KISA CHA ALIEKUTANA NA SIMBA | MSIKASIRIKE MKIAMBWA MUSOME WATU WA MAULIDI - SHEIKH WALID ALHAD

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 98

  • @dhamirkhamis9073
    @dhamirkhamis9073 3 роки тому +17

    Yaaa Allah nijaalie ni miongoni mwa watu wenye kumpenda mtume muhammad *SAW*

  • @fatyiimaabas2759
    @fatyiimaabas2759 2 роки тому +3

    SubhanaAllāh makosa haya ya kitawhidi jamaa Allah atuongoze sisi na nyinyi

  • @MuhdharMuhammad-qv3zl
    @MuhdharMuhammad-qv3zl Рік тому

    Tusome ndio kitu muhimu shukran Sana Sheikh Walid ALLAH akuzidishie Elimu uzidi kutuelimisha na awaongoze wale waliopotea

  • @user-ou6wz6tx3y
    @user-ou6wz6tx3y 6 місяців тому

    Maashaallah Mungu akujaze kherii

  • @Ahmed-yp2si
    @Ahmed-yp2si 2 роки тому +3

    الله خالق كل شىء وهو علا كل شىء وكيل
    Allaah ndiye muumba wa kila kitu,na yeye ndiye mlinzi juu ya kila kitu(39:62Quran)

  • @chabunu3367
    @chabunu3367 3 роки тому +8

    Allah ndio awe ngome yako na awe mlizi wako na Allah ndio awe kila kitu chako ndio Allah atakudhalilishiya kila kiumbe katika hii dunia

    • @jamaliddiin9357
      @jamaliddiin9357 3 роки тому +1

      Tauhiid inatakikana sana
      Allah Amzinduwe Sheikh walidi

    • @chabunu3367
      @chabunu3367 3 роки тому

      @@jamaliddiin9357 Allahuma ameyn

    • @allybokasa1298
      @allybokasa1298 2 роки тому +1

      Haujaelewa wewe ndo shida yenu kukurupuka kwa nini usifanye jitihada ya kuuliza ukafundishwa ili uwelewe, kila maneno yana watu wake haya wewe si yako,ndo mana yanakusumbua

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 роки тому

      Ikiwa Mwanamke Anatakiwa Mshenga. Kazi Inataka mdhamini. Adhana Inataka Inataka Iqama. M'MUNGU Bila Mtume MUHAMMAD S.A.W. Unapitia Njiagani. Usijisomee Somee Kasomeshwe. "MAN JAHILA SHAIAN AADAU" Nikawaida Mwanadamu hupingakitu Maadamu hakijui. Nasi Kila Usichokiua wewe Kharamu Au Bidaa.

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Рік тому

    Tumekuelewa shegh…👍🏿……

  • @abubakarkhamis3884
    @abubakarkhamis3884 3 роки тому +1

    Barakallahu fiyka sheikh etu

  • @mahsinmbarak7191
    @mahsinmbarak7191 Рік тому

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين عدد خلقه ورضا نفسه وزنة عرشه ومداد كلماته

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому

    Masha Allah

  • @abubakarsuleman1983
    @abubakarsuleman1983 3 роки тому

    Shukran

  • @issabinmaryam7450
    @issabinmaryam7450 3 роки тому +1

    ALLAH ndiyo ngome ya waumini...mtakuja kufanya ushirikina masufiy...

    • @akambi482
      @akambi482 3 роки тому +1

      umesoma dini mashuleni ndo tatizo

    • @jamaliddiin9357
      @jamaliddiin9357 3 роки тому

      Hivi kati ya A kambi na bin Mariamu ktk kasomea dini mashuleni
      Masufi mcheni Allah

    • @akambi482
      @akambi482 3 роки тому

      @@jamaliddiin9357 watu wanamcha Mungu mpaka wanajaaliwa karama nyie mnasema uchawi

  • @Salimajeeb
    @Salimajeeb 3 роки тому

    Ahsnt habeeb kwa kutupatia elm

  • @fatyiimaabas2759
    @fatyiimaabas2759 2 роки тому +2

    Eti yuwasema mtu hawezi kushinda na njaa ewe jamaa vipi Abu Hurairah vipi katika vita vya Khandak maswahaba kufunga mawe tumboni ili kupunguza njaa

  • @zarahally4275
    @zarahally4275 3 роки тому

    Twayyiib.

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Рік тому

    Tu we makini maana kuna watu wengine ukiwasikiliza hata kwenda hospital ukiumwa atakwambia haifai 😳 watu waajabu

  • @nassoraly8070
    @nassoraly8070 3 роки тому

    Je kanza kutumwa mda gani ktk huu ulimwengu

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 3 роки тому +4

    Watu twarika wanatumia mbinu za kiganga /ushirikina wakidai ni makarama.
    Kumbe hakuna wanga kama wao, Allah atuhifadhi kama ukitaka kuamini hilo fanyeni UTAFITI.

    • @akambi482
      @akambi482 3 роки тому

      hili ndo tatizo la kutokusoma kwa wachamungu kaa hivyohivyo na kukosa adabu kwenu

    • @dhamirkhamis9073
      @dhamirkhamis9073 3 роки тому

      Kasome kijana

    • @yaziduhamisi4096
      @yaziduhamisi4096 3 роки тому

      Na aliwahi kurongwa

    • @adamsamata8754
      @adamsamata8754 3 роки тому

      Nakusikitikia sana nenda kasome uje nini ushirikina angalia sana kusema jambo usilolijua

    • @yunnusmiraj529
      @yunnusmiraj529 3 роки тому +2

      hujakosea hawa washirikina tu

  • @ozzyjama145
    @ozzyjama145 3 роки тому +1

    Wazee wa ubwecheeee haoo

    • @mohammedally2289
      @mohammedally2289 3 роки тому +1

      Nenda zako kulee paka potion weee

    • @ozzyjama145
      @ozzyjama145 3 роки тому

      @@mohammedally2289 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣imekuingia nini?

    • @yaziduhamisi4096
      @yaziduhamisi4096 2 роки тому

      Nyie sindomunaufunguo wapeponi mmepewa wahai kuwa nyinyi ndo mpo ktk ss Ni watu wa batwili

    • @faisarmsafiri3115
      @faisarmsafiri3115 2 роки тому

      Acha kejeli kwa mashekhe .ndugu yangu pumzi na afya na aya mbili tatu zisitudanganye .tukaacha mila na desturi aliotuachie kiongozi wa umma.Jitafakari kwanza kabla ya kuandika maneno ya dharau kwa mashekhe.Allah atusamehe kwa rehma zake.

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 3 роки тому +1

    Shekhe mtegemee Allah peke yake

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven Рік тому

      Someni dini nyie muielewe. Masalafi mna elimu ndogo sana

  • @user-hq5fg1zj5n
    @user-hq5fg1zj5n 11 місяців тому

    mna vituko sana watu wa twariqa😂😂😂 simba gani uyo wa kuchorwa labda

  • @arafatsaid962
    @arafatsaid962 3 роки тому +2

    Huu Ni usufy na had hap Ni maneno yamejaa shirki

    • @mohammedally2289
      @mohammedally2289 3 роки тому

      Kelele weee

    • @binyamin8009
      @binyamin8009 2 роки тому

      Ss kumpenda mtume shirki

    • @faisarmsafiri3115
      @faisarmsafiri3115 2 роки тому

      Soma acha kuropoka , au hujui madhara ya kuwasema wana wazuoni .kuwa makini na kauli zako...

  • @abamohamed7092
    @abamohamed7092 2 роки тому

    Sheikh walid ibn alhad asiyekuelewa ni mawahabi tu,

  • @binyamin8009
    @binyamin8009 2 роки тому +2

    Jamaniii mtihan waislam tunagombana t ww fata ulivofundishwa basi

    • @salummwanga8181
      @salummwanga8181 2 роки тому

      Dini yetu tunapata kufundishwa kutoka kwa nan?, apo ndo tujiulize kitu kama mtume na maswahaba zake hawakufanya ivo afu we ulifanye umelitoa wap au dini yko ww iko kwa Masheikh, mjinga kaa usome usidanganywe ukinyanyua bakora au ukichora ndo utasafir pasina gar au kipando, huo ni UCHAWI na mwisho wke ni moton milele., Allah awaongoze masufi na watu wa BID'AA wote.

    • @faisarmsafiri3115
      @faisarmsafiri3115 2 роки тому

      Ni kweli shekhe..

    • @kundeigang3879
      @kundeigang3879 Рік тому

      @@salummwanga8181 ndugu kabla ya kuropoka nenda darasani kasome tena

  • @0656840872
    @0656840872 3 роки тому +2

    Nlikua nina swali kama litamfikia sheikh wetu huyu alijibu tafadhali sio kwa ubaya ila kwa manufaa yetu sote, hii maulid haswa ilianza kipindi gani ki historia na ilianzishwa na akina na nani? Naamini kuwa kila kitu kwenye dini yetu kipo kwenye vitabu vya kihistoria, asili ya kitu uanzilishi wake ili watu watakaokuja wapate kujifunza

    • @dhamirkhamis9073
      @dhamirkhamis9073 3 роки тому

      Nenda kasome utajuwa muzaffer

    • @akambi482
      @akambi482 3 роки тому +1

      kwani mashindano ya Qur'an yalianzishwa mwaka gani?

    • @0656840872
      @0656840872 3 роки тому

      @@akambi482 we ndio sheikh kwani? Maana hujanipa jibu la kuridhisha

    • @hassanmambomambo8442
      @hassanmambomambo8442 3 роки тому

      Dufu imeanza toka mtume yupo na hadithi swahihi hizi
      فمن الأحاديثِ التي أباحت الضَّربَ بالدُّفِّ في العُرسِ حديثُ الرُّبَيِّعِ بنتِ مُعَوِّذ رَضِيَ الله عنها قالت: ((دخل عليَّ النبيُّ صلَّى اللهُ عليه وسلَّم غداةَ بُنِيَ عَلَيَّ، فجلس على فِراشي كمَجلِسِكَ منِّي، وجويرياتٌ يَضرِبنَ بالدُّفِّ..)) رواه البُخاريُّ.
      ومن الأحاديثِ التي أباحَته في العيدِ: حديثُ عائشةَ ((أنَّ أبا بكرٍ رَضِيَ الله عنه دخل عليها وعِندَها جاريتانِ في أيَّامِ مِنًى تُدَفِّفانِ وتَضرِبانِ، والنبيُّ صلَّى اللهُ عليه وسلَّم متغَشٍّ بثوبِه، فانتَهَرهما أبو بكرٍ، فكشف النبيُّ صلَّى اللهُ عليه وسلَّم عن وَجهِه، فقال: دَعْهما يا أبا بكرٍ؛ فإنَّها أيامُ عيدٍ، وتلك الأيَّامُ أيَّامُ مِنًى)). رواه البخاريُّ

    • @hassanmambomambo8442
      @hassanmambomambo8442 3 роки тому

      Kama unamengine sema Ila dufu imeanza lini ushahidi huo

  • @nassleydady5783
    @nassleydady5783 3 роки тому +2

    shekhe hakuna swahaba ata1 ukuachana na ntume mwenyew alowah kuruka walikua naiman kuliko cc nyny mashekh wa maulid munapotosha wachawi t nyny ndiomunao ifanyadin tuonekane wachawi waislam

    • @abdalahaby3658
      @abdalahaby3658 3 роки тому

      Mlioijulia dini ukubwani mna shida ninyi....

    • @AllyHilal
      @AllyHilal 3 роки тому

      Tunarudi palepale - tusomeni. Mungu ametupa mambo lakini sisi wenyewe hatujitambui. Ati uchawi! Tukisoma tutajuwa kutofautisha kati ya uchawi, Karama na miujiza. Tusomeni..

    • @0656840872
      @0656840872 3 роки тому

      @@AllyHilal nyie tatizo lenu mnajuwa makarama ni kufanya miujiza kama walivyokua wakifanya mitume kumbe makarama ni watu wachumungu na tena hawana hata majina wala sio watu wanaojitangaza ni watu wakiomba dua zinakubaliwa hapo hapo

    • @rashidmwajambale2967
      @rashidmwajambale2967 3 роки тому

      @@AllyHilal bana wee

    • @ramadhanimohamed9750
      @ramadhanimohamed9750 3 роки тому

      Ndugu zangu wacheni ushabiki na kutukana watu.
      Hivi kwa nini mtu hawezi kuwasilisha hoja yake mpaka atukane?

  • @jafarbalagha441
    @jafarbalagha441 2 роки тому

    کذب وفتراء

    • @user-pu8yl2zj8x
      @user-pu8yl2zj8x Рік тому

      Andika kuzuri shekhe chunga lugha sikiswahili hiko lugha ina wenyewe so usijiandikie tu angalia vizuri