Assalam aleykum warhamatullahi wabarakatu mm nimiongoni mwa wapenzi wa hayo mambo mm naomben huyo mtoto ashirikishwe kwenye mashindano ya kitaifa hapo kwa masjid mtoro mana mashaallha Ana kipaji kikubwa mm nasema anamkaribia hassan mtulila
@@omaryramadhani6664 si nimetaja marejeo. Wacha uvivu nenda ukasome Akhiy. hiz saut za mitetemo,Maneno hukatwa katwa,Melody za music mda mwngne hutumika,Kama mtu anaghani mashairi,Hakuna Utulivu,Hakuna mazingatio,Watu wake hupiga kelele na kusema Takbiiir,Au tumsalie mtume, kwa Sabab tu eti amevuuta sana ktk kusoma au Kwa kuweka Naghma. Hakuzingatiw makhraj huruuf,Vituo vya kusimama, Na mengne kbao nenda ukasome mbele ya mwalim.
Maashaallah Jazakallah Khair 🎉🎉🎉🎉🎉
ALLAHU❤❤❤ AKBAR KABIIRA WALHAMFULILLAHI KATHIIYAA WA SUB'HAANALLAHII❤❤❤ BIHAMDIHII❤ BUKRATAN WA ASWIILAA ❤❤❤❤❤
Allah azidi kumongoza Inshallah ❤
Allahu Akbar
Maa Shaa Allah
Yaa Rabbi nakuomba tujaalie vijana wetu pia wawe Ahlu QUR AN😢
Mashaallah
Mungu Amjaalie kila la kheri huyu kijana na amuokoe na kila sharri
Maaashaallah Allah amlinde
Mashallah kijana unanikumbusha mbal sna. Allah amrehemu maalim wng juma mzee from konde pemba
Mashallah Allah amuongoze zaid katika swirata mustaqm
Mashaallah, Allah akuhifadhwi kijana udumu ktk dini ya Allah. Sauti tamu sana
Maa'shaallah Maa'shaallah Maa'shaallah. Hd nimemjumbuka Ostadh wng Allah anrehem huko alipo hii sura ndy ilikuwa akitufundishia Tajweed😢
hakika quraani ni tam ssana zaidi ya maneno yote Allah amkuze vyema kijana awe zaidi yahapa na asibadilike akaacha njia hiii
Mashallah.. Allah atujalia na sisi kizazi chema🥰
Bismillaahi Mashallah. Mmungu amkinge na hasada. Malezi mema mapema kwa watoto, wazazi. Mtoto umleavyo ndivyo akuwavyo.
Alhamdulillah الله amkuze katika Njia iliyobora zaidi kama alivyosasa
Amiin amina Allah amuongeze hilmu ❤❤❤❤
Sasa Hasadi Zipo na Pepo ipo tusiache kuusoma Quran Kwa kuogopa Hasadi ....
Allahu Awahifadhi Wote Insha Allah....❤❤❤❤❤
Assalam aleykum warhamatullahi wabarakatu mm nimiongoni mwa wapenzi wa hayo mambo mm naomben huyo mtoto ashirikishwe kwenye mashindano ya kitaifa hapo kwa masjid mtoro mana mashaallha Ana kipaji kikubwa mm nasema anamkaribia hassan mtulila
Maa shaa ALLAAH
Allaah amhifadhi
Mashaa allah mtoto anafurahisha usomaji wake
MashAllah
Allah amzidisgie kila lakheri
Mashallah tabaraqah ❤
Baraqah-llah ❤
Mashaallah MashaAllah
Maa shaa Allah ❤❤❤❤
Mashallah Babu yake anamtazama mjukùake❤
Mashallwa❤
Mashallah tabaraka llah ❤
mashallwa allwa amuhifadhi awe muftiwetu wabaade inshallwa
Mash Allah,jazaqallah
Maashaallah mashaallah tabaarakAllah
Allah na Familly yake itamfatilia kila hatua na kumfanyia Tiba
Dooh maji ufuata mkondo wallahi
Mashaallah❤❤❤
BISMILLAH MAASHALLAH
Maashallaah
Mashallah 🥰
Maashaallah
Mashallah
Alhamdullillah
Ammin
❤
Aaah hawa tena huu kwao ni urithi kabisa mfano wa mali hawawezekani attaaa
Mtoto kumueka kwenye hadhara kama hizi mara hasadi
حسبي الله ونعم الوكيل
Usomaji huu ni Bidaa.
Rejea kitab Ahkaam Tajweed wamesema Wanachuoni na ufafanuz upo.
Sikulijua hili hebu nijuze tatizo linakuwa nini hasa kwa usomaji huo akhiy.
@@omaryramadhani6664 si nimetaja marejeo.
Wacha uvivu nenda ukasome Akhiy.
hiz saut za mitetemo,Maneno hukatwa katwa,Melody za music mda mwngne hutumika,Kama mtu anaghani mashairi,Hakuna Utulivu,Hakuna mazingatio,Watu wake hupiga kelele na kusema Takbiiir,Au tumsalie mtume, kwa Sabab tu eti amevuuta sana ktk kusoma au Kwa kuweka Naghma.
Hakuzingatiw makhraj huruuf,Vituo vya kusimama, Na mengne kbao nenda ukasome mbele ya mwalim.
Tujuze al akhy kwa nini usomaji huu ni bidaa?
@@SadickMhozya je,umesoma Hicho kitabu hapo nilichotaja!?Au wataka upewe hapa Kila kitu Acha uvivu ndugu yangu Nenda kasome hiki kitabu.
Dohhhhh Mashallah,mjukuu wa nyoka ni nyoka tu wallah
Nikweli kabisa umeongea mtoto wa nyoka ni nyoka tu
Dooh maji ufuata mkondo wallahi
Mashaallah
Mashaallah