate Suzana back then, On graduation day I danced alot about this song. 19/10/2020.
😂😂😂😂
Hehe me too.
Same here
Would like to see suzzana bump into this comment and reply someday...
@@mahmoodmohammed1679 me too😅
Wale walio kuja kuona baada ya kusikia mwandishii wa wimbo huu kufarikii H.MBIZO 💔💔💔😢
Old is gold.......From Nairobi Kenya 2023/10/5........5:28pm 😁❤💥
Ananikumbuka ila tu unaleta ukaidi, mimi ni yule yule. 2023 still vibing to this gem🔥
still enjoying your music, hakika ulikua mwanamuziki wa ukweli
kitambo nilofokiriiii huuu wimbooo ni alikiba leo ndoo nimejua kua sii waalikiba wangapi wenzanguu
2023 here we go 🔥🔥kidato kimoja
Inanikumbusha boyfriend wangu 2010 nikiwa dhule😂❤
J.i hapa ulicheza ka ww...used to cry alot when I listened to this dope song...live long bruh 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰
Toto Nzeya 🔥🔥🔥moto kama pasi hii 2024
Somali 🇸🇴🇸🇴🇸🇴
Somali gani
Somaliland!!!!
Utanisononesha kama ukinikosa😢😢,,, loved those days back in high school
"We will all die. The goal of life is not to live forever, but to do something that will"
Daaaaaah huyo jamaaa mweny miwan na t shart nyekundu ndo anaenikoshaga Maan alivumilia akashindwa 💪💪💪
Daah kitambo sana huu wimbo..ulinipatia dem wangu wa kwanza
Hivi huyu dem anaitwa nani
Still enjoying this.🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬here yuko wapi JI?
2020 hapa nairobi lock down due to corona..huku tukingoja money heist season 4
🥰🥰🥰
Wanangu wote mnao penda song zilizofanya vizuri kama hii hapa holla..
2023 still here,this song never gets old🥰
2023
2022 15th of October legends are still in here BIG love from South Sudan 🇸🇸 ❤❤❤
Bado napenda hii nyimbo aki🥰🥰🥰
@@messafatuma4375 cheers 🥂 😍
@@qaimalwal211 Cheers 🥂🍴
Ebu nipate likes apa Leo mwache kuhepa buana❤❤❤❤ hi song inakumbusha bali sana
2023. Kma bdo hii ngoma unaingalia tena na ikiwa bdo moto tokea miaka ile ya 2008 tukiwa shule za Msingi tujuwane hapa😇
Sisi wa 2023 na bado tunawatch pita na like tukisonga
Niko form 1 hio ngoma mkoani kilimanjaro huko upareni usangi day high school
Oooohh my GOD finally I found my lovely song
Thanks Lord🙏🙏🙏
Ila Tu unaleta ukaidii,love u
Kitu kizuru basi kiitwe kizuru. 254 tuko wapi🇰🇪
this song clossed all borders of East Africa.... much love from Rwanda
Nakumbuka Ilikuwa Inatrend Nikiwa Darasa la tatu...now ni 2024 KWA KUDRA za MUNGU
Dah Nyimbo hii...🙌🙌😅😅
Nakutakia maisha marefu marietha ...(my X guys used to Sing song lol)
2021 bado ngoma linanikumbusha mbali..😅😅😅😅😅😅
Hili goma lilitoka nikiwa kidato Cha kwanza 💯💯🇰🇪
Daaaah nakumbuka ilipgwa kwenye welcome 4m one yetu 2007 makuru sec dahh kitambo sanaaaa
hapa tumepigwa
Nataman life ingerudi nyuma maana kipndi cha wimbo ndio nilianza mapenz basi dunia yote ilikuwa kama naimiliki
Nilikuwa na demu wangu tulisoma wote kidato kimoja 2002 na wakat huu wimbo unatoka 2008 tulikuwa wote tumemaliza kidato cha 6 na tupo wote huko kijijin kwao Nama2h. Wimbo ulinigusa sana huu jaman
I remember dem dayz in Kenya 🇰🇪
Big up J.I ✌️❤️
Nimetoka kwa examination champer now nd I started listening this nostalgic masterpiece nd topnotch music 🎶
Such songs will never grow old
If only my highschool sweetheart could hear me!❤
Unanikumbuka ila tu unaleta ugaidi... love this jam till today! 2020...
Kitambo san
This song was so popular in East Africa,wasee wa nduthi walikua wanaicheza Kila uchao ,si radio ,si runinga wow it was a beautiful moment
Hit for 2021 flask back how were looking like that time ilove old bongo music much love from Uganda..🇺🇬🇺🇬🔥🔥🔥🔥🔥