SHETANI HAKUSEMA UONGO ALIMWAMBIA EVA UKWELI
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- KARIBU IPM TV.
HUDUMA HII YA EMBASSY OF GOD FOR ALL NATIONS INAYOONGOZWA NA PROPHET IPM INAPATIKANA DAR ES SALAAM TANZANIA MBEZI BEACH MBUYUNI UKIFIKA ULIZIA KWA PROPHET IPM. AU PIGA SIMU
+255 757 672 666
+255 714 284 419
Ubarikiwe mchungaji ❤
Ipm unafundisha vizuri sana .mwwnye asiye kuwa na kitu ndani mweke awezi kuelewa ❤I like big poster I follow from South african
Tuko na macho ya roho na masikio ya kiroho pia nikweli umeshindwa 'kumpindua MUNGU ",kama umesikia hapo, gonga like
Mtumishi nimekuelewa sana,sema wengi wetu tunaupeo mdongo wakufafanua mambo ila ulicho kisema nicha kweli kabisa,mungu akuweke sana mtumishi,me ni muisilamu ila huwa nakufatilia sana kuhusu maubili yako.
Mafundisho haya kama akili yako aija kaa Sawa huto elewa kitu;
Sir asante sana kwa mafundisho❤❤mungu aku zidishiye ujuzi
Kuelewa maarifa haya yaitaji maarifa pia
😅😂😂😂😂leo ndio nimeamini kwamba kuna watumishi wa shetani wanamtetea kwa siasa kibao kama ukweli vile kumbe ni hatar sana. shetani sio wakutreñdisha hivyo:
Kuelewa kwako ndio batili kabisa
@@StephenMwangi-h5z sikiliz nikuambie ndugu yangu nuru na giza havitawez kukaa pamoja milele ndio maana inapo fika jion jua linakimbia na inapo fika hasbh giza linakimbia
shetani atakbali kua baba wa uongo milele kwa mjib wa bible aijàlishi anaijua vipi mbingu...chunguza san pia maubioi yakumtetea shetani huo ni ushetani tu.
Aliposema tu shetani sii muongo hapo tu kashawapoteza@@StephenMwangi-h5z
Kwahio wee ulikuwepo kipindi huyo babaaako akisema ?
Ndo maana shetani alimwendea IPM akamwambia aende gym atengeneze body awe na mwonekano flani nayeye akaona nisawa kabisa ona baada yakutengeneza body Sasa anaonekana Kama mtu flani kipofu mpeleka watu motoni,anajua anachokifanya huyuu mjinga,ndo maana wasipotubu YESU KRISTO atawakomesha nakiburi Chao.
Yesu mwenyewe alisema shetani ni Muongo tokea zamani 😁😁😁😂😂😂😂😂 Muongo wewe Tapel tu
Some ueleweee
@ umeshadanganywa kabisa ndo maana
Huyu anatafsiri fikra zake za kibinadamu tu usijaribu kuweka fikra zako kwenye ishu za imani
@ Mungu ni Roho mambo yake yanaonekana kwa roho ukiweka ubinadamu humpati Anaposema mti wa ujuzi wa mema na mabaya ni torati iliyokua kwa mkono wa musa
Adamu aliposikiliza hio akatambua dhambi kwa njia ya torati
MUNGU akubariki 🎉
Ayaa ujiitaye IPM 😢😢😢 utajilaumu badae YESU ngoja aje utaona vya moto mtete sana huyo shetani utalia wewe😢😢 haya
Shetani ni Muongo na hayo sio maneno ya mwanadamu ..SHETANI NI BABA WA UONGO. Kusema kwake ukwel Mara nyingine hakumfanyi sifa yake ya uongo ifutike
Dah nilikuwa nakukubali lakin kwenye hili umealibu wew sio mtumishi wa mungu wew ni mtafta hela
IPM Leo nimekuelewa
kweli kama hauko kiroho huwezi helewa, Ipm anafundisha vizuri sana msikilize kwa makini roho wa Mungu tusaidie aise ni hatari❤❤ hongera sana Mtumishi wa Mungu, uko sawa kabisa kabisa Amen saaaan
Pastor your too straight "!🎉🎉🎉
Yohana 8:44
Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.
@@samsonmabula umeiona sasa hio sentensi inavomtambulisha Shetani
IPM ameupiga mwingi
@@samsonmabula yes baba wa uongo
Nyoka alianza na uongo ati hivi ndiyo alivyosema Mungu, msile matunda ya MITI YOTE YA BUSTANI? MWA 3:1, rejea MWA 2:16-17
Maandiko matakatifu yako wazi, shetani ni muongo hakusema kweli. Mwanzo 2:17; Mwanzo 3; Mwanzo 3:4-6 Shetani ni muongo, Yoane/Yohana 8:44; Ufunuo 12:7-12; Ufunuo 2:1-2,10-15
Hatari sana mwamba IPM
Shetani aliwalaghai. Kulaghai (Deception) ni kuchanganya UKWELI na UONGO kwa makusudi ya kurubuni au kupotosha. Au kutumia UKWELI isivyo sahihi kwa malengo mabaya.
Shetani aliposema “mtafumbuliwa macho na kujua mema na mabaya “ ilikuwa UKWELI
Lakini Shetani aliposema “ hamtakufa hakika” ilikuwa ni UONGO.
Nani ambaye Hafi leo
Hatima ya makusudi ya Shetani ilikuwa kulaghai ambayo inamfanya bado kuwa MUONGO.
Yesu alisema wazi wazi katika Yohana 8:44,
“ Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.”
Dhambi ni kuvunja sheria za Mungu, alisema usifanye ukifanya umevunja sheria na shetani kazi yake ni kuwashawishi wanadamu kuvunja sheria za Mungu. Mpinge shetani kwa kuzijua mbinu zake za kupotosha.
Amina mtumishi
Hapo mchungaji nimekuelewa kuliko siku zone yaani nakupenda ,nkweli heva hakuzini bali alipokea mafundisho yauongo .Mungu akubariki sana azidi kukutumia.
Amen
Nipo hapa kumuomba admin apost hyo audio ya huo mziki, naipenda adi basii
Ukimsikiliza kwa umakini unamuelewa kabisa na anafundisha vizuri
YOHANA 8:44- "...wala hakusimama katika kweli, kwa sababu hamna hiyo kweli ndani yake.!"
Kwann mungu awanyime maarifa
@@wewa7329 asee kumbe shetani siyo muongo daah nilikua sijui asee saiv nitakuwa nasikiliza
Jamaa yupo kimwili na sio KIROHO.
Mpotoshaji
Uwezi kumuelewa kama umeishia 7
Shetani palepale alisema uongo,Mungu hakumwambia Adam. Asile matunda ya miti yote kama alivyosema shetani,alimwambiia asile matunda ya mti mmoja tuu.soma vizuri wewe mtumishi njaaa.
Mwanzo 2:16
Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula,
Mwanzo 3:1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?
Duuu mungu akuongoze watanzania bado tunakuitaji
YOHANA 8:44 "Asemapo uongo,asema yaliyo yake mwenyewe;kwa sababu yeye ni mwongo na baba wa huo.!"
Huyu Mchungaji Mahubiri yake yako beyond zaidi, ni ngumu kueleweka kwa makondoo ambao wamekaririshwa vifungu vya biblia pasina kuwa na ufahamu wa ndani juu ya vifungu hivyo.. Huyu Mchungaji ana ufahamu kama wangu kabisa kweli binadamu ni wawili wawili..
Rudia kusoma mwanzo 1 na 2 zote utajua uongo wa shetani. Kwanza alimsingizia Mungu sababu aliyetoa sharti ni Bwana Mungu yeye akamwambia mwanamke ati Mungu amesema..... Tafuta kwanza kujua tofauti ya Mungu na Bwana Mungu.
Wengine ndo hatuamini katika mungu tupo tupo tu
Mchungaji uko sahihi kwa 100%
Speech Kali Asante ipm
Uongo wake ni pale aliposema mkila matunda hamtakufa.. sasa walipokula hawakuanza kufa!??? Acha kupindisha ukweli wa maandiko... Shetani ni muongo
Wew kweli mbulula huna lolote wafundishe mbulula wenzio
MUNGU ANASEMA "HAKIKA MTAKUFA!" NA NYOKA ANASEMA "HAMTAKUFA HAKIKA!"- Uongo wa dhahiri wa shetani uko hapa
Mungu akubariki tu maana mm sio mtoa hukum
Huyu siye mtumishi wa Mungu, Huyu ni shehe kutoka uislamu, ana elimu ya uislamuhuyu
Mmmmmh suri kubwa
safi sana hivi vitabu hua tunasoma spidi kali bila kutafakari na ni watumishi wachache wenye kipawa cha uchambuzi kama wewe IPM. Asante
angalia sentensi ya Mungu aliyomwambia eva .afu angalia sentensi ya shetani...afu angalia sentensi ya eva akimwambi shetaniii....ndo utajua kuwa shetani anatumia hila yan uongo unaoendana na ukweli
@@PhimoniMwakalili uongo upi? ule ni umbea
Kumbe wewe pia umekubaliana na shetani
Yohana 8:44
Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.
@@nwntz😂😂 daaah Mungu atusaidie sana, tatizo binadamu ni wazito kusoma biblia
Warumi 14:11
Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu.
Marko 4:10_12 neno la mungu ni mafumbo wasio wa ufalme wa Mungu hawawezi kuelewa .ili wasije wakatubu wakasamehewa .nyoka ni fumbo sio nyoka wa mwituni .mchungaji kakosa hekima ya kimbingu
ndunda gani iyo iliyo tuleteya mauti Mungu awezi kuuwa mutu ju ya chakula apana muchungaji
Huyu jamaa niwaz kuwa yeye niwakala wa shetan namafundisho yake nikinyume namatakwa ya Mungu napiah hata iman yakikirsto hayapo kabisa isee Mungu atuhulumie sana😢😢
Bro huyu jamaa anatoa kichwani ? Au hayo maneno hayapo?? Au we ndio husomi ukaelewa Bali waishi na imani tuu
Mungu amesema Mtakufa hakika, shetani akasema Hamtakufa hakika. Badooo sio Muongo?
@wilkinssimkoko7920 mzee ule mti wa uzima ambao waliambiwa hawatakufa hawakuugusa, ndio mana tunakufa,
@wilkinssimkoko7920 kasome tena uelewe
@@ramamakomola2739
Mwanzo 2
16 Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula,
17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.
Yohana 8;44......yesu Kristo (Mungu)anasema shetani Ni mwongo
Uko sahihi mtumishi. Sisi wanateolojia tunakuelewa vzr.
@@hudumablack9339asee kumbe shetani siyo muongo nilikuwa sijui asee daah saiv nitakuwa nasikiliza
1 Timotheo 2:14 Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa. Shetani ni Muongo haijaloshi mtatuambiaje
Amina mungu abariki sauti Yako izidi kupaa mataifa yote wasikie sauti ikihuburi neno la MUNGU 🙏
Elewa kinacho semwa apo eti shetani si muongo ama?
🇹🇿MABALOZI WA SHETANI WANAMUWAKILISHA SHETANI NA KUMTETEA BADALA YA KUMTETEA YESU!WATU AMKENI MTAWEKEWA MAROHO YA KILA MAMNA! MAWAKALA WA SHETANI HAWA!!
Kwa hiyo maandiko ni ya shetani au we hujui kuelewa??
Watukama Hawa ni vibaraka wa shetan kaeni makini,,,,MUNGU AKUSAMEHE
Hivi iraq ni Africa?
Mtumishi unakosea unasema uongo kusema kuwa shetani hakusema uongo maana ibilisi alimwambia mwanadamu pindi atakapokula tunda atakuwa kama Mungu, hivyo alimtamanisha kwa madaraka ..kama alivyofanya Kwa YESU alipokuwa hapa dunia kwa kumwambia ukinisujudia nitakupa milking yote ya dunia ..hivyo ibilisi alisema uongo kwa Eva kwa sababu kuvunja amri ya Mungu hakumfanyi mtu awe katika nafasi ya juu au kubwa zaidi ya ile Mungu aliyompatia Bali kunampeleka katika upotevu mkubwa..... na hapo kuhusu kujua mema na mabaya hakumaanisha kuyatambua tu Bali pia kuya-experience katika maisha yake hivyo alimwekea mtego huu wa madaraka ili amwasi Mungu
Mungu alisema mm sifundishwi na ninyi mmmmmm😮
APO KWENYE KUMTAMBULISHA YESU AAAH PATAM NYIEEE
The concept is true. the devil spoke the truth but not for good.
Eg He told Jesus in Matthew 4:6 that "it is written...."
Which is true.....
[6]And saith unto him, If thou be the Son of God, cast thyself down: for it is written, He shall give his angels charge concerning thee: and in their hands they shall bear thee up, lest at any time thou dash thy foot against a stone
THE DEVIL IS A LIER.. HE USES THE TRUTH TO LIE
HE USES THE TRUTH TO CAUSE PAIN AND DESTRUCTIONS AS HE DID IN EDEN.
asaaa kumbe YESU HATUPEEEENDI KUMBE
*Asije akaona akanyoosha mkono akachuma tunda la uzima wa milele*
KUMBE WANAPENDA TUFE....KWANINI ASITUFANYE TUISHI MILELE
Ukishindwa kumuelewa IPM unamatope kichwa
Mzeeee shtuka baba wa uongo ni shetani (yoh 8:44) na ana watoto, angalia usiwe mmoja wao.
nyie viewers shauri zenu, mtadanganywa kwa jina hili maana watu kama hao washanenwa, pima kwa maandiko.
Aisee hapa tukifata mkumbo tumeumia😭😭😭😭😭😭😭🙇🙇🙇🙇🙇🙆🙆🙆🙆🙆🙆
mtumishi hapa umenena nimekuelewa haswa
Ubarikiwe
Wewe ndiye muongo, Bwana Yesu mwenyewe alisema, shetani ni muongo, wewe ninani
Mwamba ni mungu pekeyake
Hakika umebarikiwa broo
THE PROPHET OF GOD 🌎
NITAKUPENDA MI LELE BABA❤️🇨🇩💰🙏
Which god r u saying
😂😂 eti prophet of God Pumbavu zenu mnatapeliwa tu kama manyumbu vile huyu si mjinga mmoja tu wa kariakoo eti mtume wa Mungu wakristo mnafanywa wajinga sana ndugu zetu. Amkeni dini ya haki ni Uislam tu huku kwetu hakuna mambo yakufanyana mafala
Mwambie huyo kipara awache kudhanganyana maana ninajua vitu viwili tu kwamba mungu awezi kuzini tokea mwanzo na shentani awezi kutenda jambo njema kabsaa
Point!!
Nyoka tunao ndan mwetu kwenye ndoa kwenye biashara Maombi Yawe mengiiii jamani 😂😂😂
Mkewe mwenyewe akiri akimjibu Mungu,ni shetani ndiye alinidangnya
Yesu amesema Ibilisi ni Muongo tangia mwanzo na hawez sema kweli sababu kwel haipo ndan yake...na ibilisi sehemu alipo sema uongo ni kwamba wakila hawawezi kufa
Ukim skiza vizuri ndo utaelewa....kitu apo.🙏🙏🙏
Shetani siyo muongo tu bali ni baba wa huo uongo, Yn 8:44-45
Acha kuwapotosha Watu, Yesu Mwalim Mkuu mwenyewe Keshasema kuwa SHETANI NI MUONGO TOKA MWANZO, Sasa Wewe unatuambuaje kwamba alisema Ukweli??? Soma Yohana 8:41-44, Yesu ndo Jibu la Mwisho
Sawa anaweza asiwe muongo lakini friji lake aligandishi.😅😅😅😅😅na hakuna kitu unatakiwa ukaenacho mbali kama kitu kisichoweza kutunza siri.
Unafundisha ujinga mzee.. Mafundisho ya kipepo haya.... Siku yenu inakuja . Shenzi sana nyny.. All BENIN , Nigeria e.t.c products mtaangamia vibaya sana with your shrines na ushoga wenu.. Pumbavu.
Unanishangaza sana mafundisho ya kipepo kivip?? Biblia ni ya mapepo mbona vyote alivisoma ndani ya biblia..... Acheni kufuru bila kujuwa
Kuna watu tunafumbuliwa macho kupitiya haya mafundisho asante IPM
Wewe ni Mungu et😅😅😅
Nionavyo Mimi roho wa Mungu hayumo humo maana ndie hutuongoza kwa kutafakari neno
I never trusted this pastor, from the beginning, now he proves my point. Mwanzo 2.17 " walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo UTAKUFA hakika.
Shetani (ambae huyu Bwana anamtetea Mwanzo 3:4 "Nyoka akamwambia mwanamke, HAKIKA HAMTAKUFA")
Mwanzo 3:19 kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, NAWE MAVUMBINI UTARUDI)
Na Neno la BWANA Likatimia.
The devil is the father of deception, now i understand.... This level of deception is of another level....
Wewe ni mwislamu wajificha kwa ukristo
Hatari hii Dunia ni ngumu kuelewa mungu ni yupi kwa maana Kila mtumishi anamafundisho yake sasa mm huyu hata afanyeje siwez kumuelewa hata kidogo
😂😂😂Wakati mwengine watumishi wa shetani wanachekesha, Muongo huyooo mtumishi ni washetani
hii vita haituhusu sisi watu wa Proud to be😂
nimejiuliza sana hili swali.. Yani kwann shetani atake kumtoa binadamu katika hali ya kutojitambua yani kutokujua mema na mabaya na kukaa uchi??? shetani ni kama alitu upgrade binadamu kutoka katika hali ya unyama zaidi. Mungu akawa anataka binadamu aendelee kutojitambua. ILE STORY LAZIMA HAIPO SAWA.
LAZIMA NIJE KWENYE ILI KANISA
Story ya kutungatu haina ata maana ina makosa mengitu
Unajua tungekuwa tunaendelea kuishi kama wanyama ingekuwa raha sana! 😅
@paschalinahharis9604 siamini hizo maandiko ata ni za kutungatu hazileti maana kabisa
@@paschalinahharis9604 MH hapana angalia wanyama wanavyo ishi😄
Tungekuwa kama makaika wema yaani tungejitambua ila tusingefanya uovu na kufa.
Pia unaweza tafuta kitabu cha yashari kina deep story
Sasa huyu ni nani,
Kueni kiroho jaman shetan ni BABA wa uongo kweli lkn ana mbinu zinazo fanana na kweli ila kuna kitu ana winda angalia kwa YESU alivyo kuja baada ya kutoka kufunga alimwambia ukwel lkn ndani yake kuna jaribu
Jamaa anampenda shetanina kumwamini mpaka kumwita mwamba
Wait whaaaat!..... But kaka, yule nyoka arikuwa Shetani. Eti Mungu kuogopa kwahiyo Adam na Eve, walibadirika kama Mungu😂😂😂
Secrets of should remain classified.
Chetan siku zote anaga kweri
Haukuwa ukweli bali kiini macho na ndiyo mana badala ya kupata maarifa wapata mauti Mungu ndiyo alisema kweli
Ombi! Tutengenezee watumishi kama ww maana mafundisho yako yanatufungua akili san
Sasa akisema hapo shetani aliongea ukweli anakosa gani.Then tabia ya shetani haongeagi uongo wote,lazima achanganye na ukweli ili afanikiwe.
@@PatrickNanyaro-s3c ukwel na uongo ukichanganyika wote unaitwa uongo mtupu
Wewe ni mpinga kiristo Mungu alisema msile shetani aka sema kuleni je nani muongo hapo
Injili itaubiliwa kivyovyote kiunafki kiukweli ila niseme SHETAN aja sema ukweli Mungu aliwambia vyote Adam na hawa mana waliumbwa kutawala pia waliumbwa kuto kufa pia binadam alikua na akili kuliko nyoka ipo ivi nyoka sio nyoka mana alikua nishetani anazungza mana shetani niloho ana tumia mwili waawae yyote Adam alikua amjui SHETAN mana shetani niloho Tena katoka mbingun Adam akujua maalifa yashetan ivyo maneno Yale SI yanyoka Bali yashetani kama umenielewa msoma komeni sema atukuzwe YESU mwalim wetu
Illuminati huyu na freemason..
Wait whaaaat!..... But kaka, yule nyoka arikuwa Shetani
Ip yuko sahi ila elimyake inahitaji waelewa san mpumbavu yoyote hawez kuielewa Elimhi?
mwenyewe hata sielewi sijui kuna neno la kutupeleka peponi kweli hapo
Kweli baba ukweli mwingine unabomoa kuharibu maono ya mtu upo sahihi na kuleta matatizo makubwa kwenye familia
Wewe mwenyewe mtumishi wa shetani
Jaman kumbe iraq iko africa na hamsemi😂😂😂😂 duh
Huyu jamaa mbona kama simuelewi
Huyu naye ni mchungaji au muigizaji wa bongo movie?
Iv ilo kanisa lina waumini?? Maana Kama unaelewa vzr mambo ya rohoni unakaa apo unasikiliza nini sasa apo